MZEE MIAKA 75 APIGWA RISASI na POLISI - YU HOI MUHIMBILI -ATAKIWA KUKATWA MGUU -TUHUMA za WIZ -UTATA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • MZEE MIAKA 75 APIGWA RISASI na POLISI - YU HOI MUHIMBILI -ATAKIWA KUKATWA MGUU -TUHUMA za WIZ -UTATA....
    Mzee mmoja aliyejulikana kwa majina ya Abdalah Mohamed Ngombo mwenye umri wa miaka 75 mkazi wa Mkuranga mkoa wa Pwani amepigwa risasi ya mguu na wanayedaiwa askari wa jeshi la polisi wilaya ya Mkuranga kwa madai ya kutaka kumjeruhi mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai na sururu aliyotoka nayo ndani mara baada ya kufika nyumbani kwake kumkamata hivyo askari akamfyatulia risasi ya mguu.
    Baadhi ya ndugu wakiwemo watoto wake na majirani wa mzee huyo wameeleza Global Tv kuwa mzee huyo hakuwa na matukio yoyote ya uhalifu tokea ujana wake.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 608

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +6

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Рік тому +28

    Ndio mana maisha ya polisi wengi wakistaafu ni ya ajabu na aibu.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Рік тому +1

      Laana za watu zinawatembea mungu ni wetu sote 😭😭😭wamemtia ulemavu wa kufa nao mzee wa watu 😭😭

    • @jazeerajuma5014
      @jazeerajuma5014 Рік тому +4

      Bila hata kustaafu huwa maisha yao hayaelewekeni

    • @camillasiwa6506
      @camillasiwa6506 5 місяців тому

      kabisaaaaaaaaaaaa

    • @AishaChamumi
      @AishaChamumi 4 місяці тому

      Mnooo'' Yaani duni sana kwa laana za watu...😢

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 Рік тому +30

    Polisi anaenda kumkamata mzee wa miaka 75 mwenye siraha ya sululu eti unampiga risasi we polisi au mshenzi wewe. 😭😭😭😭

    • @shabanikitula645
      @shabanikitula645 Рік тому +3

      Laana kubwa sana

    • @rajabjuma277
      @rajabjuma277 Рік тому +1

      Umenichukulia maneno yangu kwe 75 unampiga risasi

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 Рік тому +2

      Kwakweli ni washenzi type1 yaani mzee wa miaka75 unampiga risasi unaenda kumtia ulemavu wa ukubwa ndo maana watu wanachoma vituo vya police mnaanza kulalamika,police jitafakarini Kwa matendo yenu ya kigaidi

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 Рік тому +1

      Hii nchi ngumu Sana tunapoelekea sijui itakuaje?

    • @w4058
      @w4058 Рік тому +1

      Mbwa khasa tena waso na mchunga mchunga wao masauni dhulma mkubwa Alaysa llahu biahkamulihakimin

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 Рік тому +17

    Ila polic mungu anawaona mnatutesa Sana Ila malipo Ni hapahapa duniani nchi Haina uongozi hii

  • @deusmhapa2400
    @deusmhapa2400 Рік тому +42

    Ametendewa huyu hata mtu au familia nyingine inaweza kutendewa ,Watanzania tunalani tukio hili .

    • @JamalKhan-le9ud
      @JamalKhan-le9ud Рік тому +2

      Nikweli wangefanya upelelezi jamani mbona nimzee yani jamani 😢😢😢

    • @halifajuma545
      @halifajuma545 Рік тому +1

      Huyu RPC niwakunyonga kabisa pamoja na hao mapolisi inchi hii bure kabisa halafu eti kazi indelee kweli kupoteza haki ya mtu sheria ya kunyongwa irudi tena wanyongwe live tumombee mzee wetu apone inshalha

    • @mwanakhamisimwinyimatano1185
      @mwanakhamisimwinyimatano1185 5 місяців тому

      ​@@halifajuma545Alhuma Amiin

  • @asiansky9767
    @asiansky9767 Рік тому +17

    Poleni sana familia...dhulma kubwa wameifanya askari

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +13

    Mtangazaji nakuona uko vizur Maswali yameenda shule sana. Allah akulinde.

