MUNGU ANAWEZA KULETA MTUME MNYAKYUSA ETI MWAMPOSA NAE MTUME, TUNA RESPONSIBLE SISI. USTADH MAZINGE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @zubedaabass6766
    @zubedaabass6766 2 роки тому +8

    Mwenyezi mungu akulinde na maadui ndani ya uislamu na nje ya uislam Ameen

  • @khadijaramadhani3340
    @khadijaramadhani3340 10 місяців тому +2

    Mashaallah shekhe mazinge allah akulinde na shari za wanadamu

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 роки тому +6

    Sheikh Mazinge umeslimisha wengi hadi wanajitokeza wenyewe. Mashaallah

  • @RinoMajembe
    @RinoMajembe 5 місяців тому +2

    Shekhe wangu mungu akuzidishie maisha uishi kama manabii ata miaka 5000

  • @josephkassian2247
    @josephkassian2247 3 роки тому +6

    Upuuuzi mtupu ........ muamini msiamini YESU ni MUNGU 🔥🔥🔥

    • @wardahmoubaarak9489
      @wardahmoubaarak9489 3 роки тому

      Pole

    • @muhammadmuhaznun380
      @muhammadmuhaznun380 2 роки тому

      Kabla hajazaliwa Mungu alikua Nani? Tumia akili wew dunia inaisha hii Yesu sio Mungu ....Yesu ni mtume wa Mungu....wee uliskia wapi Mungu katahiriwa...huyo alomtahiri Mungu alikua haogopi ....Mungu anasehemu za Siri kama wew...sasa kunatafauti gani wew na yy Mungu wako...anakula anaenda chooni....fikirieni nyinyi musipoyezwe na wachungaji wenu ....hata huyo Yesu asema kutakuja manabii wauongo....ushawai sikia muisilamu akidai unabii...nyie mnapotezwa....

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому

      Na yesu alikaa tumboni pia kabla ya kuzaliwa wakristo wote duniani walikua wanaomba namna hii Mungu wetu uliye tumboni.aisee huu kweli ni mtihani

    • @rossmaryphases8509
      @rossmaryphases8509 2 роки тому

      Yesu ni nimng syo mtume wng wanavyodhania amin usiamin hata Marian mwnyw anakir km yesu ni bwana achana nao

    • @SaidIsmail-f1j
      @SaidIsmail-f1j 4 місяці тому

      Duniani wajinga ni weng kuliko wajanja

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 6 місяців тому

    Shekh mazinga Asante kwa kutuelimisha na ku2burudisha.Allah akulinde

  • @olgaaaron3003
    @olgaaaron3003 3 роки тому +4

    Nashukuru Sana kumbe na wew unamfuatilia uhuhuhuuuu!

  • @MariamSalim-l1m
    @MariamSalim-l1m 7 місяців тому

    Allah akulinde na azidi kukupa nguvu sheikh mazinge akika unafanya kazi kubwa

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 3 роки тому +5

    Kwann usifundishe neno la Mungu unaanza kuponda watumishish waMungu vivaaa baba Mwamposa Vivaaaaaaaaaa we love you Mwamposa Mungu akupe maisha marefu

    • @carenlaizer8624
      @carenlaizer8624 3 роки тому +2

      Apa kweli!!!! Tatizo ndugu zetu wanatuona sisi wakosefu sana

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 3 роки тому +1

      @@carenlaizer8624 mwamposa nimganga nasi nabiii anawaongopea watu tu.

    • @mohamedbakar2267
      @mohamedbakar2267 3 роки тому

      Kala ugal wa wawap huyu

    • @ahmadpaschal7205
      @ahmadpaschal7205 3 роки тому

      Mtumishi wa Mungu yupi mwamposa na yule mlevi huna akil

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes 3 роки тому

      Kwahio ni mtume mwamposa 😂😂😂

  • @joanaomarali2968
    @joanaomarali2968 2 роки тому

    Na mimi namuunga mkono huyo mtu wa marekan, huyo ambaye akasema, ya kwamba, kwa kueli sheik Mazinge anafanha kazi nchini tanzania, na mimi nasemaje, sio nchini tanzania tu, ni ulimwengu mzima tunaiona kazi ya ustadhi Mazinge, yupo sahii uyo mtu wa marekan,tukiingiya motoni au kufa kafir tumependa sisi wenyewe. Masha Allah Sheik Mazinge, Mwenyezi mungu akuzidishiye.

  • @rochiusromward8495
    @rochiusromward8495 2 роки тому +18

    Waweza kumponda mtu kumbe unazidi kumuinua kwa njia hiyo
    Bwana Yesu asifiwe sana🙏

  • @AminamustafaMustafaathuman
    @AminamustafaMustafaathuman 10 місяців тому

    Mashaallah shekhe wetu mungu akupe umri mrefu

  • @aziziamimu6011
    @aziziamimu6011 3 роки тому +26

    Allah atusamehe. Hakika yeye ndio hakimu. Sina haki ya kumjaji huyu sheikh. Ila busara ni jambo la kheri sana na sio kila mmoja wetu atapewa kwa kiasi cha kuridhisha wengi.

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 роки тому

      Busara gani fafanua

    • @yakubumikega9654
      @yakubumikega9654 2 роки тому

      Duu noma

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 роки тому

      Hakuna mtume mnyakyusa wewe funguka akili..!

    • @jakayakigoda58
      @jakayakigoda58 2 роки тому

      Kwa maana ya hoja yako unaona sheikh kakosea hana hekima eti?
      Hizi kauli za maswara sheikh, Allah akusamehe

    • @aziziamimu6011
      @aziziamimu6011 2 роки тому +1

      @@jakayakigoda58 Elimu ilikua ni moja tuu kwamba Mtume Mohamed S. A. W ni mtume wa mwisho na hakika waislamu tunaamini. Ila sio kudhihaki. Tatizo linakuja kwenye kauli. Wapo viongozi wenye elimu ya dini na wakakosa hekima.
      Wakaishia kupandikiza chuki pasina kutoa elimu ama kukumbusha vizuri. Mwenye akili asiyekuwa muislamu akitazama hii video atapokeaje uislam? Allah atusamehe sote.

  • @AbuuIddy-z8k
    @AbuuIddy-z8k 10 місяців тому

    Mungu azidi kukulinda amina

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 роки тому +66

    Jina la Yesu ni jina lipitalo majina yote,Bwana Yesu asifiwe sana

    • @adammj6258
      @adammj6258 3 роки тому +3

      Na Mwamposa, sio!?

    • @trillhappybeautypoint9874
      @trillhappybeautypoint9874 3 роки тому

      @@adammj6258 mwamposa kafanyaje

    • @trillhappybeautypoint9874
      @trillhappybeautypoint9874 3 роки тому

      @@adammj6258 Mmeroga mkashindwa eee

    • @adammj6258
      @adammj6258 3 роки тому +2

      @@trillhappybeautypoint9874 mbona kuroga unakutaja sana ndugu vipi!!!!!

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +2

      @@adammj6258 *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @juliusakilimali3038
    @juliusakilimali3038 3 роки тому +7

    Hata Yesu alidharauliwa!! Hata Mtume Muhammad alidharauliwa!! Kazi zao zinawashuhudia!!! Mungu ndo mwenye majibu yote!!

    • @pongwebeachhotel2806
      @pongwebeachhotel2806 2 роки тому

      Uislamu unakubali na kukiri kuwa ISSA ( a.s) yesu ni nabii wa mungu km alivo Muhammad,ila yesu sio mungu km wanavoamini wengineo.na Tanzania huezi kusema raisi ni magufuli au ukiwa upinzani ukasema raise wako ni lissu ondosha upenzi ukweli raise was awamu hii ni mama samia.ni hivohivo mtumwe was umati huu ni mtume Muhammad (s.a.w)na ni mtume wa mwisho imma huu ndipo kitasimama kiama .

  • @upendorealestateagentintan190
    @upendorealestateagentintan190 3 роки тому +4

    Hata yesu nae alizihakiwa.

  • @gnetmedia5740
    @gnetmedia5740 2 роки тому +1

    Wewe ndugu Yesu anakupa muda uokoke, hayo unayoyasema uyahifadhi, Mungu yeye haui mtu anataka tu utubu

  • @astridachiwalala9664
    @astridachiwalala9664 3 роки тому +7

    YESU NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA . HATA IWEJE YESU NI MUNGU. ASANTE YESU KWA MATENDO YAKO MAKUU.

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 2 роки тому +1

    Amen asiwavunje moyo huyo imani yake iko kwenye kujiinua na kujisifu Kazi ya Mungu siyo ya kujisifu huyo hana roho ya Mungu anapigania imani lakini imani ya Mwamposa ni kubwa ndiyo maana watu tunamfuta wenyewe Kama anaweza atangaze mkutano tuone watu watamfuata nani Mwamposa Mungu ambariki

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 роки тому +8

    Mimi naomba waislamu tusisitize matumizi ya neno inshaAllah, mfano mungu akujaalie inshaAllah, Aamin inshaAllah, inakuwa kanakwamba hujiamini na tunaambiwa usipoamini kunakuwa na TASHWISH utata, Mungu atuzidishie UFAHAMU Aamin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽💪🏽

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 3 роки тому +2

      Ally futo nikusaidie neno inshallah maana yake mungu akipenda

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому

      Ameen

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому +2

      Hii inakuwa pale mtu anapoomba dua yaan mfn anasema Ya Rabbi naomba unijaaalie hiki na hiki Insha'Allah hapo ndo inakuwa kidg kuna walakini ila yaan hutakiwi kumuomba mungu yaan dua af unasema Insha'Allah

    • @omariayubu1149
      @omariayubu1149 3 роки тому +2

      @Rachel evarist 'Akitaka' siyo akipenda.

    • @ruu6592
      @ruu6592 3 роки тому

      Inshallah ameen nilazma Kama unajipeleka bila mungu usiseme Ivo😂

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 роки тому +1

    Sheikh wangu mazinge Allah akulinde na mahsidi n hasad z wat

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 3 роки тому +6

    Tunamtaka huyo huyo mnyakyusa kwa sababu anafundisha neno la Mungu, pole yako mpiga taarabu

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 роки тому

    Hakika mung amekujaalia ujasiri wa aina yake mung akulinde shekh wetu na maadui wabaya inshaallah

  • @fakhimwinyi4521
    @fakhimwinyi4521 3 роки тому +3

    Mungu akupe maisha marefu mashaallah hakika ni ukumbusho.

    • @alexpanga5334
      @alexpanga5334 3 роки тому

      Wewe mavi tu na dini yako ya kichawi oohh wakristu achana na wakristu fata imani yako yenu yamewashinda unawaza ukristo

    • @alexpanga5334
      @alexpanga5334 3 роки тому

      Matako wewe huna lolote imani ya kweli ukristo sio hayo mapepo yenu

  • @NurdinHamisi
    @NurdinHamisi Рік тому

    Allah Akulinde NaMabalaa

  • @andembwisyemwakalinga9351
    @andembwisyemwakalinga9351 3 роки тому +11

    Mimi niendako sikujui lakini namtegemea nabii Issa bin Maarium,, Mwamposa anamhubiri kristo

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 10 місяців тому

    Allah Akujaalie kheri professor tusichoke kualingania makafiri

  • @prosperulungi2998
    @prosperulungi2998 3 роки тому +4

    Mungu hawezi kumteua mtume mnyakwisa kweli watu weusi tunajizalau Sana

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +2

      Mmungu atakupa utajiri hakuzalau ila kwa ma na bee kwa sasa uongo mana bee ni wale walio teuliwa na mmungu husan waje duniani na vitabu vyao mbona wa sasa hawana vitabu

  • @FakiSalum-u2h
    @FakiSalum-u2h 6 місяців тому

    Ndio mwamposa ni mpumbav Kam wapumbavu wengine tu makafiri nyote motoni shekh mazinge mungu akulinde na husda za makafiri

  • @asmaally5568
    @asmaally5568 3 роки тому +3

    Wallah nakupenda sheikh Mazinge kwa ajil ya Allah

    • @pendalwatuu4473
      @pendalwatuu4473 3 роки тому

      Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatu, kwa jina Asia August shirima,ALLAH amuandalie mwisho mwema shekh Mazinge,inshaallah:

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @superkiller754
    @superkiller754 Рік тому

    Mashallah Allah akujaze imani

  • @emmanuelmanga3478
    @emmanuelmanga3478 3 роки тому +16

    Yesu ndio Njia kweli na uzima

    • @mwahamedychilungu8981
      @mwahamedychilungu8981 3 роки тому

      Kafili wewe kwenda uko

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +1

      Yesu muislam pia hajaingia kanisani ulizia ma nabee wote waislam

    • @emmanuelmanga3478
      @emmanuelmanga3478 3 роки тому +1

      kafili ni yule hamuamini yesu, maana ukimuamini yesu na Mungu umemuamini, poleni sana

    • @emmanuelmanga3478
      @emmanuelmanga3478 3 роки тому +1

      Siku zina kuja atakama mtakuwa mmesha kufa mtaamini kuwa Yesu ndio NJIA KWELI NA UZIMA NA MTU HATA ENDA MBINGUNI ASIPO MWAMINI YESU YAKUWA NI BWANA NA YAKUWA ALIFUFUKA KTK WAFU

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 2 роки тому +1

      @@eastafrica6858 Yesu na uisilam kipi kilianza? Yesu aliingia kwenye sinagogi za wayahudi siyo waisilam usiongee vitu usivyo vijua

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +1

    May Allah bless you always Ameen!!!(chapa kazi mazinge mkono kwa mkono hadi peponi)

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому +16

    Mashaallah shekh mazinge allah akujaalie maisha mema dunian na akhera

    • @حكايةغد
      @حكايةغد 3 роки тому

      follow my Twitter
      twitter.com/LCIVgcdEu513k4s?s=08

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 роки тому

      @@msemakweli8064 ewe mpakwa mafuta lete aya usilopoke tuu njoo ktk dini ya haki isiyokua na shaka ndan yake

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 3 роки тому

      @@msemakweli8064 naona kila coment unaongea ujinga hutoi ata aya umeshika alioa kibint nawe zaa cha kwako afu kioe

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      @@zalhathasaid2060 Uislamu, Buddha, Hindu n.k hizi zote ni dini potofu na zimeanzishwa na malaika walioasi. Ni mbwa mwitu aliye vaa ngozi ya kondoo

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 3 роки тому +2

    Mwenyezi mungu hashindwi na jambo kama kaweza kumumba munyakyusa anashindwaje kumfanya awe mtume Kwan we mzinge we ndo nani mpaka mwamposa akufate anataka nini kwako we mwenye shida mfate mtume mwamposa kama huna mapepo

    • @rasempb
      @rasempb 3 роки тому +1

      Mitume c wametajwa kwenye maandiko, uyo mwamposa katajwa wapi ndugu?

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      @@rasempb *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 роки тому +34

    WALLAH ALLAH ANA MAANA YAKE KUMUWEKA HUYU MTU HADI SASA TUKO NAE: KIUKWELI TUNAMDHANIA PEPO KWA ALLAH SUBHANAHU WATAALA.

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +1

      Allah ampe afya shehk

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 3 роки тому +1

      Allahumma Aammeen

    • @fatmahassan6497
      @fatmahassan6497 3 роки тому +1

      Ameen

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      @@msemakweli8064 fanya adabu kama hujui kitu kaa kimya munapotoshwa na hai mapadri wenu usisokijua huwez kukitolea maelezo tafuta vitabu usome Muhammad ninani

  • @sweetmeena5970
    @sweetmeena5970 3 роки тому +1

    Sheikh Mazinge mwenyezi mungu amzidishie umri

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +6

    Shehe m/mungu akupeumri mrefu naakupe mwisho mwema

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      Amiin

    • @mchezakamaliog265
      @mchezakamaliog265 3 роки тому

      Una maana kwamba wewe hutaki kuongezewa umri wa kuishi?

    • @jumakalukule5312
      @jumakalukule5312 3 роки тому

      @@mchezakamaliog265 mimi huwa najiombea ivo ndomana nayeye nimemuombea ivo

    • @mchezakamaliog265
      @mchezakamaliog265 3 роки тому

      @@jumakalukule5312 kwann usingejianza wewe katika coment yako na kisha kufuatia ya mazinge kila mtu akaona

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @benardboaz6347
    @benardboaz6347 2 роки тому +1

    Mazinge simamia Imani Yako kama Mwamposa siyo mtume sikazi Yako kuhukumu mwachie Mungu atahukumu mwenyewe siku ya mwisho.

  • @eveassey5162
    @eveassey5162 3 роки тому +3

    Braza angalia dini yako na maisha

  • @Mohammad_shidogo
    @Mohammad_shidogo 2 роки тому

    Masha Allah ume wadunga ndipo.....ume wachoma hadi wana teketea moto wa kweli......hawa jamaa wa mitume wame pokea dosi lao lawakereketa tu.......

  • @abdulijumaa496
    @abdulijumaa496 3 роки тому +5

    Mungu akulinde San

    • @حكايةغد
      @حكايةغد 3 роки тому

      follow my Twitter
      twitter.com/LCIVgcdEu513k4s?s=08

  • @saimonijackisoni2412
    @saimonijackisoni2412 3 роки тому +2

    Mzee wangu muongpe mungu Mana Unyajui ya kesho

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 3 роки тому +7

    Ww tayari umeshalaaaniwa, yaan sura tu inaonesha una matatizo.
    Yesu akurehemu sana

    • @nasriprogrammingsite7026
      @nasriprogrammingsite7026 3 роки тому

      Endelea na matusi maana huna hoja

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 3 роки тому +1

      @@nasriprogrammingsite7026 hoja nikusema imani ya mwenzio kwani wanao enda kawe hawana akili?? yeye ndio anaakili kuliko watu wote wanaokwenda kwa mwamposa?? hamjiulizi wale wakienda wananufaika nini mpaka hawaji kwa huyu takataka

