Baba wacha kurudinkwenye kufru mungu amekuepusha je ulijaribu kwa mashekhe ikashindikana nahuyo mtoto usimpele kwenye ukafiri nauende msikitini ukasali
Mbona nawewe mchungaji una kiduku siukakitoe nasuruali yako iliyotobokatoboka usimlazimishe huyu kaka kufuata imani maana Yesu Kristo aliponya wengi lakini siwote waliokoka,
Daa maigizo mnayaweza 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️,mchungaji mbona hukemei kwa jina la Yesu?unasema baba,baba ,wako wengi na mungu wako wengi lakini Yesu Kristo aliyekufa na kufufuka siku ya tatu ana nguvu na hakuna jambo linalomshinda
Kwa kweli damu ni nzito kuliko maji. Ikiwa sio movie God bless you brother... Watching from 🇰🇪
Kwani hujui Tz iko na movie mob
Amen 🙏🙏
Wasanii tu Hao wanatangaza biashara ya uchungaji tu mwenye akili anatambua musituzingue jamani
Haleluya
Baba amis mungu atakusamee dhabi zako amen 🙏 aponye pia mtoto ak inauma kweli 😢😢😢ila mungu wetu ndie muweza wa yote amen 🙏
man of GOD may GOD bless you, glory, honor and thank all to the Lord.
Mbona mnamkashifu,mungu ni mmoja, Imani yako ndio itakayo kuponya,pia wapo wakristo wanaombewa Dua na mashekh na wanapona ,
Kwajuhudi alizo fanya brother hakika MUNGU amsaidie.
Baba hengera kwa kumtoa mwana kwenye wakat mgumu hiv mungu amtangulie
Baba Amis mungu nimwema sana kaka yangu
Mungu shukia huyu mtoto in jesus name
Iman haijaribiwi unaanzaje kusema utajaribu kuitafuta aman duh ila mungu awasikie maombi yenu
Sifa na utukufu ni vyako mfalme Yesu. AMINA 🎉❤🙏
Weee mfalme yesu simnasema yesu nimwana wa mungu sasa mungu anaitwa nani
Good mugu abadaidie🙏🙏
Baba Hamis roho Safi.Mungu atende kwa Jina la Yesu kristu
😂😂😂😂Yaani maombi ya mchungaji ndo yamekomesha maigizo? Hum, makubwa kwa kweli.
Mungu ni mwema yote yawezekana kwa Jina la Yesu
Amen🙏🙏🙏kw kweli mnafanana n mwanao
Maombi ya mchungaj mmmmh mmmmh sijaelewa kitu hapo
Baba hamisi mungu atakusamee inshaallh 🙏 🙏 🙏 n mtoto pia atakua xw aminiii
Muandishi katika kutafuta uzima wa mtu Akuna kutafuna dini mungu ni mmoja Tu Ameen 🙏
Jamani kama nimaigizo anyonye kweli tusiwe wepesi wa kuhukumu tumwachie Mungu yy ndiye hakimu wa kweli
Mungu ni mwema☺️☺️🙏
Jaman acheni kuhukumu anaejua nimwenyez mungu kwahyo tusiwe wepes wa kuhukumu amini usiamini neno lamungu litainuliwa tuuu
Sio Kiki ni kweli jamani
Uyu baba amis mungu amtendee tamani la moyo wake 😢😢😢amen aijalishi ametenda tuambie gn kw mungu anasamehe amina kua na iman iyo ulo nayo😢😢😢
Mana of God be blessed in might name of Jesus christ we pray amen❤
Kwauponyaji huo Mungu atatenda kwa uwezo wake hata iyo familia mungu atailetea wepes watamwelewa baba hamisi
Mashehe wapo wanaowaombea Waislamu wenzao mnakwenda kumshirikisha Mwenyezi Mungu.
Mchungaji kavaaa jinzi 😅😅😅😅😅😅😅mnatuinjoy
Maigizo jmn😂😂😂
Mbavu zangu jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
beba mwanao mzee kwa mazingra hayo unamwachaje sasa .half kuhusu dini ni yoyote hata masheekh wanaponyapia mungu mmoja yotenayote kalee mwanao.
God, who is capable 🎉🎉🎉can do more than this praise God indeed 🙏 🙌 👏
😂😂😂😂
Mungu amsimamie uyu mtoto Mungu awe nae😢😢
KUTAFUTA UZIMA WA MINADAMU AKUNA DINI AU UKABILA KUTAFUTA UZIMA NA MUNGU KUPOKEA AMEEN ❤
Ohh Deus pai ilumine esse menino e livrai de todo mal em nome de Jesus Cristo. Amém
Hata mama Hamisi anatakiwa kuombewa
Kwa ajili akiludi kwa mama mambo yataludia.
