Mungu watofautishe watoto wangu na wengine,kuongea kwao,kutembea kwao ,ujana na ubint wao uwe wa tofauti na wengine ,Mungu wakumbuke watoto wangu wakutumikie
I like so much this song it is very beautiful, indeed may god bless u and your work in the name of Jesus Christ Amen 🙏🙏,,,,,,My name is jeremiasi kiliani from here Dar es salaam 👏
❤❤❤ sana mwanangu, hayo unayoyatamanj Mungu atakupa ukiwa hivyohivyo, wewe Nuru na ni chumvi na barua inayosomwa na wengine. Mungu akufiche na macho ya Dunia yasikuvute ukafanana na Dunia.
Maman yangu mungu azidikuku ongoza katika nja yakweli n'a haki wala Yesu asikubali upoteye hilini ombilangu kwa mungu usuige dunia wala usiige wanadamu ❤❤❤❤
Kuzaliwa katika mazingira ya ukristo ,kuongea katika lugha,kusoma neno kumbe bado haijatosha kufikilia ufalme wako Baba ,naomba unifunze na unisaidie nisiikane imani hadi mwisho ,vita vijapo uwe ngao na mtetezi wangu wa karibu
This song take me to 2011 when i was in high school when i used to beg for neighhood school fees .and knowbody didnt help me i used to cry day and night for GOD and now im working in Government officials and now im paying 4 neighboouring schoolfees .and has turning my crying to help the needy😢
Wa Zambia🇿🇲, Tanzania🇹🇿, Kenya 🇰🇪, Uganda🇺🇬 Na Inchi zingine njooni apa tuseme Mungu ni wa milele and apewe sifa. Thank you woman of God👏👏👏👏
Aya ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ameen
🙏🙇👏🇺🇬🇺🇬
Kenya here amen
🙏🙌
From Burundi 🇧🇮 Tanzania 🇹🇿and Lusaka Zambian 🇿🇲 tupo pamoja dada kama kwahivo tunakupenda sana sasa kwahivo Mungu akusaidie Amen🙏🙏🙏.
Mungu watofautishe watoto wangu na wengine,kuongea kwao,kutembea kwao ,ujana na ubint wao uwe wa tofauti na wengine ,Mungu wakumbuke watoto wangu wakutumikie
Amen and Amen
OH my what a prayer I feel it in my heart 🙏🏿‼️
Watching from Kenya,dada huyu nyimbo zake zagusa moyo ❤wapi like zake martha ❤❤❤❤🎉🎉
Najitahidi Mimi ili nifike mwisho mwema, Baba naomba NITOFAUTISHE na wengine. Amina . mtumishi Mungu akubariki.
Nimependa ❤
Martha mwaipaja barikiwa sana Kenya 🎉🎉tunakupenda sana,,,,,, wapi likes za wakenya
Ombi langu hili Baba nitofautishe na wengine .......hongera dadangu kwa wimbo huu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Why am I crying 😭
This song is a blessing
Lord please nitofautishe 🙏
Any Kenyan here
Martha Mwaipaja more love ❣️
Much love from KENYA 🇰🇪 I do really love this song GOD bless you Martha TANZANIA wapi likes za KENYA 🇰🇪
❤❤❤❤
Upande wa Malawi mama Martha nakupenda sana nayimbo zako zinanibaliki sana ubalikiwe sana mama, ENDELEYA kutubaliki mama ❤
J'écoute pas beaucoup trop le swahili mais je suis touchée toujours par cette chanson merveilleuse.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏
Nyimbo zako nyingi ni nzuri ondoa kutsha tosha vitu vya dunia ya giza 👏👏👏 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Najitaidi mimi ilinifike mwisho mwema, baba naomba nitofautishe na wengine🙏🙏
Kenyans we are in the house 🇰🇪🇰🇪piteni na likes za martha
Amen ❤🇰🇪.
Amen
From lubumbashi drc 🇨🇩
Asante sana Mungu kwa kipaji ulimupa sista mwaipaja.
Nyimbo nzuri sana na enjoy.
