MVUTANO MKALI BUNGENI SAKATA LA Ngorongoro - "NG'OMBE WALIOPO NI wa MABEBERU" - SALOME MAKAMBA
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- MVUTANO MKALI BUNGENI SAKATA LA Ngorongoro - "NG'OMBE WALIOPO NI wa MABEBERU" - SALOME MAKAMBA
feb 9, 2022 Bunge limepokea na kujadili Taarifa za Kamati ya maliasili na Utalii pamoja na Ardhi ambapo mjadala Mkubwa umekuwa na wakazi wanaishi katika hifadhi ya ngorongoro
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Safiiii saaaana dada Mungu akubariki saaana Salome uko vizuri .Shikilia hapo hapo nimekupendav sana SALOME ANATENDA HAKI.WENGINE WAIGE.
Dada salome umeshusha madini sana leo ,serikali inatakiwa kuuchukulia serious hotuba yako hiii Big up
Salome uko vizuri yapo tunayotofautiana na yapo tunayokubaliana..Tukitofautiana haina maana tunaichukia Tanzania. Karibu Dada yangu tuijenge Tanzania 🇹🇿 Imara zaidi.
Salome Makamba amezungumza point nzuri sana!
Salome makamba God bless you...kwnn asipewe wizara au mama samia hamuoni dada huyu...
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba taifa letu la TANZANIA ripo mikononi mwako
Umenena vyema sana, suala kubwa sio ng'ombe wa nani bali suala kubwa idadi ya watu na mifugo imekua kubwa sana na inahatarisha uwepo wa Ngorongoro, hili lisiishie hapo tu hata waliopo Manyara na kuendesha shughuli za kibinadamu wanahatarisha uwepo wa ziwa Manyara
Asante ndiyo upinzani tunaoutaka kwa masilah ya tanzania
Big up Mp Salome, kupanga ni kuchagua 💖👏
Kumbe huyu ndio alietoa mawazo ya wamasai watakaohama NGORONGORO watafutiwe sehemu wajengewe nyumba za kisasa na huduma zote za kijamii wasogezewe?
Serikali imekubali idea yake ndio maana wakapelekwa MSOMERO HANDENI na wameanza maisha bora kabisa. Rais akiwa msikivu anafaidi sana mawazo mazuri kutoka kwa wananchi wake.
Hongera Dada for your constructive ideas. Mawazo yako yameisaida serikali. Mungu akubariki.
Salome uko vizuriiiiiiiiii saaaaanaaaaaa
Viva mh.salome viva,thank uuuuuuuuuuuuuu.
Safi sna Mbunge salome
Eti kondoo mharibifu wa kwanza,, hvi kweli kondoo ale majani nakung'oa mizizii,, umekisea sana aise.
Umenifurahisha sana salome
Safiiiiiiiii sana.
hongera dada salome❤😅
SALOME UMETISHAAAAAAAAAAA
DU CCM VICHWA KM HV NDIVO VINATAKIWA SIYO AKINA HAWAJUI KUJIELEZA
Salomeeeeee nimekupenda bureeeeeeeeeeeeee
Asante sana dad wewe kichwa kipana sana
Huyo mzee nae angekaa kimiya mh salome amwage madini.
Mwongo mtupu salome mungu anakuona
Ng'ombe ziende wapi Sasa... Tumieni Hekma anayetaka watoke na anayetaka waendelee kuwemo wote Wana maslahi. Binafsi... Olesendeka na Salome... Ukifuatilia vizuri utajua Kuna mwenye ng'ombe hapo na Kuna mwekezaji wa vitalu au utalii au mahoteli hapo... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Nchi kubwa hii, watapelekwa kwingine
Wacheni2 inatakiwa aletwe Salome aje awachagulie wenyewe iso Ng,omba au kama nisake aje awachukue.. Mungu yetu yupo2
Angekuwepo Jpm
Salome ukop powa sanaaa tuuuuu¡!!!!!!!!!! Wemgine hakuna wanacho changia
Asante
Nikweli mama
Bungeni mkiona kitu kizur kinaongelewa mnakazana na tarifaa mnatupozesha mioyo yakutazama bunge tarifa zenyewe sasa Kwa ajili ya kumdhofisha anaeongea watoa tarifa mpone Kwa Jina la yesu
Truth be told.
