MTOTO WA MWINYI ATOKWA MACHOZI MBELE YA MSTAAFU KIKWETE, KWA UCHUNGU ASHINDWA KUJIZUIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 10 місяців тому +14

    Innalilaiwainahilai rajurn, poleni sana ndugu marafiki wazanzibari na Tanzania kwa msiba mzito sio kwenu nyinyi tu.umetugusa ss wote binadamu na kuondokewa kwa mwenzetu kipenzi chetu,mungu hailaze roho yake marehemu mzee wetu.Ali Hassan mwinyi mahala pema peponi 🤲watching from mombasa- kenya.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 10 місяців тому +3

    Dah Allahu Akbar...hii siku NI nzito😢💔 Sana yarrab mpe makazi mema ..Mja wako na Sisi tunaomba tuupe mwisho mwema 🙏😢😢

  • @anedetammy
    @anedetammy 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂 pole sana mbunge jimbo la mahonda mbele yake nyuma yetu pumzka kwa amani jemedari

  • @yassinerasmus7400
    @yassinerasmus7400 10 місяців тому +3

    Pole sana Wazanzibar na watanzania kwa kuondokewa kiongozi mashuhuli na mtu muhim sana kwenye jamii.
    Tufanye yote lakin tusisahau kwamba kifo ni muhim kwa mtu.Alla atupe mwisho mwema 🙏

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 10 місяців тому

      POLENI NYINYI WATANGANYIKA NA TANZANIA KUONDOKEWA NA MTU WENU NA SIJUI KWA NINI HAKUZIKWA KWAO MKURANGA

  • @tausahmad3700
    @tausahmad3700 10 місяців тому +13

    Allahumma ghfir llah warhamhuu waskinhuu firjannah

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 10 місяців тому +2

    Baba baba mwenye busara na mapenzi huruma na anajua kusamehe hakika hakuna mkamilifu lakini ni baba Mungu akusamehe akupe kitabu chako mkono wa kulia akupe nuru kaburi lake

  • @shamtemandai7221
    @shamtemandai7221 10 місяців тому

    Poleni sana lazima alie mwanadamu siku zetu ni chache kuishi hapa duniani tujitahidi kutenda yaliyo mazuri poleni familia poleni watanzania wote inallilahi waina ilahi rajiun

  • @lawrenciamtumbuka6300
    @lawrenciamtumbuka6300 10 місяців тому +2

    Inauma. Alikuwa Rais rafiki, kila alipokuwepo palikuwa hakuna woga zaidi ya furaha vicheko fundisho la upendo. Lala Salama Mzee wa Ruksa. Na ikawe ruksa kwako kuingia pepo iliyo njema kabisa. Baki mioyoni mwetu Watz.

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 10 місяців тому +8

    Ooooo jamani,pole asikwambie mtu mzazi anauma,😭🙏

  • @RahmaSenga
    @RahmaSenga 10 місяців тому +5

    lnnaliah Wainnarajiun allah atupe Mwisho mwema

  • @Maiya-cg8cy
    @Maiya-cg8cy 10 місяців тому +1

    Inalillah waina illah rajiun 😢😢😢😢😮Allah ampe kauli thabit mzee wetu Aamiin

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 місяців тому

    Mara nyingi ulipewa pole ndipo machozi yanapotoka zaidi sijui kwanini😢😢😢😢

  • @michilita2959
    @michilita2959 10 місяців тому +2

    Pole kakangu dullah Allah akupe faraja natamani ningekuwa leo nikamzika kipenzi changu sauti yake nitaienzi maisha

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 10 місяців тому

    Rabbi awapunguzie huzuni familia/ndg/jamaa/marafiki na cc wa Tz wote,baki Allah.

  • @hassanmohamoud-t7p
    @hassanmohamoud-t7p 10 місяців тому

    Allaah yarhamhu former Rais Ali Hassan muwinyi this masage from Repuplic of Somaliland

  • @lolymkongo4721
    @lolymkongo4721 10 місяців тому +1

    Poleni sana wandukuzangu watanzania.kwa musiba ya mzee mwinyi.

