Allah Akbar..😭..nakuomba mola wangu mlezi mimi na umma wa kiislam utuzidishie mapenzi na hofu juu yako ya darja ya juu kabisa..ameen yarabii ameen..ameen Allahhumma ameen
Mashaa Allah masheikh zangu wote ila sheikh wardi umetumia busara kubwa ya maneno, alafu sheikh wangu mkubwa ninae mpenda sana kisiliza sheikhe othumani malim mungu akuweke na akupe mwosho mwema.
ndio maana anatukanwa na mawahabi huyu shekh dah, kiboko kwa siasa hekima adabu umaridadi wakusoma yaani we acha tu. ALLAH atuhifadhie kipenzchetu amiin.
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mashekhe wetu, kinachonisikitisha kwamba miaka 10 ijayo kunavijana ambao wanafanya juhudi kuwa kama Hawa kweli, siju sisi vijana tukae chinitujiulize tunafanya jitihada Gani ? Kuwa kama ivi au zaidi ya Hawa?
Ndugu zangu ktk imani tupunguzeni ubahili umati ulokwepo hapo na movement ilonyanyuka kupeleka sadaka nitofauti.. Allah atuongoze tuwe na mapenzi na dini yetu na wepesi wakutoa sadaka wallah huu ni muswiba wenzetu upande wapili wanatusema sana tubadilikeni wallah tuwe wepesi ktk kutoa sadaka
Mlazimisha kuiangalia bidaa si mutuachie bidaa zetu au tumewaita mtuzike,tukifa sisi watu wa bidaa msije.Hata kuna wenzenu huwa hatuwausishi mama yetu(wananzengo) mnatusumbua
S. A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE 🤲 YAA ALLAH NAOMBA UTUJALIYE TUKAWE KTK WALE WATAKAO KUWA KTK UOMBEZI WA MTUME MOHAMMAD S.A.W ❤❤❤
Dah kitambo maalim sasa hivi kashazeeka Allah amuhifadhi sana sheikh wangu Othman maalim
Aamin yaarab tunamuombea dua sana sheikh wetu huyu 😊
Wala hajazeeka
Aliyezeeka babuyo tuachie maalim wetu. Ameen, allah atuhifadhie wazee wetu na mawazuoni wetu..
Mashhalllah hapa ni kile kipindi Nuru za wengi zilikuwa zimefichikana
Ma shaa allah huu ulikua usiku mzuri sana namuomba mwenyezi mungu atukutanishe peponi in shaa allah
Allah akbar,sheikh walid umemkaribisha kwa kutumia kauli nzito sana na heshima kubwa masha Allah,,Allah awahifadhi nyote kw jumla tuzidi kunufaika .
Masha ALLAH mwenyezi mungu awahifadhi masheikh wetu
Allah Akbar..😭..nakuomba mola wangu mlezi mimi na umma wa kiislam utuzidishie mapenzi na hofu juu yako ya darja ya juu kabisa..ameen yarabii ameen..ameen Allahhumma ameen
Allah atakusimamia
Maasha Allah shekhe warid uso wako ndani ya Nuru mpaka umeonekana kijana m/mungu akupe umri mrefu wenye kheri amina
Mashaa Allah masheikh zangu wote ila sheikh wardi umetumia busara kubwa ya maneno, alafu sheikh wangu mkubwa ninae mpenda sana kisiliza sheikhe othumani malim mungu akuweke na akupe mwosho mwema.
Hakika
Hakika
Ma shaa Allah sheikh walid na sheikh othman maalim Allah awahifadhi
Maashallah mashekh zetu ALLAH awahifadhi tuendelee kupata faaida
Allah azid kuwaweka masheikh zetu maashaallh
Maashaallh Allah awahifadh masheikh wetu
Mashaallaah nampenda Sana walid na maalim
ndio maana anatukanwa na mawahabi huyu shekh dah, kiboko kwa siasa hekima adabu umaridadi wakusoma yaani we acha tu. ALLAH atuhifadhie kipenzchetu amiin.
Allahuma amiin
Hahaha Shekhe Walid hapa ulikuwa young 😅😅. Allah akuhifadhi Allahuma Amiin.