    • @ameerderockstar4408
      @ameerderockstar4408 3 роки тому

      Iyo so Akili yako Kijana mungu Akusamehe bure ujui ulitendalo

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 3 роки тому +1

      @@ameerderockstar4408 najua sana nilitendalo huyo ni mpuuzi tu hana analo jua maskini huyo

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 3 роки тому

      makafiri kama nyinyi tuwajibu nini laana mnazo makafiri mnaomwabudu yesu aliekaa tumboni kwamwanamke

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 8 місяців тому

    Mazinge....nabarikiwa kwa hotuba zako

  • @charmyochu7174
    @charmyochu7174 3 роки тому +3

    We so mungu usimuhukumu mwanadamu mwenzio kwendaaaaa

    • @abdalahsuleiman8989
      @abdalahsuleiman8989 3 роки тому

      Ha ha ha ha ha makafir jaman yaani kweli mwamposa eti mtume

    • @charmyochu7174
      @charmyochu7174 3 роки тому

      Makafil unawajua ww kwendaaaaa

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      @@abdalahsuleiman8989 *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @vintz338
    @vintz338 3 роки тому +1

    Cdhan Kam ni busara watu mnaomtumikia mungu huyhuyu mmoja kurushiana maneno ,mungu anampa yeyote anaestahili bila kujali

  • @ayanaamri3584
    @ayanaamri3584 3 роки тому +5

    Allah akuhifadh sheikh wetu inshaallah

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @rochiusromward8495
    @rochiusromward8495 2 роки тому

    Mungu akupe Hekima sana kwa kazi yako juu ya watumishi wa Mungu
    Yeye mwenyewe ndo kawaita na anawajua watumishi wake zaidi ya uwajuwavyo wewe😞

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +20

    Allah amhifadhi kipenzi chetu huyu

  • @zainabpadoni7635
    @zainabpadoni7635 3 роки тому

    Shekh omba kwa mungu hakumpe hekima bila hekima ya mungu uwezi kuwa shekh acha kuponda watumishi wa mungu

  • @timothymalonja7712
    @timothymalonja7712 3 роки тому +4

    Huyu anatupeleka kwa vita ya udin. Hafai hata kidogo! Kwa nyumbani ya mwenyezi mungu

    • @muhammadmuhaznun380
      @muhammadmuhaznun380 2 роки тому

      Dini ni moja yausilamu kubalini yaishe

    • @balozimedia4891
      @balozimedia4891 2 роки тому

      @@muhammadmuhaznun380 Kwani lazima? Mambo ya Imani ni mambo binafsi ndugu. Viongozi wa dini wa siku hizi wamejikita tu kwenye kutafuta umaarufu kwa kutaja taja kwa kashfa majina ya viongozi wa iman nyingine! Wanajitahidi kuuondoa uadui uliopo baina ya Shetani na Imani zetu na kuufanya uwe uadui wa imani kwa imani. Kanisani au Misikitini lihubiriwe neno la Mungu na tupewe misingi ya kuishi ili kuifikia pepo ya muumba, Wote tunajua adui wa Imani zetu ni Shetani, hivyo tupewe miongozo ya kumshinda kulingana na imani zetu.

  • @helmentmakoi9778
    @helmentmakoi9778 2 роки тому

    Yan kazi kubwa sana unayo unapokea pumzi muda wako kumponda mtume ambea hana hata muda huo kama ww ni shehe tumia muda kuponya roho zawatu na sio mipasho

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 роки тому +4

    Mungu adhiakiwii siku zote kila mtu asimame kwa nafasi yake hakuna mtu aliyebora kuliko mwingine awe mtume,nabii hata rasuli wote wanafanya kazi ya kutangaza neno la mungu kwa imani yake hivyo sio busara wala hekima kumsema mtu kwa ubaya sidhani km Uislamu wa kweli au ukristo wa kweli unaagiza kuwasema vibaya viongozi wa dini tuwe makini viongozi tusiwe chachu kupoteza watu na kuwaza watu maneno yasiyofaa ili kupandikiza chuki tumtumikie mungu aliye juu kila mmoja kwa imani yake yeye pekee ndio anajua kweli ikiyomo moyoni mwa mtu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 роки тому

      Lazima muambiwe ukweli kwamba allah ndio anae pasa kuabudiwe hao wengine hawapaswi

  • @KhalidAdam-e4q
    @KhalidAdam-e4q 11 місяців тому

    Mashalaa pambana baba

  • @muhsinmwambule9435
    @muhsinmwambule9435 3 роки тому +17

    Sasa kabila limekujaje Sheikh? Nakuelewa ila kutaja makabila ya baadhi ya watu sababu ya mtu sidhani kama ni sawa.

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 3 роки тому

    MAZINGE MSENGE TENA SHOGA zungumzia ya dini yako dini zingine hazikuhusu , Mbona mwenzenu NURDIN KISHKI hayupo namkubali sana Nurdini , siyo hili shetwani MAZINGE

  • @taarifaafricatv
    @taarifaafricatv 3 роки тому +8

    ndio maan naonaga dini ya kiislam sio nzuri maan hapo baada ya kuhubr dini yako unaponda watu na makabila yao huo si utu ni ubaguzi

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +2

      Kwa hiyo kuongea ukweli ndio kaponda mbona bungeni watu huongea uislam inaongea ukweli hata isa alipo kuja aliongea ukweli kua mmungu yupo walio bisha basi hakuna mana bee tena zaidi ya walio pita na wote hao ni wa mmungu aliwateremsha

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому

      @@eastafrica6858 *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 3 роки тому +1

    Mungu akusamehe maana haujui ulitendalo

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 3 роки тому +4

    Yesu oyeeee. Yesu juu juu juu sana
    Mungu ndio kiboko ya wote. Wewe ni mtu wakawaida sana mbele za Mungu hakukuita kuwachafua watu.
    Mungu ndio amewaita watu nakuwapa nafasi mbali mbali uliwachafue watumishi wa Mungu.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому +1

      Yesu mungu wako lakini usisahau yesu alipomuaga mamaake akimwambia mimi naondoka niagiye kwa ndugu zangu nakwenda kwa babaangu ambaye nanyi ni baba yenu kwa mungu wangu ambaye na nyinyi ni mungu wenu sasa kama wewe unamuabudu yesu na yeye ana mungu wake ambaye ni mungu wetu sisi waislamu pole sana