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ 10 місяців тому

    Tulofiwa na baba zetu hua tunajua uchungu wake jamani unaweza kulia hadi ukamkufulu mungu mm kinawakati nalia tu hadi nasema kwann nisimgeaza mm 😢😢😢😢😢😢😢kabla ya baba acheni kabisa hapo analia lakini anabembelezwa ila atakuja kulia sehemu ambayo hakutakua na mtu wakum bembeleza hapo ndio ataliaaa 😢😢😢😢😢😢jamani kikubwa tuwaombee Dua walotangulia wate makazi Yao yawe peponi amiiiiiina 🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭

  • @KeynaAsumani
    @KeynaAsumani 10 місяців тому +1

    Pole kaka yangu duuuh msiba hauna kujikaza

  • @saadashoje313
    @saadashoje313 10 місяців тому +4

    Kazi y Mungu haiingikiwi kila nafsi itaonja umauti. Kwa maana hyo Tz rais mstaafu amebaki mmoja tu JK. Mungu akutunze JK uendelee kumshauri Rais mama Samia apeleke mbele TANZANIA YETU

    • @allymwinyi970
      @allymwinyi970 10 місяців тому

      Amin.

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 10 місяців тому +1

      Amshauri mama Samia au apeleke mbele taifa au sio Yan wa kushaur kikwete ?

    • @saadashoje313
      @saadashoje313 10 місяців тому

      @karimjuma4019 Ndiye mstaafu aliyebaki kama mshauri achilia mbali viongozi wengine, tuombe mwenyezi mungu awazidishie hekma ktk mashauriano yao

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 10 місяців тому

      ​@@karimjuma4019unataka upewe nafasi ya kushauri ww uliyejaa ubongo uliochanganyikana na mavi?

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 10 місяців тому

      Aendelee ku,sijakuelewa

  • @MerryJastin-u7u
    @MerryJastin-u7u 10 місяців тому

    Kwery akuna kitukibaya kama kuondokewa na mzazi ata awemzeee vp pole familia😭😭😭🤦

  • @amanisaid9863
    @amanisaid9863 10 місяців тому +1

    Poleni sana familia daa yalinikuta haya kufiwa daaaa mhhhhmmmm,,

  • @saumukiduma
    @saumukiduma 10 місяців тому

    Allah akupe subra

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 10 місяців тому

    Poleni sanaa. Mungu kampenda zaidi

  • @SophiaAlly-u7k
    @SophiaAlly-u7k 10 місяців тому +12

    msiba usikie tu kwa mwenzio ila maumivu ni makali utakapokukuta na hauzoeleki

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 10 місяців тому

    Ina lillah waina ilaihum rajioun poleni sana Allah amlaze pema peponi awape subra wafiwa wote

  • @MerySango-s2q
    @MerySango-s2q 10 місяців тому

    Pumnzika kwa Aman mzee wetu

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 10 місяців тому

    Jamnii😭😭 inanikumbusha magufuli nchi ilipoa Yan ikawa kama watu tumepumbazika kwelii jmnii.. kifoo hakizuiliki

  • @FatmaSaid-j9o
    @FatmaSaid-j9o 10 місяців тому

    Innalillah wainna iliahy rajiun it's more than painful wallah

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 10 місяців тому +1

    Innallillah wainnaillah rajoon pole kwa family yake marehemu ALLAH ampunguzie adhabu za kabr 🤲🤲🤲

    • @swama9820
      @swama9820 10 місяців тому +1

      Amuondolee na si kumpunguzia Adhabu za kaburi ni nzito hatuziwezi, Allah atusamehe sote madhambi yetu

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 місяців тому

      @@swama9820 Sasa ndg yangu unataka 2mpangie MUNGU cha kufanya 2we 2 wanyenyekevu kpenz 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @swama9820
      @swama9820 10 місяців тому +1

      Si kumpangia Mungu inatakiwa tukimuomba Mungu tumuombe kwa upana fadhila zake kwani yeye ni Mwingi wa Fadhila hashindwi na chochote katika milk yake kutupatia

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 місяців тому

      @@swama9820 Hakka ila matendo ye2 na kujiombea n vyema Zaid ALLAHUMMA AMIIN IKAWE KHER.

