Jux - Fimbo (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @jofreychristian
    @jofreychristian Рік тому +4

    kifazaaa saana

  • @andrew0502
    @andrew0502 6 років тому +3

    MB zangu Jux zihurumie Basi naangalia Mara kumikumi duu!!

  • @jackobarthur5189
    @jackobarthur5189 6 років тому +3

    Amna kitu hapo..umeziba ukimya ila ukawaida umetawala mzee keep hustlin

  • @mwitalianoaloyce6483
    @mwitalianoaloyce6483 6 років тому +3

    Nani kama African boy penda sana jux kila ngoma ya ni qal kwanzia napata raha mpka fimbo

  • @deborahelias3503
    @deborahelias3503 6 років тому +3

    I really love you Jux especially ukiwa na V Money huwa mnanivuruga kabxa daaaah natamani Vannesa siku moja abebe mimba yako et fraha yangu itatimia.

  • @euradedesius7115
    @euradedesius7115 6 років тому +2

    Aisee JUX hujawahi kuharibu welldone nyimbo kali na video kaliiii@ Hanscana

  • @successmbizo3209
    @successmbizo3209 6 років тому +3

    video kali,ngoma ya kawaida sana ingawa karekodia studio mbili...tatizo nashindwa kuelewa km ingetakiwa aiite fimbo au unanivuruga😀😀😀

  • @paulinajoseph110
    @paulinajoseph110 3 роки тому +2

    Nakupenda zaidiii brooooo una Kaz kaliiiii big up

  • @abuwaleed01
    @abuwaleed01 6 років тому +3

    Muoe tu V baba yaani itakua poa mwana....

  • @sharomresa1581
    @sharomresa1581 6 років тому +2

    Weeee msenge utawauwa madem wataacha kutuskiliza sisi wakuskilize wewe mamaeeeeeeeeeee ngona kali sanaaa fimboooo kweli hii ni Fimbooo acha iwachapeeeee

  • @angelk403
    @angelk403 6 років тому +93

    team 254 mko wapi gongeni like..@jumajux all the way he dd it again...big up jux.so dope.

  • @derrickmatenga4804
    @derrickmatenga4804 6 років тому +2

    Haujawahi niangusha @AfricanBoy Since day One🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @franknguma7212
    @franknguma7212 6 років тому +3

    HUJAWAHI NIANGUSHA JUX NAKUBALI SNA KAZI ZAKO KITU CHA FIMBO YANGU

  • @jumachabai2874
    @jumachabai2874 6 років тому +3

    Umesikiliza ushair wa hemed kwenye mavazi gud mzebaba

  • @Plizah
    @Plizah 6 років тому +30

    Hiyo kaimbiwa Vee money.. 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥..some ladies are so blessed to have likes of Jux In their lives

    • @abduldully564
      @abduldully564 6 років тому

      priscah moraa Even you.,you're so blessed bcoz ov me.

    • @olivermjira1167
      @olivermjira1167 6 років тому

      xaf jux hukoxeag

    • @topafricannollywoodmovies2295
      @topafricannollywoodmovies2295 6 років тому

      KWA FILAMU KALI ZA KISWAHILI, NIGERIA, BEST SWAHILI SERIES, SERIES KALI , KUTOKA KENYA SUBCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU.

    • @masatutours
      @masatutours 6 років тому

      I c even me, my girl is so luck to have me.....

  • @benedictopaul8538
    @benedictopaul8538 6 років тому +2

    Hanscana is the killer always,kam unamkbal gonga like

  • @shukululechipya6075
    @shukululechipya6075 4 місяці тому +4

    Jux unajua sikupingii

  • @esthermartin3674
    @esthermartin3674 9 місяців тому +2

    Napendaga sana vile unaimba jaaamn... uwiiii haijawahi kuchuja hizi piano❤

  • @justinekipkorir7156
    @justinekipkorir7156 6 років тому +11

    Wawwaawaawaawaa,,,,,,yani pindi naskia nyimbo za JUX huwa nafarajika saaaaaaaaanaa......very nice song.......nakwaminia kaka juma mkambala.....ur my mentor MR