Mashallah Allah atuhifadhi Duniani na Akhera
❤❤❤ mashaallah shehe wLd tunawapeda
Allah akbar Allah awape maisha marefu mashekhe zetu inshallah
Dah nawaona masheikh kadhaa hapo wametangulia mbele ya haki, Allahuma Fiilahu Warhamhu Waaskunu Filjanna🙏🏽
Maa Shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mashekhe wetu, kinachonisikitisha kwamba miaka 10 ijayo kunavijana ambao wanafanya juhudi kuwa kama Hawa kweli, siju sisi vijana tukae chinitujiulize tunafanya jitihada Gani ? Kuwa kama ivi au zaidi ya Hawa?
M/mungu awazidishie maarifa na kujitambua amina
ALLAH atuifadhi na masheik Othman na walid Ameen
Masha Allah mola awahifadhi ma sheikh wetu
Jazakallah khayran
Mashallah ❤❤❤
Ma shaallah Allah akulipe khery
Ma sha Allah
Nampenda sana shkh huyu wallah wa billah
Allaah awalipe Kila Lilo la kher
Mash Allah! Mash Allah! Allah (S.W) awahifadhi nyote
Allahuakbar
Tunaaapenda sana Allah atuweke pamoja na peponi pia inshaa Allah
Mashallha ❤❤ may Allah protect you all amin amin
mashaAllah
Manshaallah Allah awahifadhi Mashekh zetu hawa na wengine natamani kuwaona pamoja tena na sasa hivi wakitoa dawaa
MaashaAllah tuna soma kwenu sifa yaku ji dogosha.
Allah aku hifazini
Namuomba Allah anijalie nikutane nae huyu shehe duniani na ahera
Mashaallah hakika hawa ni miamba katika zamma zetu,Allah atuhifadhie.
Maasha Allah.
Masha allah nawapenda wote kwa ajili ya allah
Maa shaa Allah❤
Masha'Allah, Allahu Akbar mwaka gani huu.....?
Allahuma sali ala Muhamad wa ali Muhamad
Sheikh walid ALLAH akuhifadhi na macho ya walimwengu mashallah fasaha tupu
Ndugu zangu ktk imani tupunguzeni ubahili umati ulokwepo hapo na movement ilonyanyuka kupeleka sadaka nitofauti.. Allah atuongoze tuwe na mapenzi na dini yetu na wepesi wakutoa sadaka wallah huu ni muswiba wenzetu upande wapili wanatusema sana tubadilikeni wallah tuwe wepesi ktk kutoa sadaka
Masha'Allah🙏
Asalam mualykum warhamatullah wabarakat naombeni kujua maana ya jina la kilha ndugu zangu katika iman
Mlazimisha kuiangalia bidaa si mutuachie bidaa zetu au tumewaita mtuzike,tukifa sisi watu wa bidaa msije.Hata kuna wenzenu huwa hatuwausishi mama yetu(wananzengo) mnatusumbua
Mungu mkubwa
shekhe mungu akuhifadhi
Allah awaongezeee elimu mashekhe zatu
Allah awape tawfiq mtoke ktk bidaa
mungu awahifadhi mashehe zetu
Ameeeeen yaarabi
Mashaallah
Mashallah
mashallah
Jamani mi naona Jana au juzi
Maulidi ni UZUSHI
❤❤❤
Usifuate jeneza la watu wa bidaa asema mtume
Ulikuwa mwaka Gani??
Zamani apo tokea shekh walid sharo
Ma shaa Allah sheikh walid na sheikh othman maalim Allah awahifadhi
S. A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE 🤲 YAA ALLAH NAOMBA UTUJALIYE TUKAWE KTK WALE WATAKAO KUWA KTK UOMBEZI WA MTUME MOHAMMAD S.A.W ❤❤❤
Alhamndulilah,Allahwape umri mrefu viongoz wetuna sis ili kukuabudu vema wew Muumba wa mbingu na ardh na kumtakua kheri nyng mtume wetu (s.a.w)
maashAllah
Mupo kwenye uzushi asio utambua mtume wala sio mbele ya hadhara yake
Saw honger we unaijua ghaib