Nawashukuru nawapenda Upendo Na Nguvu mnaonipa ni Mkubwa Sana Cha Pili Mungu ndo anajua Namna Gani napambana Juu Yenu Na kwa ajili ya soko letu Na kutengeneza muziki mzuri wenye ADHD nawashukuru mnanipa nguvu Hata Kama wengine awatoi nguvu nyie mnanitosha 🌺💥🍓🤛🏿kazi Juu ya kazi mwaka huu wataeleweka Tu
Baba mwenye muziki wako fanya jambo basi sokoni amna ngoma kali playlist zinaboa sana saivi mzee Baba najua tukiomba unatusikia na unatujibu Baba fanya kitu basi
Barnaba if you can read this YOU ONE ARTIST I CAN NEVER GET ENOUGH OF YOU ever since MILELE to this latest jam you are a true definition of PURE TALENT keep the doing what you do best. TALK LESS RELEASE GOOD MUSIC that's what describe you.From254 thumbs up
All I can say is you are the best to me so far shemeji yako na once jirani yako from Kenya... Lots of love nyimbo zako si za kubaatisha at all... nakuheshimu sana
No words we ni kiboko yangu huwa sichoki kukusikiliza hata zile ulizoanza Nazi enzi hizo hazichujii ng'ooooo wengine woteeee hawaimbi ....you were born for music that's why is classic
Kama kuna msanii namzimia bas BARNABA CLASSIC. I do no why I feeel to listen ur own song's. hujawah niangusha kila ukishusha dude. braza saluti sana kwako mkubwa. niseme to loverboy; Marry you; till now tunafanana.
Nawashukuru nawapenda Upendo Na Nguvu mnaonipa ni Mkubwa Sana Cha Pili Mungu ndo anajua Namna Gani napambana Juu Yenu Na kwa ajili ya soko letu Na kutengeneza muziki mzuri wenye ADHD nawashukuru mnanipa nguvu Hata Kama wengine awatoi nguvu nyie mnanitosha 🌺💥🍓🤛🏿kazi Juu ya kazi mwaka huu wataeleweka Tu
BarnabaClassic wao I love u so much
Inabidi niku dai bro maana GB zangu zinaishia hapa siku wa nne sasa..nice work bro thumps up
BarnabaClassic nadhan replay button itaharibika. kaka unajua kupita maelezo. we need you internationally
BarnabaClassic ,...u are moo fire dude , yaani kila ukitoa wimbo tz inakuwa on fleek, keep going bro,,, only God knows how you struggle,,
BarnabaClassic Almighty bless you with a wonderful voice keep the good music
hujawahi kuniangusha mzee baba🙌🙌🙌🙌unajua mpka unaboa😅😅😂😂😂
Hujawahiii!! kukosea ka mkubwa!! kila kitu kikaliii!! Kichupa kikaliii,Nyimbo kaliiii, mtoto mkalii😝😝 na location pia kaliiiii....
napenda sana iyi song atakama kiswahili ca bongo kigumu..burundi we love your song barnaba..🎶🎶🎶tunafana mapaca
Dah!we jamaa,hivi kwanin hatukupi heshima yako mzee wa sauti!tumekaaa kuwashabikia wazee wa kick kila cku!!,naamin huu wimbo watakuelewa mzee!big up
Ilove my song
Big tune...barnaba u never dissapoint...my best artist in Africa
kila siku nasubiri kawimbo utakachokosea maana kila ngoma ninoma zaidi ya Jana 😍
haki ya kweli aisee .. Hata mm nasubirigi kila siku apuyange ila wapi aisee hakoseagi
dah huyu jamaa! mtu au mini nc song brodah
Hatari sana hii daddy yangu...ukizidi hivi naona nikipata mchumba
hahaha
Charlo Sue Msanifu ukweli...cheki my new video 'low key' on my channel
2024 We are here ... Kabisa Barnabas. It was a pleasure sharing same stage Pale Miss Tanzanite 2014 Arusha. Moseh The Drummist 🇰🇪 Hapa. Salute
mtoto akilia dedeeee letenimubebe rahaa Sana nice barnb
i am writing this comment so that whoever like this comment it reminds me to come here and listen to this masterpiece song💯
yaaaaaaaaaaan kweli we kiboo duuu hili dude trace wataisoma namba
Aisee ni hatari sana, yan siku izi kila msanii anatoa nyimbo kali safi sana!Wish bongo move wangekuwa kama nyie
kama umecheza hii nyimbo zaidi ya mara tano nipe like na neno moja
mimi hapa zaidi ya mara kumi
iko sawa ni noma
Daaah hii nyimbo ni nooooooooma yaaan sitakagi iiishe masikioni mwangu
Mwana ume kuchakalika kwenye shidah Wewe ndowangu
@@veronicampeka739 very nice song they sing always on sound daaaah
Duh wimbo mtamu hadi nasahau kula hiv why hupewi salute ww mtu maan nyimbo zako zote zinanipag ukichaa ,,,,,,,,,,;;!! Thanx a lot mkaka
dah bro hujawai kukosea ,wimbo mzuri saaaana sana ,go go goooooo barnaba