  • @abbykiss9167
    @abbykiss9167 6 років тому +2

    I give everything ww ndio fimbo yng sio si sikihi unani vuruga

  • @abduldully564
    @abduldully564 6 років тому +16

    Kweli Jux umeamua kutupaka mafuta Kwa Mgongo wa chupa. Bonge la ngoma kama umekubali dondosha like yako hapa 🔥 🔥 🔥

  • @jolinefarm2611
    @jolinefarm2611 6 років тому +2

    Aisee nilikuwa simuelewagi huyu jamaa, but nilifanya makosa sanaaaa, Jux bro we ni mnomaaaa vuruga vuruga, naomba ninunue albam zako zote since unaanza hadi leo.
    Tulutu tulu

  • @jumaaron5411
    @jumaaron5411 6 років тому +11

    Haukuwai kuharibu hata siku moja endelea kuwachapa babu

  • @derrickmatenga4804
    @derrickmatenga4804 6 років тому +1

    Yaani Kuna watu wanajua saaaana mpaka wanaboa❤❣❣🙇‍♂️🙇‍♂️💪💪

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 років тому +241

    Kama jux hajawahi kukuangusha Kama ambavyo hajawahi kuniangusha mimi acha ubishi na like coz hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥kama umekubali Like nyingi please

  • @hottensiahmunyuaz7147
    @hottensiahmunyuaz7147 5 років тому +1

    Nampenda Jux na MOYO wangu wote...yaani nyimbo zake can be sung by both genders kwa mpenzi wake....lol!!!...I love you so so soooooo much...I love you BIG!!!!

  • @marhamephrahym275
    @marhamephrahym275 Рік тому +4

    Yani juma cjui nani alimshauri kuimba amapiano jaman nmemmisi jux huyu jux wa napata Raha,uzuri wako,sisikii,wivu,tell me,

  • @lobistyprecoz4440
    @lobistyprecoz4440 6 років тому +2

    Huu mwimbo mzuri jux unasauti nzuri wewe mwanaume.atakama nimegombana na mume wangu nikiusikiliza huu mwimbo naenda kumbembeleza

  • @josephonyach900
    @josephonyach900 5 років тому +27

    this guy is supper talented.from 254

  • @hamisikadanje3789
    @hamisikadanje3789 6 років тому +2

    Tangu nilianza kukufuatilia katika MUZIKI hujawahi kuniangusha hata siku moja hii inanipa moyo na faraja ya kuendelea kufuatiia kazi zako asante sana JUX kwa fimbo hii naamini fimbo hii itawavuruga wana.

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 6 років тому +3

    Jux badilika kila nyimbo unafanya mambo hayo hayo kuonyesha kifua hats sisi tunavyo kila nyimbo uko kwenye maji jiongeze unapunguza ubunifu

  • @eustarmwambanga5131
    @eustarmwambanga5131 6 років тому +1

    I just love his lips..
    Hope Vanessa won't see this comment. .
    Love love love all the way from Kenya

  • @calvinluambo1164
    @calvinluambo1164 6 років тому +3

    Nimepaelewa melia

  • @melkizedeckkimaro2094
    @melkizedeckkimaro2094 6 років тому

    That's Jux baibeeee......

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому +6

    Kaka umeua😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 napenda kazi yako nzur jux love u 😍😍😍😍😍💪

  • @nyamtarchaha3821
    @nyamtarchaha3821 6 років тому

    daaaah kwer nmekubali fimbo noma bro

  • @veedxb5008
    @veedxb5008 9 місяців тому +2

    2024 listening to this a day to valentine’s and I’m single in Dubaï.🥺 Beautiful song 😍

  • @tinalikasi7585
    @tinalikasi7585 2 роки тому +1

    Nampenda jux yani huyo kaka nyimbo zake ndo ingekuwa really life kwenye mahusiano basi wadada wanaodate nae wanainjoiiiiii🤔

  • @officialmtangakingkassimu5291
    @officialmtangakingkassimu5291 6 років тому +222