Hakika sipika Tulia unaweza nanitakuombea
Salome mshamba sana kondoo hangoi mizizi wewe mfuga bata utajuwaje!!!!
Wabunge wetu ni waongo Sana
Hata Kama kondoo au ng'ombe za kupewa waachwe, achen vita na waamasai kule ni kwao 😭😭
Mambo ni moto ole sendeka, kama kuna chako pale katoe mapema
Swala la watoto kuomba kwenye magari ni kweli.
Lakini ukisema tunachunga Ngombe za watu uongo wa ajabu 🤔🤔
Huyu Dada Salome anajua vizuri anachokiongea kwani ni ukweli mtupu naomba apewe ulinzi
Ngoja tukachunguze hawo ng'ombe wengi wa akina nani.Kama ni wa hao mabeberu wataifishwe.
Hakika Madam speaker yupo makini nimempenda bure
Mbna Akina Ole wanakatisha sana wanaosema ukweli
Huyu mzee mpuzi dada yupo vizuri matajiri ndio ngombe zao
sio kweli kinachoendelea nchi hii unyama umezidi huwezi kuhamishwa mahali ulipo zaliwa wote mna mtetemekea mwarabu
Na ngorongoro siyo hifadhi Bali ni arith yenye matumizi zaidi ya moja
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wahamishiwe wilaya ya handeni, simanjiro na kiteto patawafaa sana kwa shughuli zao za ufugaji.
Wamasai wanapenda Sana ng'ombe nakuchukia watoto wao
Du, dada shikamoo. Umenyoosha haswa. Ndo hivyo hivyo yaaani.
Hao wabunge inawezekana wana ng'ombe huko
Bora huyu mama apewe ayende kwasababu ameshiba sana akaona pesa ndiyo ya mana kuliko wanadamu
Nimekuelwwa mbunge kwa hili
Orekaita umechemsha,acha kuleta siasa kwenye issue sensitive,sheria IPO but maxingira yanaharibika so,tuache mazingira yaharibike?????
Ukiwasikiliza wakiongea hadharani utadhani ni ndugu zetu wa kweli. Lakini mmh.
Mama uko sawa nakukubalisana ww hogera
Maslahi ya taifa ni watu kama hauamini waache taifa liwe na wanyama tu tuone kama itaitwa taifa
Kwan wanyama nao wanasemaje ? 🤔
Tulia shikámoo
Ajui anacho ongea mabeberu kutoka wapi?
Huyu mama anasema ukweli afu Cha ajabu Kuna mmasai anasimama kujitetea kwamba hanyanyasw
Hivi hyu mbunge alikua hajitambui kwani hyo hifadhi ilipopewa uridhi wa dunia Wamasai hawakuwepo?
Kumbe Salome kichwa ipo, ila maksudi tu!😮
wapunguze population ya mifugo na watu au waondoe wamasai wote watafutiwe eneo jingine lenyekuendana na pastorelizim
😏
Mmmmm
Mm naomba kushauri tetea bata kama unafuga bata
JPM angekuwepo mngekoma, tatizo viongozi tunaowategemea ndo wanaokula njama, na Hao Hao ndo wanamifugo.
Population inaongezeka kulingana na na siku na sehemu yote ya Tanzania ,sasa kuwatuhumu inatoka wapi sehemu yote ya Tanzania sasa kama walisha amishwa kutoka selengeti kwenda ngorongoro sasa mna waamisha tena.wapeni huduma muhimu,msiwanyanyapae ,watu wanaongezeka na pia wanyama wanaongezeka sio masai tu wanaongezeka.wapeni huduma muhimu ni watanzania msiwanyanyapae Masai ndio utamaduni wake kuishi na mifugo mbugani.msitake kuua tamaduni zao kisa pesa.Kilamtu na tamaduni yake hapa Tanzania,Kama wengine nimeamua kuziacha ninyie wenyewe.
Salome hapo umetudangaja
Dada nakukibari sana wewe ni kichwa, sio kwaidadi hiyo
muwongo zana
Huyu Ole Kaita, Emmanuel na Ole Sendeka Ni useless MPs Kama wa Mbogwe
Dr tulia umetulia kwenye kiti we tulia mama now you proof wrong na yule mzee
Huyu mbatia gani,mbunhe machachali
Wamasai waishi miaka yote Leo watoke kweli duniani hakuna haki
Hooooovyo!
