WATU WANAPENDA VITU KULIKO WATU WENZAO!!! UKITHAMINI UTU KULIKO VITU UTAFIKA MBALI ILA UKITHAMINI VITU VITU HUISHA NA HUBADILIKA KILA LEO!!!!! nmekuelewa bro Umepaza saut!!! salute
Hii ndiyo yesu aliyo sema ukiwanyamazisha hawa yale mawe yatapiga kelele, Roma kanyamazishwa na Mungu kamuinua mwingine badala yake., na ndiyo hiyo Roma anapotea hivyo bora angebaki na msimamo wake ule ule. Ongela sana kijana, yaani mpaka nimesisimuka mwili mzima kwa ujumbe ulio utoa.
Umewachanya marinda wakina ney na Roma! Safi sana wanaangalia matumbo tu! Kwanini wasichane ukweli km hivi bila woga? If possible omba refugee mbele wata kuchukuwa fasta! Mwisho for sure tuta kupost sana ukidanchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sina cha kusema,ila naomba Mungu akulinde wewe kaka,akuepushe na Hiyo mikono ya waonevu,akutenge mbali na hao wasiojulikana,heshima kwako Kijana msema kweli.
nasogea goligota.....aiseee huyu jamaa ni geneus, bonge la ngoma, siku zote serikali ilikua ikitaka Watanzania tuwewazalendo.na.huu ndio uzalendo wa kweli kusimama upande wa nchi yako na wanainch wote kwa ujumla na sio kusimama kwa kiongozi mmoja wa nchi ambaye ananunua wapinzani ili amuunge mkono. NASOGEA GOLIGOTA MZALENDO WA KWELI BIG UP MUNGU AKULINDE..
kavu kavu hakuma kulemba na huo ndo uzalendoWasanii wangekuwa wanaharakati kama wewe me nadhani hao walengwa wangekuwa wanatapatapasalute sana dude @mzalendo_1
Mungu na akusimamie katika kila ufanyalo Asante kwakuwa mzalendo Wa kweli Mana umeamka na kusema ukweli uliokuwa umejificha Wengi waliogopa ila wew umesena yaliyo ya kweli
Mungu akunariki mzalendo, vijana tunatakiwa kuiga mfano wako sio kutetea matumbo yetu. now hakuna mwanahiphop anaimba kuhusu maisha halisi ya mtaani ni mapenzi na matusi tu. tuko pamoja, tunavozid kuuliwa ndivyo tunazidi kulisaidia taifa
Nakukubali tu sana kawaida ukweli huwa unauma viongozi wetu wamekua wabaya na ukisema ukweli unapotezwa Mungu yu pamoja nawe bro endelea hivyo hivyo usirudi nyuma
gonga like kama na ww umemkubali mzalendo 100%
Safi sana bro wafungue akili watanzania
wewe nomaaa acha kabisaa nimekukubary.
2024 nani yuko hapa baada ya matukio ya utekaji
hongera kaka hata ukifa tutakukumbuka na kukupost ila ninaimani hutakufa wala kutekwa maana hakuna ulichokosea hapo ila umekosoa tu
aiseee weee ni nomaaa tupo nyuma yako mungu yupo nawe tunakuombea sanaaa i like that
daaaaah aise lazima nisubcribe na nigonge like za kutoshaaaaa
Jela kuna wanangu wamemic kapela kafugwa mandela sembuse me kapela! Big up mstali noma
Yaaap gud
daaaah now hakuna cha ney wala nan hii ndiyo ngoma ya taifa we ndo freedom fighter big up bab tupo pamokomkali
freedom fighter wee ndio simbaa kweli bro god bless you
Gonga like kama Mange Kimambi ndiyo kakuleta hapa.
Roma kufinywa kidogo tu Sasa anaimba kibamia 😀😁😀😁😀 Msanii wa Kiume kasema
REST IN PEACE ROMA, STAMINA, FID Q AND ALL TANZANIA RAPPERS EXCEPT THIS DUDE.... HE IS A TRUE ARTIST AND BEST RAPPER
wawoooooo
Kweli
Siwezi kunyamaza nikiona unazingua duh !!!!nimepiga ngoma tokea asubui 🤘🏻🙏🏾🙏🏾
WATU WANAPENDA VITU KULIKO WATU WENZAO!!! UKITHAMINI UTU KULIKO VITU UTAFIKA MBALI ILA UKITHAMINI VITU VITU HUISHA NA HUBADILIKA KILA LEO!!!!! nmekuelewa bro Umepaza saut!!! salute
Hii ndiyo yesu aliyo sema ukiwanyamazisha hawa yale mawe yatapiga kelele, Roma kanyamazishwa na Mungu kamuinua mwingine badala yake., na ndiyo hiyo Roma anapotea hivyo bora angebaki na msimamo wake ule ule.
Ongela sana kijana, yaani mpaka nimesisimuka mwili mzima kwa ujumbe ulio utoa.