    Bonge la song km unamkubali jux like na reply hapa

  • @ubuyutv2577
    @ubuyutv2577 6 років тому

    Tisha sana Jux mkl wangu wa nguvu

  • @datiusdidace2173
    @datiusdidace2173 6 років тому +9

    Wayaaaaaaa
    Mzee baba
    Team #JUX tunavimba sasa hivi 🔥🔥🔥🔥🔥✔✔✔✔✔

  • @shydollwaalihajj5142
    @shydollwaalihajj5142 6 років тому +2

    nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee😘😘😘😘😘a giv u everything nitakupa mda na noti chochote unachotaka weee hapa palinimaliza walahi

  • @asheliramadhni3166
    @asheliramadhni3166 6 років тому +5

    African boy mpoooo kama mpo ¿¿gonga like ya guvu sema unanivurugaaaa

  • @mathiaswambua7643
    @mathiaswambua7643 6 років тому +1

    Bonge La Wimbo Linaweza Mrudisha Msichana Mlieachana Kwa Kosa La kukufumania.....wallah Kabisa Sema Ametisha Sana Jux /African Bway

  • @Mercyg195
    @Mercyg195 Рік тому +14

    Jux is truly the king of hearts ❤listening to this hit in 2023 and can’t get enough ❤

    • @Seanthia..c
      @Seanthia..c 4 місяці тому

      2024 and It slaps like its the first time.

  • @deborahelias3503
    @deborahelias3503 6 років тому

    Mmmwaaaaa!!!! Nakupenda sana Jux huna shobo we so mshamba kam wengne hasa ukiwa na Vee Money ndo mnanimalizaga aisee.

  • @elineokusiluka9683
    @elineokusiluka9683 6 років тому +19

    kweli ni fimbo...
    v money angekua video qeen ingependeza zaid

  • @saintbk
    @saintbk 6 років тому +2

    Wewe ndiye fimbo yao kweli !

  • @malongokadama6644
    @malongokadama6644 6 років тому +3

    we ndo fimbo yang, hahaha penda xna hlo song also created in stable and sweet melody

  • @extra.gorgeous6358
    @extra.gorgeous6358 6 років тому +4

    Raaa!!! Unanivuruga🔥🔥🔥🔥
    Ngoma moto zaidi

  • @shydollwaalihajj5142
    @shydollwaalihajj5142 6 років тому +43

    jux si kwa dude hilii aisee ii nyimbo yaniliwaza na vile siko Kenya naskia rahaaa....bonga moja LA dude wakenya toka Qatar muko wapi

    • @bonifacesande2347
      @bonifacesande2347 6 років тому

      shydoll wa Alihajj bado we uimbe nae

    • @abuuiddi9110
      @abuuiddi9110 6 років тому

      shydoll wa Alihajj pliz nicheki watsap nko na issue coz nkukumbuka +97477053859

    • @abuuiddi9110
      @abuuiddi9110 6 років тому

      shydoll wa Alihajj pliz nicheki mrembo +97477053859

    • @abuuiddi9110
      @abuuiddi9110 6 років тому

      shydoll wa Alihajj niko hapa wa qatar njoo pliz ndie fimbo yangu mm +97477053859

    • @mebolinsnjowoka8628
      @mebolinsnjowoka8628 6 років тому

      penda jux wimbo ni mzr saana

  • @happynesskilango995
    @happynesskilango995 6 років тому

    unaweza , unajua hujawahi kushindwa,,,,, fimbo fimbo kweli 👀👌👌👌👌👌

  • @emanuelbonuc8920
    @emanuelbonuc8920 6 років тому +4

    Team jux 🔥🔥
    Ngoma kalii san much respect

  • @naomiroberts244
    @naomiroberts244 6 років тому

    Wow wow wow,sikujua jux ana ngoma tamu hivi,,sielewi mbona hachezwi sana hapa kwetu Kenya,kazi nzuri jux,kutoka sasa nakufuata kila mahali,i love ypur songs.

