Poleni kwa story ndefu, juzi mmetupeleka kwa mwalimu wa shule leo ni mchungazi, ivi kwa kesho mmetupangiya nani, ao itakuwa ni WAZIRI wa afya ? Makubwa hayo 😅😅 kiki, ikingali inatafuta mwisho wa story zake.
Mm ninaswali jaman inawezekanaje Mama kumnyonyesha Mtoto wakati mkubwa au Mama nae anashida anaskia raha gani jaman au kuna mikataba anaifanya kwa huyu mtoto
Hamisi Mungu akupe maarifa ya kuokoa huyo kijana kwq kweli blood is thicker than water ikiwezekana umpe huyo mkeo mimba ndio aache huo ujinga wa kunyonyesha mzee mkubwa ivo
Sasa pastor unataka kusema huyo mtoto Yuko hivyo kwasabababu baba yake alibaka .sio kweli Mungu anasamehe dhambi zote jamani mtumishi ingekuta watoto wanaozaliwa Kwa uzinzi wanakuwa hivyo duniani sikungejaaa mazumbi mmmmh dhambi ya uzinzi ni mbaya ila Mungu ni wa huruma na rehema sana kwetu omba rehema mtumishi Kwa ajili ya hiyo familia
Kwanza nakupongeza kaka kwa kupambana ad kumpta amis pili icho unachokifanya n saihihi uyo amis atanyonya ad Lin uyo ilibid saiz atongoze lika zake et adi leo achezee ziwa la mama yake
Upuudhi mtupu uongo tu huyo mama tupo nae kitaani huku kwendeni zenu Wala hata anamtoto ata miaka 2 hajafikisha huyo wa 17 miaka ni uongo afu huyu dada fara sana kujizalilisha hivi vipi
Hayo ni maigizo tu wewe mtangazaji mnaonesha uchafu unafanywa hii ni laana kubwa kiama kimefika pia huu ni mchezo wa kuigiza kajuaje kama huyo mwanamke kasafiri babu pia anaekti ujinga mtupu.
Uzuri Baba hamis nimkweli, safi Sana Kwa kufunguka hapo uponyaji utapata kwa Jina la Yesu.
Mungu achilie uponyaji kw kijana uyu😢😢😢
Kwann mnapenda kutunga story
Bb hamis hongera kwakumpambania mwanao damu mzito kuliko maji atapona inshallah hamis tunamuombea
hongera. sana. kaka.
Anastahili maombezi kijana huu! Kwa uwezo wa nguvu za Mungu atapona.
Amen na Baba Hamish atubu kwa mung
kweli kabisa baba amis hii👆👆 nayo ni too much 🙆♂️🙆♂️ Lakini Sasa vile ame kuja kwa mikono ya babake Atakua sawa IN JESUSU NAME🙏🙏
Kwakwer akuna linalo shindikana kwamung mungu atamponya ameena
Stori ya mama KHAMIS na baba Iko tofauti sana
Atapona kwa jina la yesu, atasahau tu kunyonya
Baba Hamisi ubarikiwe sana, mzazi mwenye huruma,mungu atamsaidia Hamisi
😂😂😂achapwe viboko atakua saw
17 years akifyejwa Kofi moja ataamka hapo mbio akili itakuwepo 😅😅
Baba hamisii mbonaa yupo tofautii kabsa kwa leoo
Mie siku sote nasema kweli kumbe muvi huyu mchugaji sidio alikuwa mwl 😂😂😂😂
Poleni kwa story ndefu, juzi mmetupeleka kwa mwalimu wa shule leo ni mchungazi, ivi kwa kesho mmetupangiya nani, ao itakuwa ni WAZIRI wa afya ? Makubwa hayo 😅😅 kiki, ikingali inatafuta mwisho wa story zake.
Msaidieni huyo mtoto apate uponyaji. Mchungaji tunamjua unaweza.
Mmh jamani bado yaendelea tuuh
Mchungaji umwokoe mtoto kwa maombi kwa Mungu hakun kinachoshindikana. Hawezi kubali haraka kwani Hilo Ni pepo na pepo anamwogopa YESU.
Mhh mtihan Kwa kweli ila si Kwa kunyonya Kwa mama e
Kwani inakuanga ukweli ama Huwa mnatunga stori
mungu atamsaidia sana jamani inasikitisha.sana
ATI kooo😂😂😂
Azambwe kofi moja atachangama aone mbele yaaak ziwa la mama ooops baba anaye lalisha mscichana usiku kucha ananyonyo apelekwe rihabiritation
😂😂😂😂😂😂
Baba akiitisha nyonyo mpe kofi tatu atasahau nyonyo 😂
baba na mtoto wanafanana kweli kweli
Mungu amuponye😭😭😭😭
Hivi mkipa stick hebu tujaribuu nitumeni nitafute🤔
Kwakweli shetani muongo
Mi naona maigizo hayo
Huyu karongwa kwa kweli
Mm ninaswali jaman inawezekanaje Mama kumnyonyesha Mtoto wakati mkubwa au Mama nae anashida anaskia raha gani jaman au kuna mikataba anaifanya kwa huyu mtoto
🙏💪
Mnamchokoza mungu maksudi kwa tamaa zenu kwenye dini yake kitawakuta kitu!! Gadeeemiti!!