Na kumbuka wimbo tusi kate tamaa 🤭 ngoja ni utazame tena, kweli huyu mungu ni mwema 🇨🇩🇹🇿✔️🙏
This is so amazing ❤❤ baba naomba nitofautishe na wengi
This lady's beautiful bro for real your top fan from kenya ❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Amen🙏nyimbo zako hunipeleka katika level nyingine Kila ninapo sikiliza barikiwa sana na hiyo neema iendelee kuwa kubwa zaidi na zaidi
Nahisi uwepo wa Munyu niilipousikiliza huu wimbo,Yesu naomba nitofautishe na wengine ,amen
WACHAWI wapooio. WASHIRIKINA wapi. Mungu. Akusimamie. Mama ni mtamuuuu sana. Washindweeee wachawiiiii. Duuuuuu
From Kenya 🇰🇪🇰🇪Mungu azidi kubariki huduma yako @Martha uzidi kubariki wengi kupitia nyimbo
Amen 🙏🙏mimi piah nko na mani nitapa bwana na tutaishi na yeye namani kila kitu nimeachia mungu wangu vita sio yetu
Nyimbo za Martha inanipendeza nishaapata mawaidha sana, feel love from Kenya mummy jah bless you.
Jaman hata sjui niseme nn jaman kwanjins nyimbo za dada martha zinavyo nibariki MUNGU amlinde ❤❤❤❤❤❤❤
Kenyans let's gather here for the love we have for Martha ....Gods message at home
Mungu akubariki madam Martha jinsi unavyo tubariki n nyimbo zako maana zinaguza mioyo yetu🙏🙏🙏
From RDC my name is MALISAWA BIN MLONGECA JUNIOR napenda kazi zako Martha Mwaipaja Mungu azidi kukupa nguvu upige atua zaidi ❤❤❤❤❤
Nyimbo zako unibariki Sana dada.Niko hapa Kenya.Mungu akuzidishie baraka na nehema
I remember one day you came to the international airport of Goma 🇨🇩🇨🇩when I was sick you prayed for me and I was so healed in the name of Jesus Christ
Mungu akuzididhie maisha marefu mamaa nampenda Sana nyimbo zako zanifariji moyo wangu ❤❤ kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪Nitofautishe na wengine yesu.Nitofautishe Baba niwe baraka kwa wengine🙏Amina
Nice music 🎵🎵 I love Tanzanian music 🎶 I wish you all the best intemes of music am Zambia 🇿🇲
Daaaah ❤❤ siseme tuu nyimbo ni 🔥 Mungu naomba nitofautishe na wengine😢
I like so much this song it is very beautiful, indeed may god bless u and your work in the name of Jesus Christ Amen 🙏🙏,,,,,,My name is jeremiasi kiliani from here Dar es salaam 👏
Ni ombi langu mungu nitofautishe na wengii kuongea kutembea kuwaza kwangu niwe tofauti na wengi👏
Hallelujah hallelujah 😭😭😭 baba nitofautishe na wengine kitabia ,nk in Jesus name 🙏🙏 barikiwa Sana mum ❤❤❤
Wimbo mzuri sana...Bwana nitofautishe🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
Ila nyimbo zako zote nazipenda na huzisikiliza kila wakati
Kwakweli hii nyimbo inamguso mkali😢, ❤ toka 🇰🇪 mamaa.
Nyimbo uzo imba kila leo,zime ni bariki,MUNGU azidi kuku inuwa
❤❤❤ sana mwanangu, hayo unayoyatamanj Mungu atakupa ukiwa hivyohivyo, wewe Nuru na ni chumvi na barua inayosomwa na wengine. Mungu akufiche na macho ya Dunia yasikuvute ukafanana na Dunia.
Mungu akure maisha marefu dada angu nyimbo zako huwa zinanibariki mnoo
❤❤❤❤'nakpenda wew na kaz yako dada.
