Baba alomfanya hamisi awe sawa kapotea mama mzazi kafa mtoto kawa vzr nae kapotea hivi uyu mzee mnamuelewa kweli? Mbona haipingiki kuwa huyu baba mchawi kweli kata maelezo yake tuu
MIZEE MICHAWI KAMA HAWA KWANINI WATANZANIA WASIWACHUKULIE SHELIA MKONONI KUMCHUMA MOTO AZALANI RIFIE MBALI MCHAWI MKUBWA MZEE DAWA YAKE KUCHOMA MOTO TU 😢😢😢
Kutaka kumchana mtoto wa watu tuu jitu zima ety umuoe mtoto wa miaka 20 jmn ujan wako ule na nan uzee umlizie kwake alf unaongea ht aibu uon loooh babu chefu ww
Babu mchawi sana huyu
Sasa uyooo khamis yeye mtoto 🤔🤔🤔🏃🏃🏃
Et apa Kuna kanisa 😂😂😂 ila uyu babu apn kwakweli 😂😂😂
Huyu mzee mshenzi sana na hiyo uncharitable yake , mwandishi saidia huyu msichana akimbilie kanisani Kabla huyu mzee amuwaii, dunia si salama tena
Anajuwa uyooo alipo😢😢😢
ili li zee chawi
Mchungaji aje kama haviumbuka vitu vingine vya siri
Huyu Mzee ASHA muua hamisi😢😢😢😢
😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭🤭
Huyu mzee hamnazo
,😳😲😢😭👹
Kamficha kichawi yuko nae mahali Mungu amsaidie huko aliko amwite Yesu amsaidie
Kamweka ndani anataka awe ndondocha tena
Huyu mzee kamficha wapi huyomtoto?
😮😮😢😊
Baba alomfanya hamisi awe sawa kapotea mama mzazi kafa mtoto kawa vzr nae kapotea hivi uyu mzee mnamuelewa kweli? Mbona haipingiki kuwa huyu baba mchawi kweli kata maelezo yake tuu
MIZEE MICHAWI KAMA HAWA KWANINI WATANZANIA WASIWACHUKULIE SHELIA MKONONI KUMCHUMA MOTO AZALANI RIFIE MBALI MCHAWI MKUBWA MZEE DAWA YAKE KUCHOMA MOTO TU 😢😢😢
Subiri aonekane Hamis ndipo achomwe moto kweli ni. Mchawi huyu mzee
Anabadilibadili maneno alisema akitaka mtakuja kumuona anajua alipo
Kwahyo na hamisi bi mtu mzima mbona hutaki aoe
Mtangazaji huyo babu mbabaifu atakubaka subiri huyo mtu analana yamungu
Ivi niulize jamani hii stori ina mda gani
Kulingana na vile huyu mzee anaongea year ndiye alie Mtongwe binti yake kwa kumnyoyesha mjuku wake
Akionekana kwake huyo babu huyo sio mtu wa kuishi hapo aende jela akafie uko
Kusudi awe ananyonya ndiyo anataka
Hata kuongea pia hajui chake yeye sukari ila cha mwenziwe subiri akifika miaka hiyo je uyo babu atakua hali gani huyo babu anageuza kibao lakini anae
Babu uyo anawasumbua 2 anayo ndaniuyo mchungaji akija atajuwa
Kutaka kumchana mtoto wa watu tuu jitu zima ety umuoe mtoto wa miaka 20 jmn ujan wako ule na nan uzee umlizie kwake alf unaongea ht aibu uon loooh babu chefu ww
Mama mtu kamuondoa atashindwa mtoto kamfanya tondoza kaona hajafaidi walete wachungaji tuone ya ulimwengu siye
Mwandishi wa habar huyo babu ni mchaw na huyo hamisi kamficha yeye naomba fatilien ili swala mpaka mwisho maneno yake tu unajua yeye muusika
Huyo mzee ni mchawi tu .maongezi yake yanaonyesha
Mbabaifu sana maneno yaye tu
Mzabizabina huyo babu
Kimekuramba mtangazaj
Acheni ni kiki hizo mnatumalizia bundle zetu ujinga tu
MUANDISHI UCHONGANISHI SASA HUO YULE MSICHANA KAKWAMBIA NINI WACHA UPUMBAVU NA UCHONGANISHI MUANDISHI MJINGA WEWE MUANDISHI 😮
Huyu babu ni MCHAWI.
Mzee ajuwa kwe Hamisi yupo !!!!police wakikuja kutafuta ndani watamupata!.
Utakuwa umemficha ww, wewe mchawi
👎👎👎👎
Huyu mzee anaonekana ni mchawi kabisa. Kwa nn anataka hamisi anyonye tu. Sip jambo la kawaida hili
Huyo mzee amemuficha khamis kimazingira ya kichawi
Huyu babu ni mchawi moja kwa moja pamoj na mama wa khamisi ni mchawi
Huyu babu mwanga sana mtoto wa miaka 17 umfunguia
Huyu babu ni mchawi si alusema nasema haowi kwanini aseme hivyo inamaana ataka anyone inamaa wamemfanya msukule mtoto