Akuna ngoma utakae itoa ikawa mbaya nakukubal sana mzee baba barnaba classic
safi kabisa upo vizuli
❤️🔥❤️🔥2024 Ambao Bado Tunafuatilia Na Kuipenda Hii Ngoma Tukutane Hapa
Sijaisikia Tarumbeta....ingependeza kulisikia
imo kidogo
Bizimana Frenki Nimeisikia. ....inahitaji umakini kuisikia.....asante
poa
Hujawahi kukose bro me nashangaa sana y hawakupi tuzo?? sio siri Barnaba anajua sana bonge la nyimbo salute kwako👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Underrated African Young King🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏿
Who else thinks "Lonely".... Diserved a video?... Can't wait for your album Barnabas
Barnaba ni zaiidi YA Artist kila kitu unajua kuimba, Kutunga, kupga vyombo big up mziki. Mtaaaamu
mshike mkono Ben pol baba B naona anayumba.......nyie ndio wakali wa bongo rnb👑
😂😂😂😂mafuta hayajaai kumuacha mtu salama
Simu yangu hua ina nyimbo za huyu jamaa tu ingawa nasikiliza nyimbo nyingi sana..big up barnaba boy
barnaba ndugu yangu nakwamia bro big up mwenzi mungu akuzidishie Siku zeto
#salute_Tudi_Thomas biti imeshiba hatareeeee one love #barnaba_king
Ngoma nzuri sana barnaba hujawahi kukosea kwa kweli wewe ni kipaji zaidi#tupe ngoma mpaka wajue wewe ni kiboko yao
Namkubari huyu jamaa ngoma zake zote ziko Poa kinoma Barnaba Boy you're king
baranaba sijui nikufananishe nanini mana huja wai kosea sauti tu inatumarazaaaaaaaaa👍
Baba mwenye muziki wako fanya jambo basi sokoni amna ngoma kali playlist zinaboa sana saivi mzee Baba najua tukiomba unatusikia na unatujibu Baba fanya kitu basi
yan ww jmaa bongo bahati mbaya yani unajua mpaka basi
yan we lavel za mbeleee sema tu ndo vile .. this song is a hit..
Miaaaaaaaamiaaaaaa nice song..hujawah kusea ..
hukoseagiii barnaba wallah nyimbo nzur inapenyaa ku moyo big up
Barnaba if you can read this YOU ONE ARTIST I CAN NEVER GET ENOUGH OF YOU ever since MILELE to this latest jam you are a true definition of PURE TALENT keep the doing what you do best. TALK LESS RELEASE GOOD MUSIC that's what describe you.From254 thumbs up
Mike Lucian you can say that again, BARNABA needs to see this comment walah
You cannot under estimate the power of classic music , 👍🏽👌
Watu kama hawa ndio wanaifanya dunia kuwa sehemu nzuri hongera xana barnaba
All I can say is you are the best to me so far shemeji yako na once jirani yako from Kenya... Lots of love nyimbo zako si za kubaatisha at all... nakuheshimu sana
unajua Barnaba level zako sio za Tanzania sijui kwanini Watanzania hawataki kulelewa. 👏👏
mtoto akilia dede.... auuu i am. just ua biggest fan.... big up
Mwambaaa unajuaaa sana mpaka unapitilizaaa hatariii sana
kaka Hakuna wa kukufikia wew ni the best unaimba nyimbo nzuri Sana like it song
No words we ni kiboko yangu huwa sichoki kukusikiliza hata zile ulizoanza Nazi enzi hizo hazichujii ng'ooooo wengine woteeee hawaimbi ....you were born for music that's why is classic
my nmber 2 kwangu kwa waimbj wa kiume we ni noumer sanaaaaa
hakiamungu kama ni international alitakiwa huyu jamaa ndo atuwakilishe hakuna siku aliyokosea big respect
Barnaba unasauti nzuri.isitoshe nyimbo zako za pendeza asante kwa kazi nzuri.much love all the way from Nairobi Kenya
Wonderful job brother make it up bro Classics, ni zaidi ya mond basi tu jitu hazioni kazi yako
Masilu Lwivala you can say that again , tunamchukulia Poa sana jamaa sijuwi kwanini?
Barnaba ni zaidi ya msaniii mwenye hisia za uimbaji
big up broo naomba nikualike kwenye harusi yangu mwezi Wa kumi hii ngoma sjawahi sikia na hakuna kama wewe
Hii nyimbo nimeisaka sana at last nimeipata imechezwa sana kwa maisha magic bongo movies
Who is here in 2024 listening to this good sound from Barnaba.?
Huyu jamaa hajawahi kuwaangusha mashabiki wake, hongera sana jamaa unatoa vitu vimetulia sana aisee, ngoma kali sana hii, #tunafanana.
dah am in russia but huyuu jamaa ni noma and am not understand swahili lkn we jamaa ni fire sana #tunafanana
Azizy Adam jamaa huwa haharibu yaani.
