MAGUFULI Amlipua MBOWE - “TUMEMPA GARI, AMENIFANYIA VITIMBWI, NILIPATA SHIDA SANA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • MAGUFULI Amlipua MBOWE - “TUMEMPA GARI, AMENIFANYIA VITIMBWI, NILIPATA SHIDA SANA”
    MGOMBEA urais (CCM) Dkt John Magufuli, amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kuomba kura kwa wananchi ili waweze kumpa tena miaka mitano ya kuwa rais wa Tanzania...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 320

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 4 роки тому +6

    MAGUFURI MUNGU AKUREHEMU SANA SANA..MANENO HAYA HAYATAKUWA YABURE KIZAZI HATA VIZAZI..MUNGU AKUOKOE SANA KWA KAZI HII..WEWE NI RAISI KWELI...

  • @barackramathan4871
    @barackramathan4871 4 роки тому +22

    hii ina itwa aku anzae mmalize halibu baba magu na kuaminia

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 4 роки тому +32

    I'm from Kenya bt this is real president we admired tano tena kwake

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 4 роки тому +2

      Thank you our neighbour Kenya thank you for appreciating our lovely President.tunampenda mnooo jamani

    • @imanimbwaga7005
      @imanimbwaga7005 3 роки тому +1

      Kenyan take him make him a seed for kenyani

  • @mnegaamina6085
    @mnegaamina6085 4 роки тому +34

    Leo wanajaa viwanjani korona hawaitaji ila bungen wanasema korona waambie ccm hoyeee

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 роки тому +1

    Mimi naona kiongozi mzuri na mwema huwa na busara, huwa mpole akikosolewa, huwa si mbinafsi, hapendi chuki, hupenda kuunganisha jamii bila kujali hali zao wala ukabila wao wala vyama vyao, hupenda kushirikiana na watu haswa maskini! Hupenda kutafuta ushauri kabla ya kuamua jambo nk. Sasa sijui viongozi wenye sifa hizo njema hapa nchini kwetu wapo au hawapo!!? ALLAH Atuongoze aaamiiinn.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 роки тому +13

    Rais wetu wa Tanzania yetu ni John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 4 роки тому +17

    Hakuna upinzani wa kweli Tanzania, ila kuna wachumia tumbo tu.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 4 роки тому +20

    Mbowee akapumzike hana jipya ametuona sisi uku hai ni maboya. Time is over my friend.

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 4 роки тому +23

    Lazima nikuchague

  • @ruthaloyce1012
    @ruthaloyce1012 4 роки тому +24

    Baba wewe Mungu akutanguliye tu, mitano mingine tunakupa wewe! Ccm oyeeee!

  • @mathewvalerian792
    @mathewvalerian792 4 роки тому +17

    Mkuu piga kazi usiogope CCM ndio mpango mzima.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +37

    MAGUFULI KAZI YA MIKONO YAKO ITAKUFUATA ITAKUPIGIA KURA UTAKUA MWENYE HERI NA BARAKA TELE

  • @sifabahati2759
    @sifabahati2759 4 роки тому +5

    Natamani kuwa mtanzania tariki hii 28/ 10 /2020 ninge weka ndani sauti 10000000 ili baba Magufuli aone njisi navyo mpenda hatakama me sio wa tz

  • @mathewvalerian792
    @mathewvalerian792 4 роки тому +21

    Pamoja sana mkuu, tupo nyuma yako. Na ww ndiye rais wetu. Mungu akubariki.

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 4 роки тому +13

    Mh Raisi kutoka nje ya Bunge ilikua kisingizio cha COVID19 lakin ukweli ni kwamba walikua wameishiwa hoja tena hawajui kipi wafanye

  • @festondenga4253
    @festondenga4253 4 роки тому +21

    Kwa hotuba hii Mungu akuzidishie magufuli na akubariki sana wewe

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 4 роки тому +4

    Utasikia Maendeleo hayana chama ila kiongozi bora atapatikana ccm 😆😆😆😆😆😂😂

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 4 роки тому +5

    Hai muamke achaneni na siasa za mihemko lazima tuamke usingizini

  • @ramadhanmasolwa4869
    @ramadhanmasolwa4869 4 роки тому +31

    Wachane Kuna mwingine alisema watu wanakufa Kama nzinge alfu leo hii anagombea urais

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 роки тому +2

      Hahaha kasahau pesa sabuni ya Roho

    • @joelnaja9935
      @joelnaja9935 4 роки тому +4

      Mpk ni ajabu kbsa hao hao waliombeza JPM et ni mshamba hajui mambo ya kisayansi et anayapleka kiroho, wakazusha kuwa watu wanazikwa usiku lkn leo hao waongo na wanafiki matapeli ndio tuwachague kweli?
      Akili ni nywele!

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому +1

      Nyie yaani hamsahau...hao ni wahuni

    • @مارثاتنزانيا
      @مارثاتنزانيا 4 роки тому

      Chama kimeshakufa,haende akajinywee tu falu jonh

  • @benedictoshadrack2573
    @benedictoshadrack2573 4 роки тому +6

    Nilisikia kuwa maendeleo hayana chama au nilielewa vibaya jamani

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 4 роки тому +5

      Ndo hivyo!kama unapiga kila kitu utasaidikaje!mbowe anajifanya mwamba yatamshinda soon

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 4 роки тому +1

      Rose umejibu vzr

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 роки тому +3

      Ndiyo, kama Raisi mtu mzuri mchague tu ila wa chini lazima aendane na Baba

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому +2

      Maendeleo hayana Chama, ila chama ni lazima ili kuteua viongozi wenye mwelekeo fulani. Lakini hospitali ikijengwa, wanachama wote kutoka vyama tofauti hufaidi. Vyama vingine vina mwelekeo/ilani potovu.

  • @danielmkama4636
    @danielmkama4636 4 роки тому +13

    Mhe mbowe kwa hii hotuba una Kazi kwa wana hai

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 3 роки тому +1

    Kwani vipengele vya Democratic nini moja wapo si ni kukosoa ? Kipi cha ajabu ? Watu wanawakosoa hadi wazazi wao pale wanapokosea wewe ni nani usikosolewe ?

  • @mbegambega9705
    @mbegambega9705 4 роки тому +4

    Ila magu hata sisi tupo Mwanza kata ya luchelele lakini maji ni tizi sana ndoo moja mia 50 wakati tupo kandokando ya ziwa Sasa unavyosema maji yanatoka ziwa vikitoria kwenda tabora shinyanga napata ugummm kukuelewa na hapo usagara tu maji hamna jamani .na diwani ni cc mbuge ccm Sasa napata utata sana muda mwingine kukuelewa

    • @mbegambega9705
      @mbegambega9705 4 роки тому

      Ndooo 500 sio 50

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому

      Ndio maana anahitaji miaka 5 tena. Maendeleo ya taifa hayamaliziki siku moja. Muda huu lazima mfikiwe

    • @zilpamatiko1712
      @zilpamatiko1712 4 роки тому

      Pole kama ni karibu na ziwa kachote ziwani. Magu oyeeee

    • @akilimalimali253
      @akilimalimali253 4 роки тому

      @@LosiokiSomoire miaka 60 ya Uhuru tar 28 tuna jambo letu

  • @fatmarashid1843
    @fatmarashid1843 4 роки тому +18

    Magu hatukuangushi
    Tunakupenda sana
    Lisu anapenda kutafuna yeye ameze tuu
    Hatumtaki

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    ndiomaana umekufa mapema kwa kujua tz umerithi kutoka kwa baba yako au mama yako mungu akupereke motoni ameni

  • @barakamgina6630
    @barakamgina6630 3 роки тому +2

    SUPER PRESDAAA

  • @ronnie1425
    @ronnie1425 3 роки тому +1

    Amepewa gari na sisi siyo wewe

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 4 роки тому +4

    Mboe sasa pumzika tulikuamini sasa basi

    • @zilpamatiko1712
      @zilpamatiko1712 4 роки тому +1

      Asante hii ndo akili ya mtu mzima

    • @roymarquiz8567
      @roymarquiz8567 4 роки тому

      mnazingua mbaya hamjui tu uyu magufuli analazimisha watu wachague ccm tu ili awe mungu mtu maana ccm awatomwambia kitu yy ndio raisi na mwenyekiti mzee mnafiki sana anasema mbowe rafiki yake lakini miaka yake mitano yy kamuandamiza kaharibu biashara zake kwa nguvu akataka kuua upnzani awe ka mfalme bado mnataka kumchagua kweli daa inasikitisha sana

    • @roymarquiz8567
      @roymarquiz8567 4 роки тому

      mnaambiwa lissu ni kibaraka wa wazungu lakn magufuli kwa miaka mitano tu kapandisha deni la taifa mara mbili kuliko raisi yoyote kazima bunge lisionekane ili watu wasijue afu tunakuja kuambiwa tupo uchumi wa kati sasa umetusaidia nn daa uyu mzee kwaninavo muona akichaguliwa tena hata kubali lazima alazimishe awe raisi miaka kumi mingine

  • @commonwealthofkentucky5452
    @commonwealthofkentucky5452 4 роки тому +6

    Ccm wanaeleza sera safi sana....sio kuwasema watu

  • @rashidiwhite4709
    @rashidiwhite4709 4 роки тому +7

    Ndioo unapokosea baba hapo tu huk uu vijijiinii panado kidongee tsh,50/= ujuee hiloo watu wa halii ya chinii tunaumiaaa.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 4 роки тому +2

      Aliyetengeneza panadol nayeye pia anatafuta pesa badirika ndugu hii Dunia mungu aliiumba hivyo lazima jasho la mikono yako litumike kwa njia hiyo yamatumizi hakuna vya bure mungu hapendi

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому +2

      Jamani Rashidi, shilingi 50 ndio ya chini sana, ikipunguzwa itakuwa hela ngapi? Anatengeneza atatoa kwa hela ngapi?

    • @kundaellyimo7523
      @kundaellyimo7523 4 роки тому +1

      Wewe ndiyo walewale sh 500 una vidonge 10 ukivimaliza haujapona inabidi ukalazwe tu

    • @nicethamanonga5855
      @nicethamanonga5855 4 роки тому

      Watu wanapenda vya bure at a ukiwekewa chakula mdomoni utasema umezeshwe.

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 3 роки тому

      @@nicethamanonga5855 atakuambia chakula chako kibaya au kichungu😂😂😂😂

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 4 роки тому +4

    Wanaompinga Raisi wetu wana shida, Magufuli baba songa mbele. Tatizo mtu anakuwa mbunge haangalii wananchi wake, hata viongozi wa ngazi za chini hawawajibiki baadhi ya sehemu, mvua ikinyesha madaraja ndo usisema na magari hapiti, Baba mitano mingine ila tusaidie huku vijijn hamna maji pia

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Sasa ikiwa bungeni mswaada haukupitishwa wewe unataka afanyeje!!? Na pia kuwa mpinzani kwani ni tatizo mbona viongozi wengi tuu wa CCM hawapeleki maendeleo kwenye majimbo yao ! Na pesa wanapata!!?

    • @mariavianeypeter2991
      @mariavianeypeter2991 3 роки тому

      @@professamuddy5407 ndo shida yaan

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 4 роки тому +6

    Baba Magufuli Mungu wako ni mkuu sana kamba za wasiohaki hazitakupata Mungu akulinde sana.

  • @pastormatthewamabamba8990
    @pastormatthewamabamba8990 3 роки тому

    Magufuri tumekuwelewa baba wataifa la Tanzania, akunamwengine niwewe tu!! Umepewa mwaka mingine 5.Mungu anakuwa upande wa wenye haki, Mungu akuongezee siku nyingi zakuishi.

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 4 роки тому +6

    Ndo wajiongeze wasipo jiongeza achana nao sie kwetu maji mlangon

  • @josetarimo1768
    @josetarimo1768 4 роки тому +16

    Poa mungu simama na mwenye haki

  • @martinmnzava9053
    @martinmnzava9053 4 роки тому +6

    Poleni watu wa jimbo LA Hai. Muligeuzwa mbuzi wa krismass.

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 3 роки тому +1

    Naomba uwendeleee mpaka 2030

  • @jeremiahmollel3855
    @jeremiahmollel3855 4 роки тому

    Hizo ni pesa za watanzania waliomchagua ndio zimenununiwa hizo gari

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 3 роки тому +1

    Ndiyo maana uliharibu mali zake

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 роки тому +2

    Magu katumwa na mungu long live magu

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 3 роки тому

    Hutaki nyama vingine sio.

  • @maritinjacobo1771
    @maritinjacobo1771 4 роки тому +2

    Sisi tungeona hayo yakutoka nje kupitia television ip ilorusha bunge live?. Magu leo unaongea uloandikiwa wakat siyo kawaida, ama kweli Magu ukimsikia lissu unatepeta Sana

  • @patrickkansonso4506
    @patrickkansonso4506 3 роки тому +1

    Political

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 4 роки тому

    Ubaguzi tu majimbo ya upinzani hampeleki maendeleo ya CCM mnapeleka kanakwamba wapinzani hawatoi kodi

  • @amigodossantos4129
    @amigodossantos4129 4 роки тому +3

    It's because of Magufuli we are free during corona disease. We should be grateful

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 3 роки тому

      MUNGU WETU AMETUHURUMIA JUU YA CORONA .HATA KWENYE BIBLIA TUKISOMA TUNAONA JUU YA WAFALME WANCHI. MFALME AKIWA MNYENYEKEVU NA MCHA MUNGU. MUNGU ANAIPONYA NCHI.!

    • @kuntukuntu3424
      @kuntukuntu3424 3 роки тому +1

      Maaavi Ya Kuku..

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 3 роки тому

    Katiba inaruhusu apewe gari

  • @amanisima9357
    @amanisima9357 4 роки тому +1

    You're the Best President

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 3 роки тому

    Hayo maji Arisha mbona hatuoni jmn sisi tengeru tunashida ya maji

  • @amosimassyaga7476
    @amosimassyaga7476 4 роки тому +3

    Viva. Magufuli

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 роки тому

    JPM leo hii wanamyanyasa subaya JPM tunasikitika sana Tanzania yetu ulioicha kwa sasa wamekusaliti JPM baba yetu 😭😭😭😭

  • @estermichael1322
    @estermichael1322 3 роки тому

    Ndo mjiongeze Wana Hai sisi kwetu Sasa maji tunaoga bomba la mvuwa na umeme Sasa tunakunywa maji baridi huko kijijini Hospital tumepata na tunatibiwa Wana Hai jiongezeni

  • @jumamaaasi1867
    @jumamaaasi1867 4 роки тому +2

    Mmmm ulishasema hupeleki maendeleo majimbo tuliyochagua wapinzani.Sisi tulishamaliza kupiga kura kwa Lisuuuuuuu. Yeye hana ubaguzi.

    • @emanuelysteven877
      @emanuelysteven877 4 роки тому

      Naona ulikuwa na cheti feki

    • @jumamaaasi1867
      @jumamaaasi1867 4 роки тому

      @@emanuelysteven877 elimu niiliyo nayo ukoo wetu wote hadi mtaisha bila kuipata.

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii wana Akili lakini hawapambanui! Kazi yao ni Ubinafsi na Ubaguzi na Uonevu !! Na wananchi wengi ni washabiki na hata haki zao hawazijui na wakioneshwa bado hawaonii washazoea kununua haki zao!! Inasikitisha kwakweli !! Muda ni mwingi sanaa umepita bado hali ni ngumu sanaa!! Tubadilikeni Akili ndugu!! ALLAH Atuongoze aamiin.

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 роки тому

    Kama kweli mboe ni Rafiki yako kweli kama ni mzalendo basi ni kumuita na kumuelekeza sio kushawishi wananchi wamuone mbaya! Mbona nchi nyingine walifunga shughuli zao viwanda vilifungwa na hawakulaumiwa!!

  • @piushappyness226
    @piushappyness226 4 роки тому +2

    Jpm atatawala tena Hadi kieleweke

  • @johnawe2194
    @johnawe2194 3 роки тому

    Jaman kwan rais kaz anafanya kwa vyama au kwa watanzania sielewi??.

  • @orgeneslema9464
    @orgeneslema9464 4 роки тому +1

    Uchaguzi ni raha sana. Yaani wa TZ tunashushwa wote kuwa omba omba . Is this the future of TZ we want really?

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 3 роки тому

    TANZANIA bila Upinzani mzee haufiki popote, Watanzania wanajua hilo, juhudi zako za kuuondoa Upinzani umefeli ulivyoanza, Bila upinzani hata Magu usingekuwa rais wetu, angekuwa Lowasa, koo nashauri IMARISHA upinzani kwa faida siyako Rais bali ya Watanzania wote, hatuwezi kuwa na Tanzania ambayo kila nafasi ni SISIEMU haitatufaa hatufaa hata kidogo

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Ndugu ni sahihi kabisa ulichoongea ikiwa wote ni CCM wakikosea nani atakaekuwa jasiri kumkosoa mwenzake!!? Wakati wengine waliiba pesa za walipa kodi hadi leo hawakuchukuliwa hatua yeyote ile na CCM wote wanalijua hilo! Ila wangefanya viongozi wa upinzani naona taarifa ingekuwa magazeti yote kwamba wapinzani ni wezi!! Ila hawa Ccm hawafungwi!!

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 3 роки тому

    Yaani kama saizi wewe ni raisi umefungwa mikono? Je akiwa raisi yeye

  • @elianko8575
    @elianko8575 3 роки тому

    Auna jipia wew

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 2 роки тому

    Limebak likabur t mung ni mungu c ulilfanya ww n mungu jitu mamae

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 роки тому

    Magufuli, Huwezi kuziba watu midomo kwa kuwa pa gari. Je? Ulitegemea akuabudu kwa kutoa gari? Ulijaribu kujenga? Imeshindikana hiyo. A dhabu? Ni Mali na haki zao. Huyo I pesa yako binafsi. Ni pesa zao. Anastahili Hilo gari. Unachekesha. Ulitaka kimbunga na kumzika mdomo umeshindwa. Ukalipiza visasi kwa kumelala hela visasi hivyo. Hakuna wanyonge hapo.pesa ni zao. Huwa pi cha bure. Ni pesa zao. Umesahau?
    Huu udictatorship ni zilipendwa. Huna hip ya. Kunywa maji. I spends kuombwa pesa si zako. Umeifanya Tanzania nzima iwe ombaomba kako. Pesa zao . Utumwa huuuuu. Sisi watanzania si watumwa. Kunywa maji tuliza koo. Watanzania mdidhalilishwe. Pesa ni zenu. Kwa nini mumwsbudu mtu ili atomized wajibu wake? Mnamlipa. Mmemwamini kwa pesa zenu? Mimeinamie?
    Hamumhitsji tena. Songebni mbele jikomboeni. Nyinyi si watumwa wa mtu. Tuliza koo. Kunywa maji Mzee Magu. Pole.
    Usipotoshe umma. Unafoka sana..kunywa maji Tulia.

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 роки тому +4

    Mbowe oyee!

  • @linuspapiasmanywele3414
    @linuspapiasmanywele3414 4 роки тому

    Maneno Matamu Saaaana

  • @damianmorishokimti6298
    @damianmorishokimti6298 3 роки тому

    CCM acheni kuwaongopea watz kila miaka ccm mpo madarakani tangu 77 hayo matazo ya maji niyakila miaka mbona mnatufanya kama watz ni mazezeta kwa maneno makali yasio na maendleo ya jamii kiukweli ccm mmelisahau taifa na wanachi wake mmekuwa ni washutuma kila siku ccm mmekuwa ni wakulaumu bila kujali na kusukuma maendeleo ya wanachi ccm kubwa mnalo lifanya ni uongo madhambi ya kuliibia taifa kuifuga rushwa uzembe ubahirifu ulio kithiri ktk serekali za CCM ccm inashindwa kuijenga nchi bali ccm viongozi wake mmebaki kujitajirisha binafsi mijitu mingi ndani ya serekali inanenepa kwa rushwa na ufisadi ulio wa madhambi kwa taifa hili lilo jaa rushwa hakuna haki kwa watu wa maisha ya chini ktk nchi iliyo huru hii ni dhambi kwa utawala wa ccm hamuoni hayo jeshi limejaa rushwa mahakama imelindima kwa rushwa mahospital rushaw maji na umeme hauja mfikia kila mtanzania wanafunzi bado wamjazana ktk vyumba vya shule za msingi huduma za jamii ni hoi taaban vijijini wilayani bado kuna magofu alio yaacha mkoloni ila la ajabu watu wakuu wa serekali watawala na maofisa kwa ufisadi uliopo ktk miaka ya utawala wa ccm unawaona watu hao walivyo endelea kimaisha yao binafsi na mafamiilia yao wanaishi kifalme maisha ya kifahari matajiri wao na familia zao ila masikini maisha ya mtz yanazidi kuwa duni kwa kuwa serekali ya ccm inawajali hao walio ktk nyadhifa mbalil mbali nchi zima wao wanajali wizi wizi kila kukicha rushwa rushwa kila kukicha uzembe na ubathirifu ndio kama muongozo wa utendaji ktk nchi nzima ila tu hayo ipo siku mtalipa kuna mijitu kwa rushwa wiki tu ukimpa akipewa sehem amesha kuwa tajiri yani serekali ya ccm ni ukipewa nafasi basi uuanze kuvuna mapesa na hili watz wanalijua wote aibu dhambi kuzaa Au kuishi ktk familia hizo zote mnajiona ni matajiri mnaisji kifahari ila mnakula usaha ulio oza mnakula jasho la mkulima na mfanyakazi mnakunywa vilio vya masikini wa taz mtambue wote mnao jaza magunia ya fedha ktk sehem mlizopo mnadhambi za mileleie hamsameheki daima mnaliibia taifa mnawaibia watz zaidi milion60 mna laana kubwa kwa rushwa hizo na mtambue mtalipa tu hata kwa vizazi vyenu vya 20 historia ipo kumbumbu zipo kila anae jaza na ajaze tu kwa kuwa mnafikiria taz n8 lnchi ya kifalme kwamba ccm itaitawala taz milele ipo siku hamtasikilizwa mtazomewa nchi nzima kwa kutuongopea eti ni nchi ya amani huku mkielea ktk utajiri na kuwaacha walio wengi wakiwa hata maji safi ya kunywa ni taabu kulala ni taabu kula ni taabu huduma za afya ni taabu huduma za mkulima na mvuvi na mfanya vi uchuuzi mfanyakazi wa kima cha chini wote ni taaabu maisha ya maumivu kila siku ila nyie watawala ndani ya maisha yenu ni raha tu mna magari na watumishi wa kila jambo watoto wenu wanasoma katilka mashule bora duniani hamjui tatizo la maji na umeme ni nini maana yake hamuoni kama mahospita ya kiserekali na mahakanini vituo vya polisi magereza kumejaa uonevu hakuna haki kote huko na hayo yote ni ya mtu masikini mtaz wa chini alafu mnasimama majukwaani mnatuletea hadithi za juma na roza hamzungumzii uozo wa miundo ya uongozi hamtuambii ni lini rushwa Tanzania itakuwa mwisho kwa mtu wa hali ya chini ni lini usumbufu na ukiritimba utatokomezwa mtaz wa hali ya chini nae avune uhuru wa kuwa ktk nchi huru na ya amani ole wenu ccm

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Spich ni sahihi kabisa ndugu watu walivuna pesa za walipa kodi hadi wengine wakasema million 10 ni pesa ya mboga tuu lakini wala hawakuhukumiwa kwakuwa ni wa CCM ila wangekuwa wapinzani wagefunguliwa kesi hadi wananchi wangeambiwa hawa ni wezi. Gawaneni tu kodi zetu hakuna tabu ila haki ya mtu hailiwi ipo siku mutailipa tu kwenye mahakama ya kweli ya MUUMBA WETU MTUKUKUFU .

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 роки тому

    Kwani akuwai kua na gar Mzee ulikua msengenyaji

  • @iddseleman5065
    @iddseleman5065 4 роки тому +3

    Kz ipo

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 роки тому +2

    Wachaga mmefilisika kisiasa mnawekaje Wamasai kuwaongoza warudi makwao. Gari ni haki yake maana ni kiongizi na pia mlipa kodi.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 роки тому

    JPM mama samia kasha pitisha chanjo 😭😭

  • @Galgani333
    @Galgani333 3 роки тому

    mtu anaeongea ukeli hua ananikonya nyoyo.

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 4 роки тому +4

    Kupata maendeleo hadi uwe na connection
    No connection no service

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 роки тому

      Hasa

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому +1

      Hujakosea, raisi anashughulikia watu zaidi ya milioni 50+.
      Ndio maana kuna wawakilishi kwa Wadi na bunge, hao ndio hutafuta connection kwani rasilimali hazitoshi. Mwakilishi akipoteza miaka 5 kwa kupinga maendeleo, connection anapoteza

    • @africanboy6921
      @africanboy6921 4 роки тому +1

      Kuleta maendeleo ni razima sio ombi,pesa zinazotumiwa kuleta maendeleo zinatokana na kodi zao,atuwaombi mlete maendeleo ila ni razima,chuki,chuki,za nini?kutoka nje sio lazima kuwe na sababu

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 роки тому

      @@africanboy6921 ni lazima wangapi walipita Ikulu na Hawakuleta,?uliwaweka wapi mbona hatujasikia uliyemfungulia kesi??kila mtu ana roho yake kama Baba yako anakupenda pengine jirani hakupendi hivyo aliyeshika kilindi ndiye mwenye kisu

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 3 роки тому

      Hata msaada lazma uombe

  • @dianamaro3445
    @dianamaro3445 4 роки тому +1

    Kila siku unasema maendeleo hayana chama ugumu unatoka wapi

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому

      Hayana Chama, lakini, utamfanya vipi mbunge ambaye amebadilisha malengo ya uongozi na kuzua mazihara tu, ukichaguliwa wakilisha wapiga kura sio kukimbia bunge

    • @barikilinus5274
      @barikilinus5274 3 роки тому

      Tafsiri ya hy kauli ni pana na chukulia anamwambia anaye ng'ang'ana na chama pinzani ahamie chama tawala kuunga juhudi jitihada zake badala ya kukomaa na chama kinacho mcheleweshea maendeleo yake mwenyewe kwa kupinga kila jambo.

  • @philesongella1700
    @philesongella1700 3 роки тому

    Maendeleo hayana chama mzee acha kuhaha kuua upinzani Mr president

  • @emanueldalali7184
    @emanueldalali7184 4 роки тому +2

    Wasema kwenda bungeni kuna korona leo wakusanya watu hawakumbuki korona hilo ni kipimo cha kiongozi bora wanahai Mbowe hafai kabisa kuwa kiongozi

  • @jambia4515
    @jambia4515 4 роки тому +1

    Hongera sana mh Magufuli piga kazi

  • @petersgodwin7200
    @petersgodwin7200 3 роки тому

    Mkuu umepotosha kidogo,hela sio ccm bali niza walipa kodi

  • @andrewmwangonda6704
    @andrewmwangonda6704 4 роки тому +1

    Gari kapewa kwa mujibu wa katiba yetu sio hisani lile

  • @vanesaalberto8479
    @vanesaalberto8479 4 роки тому +6

    Mbowe kazi anayo

  • @lidyamathayo8343
    @lidyamathayo8343 3 роки тому

    Mbona Kodi Ni zetu na viongozi wote Ni ndugu,mbona kwenye kodi hakuna Chama ,ila Kodi zetu ndo zinanunua magari?

  • @estermtitu7205
    @estermtitu7205 4 роки тому +5

    Mfumo wa vyama vingi ni katiba

  • @wapancraswapancras6955
    @wapancraswapancras6955 4 роки тому +1

    Sio kwamba maendeleo hayana chama au

  • @mwitamanyingamwitamarwa2110
    @mwitamanyingamwitamarwa2110 4 роки тому +1

    Zeroo breini is speek

    • @mwitamanyingamwitamarwa2110
      @mwitamanyingamwitamarwa2110 4 роки тому

      Acheni hii nchi miaka 50 ccm imetuchosha acha ipumuzike hata wamezeeka akili mungu wetu tusaidie kuwaondoa hawa mashetani wamengangania vya kutosha acha nguvu yako ishuke itusaidie tunakushukuru yesu amina

    • @benedictoryona4504
      @benedictoryona4504 4 роки тому

      Wew ndo zero brain,Ndo manaa badoo unaishii kwa mama ako mpkaaa leo

    • @benmbughi8426
      @benmbughi8426 3 роки тому

      @@mwitamanyingamwitamarwa2110 acha kukaa kwa kakayako,tafta vyako binafsi utakomboka,sawa boy!!kutumia smart fone ya shemwako ndo madhara yanayokukuta

    • @benmbughi8426
      @benmbughi8426 3 роки тому +1

      Kingereza chenywe kama kinakusumbua, u nonsense idioty!!we love MAGU

  • @dianamaro3445
    @dianamaro3445 4 роки тому +1

    Hakuna kitu

  • @hegatz2263
    @hegatz2263 4 роки тому

    Habari ndugu yangu unaesoma hii comment naomba unisaidie kusubscribe account yangu kwa kugusa picha yangu Apo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 new project coming soon

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 роки тому

    Watanzania wote Ulimwengu Umoja ni ngunvu Rais J.P Magufuli baba wawanyonge Ubarikiwe Amen 💪♥️💪