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      Sasa sisi tunaamini bibilia iliposema watakuja manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposa mchana nabii usiku mzinifu mchawi hahahaaaa aliponya watu si kwa mafuta

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому +1

      Sasa sisi tunaamini bibilia iliposema watakuja manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposa mchana nabii usiku mzinifu mchawi hahahaaaa aliponya watu si kwa mafuta

    • @nancymorenje3880
      @nancymorenje3880 3 роки тому

      @@subiramohd1895 Mungu ni wa wote subira. Hilo ondoa shaka. Mungu wako ndiye Mungu wangu hakuna tatizo hapo

    • @nancymorenje3880
      @nancymorenje3880 3 роки тому

      @@subiramohd1895 Mimi siwagusi manabii wa Bwana wala siwaongelei. Tukianza kuwaongelea tutamtenda Mungu dhambi. Mimi namjua ni mtumishi wa Mungu hayo mengine ni yako wewe. Kama mnawanga nae usiku hayo ni yako wewe, huwezi kumjua mchawi kama wewe sio mchawi. Na huwezi kumjua mzinifu kama wewe sio mzinifu. Kuhusu mafuta bibilia imesema kama hujui endelea kusoma tatizo nyie hamuisomi mnaitazama shida inaanzia hapo. Lingine mwanadamu ni mwanadamu na Mungu ni Mungu, ukitafuta madhaifu kwa mwanadamu utakesha ukiyahesabu, tukianzia na Mtume Mohamad alikuwa na madhaifu kibao, wewe hata mimi si mkamilifu, siwezi kuyataja maana hayanihusu. Mwanadamu hajakamilika ila Mungu ndiye Mkamilifu. Sasa ukifika nyumba ya ibada wewe sikiliza mafundisho yawe ya kikrito au kiisilamu uondoke ukayafanyie kazi. Ila ukikaa kuhesabu anayekufundisha kafanyanini usiku, kawanga wapi jana utachelewa. Na kabla hujaanza kumpekua kafanyanini, jipekuwe wewe kwanza unaona jinsi ulivyodhaifu kwa dhambi hakuna mwenye haki kaka

  • @tryphonraphael1646
    @tryphonraphael1646 3 роки тому +1

    Jaman naomba kuuliza sijui labda kiswahili ndio kinawazingua..kujiita mtume siakatumwa na mungu kufanya kazi yake nimtu ambae anamilikiwa na mungu kwa ajili ya kufanya yake yaan mtumwa wa mungu..jaman sio kitu Cha kulumbana.... waisilaam bwana

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 2 роки тому +6

    Dini iliyosafi ni kutenda mema na kuwajali maskini, wajane, yatima.
    Dini bila matendo mema ni upuuzi mtupu. Achana na kuhukumu maana nawe utahukumiwa.

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 3 роки тому +2

    Wakristo huwa hawashindani Mungu huwa anawashindia..

  • @rizikibahati7400
    @rizikibahati7400 2 роки тому +4

    Mwamposa ni mtumishi wa Mungu, Kama ilivyo kwa mashehe waoongoza kusoma lbada na dua misikitini, kwanza Hana chuki na waislamu, Yule Apostle anasaidia watu wote hata wasiokuwa na dini anawasaidia Hana ubaguzi na dini.

    • @pongwebeachhotel2806
      @pongwebeachhotel2806 2 роки тому

      Hats mashehe husaidia waumini wa dini zote ila muhimu ni kuamini ila muislamu kwenda kuombewa na mushrik ni ukafiri na ni dhambi kubwa na hatosamehe mungu Hadi mja utubie kikweli na ujutie dhambi hiyo.mungu awaongowe njia wotewashirikina walopotea na kwenda kwa mwamposa.

    • @alimasiallyalimasially5202
      @alimasiallyalimasially5202 2 роки тому

      Huyo ni mganga wakienyeji tu huwezi fananisha na mshehe ww

    • @alimasiallyalimasially5202
      @alimasiallyalimasially5202 2 роки тому

      huyo ni mganga wakienyeji tu huwezi fananisha na mshehe ww

  • @thomasfoya7480
    @thomasfoya7480 3 роки тому +1

    Mungu tunakuomba tupe mioyo ya hekima

  • @davidsolomon5240
    @davidsolomon5240 3 роки тому +19

    Unayosema ni kweli kabisa, mungu wako allah hawezi kumleta mtume mnyakyusa,lakini Mungu wetu Sisi Yahweh ( Lord Jesus)ana uwezo wa kumleta mtume wa kabila yoyote!! Takbir!!

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      ALLAH - Maana Yake Ni Mungu Mwezi according to Wikipedia, Neno Hili litumika Zamani Na Pre-Islamic

    • @rasempb
      @rasempb 3 роки тому +1

      Toa uthibitisho Yesu anasema yeye ni mungu na ukiristo ni Dini alioileta yeye mwenywe

    • @rasempb
      @rasempb 3 роки тому

      @@msemakweli8064 chuki zako za kijinga hazitokufikisha mbali ndugu kua mstaarabu, acha kuwadanganya watu mchana kweupe kama mnavofanyiana makanisani huko, Oxford marekani washasema hakuna Lugha iliokamilika kwa ufasaha kama kiarabu wewe unataka kupotosha watu unaakili timamu kweli

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +2

      @@rasempb Uislamu, Buddha, Hindu n.k hizi zote ni dini potofu na zimeanzishwa na malaika walioasi. Ni mbwa mwitu aliye vaa ngozi ya kondoo

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +7

      @@rasempb Jina La Yesu , Likisikika na majini yanatoka na kukimbia, wenye kansa wanapona, magonjwa yote yanakimbia kw jina lake.

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 роки тому +2

    MA SHA ALLAH
    SHEIKH MAZINGE MWENYEZI MUNGU AKUHIFADI ALLAHUMMA AMIIN.