My favorite,nyimbo zako hunibariki kila wakati,Mungu akuinuwe zaidi ❤️
Maman yangu mungu azidikuku ongoza katika nja yakweli n'a haki wala Yesu asikubali upoteye hilini ombilangu kwa mungu usuige dunia wala usiige wanadamu ❤❤❤❤
👍✔☑✅🏌️♂️🏌️♀️🤝💗💕💟❤🧡💞🤾♂️
Reminding me of butterfly hotel in Tanzania....Unanikumbusha Tanzania,mkahawa huitwayo butterfly.Barikiwa sana.
Hii nyimbo Jana kawe kwa Mwamposa ulipoimba kwa Mara ya Kwanza nilisisimkA kwa hisia nyimbo nzuri❤
Amen hatar mm pia nifika mbalisana
nakupenda sanaaaaa😘, MUNGU akupandishe viwango vya juu zaidi........,.
Baba naombaaaaaa nitofautishe na wengine,ili nifike mwisho mwema🙏 Amen
This lady is lifting most of us by her songs 😢🙏 God bless you Martha
Ongera mama Mungu azidi kukupa neem ya kutuongoza kwa nyimbo zako nakupenda sana 🙏
Baba naomba nitofautishe na wengine 🙏🙏.......am blessed with the song❤❤❤❤❤❤
This song really blessed me 🙏🙏🙏❤ from Mwanza Tanzania 🇹🇿 but am a Kenyan 🇰🇪
Martha Mwaipaja nakupenda saaaana unanifurahisha sana katikati ka nyimbo zako Mungu Mwenye mbalaka nakuombeya mwisho mwema dada yangu
Najitahidi mimi ili nifike mwisho mwema baba naomba NITOFAUTISHE na wengine❤❤
Amen dada kwa wimbo mzuri 😂😂😂😂umewapa kweli madui kipoko kweli😅😅 chuma chao kiliiva kweli
Eee Baba nitofautishe na wengine ni ombi langu niishi katika njia zako,nitembee katiko nuru yako 😢😢
Iwe kwako kama ndio ombi lako...Amina..usiwe zuzu daraja la waovu kuelekea kuharibu kwa sababu unataka kuwa tofauti...Amina.
What a powerful prayer, that's my prayer too, Mungu anitofautishe n anipe mwisho mwema 🙏🙏
Huu wimbo unanibariki sana 😌’’Bwana naomba nitofautishe na wengine’’ 🙏
Barikiwa sana dada nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako hasa pale niko na wakati mgumu ❤❤❤❤
Kuzaliwa katika mazingira ya ukristo ,kuongea katika lugha,kusoma neno kumbe bado haijatosha kufikilia ufalme wako Baba ,naomba unifunze na unisaidie nisiikane imani hadi mwisho ,vita vijapo uwe ngao na mtetezi wangu wa karibu
ALISHADAI, ADONAI nitafautishe na wengi...n JESUS NAME ❤
Wangapi wamewatch this song then wakapiga magoti wakaomba Kaa Mimi🧎🧎nipe like tu!nitashukuru🙏
Kweli kaka hii wimbo imenifanya nilie tena na kuomba
Kaka hi wimbo umebeba ujumbe mzito sana Mungu amjalie sana
Amina@@AbidanWamukota-uk5su
@@JohnJohnkyalobarikiwa
@@JohnJohnkyalobe blessed
Na Mimi Naomba nitafautishe Na wengna niwe baraka kwa wengn asant sister from Mozambique muito obrigado aminha Irma boa musica
Naomba nitofautishe na wengine.......am blessed with the song❤❤❤..........
Baba naomba unitofautishe na wengine nifike salama🎉🎉
Amiiina, nitofautishe tena baba!
🧎🏽♂️🧎🏽♂️🧎🏽♂️🧎🏽♂️🧎🏽♂️🧎🏽♂️🧎🏽♂️
Mungu akuongezeye kipaji. Tunabrkiwa sana kwa nyimbo zako
Good nic my sister Martha mwaipaja I'm from Mozambique Mimi ni makonde kutuka Mueda!!
Nitofautishe Yesu Amen,Mko wapi wakenya tubariki dada Martha kwa likes na subscription??
