MSTAAFU KIKWETE NYUMBANI kwa MZEE MWINYI - AKATAA KUJIBU SWALI KUWA YEYE NDIYE RAIS PEKEE MSTAAFU...
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- MSTAAFU KIKWETE NYUMBANI kwa MZEE MWINYI - AKATAA KUJIBU SWALI KUWA YEYE NDIYE RAIS PEKEE MSTAAFU...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Na kweli kbsa Hilo swali halina maana
Kweli baba Kikwete haina maana hiyo.
Mungu ampokee baba yetu
Hivi waandishi wahabari kabla ya kuuliza maswali yenu huwa mnafikiria kweli?hebu fikirieni Mara mbili kabla ya kuuliza.Unamuulizaje mtu swali kama Hilo?Kwani yeye ni Mungu,
Mungu ndo anaepanga kila kitu,
Akiwa yeye ndo amebaki inakuwaje sasa
Nimependa alivyokataa kujibu, kwanza wanamzushia kuwa anaua wenzake halafu wanamsanifu na swali la kipuuzi
Waandishi wengine bwana,Bora Mzee ulivyomjib
Hawana fikra hawa waandishi wetu
@@homeandaway2811 wapuuz anawaua yy ni mungu mungu ndie muamuz nan aende nan abak hawana akil uchochez tu umewajaa
Waandishi Wa Habari Muwemnafikiria Na Maswali Ya Kuuliza Basi
Wamuache mzee bwan anamawaz ya msiba polesana baba
Kuna haja ya kuelimisha waandishi wa habari , Hilo swali halina maana yoyote! Mh Kikwete amefanya vema kumpuuza mtu huyo !..
Waandishi wa Habari wetu kweli ni ndezi
Kikwete kaona mnataka kunichulia nyie watoto😂
Kweli maswali mengine Ayana maana waandishi wa sikuizi wengine hawajielewi sasa unataka je na yeye afe au umeambiwa mtu akistafu tu anafariki
Nmependa mheshimiwa ulivyompuuza huyo na swal lake la kipuuz haangalii anauliza swal kwa wakat gan
Fala sana, ati ww pekee ndio umebaki
Amekataa swali la kipuuzi
Ni swali la kipuuzi um aliukizwa vp kwani emu mmnukuu yule mwandish ili tujue kweeli la kipuuzi
Nyie watangazaji mnatakiwa msome alama za nyakati sio mna uliza uliza tuu haya ona sasa mlivyo jibiwa😂😂😂 jionge zeni kuweni na akili muda mwingine
Rais mstaafu aliebaki ......ila mnafk sana uyu jamaa
Ummm vp ni mmn um umesemaa ah
now days jobless mmoja ukiwa na camera,mic na laptop unakua mwandishi wa habari...TASNIA IMEVAMIWA.
Sio kweli sababu ya suala lile um kuna kitu apoo
Aibu tupu kwa tasnia nzima ya habari Tanzania. Miana habari Haina weredi haijui kazi Yao. Hahaha
Aibu mwandish ni mpambanaji mdadis pia mpelelezi vp tena
swali gani hilo la kumuuliza mtu...?
swali hovyo sana, sijui alitegemea kujibiwa vipi?
mwandishi unapata fursa ya kuwa mbele ya mheshimiwa alaf unauliza swali la kipumbavu? kulikuwa na haja gani ya kuuliza vile au unataka kikwete ajione yeye ndo anayefuata kufariki au? ujinga mtupu aisee aibu mno
Acheni kuuliza wastaarabu maswali ya kijinga. Kawaulizeni viduku wenzenu.
Swali la kijinga
Wamuache mzee bwan anamawaz ya msiba polesana baba