BALAA LA MBUNGE MPINA “WAZIRI WA FEDHA ALIKWENDA BILA RIDHAA YA BUNGE, AMEZIPELEKA WAPI?”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @sayijoseph1825
    @sayijoseph1825 Рік тому +2

    Luhaga jorison mpina Mungu akjalie sana upeo wawe ni raisi ujao Mungu akujajalie sana na akulinde

  • @samsonnyantori9335
    @samsonnyantori9335 Рік тому +4

    The only one standing man

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Рік тому +17

    Wananchiiii mitano tena kwa Mpinaaaa

  • @kingmadev
    @kingmadev Рік тому +7

    Nchi hii tunafuga ugonjwa wa kufugana2. Katiba mpya ni muhim na sheria zirekebishwe ili yoyote hata Kama ni mkuu akifanya makosa ashtakiwe. vinginevyo nchi inaweza kupigwa Bei bila sisi kujua

    • @kisimbaeconomyzone7813
      @kisimbaeconomyzone7813 Рік тому

      Sasa wao ndio wenye maamuzi yakuipitisha au laa Sasa unampa mwizi akuwekee kitasa unafkir ataweka kigumu Cha kumbana yeye

  • @mwalimudavidkizazihuru
    @mwalimudavidkizazihuru Рік тому

    Wote tunasema Mungu akulinde na mabalaa yote ya kimwili, kiakili , kiuchumi na kiroho Mh. Mpina

  • @eltonmika2797
    @eltonmika2797 Рік тому +13

    Kama umeonana kazimiwa Mic 🎤 tujuane hapa

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 Рік тому +10

    Huyu ndiye kiongozi Sasa anayejua nchi inavyokwenda, kwa nn huyu jamaa acpewe uwazil wa fedha! Huyu jamaa apewe nafac kubwa ktk nchi atasaidia San taifa hili cjui kwa nn hawamuoni huyu jamaa, hata urais Nampa kula

  • @ashimba3688
    @ashimba3688 Рік тому +6

    Haibu sana pesa mnazilatu kutubambikia mikodi ndio ilikuwa mbinuyenu tumewaelewa wezingie Mpina nakukubalisana

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 Рік тому +5

    Jaman nadhan tunaweza kukubaliana mnyonge mnyongen haki yake mpeni watanzania tumemuelewa magu,mtaongea Sana kwa Sasa hakuna wa kusimamia kwa na kukemea haya kwa moyo wa kizalendo pole watanzania acha tupigwe

  • @BahatiJuma-u4n
    @BahatiJuma-u4n Рік тому +2

    Nchi hii tatizo sana mwazalendo wapo ila wamekaliwa

  • @haider1997
    @haider1997 Рік тому +3

    Nakukubali mpina

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 Рік тому +2

    Hakika Watanzania tunateseka na kuteketea MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZETU,na walaji wamo humo humo bungeni lakini hatuoni hatua kali za kisheria dhidi yao.

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 Рік тому +4

    oyo wazir wa fedha zijawah kumuelewa kabisa

  • @francischacha6561
    @francischacha6561 Рік тому +3

    Hivi mpina anaushindani 2025?

  • @musason1680
    @musason1680 Рік тому +5

    Asee nchi yetu sijui inaenda wap

  • @sumunichannel1034
    @sumunichannel1034 Рік тому +5

    Mwamba sana huyu

  • @hamisrajabu1675
    @hamisrajabu1675 Рік тому +1

    Mzee huyo wazir wa fedha ajara peke yake kala na mm yake na baba yake kwhy hapo unaoongea wanakuchora2

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 Рік тому +1

    Mwigulu hawezi kuwa na jeuri na dharau bila kinga ya mama yake wanajuana haoo!

  • @darasibrown6084
    @darasibrown6084 Рік тому +5

    Dahhhh magufuli alisema hii nchi Tajili sana😢😢

  • @SadikiMmamba-lk4sw
    @SadikiMmamba-lk4sw Рік тому +1

    Ingekuwa ni kale kaenzi ka Magufuli hilo nijipu sio kijipu

  • @raheemmagweiga5010
    @raheemmagweiga5010 Рік тому +1

    Waziri wa fedha atoke mama tunakupenda ila huyu waziri ana mapungufu mengi sisi tuko macho mda unakuja polepole kweli tunaumia pesa zinaliwa na kugawana kama karanga dah.

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 Рік тому

    January ,mwigulu na waziri wa ujenzi WAFUNGWE

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Рік тому +4

    broo Mpina 💪💪💪

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому

    Trioni 30 ni Hela nyingi sana!

