Barnaba X Vanessa Mdee - CHAUSIKU (Official Video) SMS -
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- Barnaba X Vanessa Mdee - CHAUSIKU (Official Video)
Gold Album Is Now Available in all digital Platforms
BoomplayMusic: www.boomplaymus...
Itunes: itunes.apple.c...
Spotify: open.spotify.c...
Amazon: www.amazon.com...
Tunaosikiloza 2024🥰🥰
Me too
Niko hapa
Nipo hapa
Hapo kwenye I don't care!!!! Like jamaniiii
from Kenya....nyinyi wawili mukikolabo lazmaaa ngoma iwe💥💥💥💯💯
Yeeeeee
*Only 18* 👇👇👇
335306.loveisreal.ru
Yaani haaishi utamu!! Kama umejikuta unatabasamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho like tujue wangapi tumekutwa na hali hiyo
Kwel yaaan
Nice song
Nimeipenda
Ester Mneney 😁
Ester Mneney nmekubal
Kama umemwona dullvani weka like
Woyoooooo... Bonge ya video... Chausiku classic...Sichoki kuitazama kwa hivi vituko...
Like hapa kama unawakubali vee na barnaba💦💥
Bonge la song...nawapenda sana nyie watuu hamjawahi kukoseaaaaaa...mwaah!
Ngoma kali #vannesa and #barinaba chausiku baby unamajina mengi 👌👌👉 like
Nyingi wa tz
Nyinyi watu mnaweza sana every collabo kaliiii
Vanessa acting uswahili has to be the best and funniest thing,right??😂😂
Unenepe ukonde yote sawa
tafuta vidonge mi so dawa 👌👌👌 tenaaaaaa nawaelewa sana asee
These guys once they do a collaboration it kills me with laughter😂😂😂. Piga likes kama unawakubali
Another one 254 tuko ndani ndani kabisa
Yaan vaness nakupenda bure ❤❤❤❤❤ 2024
kusemakwer mzkiwe2 leads umenoga ainaajayakua ngaikanamizki Yanje2wewazare ndoirinas mzkiwe2 ufikembari kamaeenze2 hongrasana vmoney@barnaba🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
daaah!!! eee bhn bomb moja la song nimeielewaa xanaaa hii nyimb xalute!!!! to V money and naba boy
Elizabeth Peter Hi
huyo ndo barnaba na mkali veemoney wimbo bomba. kama unapenda bongo movies fanya kama unanibonyeza
Wooow inapendeza plz like hapa Kama umeipenda hii 🌹🌹🌹
uko juu manze(barnaba na vee money)
Asha boko moja ya watu huwa hawaharibibu kabisa video hongora bro naba #1 trending ni ngoma kalee homa ya jiji
Nyumbani kwe2 lazima limbwata 😍😍😍😍nakutoa taraka nimwiko wanakataza
Siku hizi nafurahi sana kuona video za kibongo. .....Mitaani yani maisha ya kawaida well done
Yan ktk hii video mama kibonge ametishaaa... ubunifu mzuri saaana..
daaaa penda sana vannesa brohte barnaba kazi nzuriiiiii.by k.mziwanda
Vanessa na Asha Boko safi sana, mmenikumbusha enzi za Betina na Zena.....
Video nzuri ssssaaaanannaaaaa..........
Nimeipenda kazi nzuri sana Venessa kumbe uko sawa kwa kukata mauno👌👌👌
Goma liko fire ......!!!!!! Barnaba we ni fundi pia V - money kafit hadi sio poa mzee,, in short mmeuaaaaaaaa!!!
Mmetisha sana Vmoney ft Barnaba, ngoma ni🔥🔥🔥
Bonge la ngoma mzee baba pn la kizazi sana na 2 kwa huku
Representing The Republic of Kenya +254 we love you Barnaba n Mdee
Prince Newton Representing 001
Barnaba nakupenda bure napenda ngoma zako bure naskizia nikiwa saud arebia but am from kenyia huhu
Prince Newton me too
Prince Newton duuh
Johannes Mwadime 012🙌
Nzuri sanaaaaaaaaaaaaaaa.yani noma tuuu.mdee i'm inspired by you
Alieona mkonzi wa DullaVan like twende sawa kukagua matukio mengine!!!
Ni hatareee penda sana nyie nyimbo kali
barnaba na v money ,wakishirikiana kwenye kila nyimbo huwa hawakosei wana entertain sana
hatimaye....nilikua nawish Sana Vee n Barnaba mtoe ngoma ingine.mmetisha Sana.kazi nzuri.
Kwanini barnaba ajawahi kukosea 👊👈🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👐💪
Nimechoka ... Congrats bonge la nyimbo
Barnaba msakatonge..kama movie vile.
Moto
aisee gud work mzee....na we chausiku una mambo weww
Huyu mdee ni mrembo sana..ananimalizanga ata pia Mimi nakupenda... Unapendwa na wengi haha
kazi nzur Sana bro mnajua kutupa haki yetu wanatanzania
The fast to comment this song is hot from :Rwanda #wakanda forever
Wimbo mtam sana huu jamani uuuwii
Vee money pia mtandale na kizungu cha America,woooow I love her👏👏👏👏👏👏👊🏿👊🏿👊🏿👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Eti nyumbani kwao lazima libwata haahaaaaaaaa viva Vanessa and Barnabas
Jamani nimemwona #dullvany na vanesa kavaa dera 😂😂😂😂😂😂😂
yaan so p kabisa mdee dada angu umeua hatareeee
Hawa wawili wakikutana huwa wanaleta 🔥 Kenyan love gonga Kama unawakubali tusonge ukitia feelings pambana Na Hali yako
vanessa umetishaaaa mbayaaaaa kwenye hii video. Una mapoz kama Beyonce..xoxo
Nyimbo naipenda sana hila sijajua ya nani... Am even ashamed of myself 😂 😂 😂 😂
Video nzuri nyimbo nayo imetulia hawajawaigi kukosea hawa watu nawapendaje
Yani Vanessa mdee siri ulimgomea barnana duh nachausiku pia ume mkandia dah nimechek sanaaa ngoma kali bonge la wazo.