  • @bethgathoni1434
    @bethgathoni1434 5 років тому +11

    Dammn!! I love this song.................Can't believe I have just heard of it today :-)

  • @peterbruno7157
    @peterbruno7157 6 років тому +2

    Noma sana sanaaaaa likes za kutosha kwa jux
    jux fanya ngoma na nyashinski

  • @richjohchris4124
    @richjohchris4124 6 років тому +27

    Jux this song
    first is my best for this month
    second is best song in Tz a heard so far from January up to now
    Third your lyrics and the video are best.
    If there monthly award this song should get an award.
    Fourth this song will trend no 1 in all radio and TV channel for more than 8 weeks in Africa and worldwide for 4weeks.
    fifth have you ever received awards like the falling rain? eg song of year, video of the year,best male artist, etc then this song will make it happen.
    This is what is see when i watch you video.
    Great job Jux for for this song and i hope this year you will move from one step to another.
    Great Hanscana for this video.

  • @BravoMedia23
    @BravoMedia23 6 років тому +2

    Hii Nyimbo ni Upumbavuu mtupuu Me naona Ni fashion show unafanya amna lolote wew bado sana Shukuru Mungu Video 🔥ndo nzur ila Audio 😭😭😭😫😫😱

  • @salumkaka491
    @salumkaka491 6 років тому +5

    Hujawahi kunikeraaaaaaaaaaaaaaaaaaa, BIG UP JUX

  • @jacksonswai9339
    @jacksonswai9339 4 роки тому +2

    noma xanaaa

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 6 років тому +61

    He's a model, fashion killer, vocalist, He's a musics lord

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 років тому

    VANESAAAAAAAAA kuja uone wimbo wako huku ulivyovuruga ,Bonge la Song.

  • @Vincent-gp4jo
    @Vincent-gp4jo Рік тому +3

    jux ndo babalao ama vipi

  • @paulinekamau3645
    @paulinekamau3645 5 років тому

    Walai huu wimbo ....waaaah naupenda tuuuu saaaana ..... each day feels a new to my ear drums waaah😘😘😘

  • @cieranmanuel7251
    @cieranmanuel7251 6 років тому +4

    Magnetic romantic 💞💕 On repeat!!! I say he's the baddest❤

  • @deochristopher4970
    @deochristopher4970 6 років тому

    nampenda sana jux na nyimbo zake zote huu alioutoa ni hatariiiiiiii unanivurugaaaaaaaa jux

  • @florajumaserungwejuma3560
    @florajumaserungwejuma3560 6 років тому +3

    mambo ni 🔥🔥🔥

  • @juliuswilliam3807
    @juliuswilliam3807 5 років тому +2

    Nimeshachoka mpaka nakosa cha kusema acha niseme iv kumamaye we jux nyimbo nikali kinoma hapa umevunja ila video queen v. Money angefaa. 😁😁😁😁😁😁😁

  • @mussapukey5639
    @mussapukey5639 6 років тому +5

    jaman yuko vizuri tofauti na watu wengine wanaopenda sifa kazi za kibwege

  • @arushatanzania
    @arushatanzania 6 років тому +1

    Unaanzaje kudislike huu mziki wa jux.? The best of Jux is yet to come, salute bro

  • @crystalrhymesofficial3379
    @crystalrhymesofficial3379 6 років тому +9

    afu uyu aimbii njaa munaemkubalii like nyng tafadhaliii

  • @colynxtz4351
    @colynxtz4351 6 років тому

    dah. for sure nipo navurugwa vurugwa hapa na this hit song..
    big up broza Jux

  • @IbraHim-xr9zb
    @IbraHim-xr9zb 6 років тому +18

    Zanzibar patamu sana..... JUX + HANSCANA = 🔥🔥🔥

  • @lammeckndorondorolammeck1648
    @lammeckndorondorolammeck1648 5 років тому +1

    Muziki mzuri autaki kiki... Jux is real no fake interest u inspired me hommie.... 254 be my hood

  • @esthernduku526
    @esthernduku526 5 років тому +4

    I really like this guy..he sings his heart out...now this is what we call song

  • @ramadhanmambo6215
    @ramadhanmambo6215 6 років тому

    Jux ni zaidi yao woteeee. nyimbo zina maneno rhx mtu yyt akiixkia mara 1 ataweza kuigiza.