Mbona huwataji hao waliopeleka ng'ombe huko ngorongoro?
Nenda kwenu shinyanga kale dona achana na wamasai.
Wewe ni mulaya
Job yupo?
Wahame, wamasai, ngororo, nyie ndo mnamifugo huko
rakin smriruhusu jaman
Wabunge cjui waangalizi wa mazingira mnashida nyinyi Yani hao Masai walikuepo hata babu zunu hawajazaliwa eti mnajifanya mnawatetea Kwa ni maisha Yao wanayo walio ishi Toka vizazi na vizazi na ni Moja ya utalii kuishi na wanya Poli na pia wao ni waangalizi wa wanya hao hovyo
Acheni unafiki ngorongoro hami mtu
Uwongo
Huyu mwanamke nae anaongea ujinga pia ni mchochezi wa jambo asilolijua bac 2
Dr ni mwalimu hapo sasa unawapa na elimu mana wengine humo bado wageni wanapeleka hisia zao tu....hahahaha unanifanya niwalipie ada watoto wangu shule ni dawa
Serikari naona wabunge wanaongea Kuhusu wamasai wanaoishi kwenye mbunge ya ngorongoro wanasema wahamishwe. Ni Swali kwa serikari je na wale waliojenga mahoteri Ndani ya hifadhi nao watahamishwa.?
Exactly
Kutumia nguvu kwao kunaweza kuwafanya hao watalii wasije kabisa ngoja tuone yetu macho
Hawawezi maana wamasai wakitoka wanapisha na wawekezaji wamama samia
Kondoo wanagoa majani na mixixi, temboje? Amisheni nao, watoto wa nhorogoro no obaomba, far no wangapi, mwanxa, Arusha, Moshi, umaskini, tasafe niagorongro, mabeberu kwani niwasungu wanafuga ngorogoro, Kama watu wamepeleka pale c watanxania, na wepeleka,
Na serekale je itafunga mashimo ya madini
Huyu mbunge ni nduu na magufulu
Nyie madada mlio wemo bungeni Moja na Malaya sipika tulia akisun nyie wote makuma tu
Salome + january= ?
Hata kuishi na wanyama ni utalii tosha ni za kina nani ngombe haihusiani.kwan viongozi wanazuiwa kufuga?
Mbinguni huendi wallai
Wewe unaongea kuomba uwaziri kwa mama wewe una njaa
Hakuna MTU anahama hzo ni porojo hakuna proof kuwa hyo mifugo ni ya matajiri
.
Salome acha uwongo sisi tunapeleka wageni , ngorongoro wamasai wapo vizuri wanaongea English vizuri kuli ninyi
Kama hizo fedha zinapatikana kupitia hifadhi hiyo je ni bilioni ngapi mnaziiba?Pia je?wakazi wa eneo husika wanahali gani ?maana hata kwenye madini wakazi wa maeneo hayo ni hali mbaya.Mwisho kwa nini mnatufanya watanzania kuwa maskini wakati nchi inautajiri mkubwa?je Libya walinufaika vipi na rasmali za nchi yao?acheni kutuona watanzania wajinga hata siye tunapenda maisha Bora kama mliyonayo nyie.
Huyo mwanamke anayesema sahvi wamasai tunafuga kondoo anataka tufuge nini??? Shetani mkubwa tu"" cijamfurahia kwa kweli
Wanasema watu wamekuwa wengi??? Kwani si Tanzania nzima watu wanaongezeka??? Watu wanazaliana mjue na siyo ngorongoro tu" sasa siju hao utakao wahamisha kutoka ngorongoro utawapeleka wapi ambapo watu hawajazidi??? Ivi kwanza sahvi Kuna migogoro kila kona katika nchi hii ya wakulima na wafugaji" hayo yote ni kwasababu watu wamezidi,,,. Basi leteni sheria ya uzazi wa mpango basi ili tuache kuzaliana Sana"
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Salome + january= ?
Hawana undugu wowote... huyu salome ni chadema ndo wale wabunge 19 wanaitwa covid 19.
Stupidity gang