  • @wesleymuro1101
    @wesleymuro1101 3 роки тому +16

    Neno la Mungu ni upanga ulao ushamla huyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @isaacnewtonmmary3377
    @isaacnewtonmmary3377 8 місяців тому

    Alafu jengine Mtume huyu si wa Mungu maana Mungu anawezaje kumtuma mtu aje kueneza Dini kwa upanga eti watu wasio amini uisilamu wauwawe kwa upanga asa Mungu gani ambaye anawalazimisha watu wamfuate kwa kuwalazimisha kwa upanga kama yeye ni Mungu awageuze waja wake wamrudie Mwenyezi Mungu

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 2 роки тому +3

    Hawa wasilamu wanateseka Sana kwa jina la yesu

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 7 місяців тому

    Yaani kweli watu wamepagawa
    Mtume answeza kuchaguliwa na Mungu muda wote.
    Nguvu za mwili nitofauti na nguvu za roho.

  • @samwelpaul4279
    @samwelpaul4279 3 роки тому +7

    YESU anaweza yoteeee......

    • @hadijanassor7003
      @hadijanassor7003 3 роки тому +1

      KWANZA YESU NDIO NANI.? NA YESU ANAWEZA YOTE NINI.? HEBU NAOMBA INIJIBU....

    • @nicksonmbelwa1164
      @nicksonmbelwa1164 3 роки тому +1

      Amen..🤝

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому +1

      Yesu hawezi ndo mana aliuliwa mchana kweupeeee alishindwa kujiokoa akauliwa na watu alowaumba mwenyewe hahahahahaaaaaaa hatari

    • @carenlaizer8624
      @carenlaizer8624 3 роки тому

      Sisi dini yetu sio ya kumwaga damu kama yenu eti uwa kafiri kwaajili ya allha sijui utumbo gani wa muhamdai sijui nini ndio maana akutaka kuonyesha uwezo wake pale ili sisi tuwe huru katukomboa kwa damu yake !!! Dini yenu imejaa damu za watu wasio naatia

    • @carenlaizer8624
      @carenlaizer8624 3 роки тому

      Mungu kasema mume moja mke moja ila nyie wake wanne na talaka kwenu ni halali baado mhnajiona mhkosawa tuacheni na yesu wetu alie tukomboa sisi na nyie pia mhnao mtukana

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 2 роки тому

    Yesu pia alitukanwa sembuse Mwamposya,ukikutana nae kwanza atakutoa pepo mchana kweupe

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому +21

    Ahubiri ya waislam waende mbinguni, awache kujadili mambo ya wengine

    • @chandukochanduko9416
      @chandukochanduko9416 3 роки тому

      Kazngumzia waislam ndio maan kasema kunawadada wanaenda kuritadi kwahuyo mtumr

    • @israfilnassib4393
      @israfilnassib4393 3 роки тому

      Kwahiyo naww una aminn mwamposa ninabii innalilah wa innalilah rajiun

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 3 роки тому +1

      @@israfilnassib4393 Sheria za nchi zipo kuongoza tabia yako na yangu, dini yoyote ile inasisitiza kuheshimu watu km unavyojiheshimu Mwenyewe, kupenda wengine km unavyojipenda.Sitakiwi kujua km Mwamposa ni nabii au mtume nijuacho ana wafuasi wake anayafanya yampasayo kwa nini dini nyingine badala ya kujadili yawapasayo kwenye dini yake amjadili dini nyingine.Ni ukorofi.

    • @wilemakunga1016
      @wilemakunga1016 3 роки тому

      Mungu kasema tujadili kwa wapotofu waelewe kam utakaa kmy utaulizwa na mungu kwa kwann ulifungia macho lle Jambo

    • @abelimathiasi7509
      @abelimathiasi7509 3 роки тому

      @@wilemakunga1016 hUyo mwenyezi MUNGU amewapa kazi nyie ya kujadili na WAPOTOVU yeye kazi yake nini ssa

  • @ahmedotuman109
    @ahmedotuman109 3 роки тому

    Shekhe Allah akujalie pepo

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 3 роки тому +11

    Allah anasema huchagua katika mitume wake amtakaye. Mazinge elimu yako ndogo sana kwa sababu kuficha ukweli. Acha ujinga na acha kupotosha. Mwamposa ni mtume kwa lugha yao ya kiimani. Mbona tuna watu wanaitwa rasuli maana yake mtume katika islam.

    • @jonasyohana3258
      @jonasyohana3258 3 роки тому

      Samak wambie hao...maana wakipewa ukwel wanaanza vita....mbna ndgu yao nabii ilyasa hawamsemi

    • @ommyisilaam2148
      @ommyisilaam2148 3 роки тому

      Ww samak samak unaelem gan au na ww mtume

    • @samakisamaki3226
      @samakisamaki3226 3 роки тому +3

      @@ommyisilaam2148 elimu yangu ni ya kawaida tu y kujua haki n batili. Allah kasema humchagua amatakaye na humneemesha amtakaye, mazinge wenu anasema mtume hawezi kuwa mnyakyusa, huu ni upofu na utokanao na upungufu wa elimu. Tambua kuwa allah humpa amtakaye bila hesabu.

    • @ommyisilaam2148
      @ommyisilaam2148 3 роки тому

      @@samakisamaki3226 ndio tunajua kuwa mungu anamchagua hamtakake lakin jua kwa imani yetu mtume wa mwisho n mtume Muhammad s.a.w
      Kwaiyo hata bibili unasema itafika zama watakuja manabii waoungo na wakristo wa uongo

    • @samakisamaki3226
      @samakisamaki3226 3 роки тому +3

      Kwa imani yenu lakini mtume muhammad saw na imani ya islam muhammad saw sio wa mwisho ila quraan ndio kitabu cha mwisho. Yeye hakusema wala islam mahala popote haisemi wala kuthibitisha kuwa hakuna utume baada ya muhammad. Islam inafundisha kuwa utume upo baada ya muhammad ila ndani ya islam yenyewe. Nani anaweza kuwa mtume ni siri ya allah na wakati gani yeye allah ndiye anayejua wakati sahihi wa kumtuma mtume. Hii nadharia ya umwisho kwa mitume ilianza zamani sana hata kabla ya ukristo. Hata yesu masihi mwana wa mariam kaitwa wa mwanzo na wa mwisho kwa maana ya alfa na omega. Mwamposa kwa watu wa imani yake amepata cheo cha utume. Sio sawa mazinge kugeuza hoja kwenye mimbari msikitini. Tena kwa kulenga kabila!!! Islam haiko hivyo

  • @gospelslaiton5975
    @gospelslaiton5975 3 роки тому +1

    Mazinge okoka Yesu anakuoenda wala wewe sio wa kwanza kuwa mpinzani. Na unajua kabisa kuwa unawadanganya we zako. May God help and have mercy on u!!