Agnes Ephata 😅😅😅😅😅
Azizy Adam huko china mmesemaje
huku ni shida
Azizy Adam hahaha Russia
Alwayzzzz talentedddddd cnaaaa aiseehhhhh barnabaaa Ni noumaahhhhhhhh cnaaaaaaaaaa
If sauti soul got 4 power people,barnaba you are doing it alone,so timely that everything is just perfect...one man army
cjawahig coment kweny u tube bt dis song na video iz dope jamaa anajua xana
another one from my BB classic man..... The video is fire,,,,,,,,
noma sana
Nakukubali sana boy big up
Nimekosa neno la kusema coz Barnaba umeweza kabisa kwa hii song
Wasanii ninao wategemea tz ww ukosi barnaba big up nice song
barnaba sauti utatumaliza wallah the song is so dope 😍😍😍 team +254 mko wapeee?
Classic boiii hujawai kosea sijui tu kwann hawakuviki taji la ukuu wao
umetisha sana Barnabas mim ni fan wako toka day one am proud of you i enjoy alot listen to you
barnaba namkubali hajui tu.....much love bro hakoseagi
Msainiii pekeee tanzaniaa anayeee juaaa kila kitu kwenye mziki wengine wanapayukatui
...kanyimbo kapo vizuli sana boy nomaaaaaaa👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
WENGINE WASANII SAWA... LAKIN WW NDO MUIMBAJI KAKA. RESPECT
katik wasanii weny saut nzr,, barnaba na Vanessa.. nyie kibok🌹❤️🌹
Talented cnaaa huyu mtuuuuuu anajuaa mzikiiiii cnaa huyuuuu jmaaaaaa mm namkubaliiiii cnaaaa
huu wimbo sichokagi kuutazama aisee. BONGE LA NGOMA.
👏👏👏👏Naielewa kazi yako barnaba upo juu keep it 🆙
barnaba 🔥🔥🔥🔥 kama mapacha tunafananaeee!!!!🎵🎵
tanzania bhana daaah... KUNA VIJINYIMBO kahawa mchele sana zinapigwa promo balaaa..... ila jini kama huyu hakuna mwenye muda nae ase
5 years ago and still vibing to this,
Classic, Barnaba Big up Yourself
🇹🇿🇿🇲
hatubahatishi... big up Barnaba... next level music +video
barnaba mzee Wa masaut ya ukweli love your work hongeraaaa
Hakika ww n barnaba classic unajua unachokifanya nice song japo sielew kiswahili nipo shinyanga
You Rock iT kaka.. Kwnzia LOVER BOY hadi TUNAFANANA....keep Goid music Alive
Kama kuna msanii namzimia bas BARNABA CLASSIC. I do no why I feeel to listen ur own song's. hujawah niangusha kila ukishusha dude. braza saluti sana kwako mkubwa. niseme to loverboy; Marry you; till now tunafanana.
Never underestimate the power of good music.the song is insanely good and Barnaba is talented
Nitakusaport mpk mwisho wa maisha yangu....ngoma kali...ss izo tarumbeta uwiiiiiii
U r my Idol,yaan hujawah kunifanya nijute kukubali kwa kifua mbele,ooooh this song is killing me deep inside of my bones,yaaaan nyang'anyang'a
big up sana naba wengine wanaiga tu watimulie vumbi kama mapacha kama mapacha
Brooo cjawahiii ona anakoseaaaaa kbcaaaa huyuuu Jamaaa talented cnaaaa aiseeehhhhh tnguuu nimemjuaaa hajawahiii kukoseaaaaaaa duuuu kamaa upooo pamojaa Na mm likes
From 254 nakupenda sana barnaba
dah!!!!!!!kazi nzur sana, hongera pacha, BB classic
Mshirikishe KIDUM one day.
Booom👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
salute kwene hi hit aseee @barnabaclassic
big up barnaba
sichoki kuiskizia.....kazi safi,mziki wenye adabu
alwayz ur fire...ujawah kukosea ata siku moja...nakkubal zaid ya unavyojikubal ww
big up b boy unajua had co vizuri jmni daaaaaaah
Barnaba kazi baraabara hii kaka, keep the good music alive
we jamaa!! duuh sio mchezo kabisaaa!!!
Daah brother bongo bahati mbaya wew #tunafanana
We do love you so much dear upo smart from outlook&kituu unatoaa very quality❤❤😍😘my idol
254... Hii ngoma naiona mpya Daily... Uyu jamaa ni fundi
the manor at ngorongoro.thnx 4 coming bro.video kali wimbo mkal salut kwako bro nakuelewa sn
Innocent Semvua dah nilifikir nimeona mwenyew kumbe na ww ushagundua, nice location kwel hata mi sijakosea
og
daaaaaa brouda ww ni hatariii
sina maringo wala sinaga isidingo hy maneno kanambia bae😍😍😍😍i luv u barnaba
Duu big up baba Steve hujawai niangusha ww ni fire