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 5 місяців тому +1

    Mzee Wa Miaka 75 Polisi Inashindwa Kumkamata Kisa Kashika Sululu La Kuchimbia Mashimo😂 Na Kuamua Kumpiga Risasi MZEE Wa Watu .Dunia Tunapita😢😢😢

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 Рік тому +9

    Malipo yapo hapa hapa duniani Mwenyezi Mungu atatenda muujiza haki yamtu haipotei

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 5 місяців тому +1

    Hapa Ndipo Tulipofikia Kama Taifa MUNGU TUSAIDIE😢

  • @jessykaelus1579
    @jessykaelus1579 Рік тому +11

    Aisee🤔🤔🤔 mzee wa miaka 75 tena usiku na haoni vizuri!!! angekimbia kweli🤔🤔...nyie police nyie!!!Hebu Muogopeni MuNgu dah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Subhanallah Allaah lailaha ila Llah

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Allaah atampa Shifaa dhulma kubwa hilo tunamlilia mzee wetu hata hatumjui kwa dhulma hizo alipwe compensation

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Wewe jibwa kubwa munafiki wewe na huyo muwongo muwongo waongo

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Hawana uimara wowote Alaysa llahu biahkamulihakimin itafanya kazi itawahukumu wote mbwa wakubwa muwongo Mkubwa

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Tupeni namba tuwasaidie

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 5 місяців тому +3

    Sijui kama alishapona au laa ila ndio naona leo namuomba Allah amsaidie huko alipo Aamiyn

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Nami ndio nimeona ila angekuwa babaangu au babayangu huyo aliyemfanyia hivi kivyovyote ningemalizana nae kimyakimya inaumiza

    • @GfgGgh-v5z
      @GfgGgh-v5z 5 місяців тому +1

      @@MiriamAbdallah yaan inauma mno dhulma hii kiukweli

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      @@GfgGgh-v5z Bado nimeona amehojiwa miezi 3 iliyopita ni uonevu wa hali ya juu

    • @GfgGgh-v5z
      @GfgGgh-v5z 5 місяців тому

      @@MiriamAbdallah Subhana Allah nami nimeona Allah atamlipia kwa hili maana uonevu sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      @@GfgGgh-v5z hawa jamaa tunawaogopa ila tukiamua tunawaweza wauwa nasi tuna uwa wakijerui nasi tunawajeruhi wao wanafanya hadharani sie kimyakimya wakose hata wakumshika wako wachache sie tuko wengi itafika paha tuhishimiane

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 Рік тому +10

    Aisee ww mwandishii safi sanaa tukipata waandishi 10 kama ww nchi yetu itapiga hatua sana ungekuwa karibu ningekupa hela ya soda.

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 Рік тому

      Mwandishiiiiiiiiii big up mungu akulinde ameena

  • @kipepeo_Kitchen
    @kipepeo_Kitchen Рік тому +24

    Presenter, excellent execution! Good command, very skillfull interrogation. We need presenters like this, I commend you! 👌🏾👌🏾👌🏾👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @MatimaJR-q9k
    @MatimaJR-q9k 4 місяці тому +1

    Yaan kama sio kweri huyo mzee kaonewa. Bas, namwomba mw MUNGU ucku na mchana huyo askar aliompiga risasi mzee, kwa uwezo wako ALLAH embu mtie maradhi yasiotibika huyo askar. Na awe na mwisho mbaya. Aamin Aamin Aamin

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 Рік тому +7

    Poleni familia kwa tukio baya lililomkuta baba yenu, sheria ichukuliwe kwa hao mapolisi feki pamoja na huyo kamanda uchwara.?Ikishindikana tafuteni mganga kwa garama yoyote, awaloge wote awafanye mbuzi, pamoja na huyo mkubwa feki wao.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Рік тому