    • @fatmahassan6497
      @fatmahassan6497 3 роки тому

      Wewe ndie uliepotea

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +1

      Alusha toka huko alijua mana bee wote ni waislam na mmungu ni mmoja tu hakubwa wala kuzaliwa yy ndie alie umba na kuwamba mitume wote waje duniani sio kila siku watokea ma na bee hakuna kama hicho mitume ni wa zamani hasa mmungu aliwatremsha na vitabu na alizungumza nao kutoka kwa qiebril sio hawa kutaka mihela

    • @muhammadmuhaznun380
      @muhammadmuhaznun380 2 роки тому

      Wee unawazimu Mazinge aokoke....alokwambia twadanganya Nani...mwadanganywa nyinyi na manabii wenu wauongo...

  • @neemamsigwa871
    @neemamsigwa871 3 роки тому +5

    Wakutoa hukumu sio we ni mungu mwenyewe

    • @ommyisilaam2148
      @ommyisilaam2148 3 роки тому

      Kwan nyie mnaoja gan lamda ukirsto kila mtu akianzisha kanisa anajiita mtume

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 2 роки тому

    Professor big up

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 3 роки тому +13

    Kumbe unamfuatilia kaka mwamposa

  • @fikirmachela3699
    @fikirmachela3699 2 роки тому

    Allah akuweke inshallah

  • @shadrackmgeni89
    @shadrackmgeni89 3 роки тому +4

    Usikashifu iman za watu kaa na iman yako

  • @fridakarugila8509
    @fridakarugila8509 3 роки тому

    Huwez kitu na hayo ni maneno iyo misukule imefugwa ndani trna ya kiislam lkn imepona lwa Mwamposa utamweleza nn huyu aliepona sema mna uchungu waislam wengi wanaenda lwa Mwamposa yaani Mazinge utasubiri sn wenzio tunapona sikuiz hbr ya mjini KAWEEEEE kwa Mwamposa 😂😂😂 Mwamposa for life ❤️

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 3 роки тому

      Njoo tujadiliane kuhusu uislamu na ukiristo

  • @majaliwamaheru5368
    @majaliwamaheru5368 3 роки тому +4

    Wallah tena uislam wa maznge ndo uislam saih wa mitume na manabii na maswahaba Wallah wengi tulio bak tuna ongozwa na siasa na woga

    • @omariayubu1149
      @omariayubu1149 3 роки тому

      Uislamu wa manabii na mitume ulikuwaje mpaka uufananishe na wa Mazinge?

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 3 роки тому

      ninyi niwapuuzi sana kwanini msifwate yenu kila mtu afanye analotaka

    • @jonasyohana3258
      @jonasyohana3258 3 роки тому

      Umevuk mipaka aiseee acha iyo zambi isikutawale tena...mazinge huyajui mabaya yake siku zote itetee nafsi yako kwanza

  • @isaacnewtonmmary3377
    @isaacnewtonmmary3377 8 місяців тому

    Shehe kesha feli tayari asa povu jingi la Nini unawezaje kumdhibit mtu ambaye Raisi Samia mwenyewe namkubali na kapeleka sadaka yake juzi tuu hapa kupitia Chalamila hawa mashehe wa siku hizi washapoteza mueleke kabisa wamejawa na chuki wivu na dharau kibao hawana hata hofu ya Mungu kazi majivuno tuuu

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 6 місяців тому

      Sawa lakini asemacho ni kua anaonesha watu njia ya haki hakukejeli Kwa mujibu wa waislamu...utume umefika mwisho akimaanisha Muhammad ndie mtume wa mwisho wa Allah na Mimi na wewe tuombe kufanya hayo mungu atusaidie inshallah

  • @abiudmawazo116
    @abiudmawazo116 3 роки тому +3

    Asa wew unafundisha watu au unatengeneza visa miyoni mwao wawachikie watu fundisha neno la Mungu usiwe ivyo kutafuta kiki uonekane

  • @saidaswai201
    @saidaswai201 2 роки тому +1

    Mwamposa anafnya kaz ya Mungu aenezi chuki......mwamposa anaijua din saaaana....mwamposa n mtumish wa Mungu na sijawah kumskia anasema eety sheikh flan sio sheikh n muongo nouh.......umepewa kibal cha kutangaza neno la Mungu tangaza na sio kueneza chukiiii.......MUNGU HAPENDI......pambana na unachokiamini🙏🙏

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 роки тому +6

    Ww huwa hauna hekima ya neno la Mungu zaid ya kupenda vijembe km mwanamke Hata huyo Muhaamand hakuwa Mtume

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      Mtume babaako na flora si basiii yesu anasema watakuja manabii wa uongoo sasa wewe unabisha nini wewe fuata mkumbo tu uone adhabu za mwenyezi mungu dini ya biashara ukiristo kila mmoja anataka unabii atajirike soma ndugu yangu muda haupo

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому

      @@subiramohd1895 kwani ushaosha kuma leo wee dada shehe mazinge akakutombe sehemu safi naona unawashwa na muhao sugu 🤪🤪👌🙊

    • @rasempb
      @rasempb 3 роки тому +1

      @@sukariyao6537 alikwambia kwenye ukiristo kuna ndoa nani, bahati uislamu ni Dini ya amani na hatuna mikwaruzano na watu, na ndomana humsikii huyo jamaa akirudisha matusi kwa wanamtukana uwe na maisha mema

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому +1

      @@rasempb kaalishe huko kuna watu wanaongoza kwa umalaya wa kuoa oa ovyo nakutekereza familia zao kwaiyo huyo mazinge anamuongelea bibi yako hapo chefuuu embu kakojoe ulale huko 😏

    • @rasempb
      @rasempb 3 роки тому

      @@sukariyao6537 😀😀, ndo shida ya wakiristo wakiambiwa ukweli sasa mimi nimesema baya gani hapo? Au ndo huna cha kusema

  • @noelmrindoko735
    @noelmrindoko735 2 роки тому

    Ww ostadh mazinge dini haiko hivyo,na usimuhuku mtu kabla mungu hajamuhukumu..ww tangaza neno la mungu na amini unachokiamini,

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 3 роки тому +31

    Nilikuona una hekima kumbe una ujinga mtupu.

