" His master replied, well done good and faithful servant, you have been faithful with a few things; I will put you in charge of many things. Come and share your masters happiness. ( Mathew 25:23) it is good to be Shiphurah and Puah to birth in seasons through intercession behind the scene and no one can notice it. Kazi hapa Ni kununua speaker , huduma ianze, nimekubali kuwa mhudumu, kutumika chini ya mtu. Roho Mtakatifu nipe tunda la Uvumilivu . Asante Sana Apostle, nitalifanyia kazi hili...The greatest leader is the one who serves ... Be a servant..I am a servant
Somo zuri sana lenye kuleta ufahamu mkubwa. Asante bwana Yesu kwa neno lako uliweka kwa mtumishi wako chanzo cha shetani kuondolewa mbinguni ni kiburi.
Daaaaaah aseee ninamshukuru MUNGU Sana kwaaajili yako Apostle Kuna mahali niliwahi kwenda kujitolea kudeki chooni nikaishiwa kutazamwa kwa dharau na kuambiwa sisi tuna watu wa usafi tunaowalipa tayari wameshachukua tenda.😢😢 Ilikuwa ni huzuni nikajisikia vibaya nikasema MUNGU naomba unisaidie nisitokwe machozi maana niliwahurumia tuuu
Ubarikiwe sanasana Mtumishi wa Mungu,nimeelewa.

Amen Apostle Hakika nimepata kitu kikubwa sana🙏 God bless you Apostle.
AMEN AMEN AMEN MUNGU nisaidie niwe Mtumishi wa wengine kwa utukufu wa Jina LAKO
Amen nimefunuliwa Hii ni Neema kuu kwangu
Hongera Sana mtumishi wa Mungu
You’re teaching good Apostle
👏👏👏Glory to God you have spoken the truth 🙏
Thank you so much I have learned something 🙏.
amen ubarikiwe
Mwalimu mzuri sana
MUNGU AKUBARIKI
Ameni na asente kwa neno njema barikiwa
Amen asante Yesu, ubarikiwe sana Apostle kweli kabisa umenifungua sana,na enjoy sana ktk ushemasi wangu.🙏
Good pastor
Karibu Zanzibar mtumishi
Louder man of God we need this revelational teachings, God bless you
Uko sahihi kabisa Mt wa Mungu nimeyafanya hayo sana mpaka choosing dah SAHIHI
I mean chooni
Mungu niwezeshe katika ushemasi wangu,🤲🤲
Amen
Safi Apostle
Daaaaaah aseee ninamshukuru MUNGU Sana kwaaajili yako Apostle Kuna mahali niliwahi kwenda kujitolea kudeki chooni nikaishiwa kutazamwa kwa dharau na kuambiwa sisi tuna watu wa usafi tunaowalipa tayari wameshachukua tenda.😢😢 Ilikuwa ni huzuni nikajisikia vibaya nikasema MUNGU naomba unisaidie nisitokwe machozi maana niliwahurumia tuuu
Amen 🙏🙏🙏🙏
Baba nimebarikiwa sana na nimekumbuka sana
Kabisa sahihi sana
Ameen ameeeen ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤🎉Amen daddy nakupenda sana unatufudisha vinzuri sana roho yangu ilipenda mafundisho yako ❤
Amina,hii ni kweli kabisa,hii ni hadi kwenye maisha ya kazi tunazozifanya.kila kitu ni hatua kwa hatua.
Nakuelewa Sana Mtumishi wa Mungu Barikiwa Sanaaa
Ensemble ishi
Amina Sana.
aisee, mtumishi. nondo kali sana hizo
Fact
Amina papaaa
Amen mtumishi asante
Apostle uko sahihi, nimejifunza kitu
True
Hi nakuelwa na ulinifanya kujifahmu kiwango changu
Amen barikiwa sana mtu wa Mungu
AMEN
Amen Apostle, More Grace 🙏
Kweli
Asante Apostle 🙏
Hii Ni Kweli Kabisa!!.Hasa Kwenye Ushemasi!
Asante sana mwalimu
Amen halleluya
Amen.
Ameni
Nimepata kitu na kimenifaa
Is their a way to contact you on WhatsApp or privately
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen