VIDEO: ENEO la AJALI WALIPOFARIKI WATU 7 KARAGWE - KAMANDA wa POLISI ATANGAZA MSAKO wa DEREVA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  18 годин тому

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @DaudLeonidas
    @DaudLeonidas 2 години тому +1

    pole wana kagera kwa ujumla aya ndo mambo ya mwisho wa mwaka pole sana

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 15 годин тому

    Dah!!!! Pole xana ndugu zetu waliokutwa na misiba hii na majeruh mungu azidi kuwapigania mungu wajaalie uzima waponye wote waliokutwa na janga hili AMINA

  • @Choisa-y8d
    @Choisa-y8d Хвилина тому

    Ee Mungu Tusaidie, Damu Ni nyingi Sana Mwaka huu Nchini, Wape Uvumilivu ndugu wote waliowapoteza Wapendwa Wao,Wapumzishe pema wote waliopotelewa Maisha yao, Wapiganie majeluhi wapate kupona Amina.pore sana wana kagera wote pole Tanzania

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 годин тому

    Wezi nao wanaangalia hayo magunia wanatamani ingekuwa usiku Allah awahafu wagonjwa Naawape Kauli thabiti marehem mbele yao nyumaetu ZlnshaAllah😭😭😭😭

  • @MasanjaMayala
    @MasanjaMayala 2 години тому

    Asante sana kamanda kwa maneno yenye busara

  • @ModestaCharse
    @ModestaCharse 14 годин тому

    Polen San waliyo patwa na msiba huu na majeruhi Mungu aweke mkono uweze kupona🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DeniceMuganyizi
    @DeniceMuganyizi 14 годин тому

    Pole sana

  • @Amedymondesi
    @Amedymondesi 16 годин тому +1

    pole sana waliopteza maisha kwenye ajal kalagwe😂

    • @Sashafadhili-z2q
      @Sashafadhili-z2q 14 годин тому

      Mhhh yanafurahsha mbon unachka

    • @nadiatanzania
      @nadiatanzania 7 годин тому +2

      Jaman unacheka nn ama hujui maana ya emoji twakulaumu bure

  • @diocleschristopher7274
    @diocleschristopher7274 15 годин тому

    Poleni sana wana Karagwe

  • @MagiiLema
    @MagiiLema 18 годин тому +1

    😭😭😭😭

  • @Amedymondesi
    @Amedymondesi 15 годин тому +1

    hapo tatzo ndolinapo anzia idala yauamiaji mungu anawaona 😂😢

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya Годину тому

    Tumekuelewa mkuu. Tunakushuru kwa somo hili.

  • @AnsilaBruno
    @AnsilaBruno 18 годин тому

    🙆😭😭😭😭

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 18 годин тому

    Jaman huu mwaka matukio ya ajali yameshamiri sana

  • @EugenFrednand-v9m
    @EugenFrednand-v9m 15 годин тому

    Tatizo beria lazima kuwe na kiashirio kuna beria mnavizia nn

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 15 годин тому

    Kwanini Beria mnazificha kwenye Kona ????

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 15 годин тому

    Huyu dreva n mjinga sana kama hajui kama kuna beria kwan kapitia wap kama katoka mtukula s kapitia hapo na balabala n moja hyo hyo

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 16 годин тому

    Inakuwaje Beria iwekwe kwenye eneo kamahilo? Makosa makubwasana huo ukaguzi ndio tatizo

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi 17 годин тому +1

    Acha uongo iyo seemu niatalishi tatizo nimoja tu watu wanaogopa nyota tuu

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 15 годин тому

    Msingesimamisha hayo magali

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 15 годин тому

    chanzo ni beria

  • @egidiuskato3906
    @egidiuskato3906 Годину тому

    Karagwe tuko kwenye majonzi makubwa.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 16 годин тому

    Hata nyie serekali n wazemba why muweke bellia kwenye Kona?

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 16 годин тому

    KWA NINI MUWEKE BARIA KWENYE KONA
    KWA NINI MUWEKE AMBAPO HAIONEKANI VIZURI
    NYIE NDIO WASABABISHI

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 15 годин тому

      beria ni nn mkuu?

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 6 годин тому

      Kizuizi ili ukaguzi Ufanyike kwahyo nagari yalisimamaKwa foleni yeye Akawasomba​@@stephenrwaich1078

  • @JamesKalisa-ht5xm
    @JamesKalisa-ht5xm 16 годин тому

    Acha uongo wewe

  • @AdiveraGration
    @AdiveraGration Годину тому

    Pole sana

  • @Amedymondesi
    @Amedymondesi 15 годин тому

    hapo tatzo ndolinapo anzia idala yauamiaji mungu anawaona 😂😢