Masha Allah,kwakweli upande unaotetea dua baada ya sala hoja zao ni dhaifu na hizo hoja walizotoa hazikukidhi kuonyesha mafunzo ya Mtume(S A W)naona wameegemea katika kulazimisha mambo yasio sahihi(Wallahu Aalam)
Wasome vizuri mawahabi sio jazba katika dini kama wao wanaona haifai wasifanye wataona siku roho zao zitakapotolewa ukweli wote watauona yaani nishida uchache wa elimu ni hatari sana
A aleikum, Nimeamini kuwa hili jambo la imam kugeuka,na kuleta dua baada ya sala,sio lazima,na sio katika sunna za mtume,na kwamba katika kila sala liwepo,si lazima na sisi katika sunna za mtume,tatizo ni kwamba,kuna hawa waliorithi,na wanatumia hii dini,kama kitega uchumi kujipa usharifu na utukufu,kutumia dini kujaza matumbo yao.ili kujipa u bora, wakiambiwa someni hadithi,leteni reference,huhamaki na kuleta jazba na hamaki,hawa watu wa maulidi ni mtihani,ndio maana wanashindwa na tena ni wababaishaji, AllahuAkbar.
S Abraham iyo nikweli kabisa watu ni wavivu wa kusoma dini ..yani hili jambo halipo kabisa mambo mengi ktk dini tulioyakuta sisi ni ya mazoea tu lkn ndani yake hayana ukweli kabisa
Kiukweli inauma watu wanalawitiwa.dhulma imetawala kwa watawala na watawaliwa.dhambi imetawala kila kona.haya ndo ya kujadiliwa msibahuu.Leo eti wanaojiita mashekhe baada ya kujadili mambo ya msingi dunia inateketea leo wanakuja kujadili mambo mepesi kama haya subhaana llah.
Kunajaamaa anasema heti allah anasem aduunii kwaa kuna anae anaekataa dua apo mbona kinachozingatiwa tuombe dua katika sehemu gani mtume mefafanua akthiru aduau fissujudi kisrisha dua katika sijda
Mugempata dr Islam hata hamugemaliza dakika tano mugefunga mjadala wenu.elmu yenu mdogo sana.mtume alikuwa akifundisha mdaa wasiku tatu kisha akiwacha so hakuna kutoa sauti baada ya swala
Zahir Qassim wewe night mjinga ambaye hujui lolote ktk uislam wako, kaa darasani ufundishwe dini jinga wewe aliyekuambia kwamba wanachafua dini ni nani? Hao wanatengeneza walipoharibu watu.
LEO SUNNI WOTE WAMEKUBALI KWAMBA KILA KINACHOFANYWA NA SHIA NI SAHIHI KUTOKA KWA MAELEKEZO YA MTUME NA NYUMBA YAKE TAKATIFU, SHIA NDIYO WAISLAMU KAMILI, LAKINI SUNNI NI MAKAFIRI
Ww unaona c mambo ya kukosesha kazi za kufanya kwa vile ww unayajuwa hayo ila kumbuka kuwa kuna wenzio hawayajui ndio wanafundishwa ww vp hakuna ajuwae kila kitu.
hahahahahahahahahahahahahahahshahahahshshshhahahaja nmeeeeelewaaaaa kumbe hakuna hadithi ua mtume alsoma dua na watu wakaitikia aaamin kwasaıti. kumbe n makosaaaaaaaaaa sanaaaaa ohhhh nmejfunzaaaaaaa
Mnatuharibia dini nyie mawahabi, mbona mko hvyo kila kitu mnapinga tu, watu wanafirwa kila Sikh hamkemei mmekaa kimya kazi yenu kupinga waislamu wenzenu
Wewe yaonyesha wewe ni mjinga hufuata kiupofu kwani hata ktk kitabu cha kishafiy :Muqaddimatulhadhramiya yasema : wayusannu dhikru baada swalaa wasarru bih; Na ni sunna kufanya dhikri baada ya sana na hufanywa kwa siri bila kunyanyua sauti.
Teach Wahhabi/Salafiyyah groups because their have very little knowledge and remind them that even inside salah when imam read surah alfatiha,why are they said ameen? and if it is harram kuanini wasinyamaze?