Baba Hamisi mpeleke kwa Mwamposa yote yataisha hayo yule snamiujiza yake
Wewe unamwamini mwamposa au Mungu?,jihadhari sana ole wake amtegemeaye mwanadamu ,ndugu, mpe maisha yako si mwamposa
Hapo kuna jambo nzito limejificha wakilisema ukweri huyo kijana atafunguka
Ak huu n uchawi kabisa ila tuamini Hamisi ataponywa hii sio jambo la kawaida kabisa Mungu atatenda
Mpelekeni kwa mwakatobe uyo atapona😂😂😂😂😂
Apo sahihi😂😂😂
Hamisi Mungu akupe maarifa ya kuokoa huyo kijana kwq kweli blood is thicker than water ikiwezekana umpe huyo mkeo mimba ndio aache huo ujinga wa kunyonyesha mzee mkubwa ivo
Mamake alikua anamtumia vibaya huyu mtoto
Bba hamisi hogera jikaze xaidi kma mwanamume
Mchungaji nae ni msaniii muvi inaendelelea😏
Hakuna uponyaji hapo hizo hadithi za nini Sasa?
Hilo pepo lishindwe mtoto apone
Mchungaji anamaneno mengi
Mchungaji wapiii ndugu yangu usaniii
Maigizp hayo
Sasa pastor unataka kusema huyo mtoto Yuko hivyo kwasabababu baba yake alibaka .sio kweli Mungu anasamehe dhambi zote jamani mtumishi ingekuta watoto wanaozaliwa Kwa uzinzi wanakuwa hivyo duniani sikungejaaa mazumbi mmmmh dhambi ya uzinzi ni mbaya ila Mungu ni wa huruma na rehema sana kwetu omba rehema mtumishi Kwa ajili ya hiyo familia
We mkaka mlete huyo mtoto ukombozi kwa Nabii malisa akafunguliwe hicho kifungo
Omba hio Dua tukusikie acha stor
Mama anajua sababu na babu
Amen 😢😢
Kwanza nakupongeza kaka kwa kupambana ad kumpta amis pili icho unachokifanya n saihihi uyo amis atanyonya ad Lin uyo ilibid saiz atongoze lika zake et adi leo achezee ziwa la mama yake
Babu yuko wapi leo
Hamis anacheza na babaake Leo Hadi raha 😂
Upumbavu mpka nyinyi foxe pia niwapimbavu mwataka mukulikane
Na mm nko hapa wangu wanaaja kunyonya wakiwa na miezi kumi😢maajabu hayo
Chukueni fimbo anapona
Mafunzo kwa wenye kukana watoto wao
Kumbe wakristo Hawa familia ya Hamid mmh ngoja nipite
Baba hamisi ukome kubaka machizi
Wamulete kenya kwa mchungaji wetu nasi kesho hapo hapo
Kwa makenzi😂😂😂😂😂
Makenzi n noma
@@JofreyMsigwa-ok7hv kweli ni noma maana alijua kuwateka watu waenda kuonana na yesu na akafanikiwa yeye mwenyewe kagoma chezea makenzi wewe🤣🤣🤣
Labda mama alienda kwa mganga kupata mtoto kapewa pepo amnyonye damu .
Akh😢
Uongo uongo uongo uongo
Naona mama ana shida huezi nyonyesha mtoto mkubwa hata kama mtoto anashida
Waswahili wanasema tembea uone sasa nimeona
Upuudhi mtupu uongo tu huyo mama tupo nae kitaani huku kwendeni zenu Wala hata anamtoto ata miaka 2 hajafikisha huyo wa 17 miaka ni uongo afu huyu dada fara sana kujizalilisha hivi vipi
Ww omba huyo mtoto apone acha mengine
Kitundu mstari wa tatu
Namna fanana namtoto wako ww kaka
Huyu anatakiwa aache maswali ya Nini mchungaji wengine
Hee MUNGU amtamponesha maana tatizo hilo mackini hamisi
Hayo ni maigizo tu wewe mtangazaji mnaonesha uchafu unafanywa hii ni laana kubwa kiama kimefika pia huu ni mchezo wa kuigiza kajuaje kama huyo mwanamke kasafiri babu pia anaekti ujinga mtupu.
Hule apigue na fimbo ya moto izo Satan's zi toke anataji maombi
Kiki bado inandelea
Mtangazaji na wewe usizidishe stor tupeni hayo maombi yenu
Unajuwa maana ya kafiri
Mimi namuona baba mtu haendani kuwa mtoto wake inaonekana kama kaka yake.
Ana autism huyuu kijana
Nyinyi Makafiri kwa Nini mnatumia majina ya kiislam?
Kafiri ni wewe jiheshimu!
Jina gani lakiislam tena wewe kafir wa marehem mud😊
😂😂😂😂😂😂 wenye akili tu ndio tumekuelewa
Fake story