  • @gaspermassawe5799
    @gaspermassawe5799 Рік тому +1

    Wenye meno kazini,no More

  • @geey7893
    @geey7893 Рік тому +1

    Huyu Mwigulu Nchema ni nani Tanzania?

  • @ptrcassian4545
    @ptrcassian4545 Рік тому +2

    Kwanini mnakua mnatusimulia mambo ambayo tunaenda kuyasikiliza

  • @kikongajoel5172
    @kikongajoel5172 Рік тому +1

    Daah trillion 30

  • @sallythomas7743
    @sallythomas7743 Рік тому

    Uko sawa mzarendo haiwezekani kupitieha bagenti nyingne wakati haijatumika ya awali

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 Рік тому

    warudishe fedha zetu wawajibike!

  • @abrahamsamweli-wg8ck
    @abrahamsamweli-wg8ck Рік тому

    Wewe ndiye Magufuli wangu kwa sasa

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 Рік тому +1

    Mabusssss

  • @BahatiJuma-u4n
    @BahatiJuma-u4n Рік тому

    Wengine kimyaaaaa na hivi mnachukuliwa video recod

  • @rejius11
    @rejius11 Рік тому

    Mpina ana point ila anapuuzwa koz viongozi wa juu pia ni wahusika

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 Рік тому +1

    Rais asipchukua hatua Mungu atamuadhibu!

  • @sayijoseph1825
    @sayijoseph1825 Рік тому

    Dah anaongea kwa uchungu na maumivu

  • @masudirashidi5585
    @masudirashidi5585 Рік тому +1

    Uwanja WA ndege chato

  • @manasekijangayamba2023
    @manasekijangayamba2023 Рік тому

    Trillion 30 zimeteketezwa halafu wananchi wanadanganywa dai risiti ukinunua kitu na wakati hicho kitu kimoja unacho nunua kimelipa kodi 10 na zaidi kuanzia kitoke kiwandani.

  • @yusuphhabibu1474
    @yusuphhabibu1474 Рік тому

    Yaani serikali hii ya CCM imekosa uwadilifu Kila siku nimajizi TU sijui wazazi wao Hawa majizi nao nimajizi yaani inauma sana mitozo Kila Kona na yakiiba Yana bembeleza ndio maana bunge ni dhaifu nikweki kabisa

  • @estherdominic1673
    @estherdominic1673 Рік тому

    Anaongea sana mpina alafu ana vielelezo kanyimwa madaraka Nini? Du pole sana kuongea hivyo ndo utapewa Sasa uoni unajichosha mambo yenyewe unaongea majungu au una chuki binafsi du

  • @mathiasbukombe3543
    @mathiasbukombe3543 Рік тому

    mpina ndugu yangu utakufa tu siku sio zako ccm yako ni sikio la kufa halisikii dawa ,spika wako na mwenyekiti wako wanakuona kama inzi tu 😂😂😂😂

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 Рік тому

    Najua vya maana huwa mnapuuzia ma kijinga mnakazia.MAJAMBAZI;MAFISADI MNAYAFANYA SANA.tutawaona kwenye utekelezaji

  • @dommycash1
    @dommycash1 Рік тому

    😂😂😂

  • @hassanimussa2154
    @hassanimussa2154 Рік тому

    Alipata huyo uwazili wa maliasili mpina, hamna kitu kabisaa hapo maneno mengii ,anafurahisha watu tu

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Рік тому

      Anahafadhari aisee kuliko wengine

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 Рік тому

      Acha usenge wewee

    • @tanzanitetv
      @tanzanitetv Рік тому +1

      Peleka chuki zako huko,ww ni mnufaika wa wizi

    • @majutosunguru-fd8rs
      @majutosunguru-fd8rs Рік тому

      ​@@tanzanitetv 😢

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 Рік тому

      Mpina alipo pata uwaziri alifanya kazi vizuri sana nakumbuka alikuwa waziri wa mifugo na uvuvi kipindi cha cha magufuli ila baada ya magufuli kuondoka chuki ikaingia mawaziri wote wa magufuli wakaondolewa na kurejeshwa mtandao wa wezi na wahujum mali za uma kama tunavyo ona hivi ,na kumbuka waziri medadi kalemani alikuwa waziri wa nishati mambo ya umeme kila mwananchi alishuhudia alivyo sambaza umeme hadi vijijini lakini magufuli alipo ondoka mtandao wa wezi wa nchi ukalejeshwa kama tunavyo shuhudia watanzania tuendelee kuomba bado MUNGU yupo kulipigania taifa hili mpaka haki ya watanzania ipatikane