Masha Allah,kwakweli upande unaotetea dua baada ya sala hoja zao ni dhaifu na hizo hoja walizotoa hazikukidhi kuonyesha mafunzo ya Mtume(S A W)naona wameegemea katika kulazimisha mambo yasio sahihi(Wallahu Aalam)
Shukran mashekhe wetu watetezi wa sunnah
Masheikhe wasunah ni lazma watakuwa sawa tu maana dalili wanatoa za kalla Allah wa kalla russul
Subhannallah.
thanks Muhammad uthman mashallah
Ahlul bid'ah hao
Allahu Akbar Yaa Rabbi tuhidi wajawako nafitna hii iliotuingilia ktk dini
Wasome vizuri mawahabi sio jazba katika dini kama wao wanaona haifai wasifanye wataona siku roho zao zitakapotolewa ukweli wote watauona yaani nishida uchache wa elimu ni hatari sana
A aleikum, Nimeamini kuwa hili jambo la imam kugeuka,na kuleta dua baada ya sala,sio lazima,na sio katika sunna za mtume,na kwamba katika kila sala liwepo,si lazima na sisi katika sunna za mtume,tatizo ni kwamba,kuna hawa waliorithi,na wanatumia hii dini,kama kitega uchumi kujipa usharifu na utukufu,kutumia dini kujaza matumbo yao.ili kujipa u bora, wakiambiwa someni hadithi,leteni reference,huhamaki na kuleta jazba na hamaki,hawa watu wa maulidi ni mtihani,ndio maana wanashindwa na tena ni wababaishaji, AllahuAkbar.
S Abraham iyo nikweli kabisa watu ni wavivu wa kusoma dini ..yani hili jambo halipo kabisa mambo mengi ktk dini tulioyakuta sisi ni ya mazoea tu lkn ndani yake hayana ukweli kabisa
MashaAllah nimesoma kitu hapo
Mtume amesema Aduaii silahatul mu'minin.
MashaAllah
Kwa kweli mimi Bora nisikilize tu maana vitabu ambavyo mmesoma nyinyi wenyewe ndio mnajua kila mtu anazungumza kwa ufahamu wake.
Jamn ss waislam mungu tunusuru namtihn hu
Wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliruhusiwa ili wapate baraka ya dua zitakazoombwa siku hiyo!
Mbona unakataza jambo halafu unaliunga the sametime
SubhanaAllah
wew unatakiwa ujifunze hapo sio matusi
By the way, is this the former speaker Farah Maalim chaired this mjalada
Kiukweli hamna hoja ya kuthibitidha dua kwa sauti, munajibabaisha tu
Wewe,Mwenyezi Mungu unamwita mtu?
Sawa
Masheikh upande wa mawahabi wanatetea ujinga mkiabimbiwa someni nnasoma kiarabu kiarabu ni lugha jamani
Kiukweli inauma watu wanalawitiwa.dhulma imetawala kwa watawala na watawaliwa.dhambi imetawala kila kona.haya ndo ya kujadiliwa msibahuu.Leo eti wanaojiita mashekhe baada ya kujadili mambo ya msingi dunia inateketea leo wanakuja kujadili mambo mepesi kama haya subhaana llah.
Hakuna bid'a nyepesi
Iblisi laana ziwe juu yake anapenda BIDAA zaidi kuliko MAASI
Because maaasi utatubia but bid'a hautatubia wewe utaona uko sahihi tu
Kunajaamaa anasema heti allah anasem aduunii kwaa kuna anae anaekataa dua apo mbona kinachozingatiwa tuombe dua katika sehemu gani mtume mefafanua akthiru aduau fissujudi kisrisha dua katika sijda
Kwel elim ndogo ni Najsi
afadhali sh.abdallah wa pili nikulia nilikuwa khurafi Lakin nimejua haki na ninaifuata fuata haki bro
tundulisu
ukweli ni kwamba watu wanafuata yasiokuwa na wanaacha yaliofundishwa sio kufwata wa saudi
abuhamza ibn taymiya asema khurafi mwangalie kwa jicho la rehma wasikukasirishe hawa sumun bukmun
Waislamu woote ni dugu hata imam shafi na maimamu wingine walikuwa wakipingana lakini hawakutukanana kila mtu akikubali hoja ya mwenziwe
@@asmaabdallah4055hujui unacho kisema wewe . Nakushauri tu unyamaze maana utaumbuka
Mugempata dr Islam hata hamugemaliza dakika tano mugefunga mjadala wenu.elmu yenu mdogo sana.mtume alikuwa akifundisha mdaa wasiku tatu kisha akiwacha so hakuna kutoa sauti baada ya swala
KWANI DR ISLAM ANA VITABU VIPYA VYENYE MANENO MAPYA..
Nikujisifu tu lakini haipendezi
Asalaam aleykum mungu asema udouni asita jiburakum sasa wewe wapinga dua
Bahero kofia wasujud vipi na kila clips zako kofia umeeka kama police.