NYC job. asante kwakuzibeba saut za wanyonge ubarikiwe
Mungu akulinde uendelee kutupa vitu vizuri ka hiviiii, nice one and true statements,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Gonga like zakueleweka wazee
unaachaje like ngoma kama hii
Safi Sana
Rollando kweli
HONGERA
Eeh Mungu tunashukuru kwa Zawadi ya ufufuko wa BWANA WETU YESU KRISTO
oih oih tz ya viwanda
hahahahaa duh mwisho nimecheka eti wakiniua msisahau kunipost duh !
🙌🙌🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯💯✌✌✌✌✌✌ hauwezi kufa hadi mungu mwenyewe atakopa kuitaji tu
kaz nzur
Tz media chali amebaki mange kimambi🔥🔥🔥
Wewe ndio msanii wa Kiume sasa
💪
sawa kangusi
nzuri
Sijui nikuambie nn rafiki yangu ,tunaitaji watu 1000000000 kama ww hongera mwanangu ,naisogelea golgota
Freedom fighter# kaka umetisha mzarendo tunasogea gorigota, sema nn wakituuwa wasiache kutupost🔥🔥🔥🔥🔥
Umewachanya marinda wakina ney na Roma! Safi sana wanaangalia matumbo tu! Kwanini wasichane ukweli km hivi bila woga? If possible omba refugee mbele wata kuchukuwa fasta! Mwisho for sure tuta kupost sana ukidanchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kali sana iyo pambana ivyo ivyo support from Arizona United States
Sina cha kusema,ila naomba Mungu akulinde wewe kaka,akuepushe na Hiyo mikono ya waonevu,akutenge mbali na hao wasiojulikana,heshima kwako Kijana msema kweli.
Shet up nenda, WEMA nae ni pepo hata zama za Yesu Kama yeye walikwepo
Lyricss mzee Baba, yan everything its Trueee axe iyo ndo Sanaa mze kazaa...
Sichoki kuckiliza hii ngoma aloooo jamaa anaweza💪💪💪💪💪💪
Bonge ya chupa chaliangu, kip gud music alive arifu na hakuna kuogopa chochote chini ya jua
wewe ndo Mwanaume Sasa Mungu Akulinde Mpaka Chozi La Mwisho Tupo Nyuma Yako
Huu wimbo unasisimua kwa kweli, maana ni ukweli mtupu, song of the year
yanikila siku lazima niuangalie
Tracy Justice kweli
Kaka Eeee washa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nipo pamoja nawew tusogee golgota mzeee bab
atali
hongera Demu chizi Kwa kuusuport upumbavu ....unataka afe mama ako ndo .....huu uonevu ...??!;;jamaa kajiripua mm simo
Hadi nimesisismka ise maan
Solute bro we jasiri unacheza na mamba mtoni
Floor kali, mashairi makali yenye ujumbe Wa Ukweli....This is the real meaning of hip hop....Heshima yako kaka Goligota
Dah hatimae 2mepata msanii wkiume Tz. 👐
Adadi Rashidi Majidi
Hahaha kaka Hatareee
Ras D the king 😀😀😆wengine vip?
We jasiri sana brother 🤙🏼
Kila nitakapo ingia UA-cam lazima nitazame hiingoma
Ewalaaa boraa nife kihal a kati kama chego valaaa
Dah ila inauma sana ngoma nikali zaidi na zaidi big up broo wasanii sote mjipange upya hii ligi nyingine 😍😍😍😍😍😍😍
Hizo ndo nyimbo za kusikiliza sasa so Wa bana pua 🙏🙏hii ngoma. Ni💥💥💥
Nilitafuta sana huu wimbo🎉
msimkatae roma kisa jamaa uyo roma kashasemeya sana tz kwaio zamu ya wengne
🤘🏻big up mzee Toka USA nakusoma sana
nasogea goligota.....aiseee huyu jamaa ni geneus, bonge la ngoma, siku zote serikali ilikua ikitaka Watanzania tuwewazalendo.na.huu ndio uzalendo wa kweli kusimama upande wa nchi yako na wanainch wote kwa ujumla na sio kusimama kwa kiongozi mmoja wa nchi ambaye ananunua wapinzani ili amuunge mkono. NASOGEA GOLIGOTA MZALENDO WA KWELI BIG UP MUNGU AKULINDE..
Rose Rafael huyu jamaa ni hatari kwa mashairi haya
Hawa ndo wasanii 2nao wahitaji kwenye jamii brother umetixha we ndo freedom fighter uliyesalia big up sana
Mwambaaa.... Big up mkuu... Paza sauti 👊👊👊
gudi mzeee hakun km wewe
duu bonge la ngoma kwa mtanzania anayejielewa
Hawa dislike ndo wakina nan ww ndo mwana hipop wa ukwelii salute
trending mda si mrefu
kavu kavu hakuma kulemba na huo ndo uzalendoWasanii wangekuwa wanaharakati kama wewe me nadhani hao walengwa wangekuwa wanatapatapasalute sana dude @mzalendo_1
Noma sana, kaka umetisha, nipo nyuma yako, salute 👏
xana nakulewa Hakuna kama wew tz 👍👍👍👍
Katekwa kateswa Roma Leo anaimba kibamia 😂😂😂 nasogea goligota bonge la ngoma💪💪💪
Duuh hili ngoma dunia nzima, pamoja mzalendo WA kweli
Revolutionary Hip Hop... hii ndo asili ya kweli ya hip hop, woga tupa kuleeee, wacha wabana pua hawa wapakwe mafuta na bashite
Yeeeehhh wagepatikana watano kama hawa wagebadili mwenendo wa nchi ya kusadikika
ni mda wa kufunguk now kuwa na falsafa ni jambo zur kwa msanii Big up bro
BONGE MOJA LA HIT MZEE BABA YAANI ACHA niendelee ku replay Zaidi Saivi Mtu Kama Roma Anasahau Hizi Ngoma Anaanza kuimba eti K ni K
Aziz Willy saidia kuifanya itrend kama mnavyomfanya zodwa...