      😂😂😂😂😂

    • @stanleymapunda1985
      @stanleymapunda1985 Рік тому

      Kama ni WA mkulanga Amna kitakacho chukuliwa Shelia yoyote. Kuna cku nili shikwa na patro walicho kuwa Wana kifanya umo njiani binafsi nili umia sana CNA tu Kwa kwenda kujieleza kiukweli ninge wa chukuliwa atia asikali wa mkulanga ni wanyanya saji sana

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Lakini Naomba kiwauliza Mwizi Au jambazi Anaonekana na Anajulikana Akiwa kijana je Akizeeka Anakwenda wapi?? Na mshawahi kumuona Mwizi Mzee au jambazi Mzee?? Hapo tujuwe Jambazi Au Mwizi Akizeeka Hana nguvu ya kwenda kuiba ila Anakuwa na kuvu ya kuxhora Racket kwa hiyo hili Swala kwanza tuwaachie police Huwenda ni mxhoraji plan ila Huyo Aliekamatwa Akaletwa hapo Amemtaja.

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 Рік тому +12

    Kwa hali hii tunayoenda nayo nikiona police anapigwa au anafanyiwa tukio lolote mbaya na Mimi nashiriki kuongeza nguvu,mzee wa watu wanaenda kumtia ulemavu wa ukubwa police wanafanya matukio mengi ya ovyo na yanayoonekana kabisa lakini kesi wanazimalizia juu Kwa juu mtwara waliua lakini mpaka muda huu hakuna chochote kinachoendelea,askari mzima unapiga mzee kweli wakati mnatuambia wazee tuwape kipaumbele hata hospital au sehemu yoyote tunapokutana na wazee lakini nyienyie ndo mnaenda kuwatia ulemavu hao wazee

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 Рік тому

      Umeona yalivyokuwa hayana akili vizuri baadh ya maaskari😆

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому +2

      Mapolice wa Tanzania 🇹🇿 panya road

    • @Life10061
      @Life10061 Рік тому

      Pole mzee MUNGU akutetee

    • @miriamngairo7060
      @miriamngairo7060 Рік тому

      Jamani hi ni laana kumpiga mzee was miaka Zaid ya 75 maaskali mnamtafuta Mungu maneno .

    • @allykhalfan8552
      @allykhalfan8552 Рік тому

      Poliss hao nambamoja ni wezi uyo mkuu wakituo be mwehu Tena hjitambui na wote mungu awalaaani wafe katika kazi yao

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Рік тому +6

    Ngoja niendelee kujizuia kuandika comment. Kwa maelezo ya famila na huyo askali anaye hojiwa unaona jawabu halisi kuhusu jeshi la polisi. Ningekuwa na uwezo ningesema kama selikali inajeshi na raia waunde jeshi lao na mahakama yao kwaajili ya selikali tuanxe kuhukumiana live live tuone...😡

    • @philemonmkumbo2095
      @philemonmkumbo2095 Рік тому +1

      Nyamaza nchi hii ukoloni bdo upo na kuutoa ukoloni huu ni kuiondoa ccm tuisuke nchi upya hii wametugeuza mazombi

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 Рік тому +1

      Ni kweli bora kunyamaza ni mtihani mzito
      Poleni wana familia Mola awape subra In shaa Allah

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому +7

    Nimekupenda mwandishi namaswali yako konki huyo polisi ni ovyo kabisa

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 місяців тому +1

    nyiee sindio ccm mtawajua kua sio watu ma ccm mnaipenda sana ccm safi iyooo

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 Рік тому +8

    Haya Kila siku tunayasikia serikali imeyabariki hata wauaji Hawa wanaringa na wataua sana Hawa tunaowajua wapo mamia wanapigwa Kila siku ujinga wetu wananchi umetufikisha hapa hatujui Sheria na uwogaa

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 Рік тому +4

    Mpaka machozi yananitoka.. baba anauma jamani..