😂😂😂😂kaweka vikwazo
Dah bonge la ngoma.....Vanessa utuache jmn sie wanaume makatambuga...hahaaa..
Jamani alofungua hii nyimbo leo kama mimi na najikuta nazidi kumpenda VeeMny na Barnaba..tujuane ndugu
vannesa dada yangu umekua mweupe...au ndio mambo ya ray...
Wakenya wenzangu gongeni like hapa nisijihisi upweke
ngoma kali vanessa umeplay part yako vizuri kama mmemkubari vanessa gonga like
asanteh Vanessa Mdee aisee mnaendana saaaana
karibu wapenda wadau wa bongo movi
congratulations guyz you umeiweza hamjaharb k2
Nairobi salutes!!! I just realized that it's not in fancy clothes,fancy places or expensive cars on the background for a video to score.Hata si lazima warembo wakatishe viuno Kama mermaids waliotapikwa na bahari,ndio Sanaa ipande chart
Mermaids waliotapikwa na bahari 😂😂😂... uwiiii you almost killed me🙌🙌
Huyo mama bonge bonge ndio kubwa jambazi.... ana tia mabuti hatari
Timu yangu ya kenya mpo🇰🇪
aah dah collabo of the year nawakubali sana kazi safi
Kutoka siri mpaka chausiku ...bonge la ngoma yani
kama umemwona dulavan kwenye hii ngoma gonga like hapa
ujue Vanessa nikifanikiwa kuwa msanii mkubwa nitakushikisha move moja Kali subilia hivyohivyo chausiku
Barnabas Vanessa siri
Iko Poa Sana mumejitaidi sanaaaaaaa
Haaaaaaaaah ety her ya mm kandambili we katambuga........ Haaaah noma sana v&b
Huyu jamaa hakoseagi yaan..kila ngoma kali
Kwa niaba ya Wakenya wote ambao wamekunya SUKARI YA MERCURY,LEAD n COPPER! ...nmeapprove this as a hit🔥🔥
😁😁you're mad.
Na wenye wajakunya?
hehee
Ni kunywa bro
❤❤❤
@@marthamutuku2267 wajakunya?
Ni hawajakunywa.
Hawajawahi kosea hawa watu,. Ngoma kali
Can't believe she's gonna be a mum soon❤❤
Hawa watu wakikutana yan panawakaaaa Nakubali
Mmetisha saanaa jaman 🤩🔥🔥🔥🔥
Yaan Vanessa na Barnaba ni 🔥 🔥 🔥 binafsi Nataman Muimbe nyimbo ingine pamoja
yaan hii ngoma ni 🔥🔥🔥😙😙
iko poa sana nmeipenda mungu awabalik katk kaz zenu
Bonge LA ngoma nimekusoma veemoney
Nyumbn kwenu lazima #limbwata gonga like twende sawa 💪💪💪
Hauna baya brother acha niiEnjoy na kimvua hiki cha dar kibalidi kwa mbar na melody tamu
The chemistry between vee money and barnaba is everything..💜💜💜
Noma sana kongoole kwa Vanessa mdee ft Barnabas hamjawahi kuniangusha
Ngoma Iko bomba sana
Asee sichoki kuitazama😍kazi nzuri
v si was nchi hiii kiukweri maana agawanyikiiii
daaa eee bhana nimeuelewa huuu mwimbo
Huu ndo mziki c zile keke za upande wa Pili...mziki yani mtamu hata hakuna haja kiki
Alitumia ubunifu wa haliya juu
Kumbe vanessa una miuno hivyoo
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Najipata nikidance tu 😂 upendo sio kitu baby💓💓💓💓💓
Really like your chemistry kuanzia kujibizana mpka actual actions buddies, Appreciation to Vanessa anajua sana kujitoa kwa video, from hers' na collabo pia like this one, she get an open and fresh heart for sure... Good music 🎷 🎷 jah bless
Ve hongera kwa sura nzuri umbo zuri sauti nzuri, naomba mungu roho yako pia iwe nzuri.
Mambo🔥🔥🔥🔥
Wooow..sijawah kuona mziki mtam kama huu
jmn masaut yamekutana kama unakubali vanessa na barnaba wanapendeza kufanya collabo pamoja gonga like hapa 👍👍👍👍
hatar sana
Kanyimbo katamuu sanaa ila siku zote veemoney na barnaba mnafanyaga wonders .........yaaani no kukosea nomaaaa💋💋💋💋
Aliemuona #dullvany #Like twende sawa
iyoooo video imenifurahisha huyooo dullvan na ashaboko😂😂😂😂😂😂😂 we made it bro & sis vee👍👌💪
Kama unawakubari awa ote like apa
Dah!hawa watu huwa naenjoy sana nikionaga nyimbo ya pamoja