❤❤
0:00 0:00
🙏🙏🙏Kwakwel na barikiwa Sana na nyimbo zako madam,
Ee mungu ni tofautishe na wengine.
This song take me to 2011 when i was in high school when i used to beg for neighhood school fees .and knowbody didnt help me i used to cry day and night for GOD and now im working in Government officials and now im paying 4 neighboouring schoolfees .and has turning my crying to help the needy😢
Amen
Mungu akuinue zaidi na zaidi
Nitofautishe baba ombi langu kwako🙇🙏🇨🇩
From Kenya, but I love your songs mummy,,, congratulations mum, love you ❤❤❤❤❤, good songs, may God bless you 🎉
Nitofautife Mungu wangu, nipe utulivu kuliko wao, nipe ukimya kuliko wao... niwe mwena na baraka kwa wengine 😭😭😭😭🙏🙏🙏amen
Baba naomba ukanitofautishe na wengine 🙏
Hakika wimbo wa nitofautishe na wengine nakumbuka mengi sana dada angu Martha mwaipaja from tanzania
Mungu akupandishe juu. Nilikuwa niki isubiria sana.
thank you so much Martha Mwaipaja, I am so touched and blessed by your ministry of singing. I am from zambia❤❤
Ni maombi yangu, kuwa baraka kwa wengi, Mungu ninaomba nitofautishe na wengi
Haleluya ahsante yesu 🥲🥲❤️❤️❤️🙏🙏🙏🌹mwisho mwema kwangu 🖤
Kongole kongole kongole Martha,nimesubiri hii kibao kwa hamu na gamu. Mungu akunyenyekeze akikuinua kwa utukufu hadi kwa utukufu mwengine
Sister martha mwaipaja mungu akubariki sana wimbo mzuri sana nimesikiliza hadi mwili umesisimka be bless woman of god❤
❤❤ 🙏🙏🙏Ameni Martha God bless you 🙏 nakupenda sana dadagu much love ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa kweli wimbo huu unangusa sana wakenya usilo taka kufanyiwa usifanyie mwenzio ❤
Huu wimbo ni mzuri sana niliusikia jana kanisani kwa mwamposa
Mungu nisaidie mwisho wangu iwe mwema🙏 I love your songs ❤❤❤
Blessing song 👌
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏🙏🙏🙏 nitafautishe Jehovah niwe baraka Kwa wengine in Jesus name be blessed sister Martha
Waaah data yangu we unibariki sana nanyimbo sako jamani ninani ubarikiwa kama mimi wakenya wenzangu nipe like yako please ❤
Umenibarikii sana na hio nyimbo
Halleluyah...Nitofautishe ni wangu Bwana naomba 🤲🤲🤲🙌🙌🙏🙏
Her songs are a big motivation and of hope for another day...God bless her so that she continues blessing us too😊 Much love from Kenya 🇰🇪
Mungu wanapigana na mimi naomba unipiganie Mungu😢😢
Pamoja kenya nipo ndani ndani na likes zote atahazitoshi nyimbo za martha zinanitia nguvu sana❤
Much love from Zambia🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲
🙏Emwenyezi mungu naomba nitofautishe na wengine katika kila kitu nikifanyacho.Heko dadangu
I like the song
Nyimbo zako zaniguza sana hadi natamani kukutana nawe mwaipaja.watching from Washington
From TikTok to here dear blessed Martha Asante kwa huu wimbo saana ..barikiwa saana
Wimbo mwema hakika,baba nitofautishe na wengine🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰Martha barikiwa zaidi.dada♥️♥️♥️
Wow wonderful song.... Nitofautishe na wengne 👏 👏 👏
Nitofautishe Na wengine,,,,,🎉🎉🎉❤❤❤❤ Ameeen. kutoka Kenya
Mwaipajaaa Kutoka Goma 🇨🇩🇨🇩 DRC mungu anitofautishe n'a wangine, mwaipacha ulisha pendeza sana🙏
Baba naomba nitofautishe na wengine kuanzia tarehe ya Leo 10/7/2024 kuenenda kwangu, kunena kwangu nitofautushe na wengine