ULEGA AMJIBU MPINA WAZIRI MKUU AANGUA KICHEKO “MPINA MIMI NAKUHESHIMU,ALITAKA NIMWAMBIE ANAKOSEA?”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 Рік тому +3

    Ulegaaaa... Naona umemtuliza jamaa kisayansi

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Рік тому

    Very intelligent . Una akili maana mpina haelewi kwamba maisha yanabadilika

  • @kingngojea
    @kingngojea Рік тому

    Mungu akulinde mpina unautanzania ndani yako ndomaana unanyoshavkama msumeno

  • @yohanesfelix7534
    @yohanesfelix7534 Рік тому +2

    Jibuni hoja siyo kupoteza muda kukumbushia alipokosea mtu miaka hiyo ambapo hamkumkosoa.Hii siyo busara.

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 5 місяців тому

    Mpe za uso huyo Mpina

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому +2

    SASA ANGALIENI NA ZANZIBAR NG'OMBE WANATUMIKA VIBAYA SANA .WANABEBA MIZIGO MIZITO KULIKO UWEZO WAO NA BAKOLA SANA MPAKA NG'OMBE ANAKIMBIZA MZIGO HUKU ANAJISAIDIA NA KUTOA MAKAMASI ..NA HATA PUNDA WENYE NGUVU KULIKO NG'OMBE NAO PIA WANATESKEKA HIVYO HIVYO EBU SERIKALI YETU IFUTE HII KITU KABISA.

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 Рік тому

    Big brother always right😂

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi Рік тому +1

    Nimecheka sana leo😅

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Рік тому +3

    kuna shida kubwa sana kwenye uongozi wetu naibu waziri na waziri, kama hawa ndio walivyokuwa hivyo basi kuna shida kubwa na je naibu waziri kazi yake nini hasa

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Рік тому +2

    Hapa hamna kitu

  • @LukeloKibumo-uu2oh
    @LukeloKibumo-uu2oh 5 місяців тому

    Ulikuwa unauliza nini siungesubiri usikie anachangianini

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 місяці тому

    Kwanini kila Wìzara mpinzani ni Mbunge Mpina tu wengine wako wapi

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 Рік тому +2

    bindamu sio mnyama mbona mnatutenga kwenye keki ya taifa

  • @PhilemonPaulo
    @PhilemonPaulo 11 місяців тому

    Mark my words ,Huyo jamaa ulega atafika mbali sana

  • @mamakoku5123
    @mamakoku5123 Рік тому +1

    kujiamini huku utakuwa umestua kdgo

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 Рік тому

    Kwahiyooo unawaoogopesha watu wasichangie???

  • @eddybayzor2833
    @eddybayzor2833 Рік тому +1

    Kuna pesa simepigwa nyie mnalumbana unaibua hoja za miaka kibao iliyopita hii mnatambiana vyeo hii ndio kazi mmetumwa na wananchi?

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 Рік тому +1

    Sihami hapa tz😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaan Tanzania ni raha sana😂😂

  • @mzungu2012
    @mzungu2012 Рік тому

    Inawezekana anapoteza shape, ila swali la msingi ni kwa kiwango gani? Anatunyima kufahamu tulichotaka?

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 Рік тому

    Upuuzi mtupu na siasaa za kikeiii

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 10 місяців тому

    Kwan ni uongo? Ww hujui? Kwenda zako........

  • @yohanesfelix7534
    @yohanesfelix7534 Рік тому

    Ngonjela tu hapo

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Рік тому

    Muna yenu

  • @mohdmood9726
    @mohdmood9726 Рік тому

    Ni wangapi wapo katika madaraka kwa kutotekeleza wajibu wao kama wewe.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 місяці тому

    Kumbe mnahongana kwa maneno

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Рік тому +1

    sasa kuna haja gani kutunga sheria kama hamuwezi kuzisimamia ? hovyo sana hawa watu

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 Рік тому +1

    bola muhuri sio hereni😭

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 Рік тому +1

    Haaaaaaa hii nchi ngumu sana

  • @smarty1064
    @smarty1064 Рік тому

    zoezi lingekuwa la bure lingefaa sana sasa mnachaji kwa kila ng'ombe, kodi nayo juu yaani dah!

  • @maulidihassani8324
    @maulidihassani8324 Рік тому

    Mpinaa jiongeze jambo na wakatiwakee

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn Рік тому

    Sasa mbona huongei hoja unakera bwana

  • @frankmayunga7091
    @frankmayunga7091 Рік тому

    Mmm unajibu au una hasira

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo Рік тому

    Bado

  • @MusaHamis-oz2rg
    @MusaHamis-oz2rg Рік тому

    Mmmmhh naoa kama nikupigana maneno tu hapa😅😅

  • @prijoseph4665
    @prijoseph4665 Рік тому

    Huyu jamaa ni kichwa

  • @norbertleone1628
    @norbertleone1628 Рік тому

    Akili kubwa hii

  • @jumaseif2140
    @jumaseif2140 Рік тому +3

    Nakuona waziri ulega uko vizuri na mungu aendelee kukupa hekima nnaimani wizara yetu inshallah inaenda kuleta mabadiliko

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 Рік тому

    Animal welfare ni kitu muhimu sana.

  • @leninkazoba6534
    @leninkazoba6534 Рік тому

    These are nonsense hoja za Waziri kujibu namna hii