  • @Vero-z6w
    @Vero-z6w Рік тому +5

    Askari TZ wengi ni majambazi tu, tabia zao ni mbovu sana tunashuhudia mitaani matukio ya uhalifu na wanayoyafanya kwa kutumia uaskari wao, hapo hapo useme eti wanalinda raia na Mali zao, Jamani!! Wanaongea tu lakini tabia za askari wengi ni mbaya sana, Mungu atusaidie tu tena awashughulikie askari wa tabia hizo, haya manyanyaso ya askari ni mengi mno, Rushwa sana, uuaji bila sababu, uonezi, unyang'anyi, ujambazi na matukio mengi machafu, Havana utu sijui kama hata hofu ya Mungu wanayo hawa watu ni kama wanyama, Mungu awafundishe.

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 Рік тому +7

    Asante mwandishi wahabari nakupenda Unajua maswali

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 місяців тому +1

    Kama vile watu wametumia jina la polisi lakn sy polisi. Haingii akilini polisi ninao wajua et kumpiga risasi mzee wa 75. Niwale wale wakunaojibidiisha kuchafua polisi.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      Inaelekea unawajua sana police, ila bado hujajua tutawajua Ile siku mwanafamily wako atakapokutwa na mkasa wa kisingiziwa na hao police ndipo utaujua uhalisia wao

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 5 місяців тому +1

    Mwandishi ukovizuri sana❤

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 місяці тому +1

    Mama Samia kila mtu analia na police

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 Рік тому +5

    Polisi kama hawa wanalidhalilisha Jeshi. Waongo wakubwa. IGP hili jambo ni lako chukua hatua haraka. Mhe Rais ana majukumu makubwa zaidi ya hili.

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 Рік тому +5

    Waongo sana Askari mama samia aingilire hili dah apa ndo tunapomkumbuka JPM walah

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 Рік тому

      Hawezi kuingilia huyo,amebariki hiyo kazi ndio mana walio upande wetu wote amewatoa ktk uongozi.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Nyiye kama familia chukueni atua staiki inayotakiwa juu ya iyo mishetani. Mimi maishani mwangu kamwe hii mijitu inayojita police iko siku ambayo aina jina itafia mbali

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Mimbwa mikubwa mipolice uchwara mzee wawatu asiyekua na atia then likenge lipuzi linatapika umbea lilolaaaniwa linasema mzee alichukua sururu iyo sururu alichukua mamako mpuzi wewe mzee wetu ata kushika fimbo awezi theni ibilisi wewe shetani kwanini mungu asikuwe ata usiku shetani wewe unafikiri sis atumie mbwa wewe mnakula kodi zetu alafu kwanini usifie mbali uchwara wewe

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Jibu swali staki mpuzi wewe na sisi kama wananchi tuta kuonyesha

  • @godsgiftgreat4752
    @godsgiftgreat4752 Рік тому +6

    Jamani hao polise wadhibiwe vikali sana.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +6

    Poleni sana familia. Naangekua mwanaume kijana, siyomzee wangemmaliza wangesingizia ni jambazi au muiaji wangembambikiakesitu au panyarodi. Polisi wengiwao ni wazurumatitu

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 Рік тому +5

    Mwandishi muuliza maswali .,.,.,., YOU ARE ANOTHER LEVEL BLESS SANA, na kamanda yamemkaba maswali, UMEJUA KUMUULIZA KISONI ila anavojibu Sasa uwii.,.,. TABULALASA😢

    • @jumatajiri585
      @jumatajiri585 Рік тому

      Hivi jamani inauma kumpiga risasi Mzee mtu mzima kama huyu mama hawachukulie hatuwa polisi Hawa

  • @camillasiwa6506
    @camillasiwa6506 5 місяців тому

    nimetokwa na machozi kwa kweli....duuuuuu ....MUNGU ANAONA

  • @zuhuraRamadhanl-dz7tl
    @zuhuraRamadhanl-dz7tl Рік тому

    Uyo kamanda. Au. Ushuzi. Kamanda. Kilaza sijui kwann kapewa. Kapewa. Cheo. Arafu. Tunasema. Tz. Nchi. Ya mani