Umeona akiswali ama kazi ni kudhani dhani tu kama kawaida ya masufi
@@mohagurey2214 nishamuona masjid rahma bakarani
Nyinyi watu wa bidah sio wafwasi wa imamu Shafi
Zahir Qassim wewe night mjinga ambaye hujui lolote ktk uislam wako, kaa darasani ufundishwe dini jinga wewe aliyekuambia kwamba wanachafua dini ni nani? Hao wanatengeneza walipoharibu watu.
Ww pia huna akili
mbona wengine maonyesha jaZiba kuliko kufundisha na kuziweka sura kama vita
LEO SUNNI WOTE WAMEKUBALI KWAMBA KILA KINACHOFANYWA NA SHIA NI SAHIHI KUTOKA KWA MAELEKEZO YA MTUME NA NYUMBA YAKE TAKATIFU, SHIA NDIYO WAISLAMU KAMILI, LAKINI SUNNI NI MAKAFIRI
Wewe si nguruwe tu la kishia
Khaaaa,hakuna hata mtu mmoja ambae hafanyi bidaa,si sunni wala mwengineo
Zubeir Ahmad usiseme ivo ndugu anaetaka kumcha ALLAH kiukweli hafanyi bidaa
mnatupotupotosha kwa malumbano badala ya kufundisha ndo nini hiyo mashekh
Wla hayo c mmbo yakuwakosesha Kz za kufanya
Ww unaona c mambo ya kukosesha kazi za kufanya kwa vile ww unayajuwa hayo ila kumbuka kuwa kuna wenzio hawayajui ndio wanafundishwa ww vp hakuna ajuwae kila kitu.
Elimu ndogo ni udhia mkubwa
Mungeenda.kuwalingania.makafiri.mungefanya lamaana.sana.ilamumalumbana.nynykwanynyi.hii.dini.imekua.siyasa.laaa
Khamis Salum ww hujui ulifanyalo
Wewe hujijui
Sio kulumbana bali ni kurekibisha watu wa bidah
Waache kuzuwa uzushi wa Dua baada ya sala
hatusukii kitu jamani hizo spika zenu zina nini
Kwa nini muslims tuna tabia ya kujadiriana sisi kwa sisi kisa tuna sukuma kwa mitandao kitu ambaee hakifai kabisa
hahahahahahahahahahahahahahahshahahahshshshhahahaja
nmeeeeelewaaaaa
kumbe hakuna hadithi ua mtume alsoma dua na watu wakaitikia aaamin kwasaıti.
kumbe n makosaaaaaaaaaa sanaaaaa ohhhh nmejfunzaaaaaaa
UMEKUWA na ITIQADI YAKO MBOVU BILA KUSIKIZA ... HILO HALITUCHANGANYI KUJA NA UONGO WAKO WA MANENO ULIYOYASEMA ...
Zile madakika imam huyamaza baada ya swala is not enough to do any dikr. Stop cheating ya sheikh
Mnatuharibia dini nyie mawahabi, mbona mko hvyo kila kitu mnapinga tu, watu wanafirwa kila Sikh hamkemei mmekaa kimya kazi yenu kupinga waislamu wenzenu
Mohamad Ally hujui ufanyalo pengine
AstaghfiruLlaah "Allah" akusamehe
KAMA ULISHUHUDIA HATA WEWE UNAWAJIBU WA KULINGINIA SIO MPK MASHEYKH..ALLAH AKUREHEMU...
Allah akuhidi
Leteni Dalila ya Dua baada ya sala
Hawa mawahaby ni wajinga kwelikweli HIVI HUWA MNALIPWA SHINGAPI ILI KUCHAFUA DINI YA MUNGU NYIE?
Huna kitu ina itwa wahabi bali wewe ni jahil
Wewe yaonyesha wewe ni mjinga hufuata kiupofu kwani hata ktk kitabu cha kishafiy :Muqaddimatulhadhramiya yasema : wayusannu dhikru baada swalaa wasarru bih; Na ni sunna kufanya dhikri baada ya sana na hufanywa kwa siri bila kunyanyua sauti.
Usiwatukane mashekhe wetu watetezi wa sunnah
Wewe mtu wa bidah mzushi una hoja yoyote isipokuwa ni matusi tu
Teach Wahhabi/Salafiyyah groups because their have very little knowledge and remind them that even inside salah when imam read surah alfatiha,why are they said ameen? and if it is harram kuanini wasinyamaze?
Wewe hata haueleweki
Unaambiwa na Dalili ya mahadith kutoka Bukhari and Sunan kwamba mtume hakufanya kisha wapiga kifua na kuendelea kufanya??? Fear Allah brother