MKIRISTO KUOLEWA NA MUISLAM RUKSA, MUISLAMU KUOLEWA NA MKIRISTO NI KHARAM //SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Рік тому +1

    swadakta Shekh wetu ALLAH azidi kumpa afya NJEMA shukran

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Sheikh hapo kijanaaa maa shaa Allah

  • @ngila_og
    @ngila_og 5 місяців тому

    Maashaallah Allah akujaalie umri mlefu Allah hannishwi na chochote

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 Рік тому +1

    Masha Allah

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 6 місяців тому

    Kila siku wanaoa na kuolewa huku na huku na maisha yanendelea ,Mungu pekee atajua namna ya kuwahukumu, kwa kweli tunavyotaka iwe haiwi ila ipo tusiyotaka

  • @fatuma3969
    @fatuma3969 Рік тому

    Shukurani shekh waelimishe wengine maana hawajui Allah akuzidishie kher

  • @taqiyyuddincadis6281
    @taqiyyuddincadis6281 10 місяців тому

    MaashaaAllah

  • @chemchemmusic9060
    @chemchemmusic9060 Рік тому

    Masha Allah ❤

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Eeeh hii ya zamani? Naona Maalim shekh picha tofauti na sasa .

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 7 місяців тому

    Mashaalah

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Kwa ndoa ipi hiyo?

  • @vaahii5858
    @vaahii5858 Рік тому +2

    Mimi pia ni mkristo na ninakufuatilia sana

  • @saiyachuwa3512
    @saiyachuwa3512 Рік тому +1

    Hapo shekhe kama umeniacha kila mchunga ataulizwa alichokichunga Moja ya vitu anavyotakiwa kuvichunga mume ni familia take
    Halo shekhe kama kaniacha HV kila mtu ni mchunga na ataulizwa ktk vile alivyovichunga mume ataulizwa kuhusu familia yake mke na watoto aliwaongoza VP sasa kama mkeo umeoa mkristo na anruhusiwa kwenda kwenye ibada zake na Kyle unajua anaenda kumuabudia asiye mungu inakuwaje

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 Рік тому

      Unajua maana ya Ruhusa? Utaulizwa vp na umeruhusiwa?

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 Рік тому

    Sasa kama mungu hafananishwi na chochote! We unamfuata wa nini?

  • @mohamohaze6993
    @mohamohaze6993 8 місяців тому

    Sheihk mm kuna msichana mkristu anataka nimwoe na yeye amekubali kukuwa muislamu je hiyo inakubalika

  • @msafirikisak4940
    @msafirikisak4940 8 місяців тому

    Kwanini mtume alioa mtoto wa miaka Tisa ww unaweza kumuozesha mwanao wa miaka Tisa Kwa mtu

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis Рік тому

    Uongo

  • @MussaZombwe-du4pj
    @MussaZombwe-du4pj Рік тому

    Acha uongo Q. 2:221

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 Рік тому

      Tafadhali tumia lugha ya busara usimtusi mtu mwenye hajakukosea ni dhulma

  • @FahadNassor
    @FahadNassor Рік тому

    Maashaallah