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 3 роки тому +1

      Ujinga first class

    • @mussakasimu2811
      @mussakasimu2811 3 роки тому +1

      hamkosekanagi nyie wajinga wachache mnaowakejeli wachamungu

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      @@mussakasimu2811 Mcha MUNGU , Hatukani Wengine

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

    • @stewardaidankilamlya1037
      @stewardaidankilamlya1037 3 роки тому +1

      @msema kweli, upo sahihi kabisa hadi kesho, mtu hatetewagi na binadamu na kama mwezio kashawishi watu wamejaa nawe fanya hivyo kuliko kupoteza mda mwingi kumhubiri mtu mwingine.

  • @mbarakaliyonjo6665
    @mbarakaliyonjo6665 3 роки тому

    ALLAH akulinde shekhe Mazinge🙏🙏🙏

  • @dastanmbaga4595
    @dastanmbaga4595 3 роки тому +3

    Ww elimisha watu wako kuhusu mungu wako acha kujadili mambo ya watu

  • @brianmatte6731
    @brianmatte6731 3 роки тому +1

    Huna Akiri Mzee nilikuona una Hekima sana kumbe Poyoyooooo

  • @yahyamassawe8011
    @yahyamassawe8011 3 роки тому +3

    Allah akuhifadhi ili uwakomeshe

  • @mugabeatofficial7760
    @mugabeatofficial7760 3 роки тому

    Dah shekhe mungu akufanyie

  • @edsonndomba1049
    @edsonndomba1049 3 роки тому +19

    Wewe na mwenzenu mlimwombea afande sele afe mbona hajafa. Mungu wa Wakristo na Mungu wa Waislamu ni tofauti maana doktrine zao ni tofauti nyinyi wenu hulipa kisasi. Kwa kweleli Sina la kujifunza kwenye uislamu

    • @kulwasanyiwa6901
      @kulwasanyiwa6901 3 роки тому

      Fact,,,,,

    • @carenlaizer8624
      @carenlaizer8624 3 роки тому +1

      Kweli kbsa waambie!!! Wanahukumu watu bure mm pia sina cha kujifunza kwa hawa watu

    • @gospelslaiton5975
      @gospelslaiton5975 3 роки тому +2

      Gonga like 🤣🤣hapo hamna na Morristown howa hashindani wala hamtetei Mungu icpokuwa Mungu wetu ndio anayetutetea

    • @carenlaizer8624
      @carenlaizer8624 3 роки тому

      @@gospelslaiton5975 apo kweli kbsa ndugu yangu

    • @gospelslaiton5975
      @gospelslaiton5975 3 роки тому +2

      "Mkristo huwa hashindani" correction

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 2 роки тому +2

    Allah kareem akuhifadhi kaka yetu mazinge kwa kazi kubwa unayo ifanya Amin

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 3 роки тому +27

    Tatizo lenu kubwa ni kwamba mmeshindwa kumroga Mwamposa. Wake zenu wanatoroka msikitini wanakuja kupata neno la uzima. Mtaishia kupiga ramli

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +1

      Ovyo itakua kimada wako hao hawajui dini hv mitume gani huyo huyo mazinge alikua mkristo kajua ukweli isa pia muislam na ibrahim muislam fatilia chimbuko la mana bee

    • @kaimuulongo868
      @kaimuulongo868 3 роки тому +1

      Alogwe ili iweje wew mwaache aendelee kuwapoteza watu kama kina nyie ! Eti nabii nabiii mpotoshaji tu

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      Dah ! Kweli , Wameshashtuka upuuzi uliopo kwenye hii dini

    • @msemakweli8064
      @msemakweli8064 3 роки тому +1

      *Muhammad Alilala na Kitoto cha miaka tisa (darasa la tatu). Akamuoa Mke Wa mtoto wake(Zayd ibn Harithah
      ) , Hii ni baada tu ya huyu manawe kutoa talaka kwa mkewe Zaynab. Akafanya Muujiza Wa Kumfanya mtu awe Kipofu. Akaagiza Watu Wakatwe Viganja na Miguu. Akaweka Chuki na Mtu Asiye Wa Dini Wako. Akasema Mungu Allah(Mungu Mwezi) Aabudiwe. Akasema Kuna Majini Wazuri (Mungu Alikosea Kuwafukuza Mbinguni? ). Mtume pekee Asiye jua Anapokwenda Baada Ya Kufa (HAKUWA NA UHAKIKA NA ANACHOKIFANYA).*

    • @dullybrown3635
      @dullybrown3635 3 роки тому

      limewakuna hilo

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 роки тому

    Tatizo kwel.. wafia dini mnachangamoto sana... Fundisha kilichowaleta waumini wako sio kuponda huduma za wengine...
    God is one

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +1

      Mkiambiwa ukweli mna kataa hv ww unaona kabisaa hawa mana bee hamna huyo mazinge alikua mkristo anaongea ukweli mlijua kumbe walitokea kwa warabu mana bee na mana bee wa kweli ni walio teuliwa na mmungu na hao mana bee wa ukweli walitabiri kua watakuja mana bee wa uongo ndio hao ,

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому +1

      Vp unashindana na mmungu hali ukijua mmungu ni mmoja

    • @glorykapenja9473
      @glorykapenja9473 3 роки тому

      @@eastafrica6858 mimi nafikiri angafundisha uchawi maana kwenye dini yenu umejaa uchawi na ndo maana hata mtume wenu alilogwa na juzi tu mlitaka kumloga afande sele kama alivyologwa mhamad