Mungu ni mwema siku zote Amen
Jaman baba Hamis kumbe nae hajiamini mara kristo mara muislam mmmh mtangazaji usiache kutuletea mrejesho huko mbele atakuaje in shaa Allah apone
Mungu nimwema onekana baba mtumishi wako amekuita
Allah amuongoe vyema, kutokan na dhambi yake hii ya kujinasibisha na makafir
Baba wacha kurudinkwenye kufru mungu amekuepusha je ulijaribu kwa mashekhe ikashindikana nahuyo mtoto usimpele kwenye ukafiri nauende msikitini ukasali
Mungu ni mwema hakuna linalo shindikana
Mbona surual aliovaa mchungaj sijazielewa imechanwa kwenye magot😂😂
Mungu atukuzwe amina
Baba hamis Allah atamsam3h anatakia mwanae kheri maombi ni maombi bora mtoto apone
Move kali saana
Amen 🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️🧎🏼♀️
Mbona mchungaji shajo linamtoka jingi jamn ila mung ni mwema
Amen amen 🙏🙏🙏
Wacha kazi ya mungu itendeke ndani ya amisi
Uyo siyo mchungaji anamdhiaki mungu
Na wwe ulijuaje ama wewe mchawi
❤❤❤❤
Wachugaji mwede muhibili wagojwa ni wingi matapali nyie mungu ana waona
Mungu shuka kwa mwanao
Mungu jionyeshe kupitia mtumishi wako
Amen.
Hiizi ni season comedian,,hamna kitu apo ni maigizo
Wewe baba Khamis umepotea umemfuata mchungaji ambae hamuamini Mwenyezi Mungu anamuamini yesu ambae wanasema Mungu ana mtoto.
Tulia wewe unajuwa nini?mashekhe wenyewe ndo wachawi wakubwa
Huyu mchungaji mwenyewe anatumia nguvu za GIZA. Wanaonekana wachungaji wengi kwa waganga wa kienjezi wakifuata NGUVU ZA GIZA.
Mchungaji wa maigizo nyinyi, mtaulizwa na mng kwani mnazihaki jina lake.
Amen🙏🙏🙏🙏
Mlete ngomeni kwa kuhani Mussa Richard Mwacha
huko kwenye mapepo
Amen...🙏🙏🙏
Bora iyo muvi imalize mnajua kuigiza sihaba
Mungu ni mwema sana
Baba hamis alimpataje hamis?
Ndo mtu mwenye mapepo yupo iv. Mmmmm cjui
Yaan anamjua had baba pepo anamjua baba???🤭🤭
Hata mama ya mtoto hayuko kwny ufahamu wke. Anahitaji kufunguliwa!
Mleteni kawe hyo dogo mungu atafungu maana hii hali sio yakawaida😢
😮😮😅😅
Hatamimi nitaanza kumuombeya mimi nimuombaji atakuwa sawa kwa jina la yesu mimi ni mjakazi
Amin
Afadhali maombi yafanyike
Mpaka ajielewe
Mungu nim kubwa
Huyo mchungaji ni msanii yeye mwenyewe mchungaji anataka aombewe upumbavu tu
Mbona nawewe mchungaji una kiduku siukakitoe nasuruali yako iliyotobokatoboka usimlazimishe huyu kaka kufuata imani maana Yesu Kristo aliponya wengi lakini siwote waliokoka,
Upuuzi 😂
Mbona kama maigizo
Movie hizi utapeli kwenda mbele
😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Father and son they look alike.
KAZI MNAYO.
Amen pastor
Amina
Amekubali mamake na babu aombewe sasa
😳😳😳😳
Subhanallah
Allah atustiri na kupotea
Uisilam siyo dini ya mchezo inqwezekana ni Kiki hizo hawezikumuita shekh hapo
Huyu baba Hamisi anakesi ya kubaka alimbaka mama hamisi akiwa na miaka 16 na mwanafunzi.
Kumuombea mtu sio kumlazimisha mtu kuwa ulipo hiyo ndio shida zenu mbona wale wanaoombea dua hawalazishi watu kubadilii dini
Amen
Nakushauri wewe mzazinwahuyu mtoto mpele kwamashehe huyu asomewe Acha kumkufuru.
Kwaiyo umerutadi
😅😅😅 Nihatr kiukweli sijui tunaigiziwa mmh
Kwani ukiwa muislam kuombewa na mkrito vibaya nyie washamba
usiache maombi yesu atatenda
Usilitaje Bure Jina la Bwana Mungu wako
Nilikuwa natafuta sana comment Kama hii. Amen
😢😢😢😢
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amis muuni tuu na madem anao😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅
Kofiya haina shida
Ivi ni kiki au nikweli jaman maana siamin
Daa maigizo mnayaweza 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️,mchungaji mbona hukemei kwa jina la Yesu?unasema baba,baba ,wako wengi na mungu wako wengi lakini Yesu Kristo aliyekufa na kufufuka siku ya tatu ana nguvu na hakuna jambo linalomshinda