    • @swama9820
      @swama9820 10 місяців тому

      Aaamin Allah ampe Pepo Yake Tukufu

  • @sabinatsaxara5529
    @sabinatsaxara5529 10 місяців тому

    Poleni sana family kwa wakati huu mgumu kwenu😢

  • @manenosakulo7076
    @manenosakulo7076 10 місяців тому

    Allahumma ghfirllah warhamhuu waskinhuu firjanah

  • @SophieHassan-v6n
    @SophieHassan-v6n 10 місяців тому

    Uyu alikua ndio rahisi wa Zanzibar wa Sasa ama mstaafu

  • @sheruajafari1676
    @sheruajafari1676 10 місяців тому

    Inalillah wainalillah rajiun.poleni sana

  • @magrethjoseph7012
    @magrethjoseph7012 10 місяців тому

    Mungu akupe subra

  • @NasraNdalo
    @NasraNdalo 10 місяців тому

    mungu amlaze mahala pema peponi kabuli lake liwe bustani

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 10 місяців тому

    kweli msiba mwepesi ukiwa kwa mwenzio.ukikukuta utabaki na sintofahamu.😢😢😢pole kwa taifa na familiya ya mzee mwinyi.

  • @Fatma-h7c
    @Fatma-h7c 10 місяців тому

    Allah mpe kauli dhabity babaetu msamehe makosa yke mpe kitabu chake namkono wakulia

  • @AnnoyedAirboat-vk5ki
    @AnnoyedAirboat-vk5ki 10 місяців тому

    Poleni sana ndugu zetu watanzania

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 10 місяців тому

    😢😢😢inauma sana
    Poleni

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 10 місяців тому +5

    Kwa mbali Amri zinaendelea !

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar 10 місяців тому +2

    Hawa police mm wananikera mpaka msibani bc wanajifanya kama vitani aaaah mbona huku ulaya hakuna .ambo hayo

    • @bizzleboy2686
      @bizzleboy2686 10 місяців тому

      Ukiwa ulaya utakutana na taratibu za Ulaya, ukiwa 🇹🇿 utakutana na taratibu zake pia, Kwa ufupi tu Kila nchi Ina utaratibu wake we kama unawachukia Polisi wachukie haukatazwi, ila ni vigumu sana kuwapangia utaratibu wa kazi zao. R.i.p Dk mwinyi 🙏😢

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      ​🙏🙏

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 10 місяців тому

    Poleni sana

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 10 місяців тому

    FAMILIA ZA KITAWALA SAFI SANA,,, JAMAA HATA HATUMJUI AISEE 😁😁

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 місяців тому +1

      HII NI ATHARI NJEMA YA MALEZI YENYE MAADILI KWA WATOTO WAKE MZEE MWINYI. HAWANA MASIFA WALA MAJIVUNO KAMA KWA BAADHI YA WENGINE WALE WAKINA "UNANIJUA MIMI NANI?!"

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 10 місяців тому

    Innalillah wainnaillah rajiun 😭😭😭😭

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 10 місяців тому +1

    Innalillah wainna lillah raj'iun 💔🕊️

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 10 місяців тому

    Mbon ajalia sana Amelia kitajili sana huyu mtoto

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 10 місяців тому

    Allah yarihamuhu ya Rabbi

  • @mahnalamry
    @mahnalamry 10 місяців тому

    @millard ayo huwezi umekosea mtu aliyekufa huwezi kumwita HAYATI huyo anaitwa MAREHEMU.

  • @sandrauwasezoe1031
    @sandrauwasezoe1031 10 місяців тому

    Pole sanaaa

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 10 місяців тому

    Inna lillah wa inna rajiun pumzika,kwa amani baba yetu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 місяців тому

    Pole.baba anauma

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 10 місяців тому

    Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford 10 місяців тому

    Mzee hakua na shida kabisa uyu

  • @bigjuve29
    @bigjuve29 10 місяців тому

    Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiun

  • @UpendoTonny
    @UpendoTonny 10 місяців тому

    Poleni sana😢😢😢😢😢

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 10 місяців тому

    Sasa mlitaka acheze viuno au acheni upuuzi msiba nikitu kizito msichukulie poa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 10 місяців тому