  • @paulpama7705
    @paulpama7705 4 роки тому +7

    Kwanza thanks to the Lord 🙏, mwingine Kama we mi sitaki,

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 6 років тому

    Nyimbo Ya Kawaida Saaaana... Yaaan Katika Nyimbo Zako Zote Hii Ndo Ya Kawaida Sana

  • @Mike_Muka
    @Mike_Muka 6 років тому +3

    Rnb for life...Thanks to the lord 254🇰🇪

  • @andrewamos6887
    @andrewamos6887 6 років тому

    Fimbooooooo!!!!! nakubaleeeee sana Juma Jux hukoseagi

  • @henrytawa1191
    @henrytawa1191 6 років тому +7

    Ukojuu sana tena sana 💣💣💣💥💥💥👑👌👏👏👏

  • @zackchriss10
    @zackchriss10 6 років тому

    Uwiii Juma wewe nipo skul jmaniii sema ni hot kichiz goooooooooooooo gooo @juma

  • @breezy9ine
    @breezy9ine 6 років тому +3

    Sijachelewa sanaa gonga liker hakuna kama jux tz

  • @dorcajohn7661
    @dorcajohn7661 4 роки тому +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️ u are the king of love kabisa🥰🥰

  • @neemadikwe151
    @neemadikwe151 6 років тому +8

    Another fantastic piece of art bro, very simple but marvelous 🔥🔥🔥#fimbo

  • @KelvinLunzaluwentgreen
    @KelvinLunzaluwentgreen 6 років тому

    Nitafunga moyo wangu sitoki, funguo nikukabithi wewe...UNANIVURUGA MAMA SIWEZI! The background vocals!

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 6 років тому +448

    Team Jux muko wapi? 💪💪💪🔥🔥🔥

  • @isaacmchokopa8409
    @isaacmchokopa8409 6 років тому +1

    "Uzuri wako sio wa kudownload" Nakukubali sana Jux, my best Tanzanian artist.

  • @yvonnenduta9900
    @yvonnenduta9900 6 років тому +4

    Jux jamani am in love with all your songs since day one.love from Kenya.

  • @sameersabry6477
    @sameersabry6477 3 роки тому

    Hiiii vimbo umeijua kiitunga kwa Wanawake kujua kwamba wanaume wanaweza kuwapa moyo wao kuwapenda jux upo sawa

  • @thaithaithai3223
    @thaithaithai3223 5 років тому +3

    Good atmosphere mv, remind me to Jamaican music🌺🌺🌺

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 років тому

    Dah bonge moja LA ngoma asee HANSCANA iyo video ya ulimwengu big up sana

  • @lydiasarah5113
    @lydiasarah5113 4 роки тому +4

    Just love this guyz songs l cant take a day with listening to you my darling l love you ,😘😘😘❤❤❤ sweet voice it really clams me down

  • @shabanimsami8017
    @shabanimsami8017 6 років тому

    Miziki ambayo haina kurupushani kula life jux fundi nyimbo tamu na mamaaa

  • @downeyjunior1420
    @downeyjunior1420 6 років тому +3

    jux ur the king ! i salute👑

  • @shakirashamiry1330
    @shakirashamiry1330 6 років тому

    Kubari xana jux toka kitambo nataman siku nikuone live love more than love jux

  • @MiraclesHimself
    @MiraclesHimself 6 років тому +6

    DAH bro video kali nakubali mixing Kali pia kiujumla ngoma n Kali kinoumah

  • @antidotmartido6539
    @antidotmartido6539 4 роки тому

    Mbaya huyu ni mkali waooo !! Kenya tunamkubali hakuna kama huyu

  • @nanbianchi1696
    @nanbianchi1696 6 років тому +7

    Nice song keep the fire burning

  • @davidkamau4604
    @davidkamau4604 6 років тому

    Juma Jux you dont disappoint. we are watching the space. you will soon outshine them all. you are on your own league.