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 4 роки тому +1

    Mbowe Bunge Goodbye

  • @stellakutta6513
    @stellakutta6513 4 роки тому +1

    Rais wetu Magufuli wa Tanzania. Na mgombea wetu wa Urais Tena wa Urais Tanzania. Mimi napenda Sana kusema kuwa; Mungu amekubariki na amekujalia kukupa hekima ; maarifa na akili zuri. Asante sana; Mimi nakushukuru Sana. Kwani huko alikikutoa; Mwenyezi Mungu. Alijuakabisa fika kazi zako kea Watazania; ni kuwaletea maendeo ya kweli na kuwatoa ndani ya ufukara ambao ulikuwa unawakera kwa muda marefu ; na hawakujua ni Nini Cha kuifanya ili kutoka a na Hali hiyo Kazi ya mikono yako ni nguvu za kipekee kwani imewaletea watanzania manufaa makubwa ya kimaendelekwa WaTanzania wot kuwa ujumla. Magufuli Oyeee! Kura zote jamani na tumpe Baba yetu Magufuli na Wabunge na wadiwadi ccm juu a juu zaidi. Mimi kwa jina langu ni Stella. Nami nimeamua mwenyewe binafsi kuzungumza na Mwenyezi Mungu Jehoval. Kwa maombi ya kufunga kwa siku tati kabla ya siku ya kupiga kura ya tarehe l28/10/2020. Kura zote WaTanzania wenzangu ni kumpigia Magufuli na Wabunge na Madiwani wa ccm ili Rais wetu Magufuli kuweza kurahishia kazi zake alizozifanya Tena kuwa kipindi Cha miaka mitano Tena kea WaTanzania. Ccm ndiyo jibu letu kea kuelekeza kura zetu. Kama WaTanzania tulifunga na Mungu akatuondolea corona. Na hata hivi Tena kuwa kufunga kuombea uchaguzi wetu Tanzania kumwombea Rais wetu Magufuli ili spare ushindi. Mungu ni yule yule. Atasikia matakwa yetu na kumpata Tena Magufuli kwa kura nyingi Sana ili WaTanzania tuzidi kusonga mbele. Kama Kuna wengine ambao wataniunga Mimi mkono ngani ya siku tati kabla ya kupiga kura kwa maombi rasimi ya kuomba kura kwa akili yake pomona na viongozi wake ndani ya ccm. Basi Mimi nitashukuru na kumshukuru Mungu. Kwni imeadikwa kuwa. Mkono wa Mungu si mfupi hata usikufikia. Na sikio lake si Zito Hata asisikie. Na kwa njia hii. Basi Mungu atasikia maombi yetu na Sala na dua zetu Magufuli atashinda kura ni kwa wingi mno na uchaguzi itakuwa wa huuru na amani kwa wananchi wa Tanzania. Mungu bariki Tanzania na watu wake. Amina.

  • @twevegodfrey8
    @twevegodfrey8 4 роки тому +2

    Mbona kwenye connection hatujaona maendeleo mfano jimboni kwetu mafinga mji

  • @bonnymakuke7758
    @bonnymakuke7758 4 роки тому +4

    Yani uyu kauli sake ndo zitamwangusha tarehe28 na tutakushugulikia kweli kwel kama sisi wa bunda ndo tutakuonyesha hasira tulizo nazo

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 4 роки тому +2

      Anaongea ukweli

    • @hassanbwire9033
      @hassanbwire9033 4 роки тому +1

      Bunda si mna ester bulaya? Pambaneni nae

    • @rashidmohd115
      @rashidmohd115 4 роки тому +1

      @@eyumededu2948 ana hasira na mbowe'' tu uyo mzee''' ww' tathimimi Mali za mbowe'' alizonyanganywa tu utaelewa

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 4 роки тому +2

      @@rashidmohd115 mkimuwaza JPM kwa jinsi mnavomuwaza mtazidi kumchukia ila taratibu mtamuelewa

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 4 роки тому +3

      wewe fanya ivyo lakini sisi wana bunda tuko na mzee tena atapita asubuhi na mapema wanabunda hooeee!!!.

  • @nicodemusngwala2079
    @nicodemusngwala2079 4 роки тому +3

    Acha hila ...ndugu ....

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 4 роки тому +1

    Gari la mbunge anaonewa na Rai's! Mmh, hii haijaingia akilini. Nijuavyo Mimi mbunge hukopeshwa kwa kudhaminiwa na serikali kwa dhamana ya sifa na kazi yake ya ubunge. Kama ndio hivyo hakuna sababu ya kumsimanga, maana fedha ya mkopo wa gari si ya MTU fulani bali yatokana na Kodi zetu wananchi.

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 4 роки тому

      wewe cjakuelewa mzee vile anamanisha huko mbali na maneno

    • @sylvesterjose3286
      @sylvesterjose3286 4 роки тому

      @@evansokemwa6587 Ahsante

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому +1

      Mzee anamaanisha kapewa gari kwa kuwa na sifa ya kiongozi wa upinzani. Badala kutumia nafasi hiyo kushauri serikali, anakimbia bunge

    • @sylvesterjose3286
      @sylvesterjose3286 4 роки тому +1

      @@LosiokiSomoire Ahsante nimekuelewa, anakimbia na gari.

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому

      @@sylvesterjose3286 Karibu sana. Kumbuka tarehe 28/10 uchague amani na maendeleo.

  • @ramakisasa8944
    @ramakisasa8944 3 роки тому

    Uweni"upinzani Mbaki wenyewe"ili mtuibiye vizuri ninaamini hayo"magari ni kodi"za walalahoi huo ni ubaguzi tunaupigiya makofii

    • @morandraymond8602
      @morandraymond8602 3 роки тому

      sasa kiongozi tumempa gari alafu corona imengia anakimbia huyo anafaa kweli baba kuikimbia familia yake wakati wa ziki we unaona anafaa kuwa tena baba wa familia tuliambiwa tufungiwe ndani mara rais kajificha chato sijuwi ipo kenya kwaiyo hawafai kutuongoza kiongozi anakuwa mstali wa mbele kwenye tatizo siyo kukimbia

  • @isayashoomwl.2119
    @isayashoomwl.2119 4 роки тому +1

    Hoja zooote ambazo upinzani walitoka nje tunazijua. Bado hujashawishi.