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 Рік тому +10

    Huyu jamaa apewe uwazil wa fedha anafaaa san

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 Рік тому +4

    Kwa nn wajibu ktk kamati privately, wajibu apo cc sote tusikie, no secret room

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 Рік тому +4

    Ukweli umeungea ila baadae watakuita sukuma gang

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +4

    Mtu anapiga hela leo anaangaliwa awekwe kati basi kwani mnawaogopa au dhalau

  • @yusuphhabibu1474
    @yusuphhabibu1474 Рік тому +2

    Tuanze na waziri wafedha na haya majizi tufuatilie Mali zao zote tuchukue na wao washitakiwe kuhujumu nchi maana naona Sheria hii niuma na kupuliza hivi anaemkumbatia huyu mwingulu nani au wanakula wote

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 Рік тому +3

    kwanini uwaziri wanapewa mazezeta wanaachwa wazarendo kama wakina mpina ?

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Рік тому +2

    Mmmmh...hivi umesikia...!
    Ubadhilifu wote Kwa mwaka mmoja ni zaidi ya 30 tilioni...
    Hii nchi kweli ni tajiri sana...sasa tunakopa Ili iweje.... Iwe heri Kwa watz

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 Рік тому +2

    Kama Mwigulu Ataendelea Kuwa Wazir Wa Fedha Tutapigwa Mpka Basi

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 Рік тому +3

    hii nchi hatuna viongozi nchi imekaa tenge,,,

  • @auceid6149
    @auceid6149 Рік тому +1

    Hoja kama hizo makofi yanakua machache wabunge wa fisiem buana

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 Рік тому

    SEMA mpina japokua wasema ukweli ndo wanakamata nakunyamazisha hiselekari hii wamu ya 6 nitatizo wabunge baazi walio wengi nasipika niwanafiki Sana ubalikiiwe mpina🙏👍

  • @estherdominic1673
    @estherdominic1673 Рік тому

    Anaongea sana mpina alafu ana vielelezo kanyimwa madaraka Nini? Du pole sana kuongea hivyo ndo utapewa Sasa uoni unajichosha mambo yenyewe unaongea majungu au una chuki binafsi du

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 Рік тому

    Pole mpina,wenzio wanalinda matumbo yao we unajitoa mhanga

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 Рік тому

    Ndio maana mwigu ananenepa saaana aiseeee

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Рік тому +1

    Duh... Inauma Sana unakatwa tozo, Kodi ,vat, application fee's kila kona Serikali inachukua pesa yake alfu unasiki haya inauma Sana.
    Yana mdaa

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 Рік тому

      Kwakweli bora wangewaachia wananchi
      Wakatoa hizo tozo

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Рік тому +1

    Aki tozo zetu jamani.,.aki nasikia kulia

    • @frankenock2853
      @frankenock2853 Рік тому

      Usilie dadaangu , hii nchi imejaa majizi kibao , kunamuda hasira inakaba koo mpk mtu unawaza kufanya matukio ya ajabu.

  • @josephlucas2786
    @josephlucas2786 Рік тому +1

    Hivyi inamaana Rais ajui yanayo fanyika kweli

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Рік тому

      Yeye ndio anayetoa maagizo hayo...ni vile Huwezi Sasa kumlenga moja kwa moja boss wako hivyo hata mawaziri sio kosa lao

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 Рік тому

      Rais anajua sana tu si ndio watu wake wanajuana

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 Рік тому +1

    Wapinzani walituchelewesha jamani ,,kauli za Kipuuzi sana ,ni ujinga wa hali ya juu watu wanapiga hela hizo ,maisha yapo juu Hafu watu unakuta kiherehere kwa watu juu serkali ,Kila cku ni wizi TU

    • @gaspermassawe5799
      @gaspermassawe5799 Рік тому

      Mbn ueleweki ,wapinzani walikuchelewesha wapi uuu blind,wao ndio wameiba hizo trl 30 za mpina stp

  • @joerosay
    @joerosay Рік тому

    anakopa pesa anawalipa wabrazil wake huyu ni mwizi sana

  • @davidliwawa6044
    @davidliwawa6044 Рік тому +1

    😢😢😢

  • @elishapaul1706
    @elishapaul1706 Рік тому

    Niko naska ela ya kula wanangu S big star😅

  • @lucasmatemele8589
    @lucasmatemele8589 Рік тому

    Hatari sana

  • @elibarikiyohana2371
    @elibarikiyohana2371 Рік тому +2

    Mpeni uwaziri anyamaze😂😂