    Apo marehemu anatamani aseme msiweke hilo gwaride

  • @TwahaKijo
    @TwahaKijo 10 місяців тому

    😢😢😢

  • @shakilaabdallah7890
    @shakilaabdallah7890 10 місяців тому

    Innalillah wainnaillah rajuyn

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 10 місяців тому

    Daah 😢

  • @DottoDotto-v4j
    @DottoDotto-v4j 10 місяців тому

    Pumzika kwa amani mpendwa wetu

  • @paulinakiria7918
    @paulinakiria7918 10 місяців тому

    Msiba mchungu

  • @neemalaurent6824
    @neemalaurent6824 10 місяців тому

    Pol3 kwa family

  • @shamsaismail7707
    @shamsaismail7707 10 місяців тому

    Innalillahi waina ileyhi rajiun

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 10 місяців тому

    Huu ni msiba wetu tumuombee

  • @AmaniMrema-i3i
    @AmaniMrema-i3i 10 місяців тому

    Kufiwa kawaida labda umaarufu na wadhifa tu!

  • @abednego3876
    @abednego3876 10 місяців тому

    Watu wameshakula mema ya nchi bwn.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Mema ya nchi na kifo Yana uhisiano gani?

  • @Skubo_tz
    @Skubo_tz 10 місяців тому +3

    😭😭😭

  • @margarethmziray635
    @margarethmziray635 10 місяців тому

    Huyo atakua last born

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 10 місяців тому

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 10 місяців тому

    Aliondoa paspoti zanzibar sahivi zanzibaer yote haifai tena kwa vichogo washavoiharibu yy aende tu hayo aliyoyatanguliza

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Msenge wewe, huna hata aibu! Mwenyezi Mungu akulaaani , choko wewe

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Hivi unafikiri Mungu anaijua passport? Angeondoa Qur'an , hapo tungesema kafanya Jambo Baya, lakini passport!!!!! Fuck you!

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 10 місяців тому

      Wenye roho ya Uzanzibar wote wanajivunia mapinduzi na katu hawasiti kuelezea minyororo ya Sultan Na biashara ya watu Amerika kwa ujumla. Ongeza na wale waliokataa kupiga kura kwa mara ya pili kwa faida ya Wazanzibar wote...

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 10 місяців тому

    Inallh walila rajun

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 10 місяців тому

    😭😭🙏

  • @GodsanEdward
    @GodsanEdward 10 місяців тому

    Amebaki kikwete ajitasimini asipo tumbu dhambi zako atachomwa na moto wa ngesi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Wewe utachomwa Kwa Moto wa mkaa

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 10 місяців тому

      et ngesi 😂😂😂😂😂😂....udini unakutesa ww

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 10 місяців тому

      Ukiondoa udini wa baadhi ya watu na ukanda Jakaya kikwende ni Baba wa demokrasia hapa Nchini ni mvumilivu na Mstamilivu
      Kikwete ni Mtu na Nusu

  • @Salma-m9j8u
    @Salma-m9j8u 10 місяців тому

    😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🇴🇲

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 10 місяців тому

    kull Nafsi Dhaalikat tul maut

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 10 місяців тому +1

    wa msoga yeye anazika wenzie tu

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 10 місяців тому +2

      Utafulai

    • @JacquilineNoah
      @JacquilineNoah 10 місяців тому +1

      @@jumamussantuiche😂😂😂

    • @HassanAbdallah-f6o
      @HassanAbdallah-f6o 10 місяців тому

      Ww mbona hujafa akakuzika😢😢

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 10 місяців тому

      @@HassanAbdallah-f6o nakusubiri ufe wewe nikukamue mavi si unaukimwi wewe, kukamua mavi kungekuwa kwenda Mbinguni mngeenda wote waabudu majini nyie

    • @HassanAbdallah-f6o
      @HassanAbdallah-f6o 10 місяців тому

      @@SmilingBulldogPuppy-nb9ur bora wanaoabudu majini kuliko wanaoabudu ushoga

  • @salhamsonga1066
    @salhamsonga1066 10 місяців тому

    Allahumma ghfir llah warhamhuu waskinnu firjannah

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 місяців тому

    Mara nyingi ulipewa pole ndipo machozi yanapotoka zaidi sijui kwanini😢😢😢😢

  • @momylaviel
    @momylaviel 10 місяців тому

    😭😭😭😭