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому

      Yaani wewe umeziba akili kabisa! Umesema hutatumia hata waseme nini?

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Tatizo letu watanzania ni ubinafsi umetuzidi na ushabiki usio na point wala muelekeo!! Hivi Raisi kama kweli ni mzalendo unashindwa kweli kuwaita viongozi wa upinzani ukakaa na unashauriana nao kuhusu maendeleo ya nchi kweli !!? Mbona huwa munanadi maendeleo hayana chama cheo! au ilikua ni danganya toto tuu munavyoongea!!?

  • @petercosmas9902
    @petercosmas9902 4 роки тому +3

    Ubaguzi huo

    • @jumachilundajr4853
      @jumachilundajr4853 4 роки тому +1

      Ndio ujue siasa uongo ulikua hujui pale mboe anvyopg pesa

    • @jumachilundajr4853
      @jumachilundajr4853 4 роки тому

      Ndio ujue siasa uongo ulikua hujui pale mboe anvyopg pesa

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 роки тому +4

      UKitaka kumchokoza mbowe , gusa kiti chake cha uenyekiti, ndo utamjua mbowe ni nan😂

    • @husseinmjungu1941
      @husseinmjungu1941 4 роки тому +1

      Duh xiasa jamani. Kwani ulivyopeleka huo mradi wa maji arusha kwani mbunge alikua wa ccm? Siunasema maendeo hayana chama? Mbona tena unaleta ubaguzi? Kwani mbowe sio mtanzania? Mbona chemba tulikua na mbunge wa ccm lakini hatuna maji, barabara,

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 роки тому

      @@husseinmjungu1941 ili uweze kuingia nymbn kwa mtu na kulala kama wazaz wapo utaomba ruhusa kwa watoto kwnza au wazaz?

  • @barakapeter1406
    @barakapeter1406 3 роки тому

    We ni jembe hakuna Kama wewe karne hii .tunakupa mitano tena baba la baba.

  • @yasintmushi8249
    @yasintmushi8249 4 роки тому +3

    ndo maana hata shule za hai hazikupewa fedha za elimu bure kukosa mbunge wa ccm

    • @mosimba467
      @mosimba467 4 роки тому

      Wewe mbona liongo sana

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 роки тому

      Utampaje mtoto wa jirani wakati wanao wanalala njaa??

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 4 роки тому

      Hakuwepo bungeni kuwatetea wanaHai, ikadhaniwa wako sawa

    • @priscambunda1552
      @priscambunda1552 4 роки тому +1

      Danganyweni muchague wabunge wote wa ccm mtajua hamjui mwenzenu anapambana wabaki wenyewe ili wazidi kufanya madudu cos wapinzani wanawabana na wanafichua maovu yao Sasa nyie shabikieni ndio mtaelewa baada ya uchaguzi kwamba alikua na nia gani.

    • @jimmyjammasmunuo5125
      @jimmyjammasmunuo5125 4 роки тому

      C maendeleo hayana chama ujue mm apo cwaelewi swala lamaendeleo na chama linatoka wap

  • @emanuelinno631
    @emanuelinno631 3 роки тому

    Huna sera

  • @mwitamanyingamwitamarwa2110
    @mwitamanyingamwitamarwa2110 4 роки тому

    Mumetuchosha achieni madaraka nyie mashetani mumezea sana miaka 50 inawatosha

    • @benedictoryona4504
      @benedictoryona4504 4 роки тому +2

      Chumaa ichoo kinapepeaa Bob, kijanaaa mdogo unacomment ushetani ukiwaa mzeee siutakuwaa mchawiii wew🦍🦍🦍

    • @neshikatoroka819
      @neshikatoroka819 4 роки тому

      Mmechoka na mmekwishaaa hiiiiii

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 4 роки тому +1

    Huyu mzee ni mpumbavu huna sera kabakia kututisha wananchi hatukupi kura ng'ooooo mbaguzi mkubwaaa

  • @joelnaja9935
    @joelnaja9935 4 роки тому +1

    Mzee Magufuli hana mfano wake kwa wagombe hawa,
    Na kwa kila mwenye kiu ya maendeleo ya taifa na Wana nchi kwa ujumla chagueni magufuli
    Nikumbushie Mpanda-Kigoma barabara inajengwa
    Mpanda -TBR inajengwa
    Mbeya-TBR
    Kigoma(Kasulu)-Kakonko panajengwa pia ili kuunganisha nchi na mikoa kwa biashara

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 роки тому

      Hayo ni mawazo yako tuu ndugu na kila mtu ana mawazo yake na uoni wake wewe utaona zuri lake na mwengine ataona baya lake! Kisha kila mmoja atapima na kuchukua uamuzi wake na sio kufosiana wala kulazimishana kwakuwa hio ndio democrasia!! Tuache ubinafsi na Ushabiki!! Tufuatilie mambo ili tujue Ukweli ulivyo!!.

  • @petercat7417
    @petercat7417 3 роки тому

    Zile pesa ambazo angeomba zipo? Na Kama hazipo zimeenda wapi?na huko zilikoenda zimefanya nn?