Sylvanus Kateile hahahahahahaha umenivunja mbavu
Mzalendo Official Usijali Ninja Tuko Pamoja
Inackitsha San jomba.
R,I,P Roma.
Aziz Willy 😢😢😢😢😢😢kwa kweli huyu ni kamanda
Mungu na akusimamie katika kila ufanyalo
Asante kwakuwa mzalendo Wa kweli
Mana umeamka na kusema ukweli uliokuwa umejificha
Wengi waliogopa ila wew umesena yaliyo ya kweli
daaaah mzee baba sina cha kusema ila salute san acha na kina roma wazalendo hewa👊👊 ww ndo msanii wngu kuanzia sahv staki kiba wala mond
Nyimbo nzuri sana Kwa Tanzania ya Leo big up Kamanda
namuunga mkono👍
wimbo sio nyimbo Kamanda
Upuuzi mtupu. Sikuzote mtetezi hakubaliki kwasababu masilahi ya wenyefedha yameguswa
Kafungwa Madela sembuse kua Mimi msela 🔥🔥
Umetisha Bro, ukweli mtupu keep it up, usiogope kuzaliwa siku moja kufa siku moja,
Kumbe kuna Raper wakali hawajulikana tu nakupa big up
Baba toa na part 2..... mzalendo
Mungu akunariki mzalendo, vijana tunatakiwa kuiga mfano wako sio kutetea matumbo yetu. now hakuna mwanahiphop anaimba kuhusu maisha halisi ya mtaani ni mapenzi na matusi tu. tuko pamoja, tunavozid kuuliwa ndivyo tunazidi kulisaidia taifa
Kaka haupo peke yako, hili ni pambano letu sote... Ubarikiwe
Kabisa
Kabisa Brother Kusema Ukweli 👋👋
Nguvu ya Mziki.
Baba umetisha big up, roma kumbe ukutekwa ulienda kufunga ndoa na watu wasiojulikana
dislikes zote za fisi em
Uko vizuri sana kijana mzalendo, hata ukifa leo taifa litakukumbuka daima kama sanane. Kwenye kitabu cha historia utaingia
ata Watu wasio julikana imewafikia... nice song tunamuomba Mungu akupe maisha marefu
kubaliiiii wenomaaaaa brooooo endelea kuwa ponda kubali sanaaaaaaaa
Ziba nafasi ya Roma kaka
Umetisha saana 💪💪
Saafi sana wakipatikana 10 kama wewe yaani uhuru tunaupata
ngoma ya mwaka
Kaka mwenyez mungu akulinde sana maana umejitoa kwa ajili ya watz ambao wengi wao wameshindwa na kuogopa kusema ukweli! Mungu awe nawe kaka mzalendo
nimependaa hii nyimbo hakika ssi kama taifa la 🇹🇿 tuna simama pamoja kupigia demokrasia ya nchi yetuuuu upo vzur kaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍😍😍😘
Hii ngoma ni oldschool halafu kali vibaya
Salute kwako chaliii
mungu akuongoze akupe maisha marefu wachane blo tumewachoka!!
Big up sanaa jr.Kazi kazi
Daah bonge la ngoma.. Shikamooo Goligota... Upo vzr Xana
NINACHOMPENDA MUNGU... WAKIMUUA MKOMBOZI. MOOJA ANAZALIWA MWINGINE. SOGEA GOLIGOTA MKUU..TUPO PAMOJA SANA
watanzania tumpe sprt" kafikisha ujumbe mzr. ..n ukwl mtupu
Dah yani we jamaa siopoa aseee mungu ataendelea kukusmamia mkal ila upovizur Sana mzee baba
Nakukubali tu sana kawaida ukweli huwa unauma viongozi wetu wamekua wabaya na ukisema ukweli unapotezwa Mungu yu pamoja nawe bro endelea hivyo hivyo usirudi nyuma
Mistari imesimama... boonge la song !!!
Umeongea Pont sana lakin wehu watakufungia hiyo kitu ila ujumbe utamfikia
big up bro....fanya kile roho yako inaona na Mungu wetu atakuwa pamoja nawe kila uendapo!
Daaaah mzeee baba big up nyingi sana tunasogea wote goligota
Umecheza kama ronaldo brother big up sana