  • @isaaceliya2305
    @isaaceliya2305 Рік тому

    Jpm kama angelikuwepo huyo polisi angejuta kufanya hilo tukio.Tunahitaji raisi kama Jpm

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct 5 місяців тому

    Kwa hili halpo sawa nahalitakuwa sawa Milele hata milele EE MUNGU TUPE NGUVU NA UJASIRI

  • @hasamjebe4685
    @hasamjebe4685 Рік тому

    Na ushauri nao TOA mshitakien MUNGU pekee ndio anaweza kuwanyoosha ao.polis

  • @NextoHunter-rm3cs
    @NextoHunter-rm3cs Рік тому +2

    Dawa yenu hamza tu

  • @zainabmusa2006
    @zainabmusa2006 Рік тому

    Mzee KAMA HUYU miaka 75 anaweza nyanyua sururu ananguvu ngani ? TANZANIA. Tunatia AIBU IKO mambo nyingine.hata tunajiaibisha polis kuwen.makin.kwa kazi zenu HII ni dhuruma kwa HUYU mzee tena ni raana

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Hiyo ndio madhara yakusachi ndani kwa watu bila mjumbe hapo hata mwengine Anaweza kuingia ndani na kuchukuwa pesa Kisha msala ukawarudi nyie police.

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Рік тому

    Wapumbavu kabisa hao wanamtia ukilema MWENYE HAKI watalipwa hapa hapa Duniani

  • @godsgiftgreat4752
    @godsgiftgreat4752 Рік тому +8

    Ila basi tuu. Moto uko baada ya maisha ya hapa Duniani

    • @joycefrancis3337
      @joycefrancis3337 Рік тому +1

      Malipo yapo hapa hapa duniani lazima yawakute kabla ya kifo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 5 місяців тому

      Malipo hapa hapa Duniani. yatakukuta kabla hujafa kwa njia yoyote.

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Рік тому

    Police wasio na ufahamu na akili wavutabangi wasio taka kuokuka ndio hao wenye vyeti feki walio mpiga lisasi huyo mzee walaaniwe na wapige WASHENZI na wapumbavu wakubwa.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 5 місяців тому

    Tutamkumbuka saana raisi wetu pendwa kbs mfalme wa nchi rais join pombe Joseph magufuli

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 5 місяців тому

    Kwani nyie mmesomea vizuri au mmepachikwa tu naona uwongo mtupu. Mbona hamnyooshi maelezo ivo MZEEasiejimudu mwili atabeba sururu KWA haraka na nani alivunja mlango na kwani mulipiga risasi kisha kumuibia na kumtelekeza he akifa mutamshitaki nani enyi NDUGU zetu polisi munatutoa imani na Mujue kuwa kuna Mungu alie juu hashindwi najeshi lolote muogopeni huyo

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Рік тому

    Ndugu muandishi. Mume hajawahi kuwa na cheo cha Mzee. Mume ni mume. Usituchafulie Lugha yetu tamu ya Kiswahili!

  • @yohanawazaza5247
    @yohanawazaza5247 Рік тому +3

    MWANDISHI you are talented upo vizuri unajuw kuhoji maswali ubarkiwe

  • @esthernyamvula472
    @esthernyamvula472 Рік тому

    Askari uliempiga huyu mzee risasi MUNGU anakuona ,unajisi vipi hapo ulipo kwasasa.

  • @hamisinantanje6291
    @hamisinantanje6291 Рік тому

    Hamza akijibu mapigo mnalalamika mnamuita gaidi punguzeni dhuluma. Uyakute yanavyojisikia basi.

  • @yudajoseph
    @yudajoseph Рік тому

    Tatizo jeshi la polisi linatumia nguvu nyingi kuliko kufanya jambo kiweledi

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 Рік тому

    Hivi askari kijana shupavu,,unashindwa kumkamata mzee Kam huyo na sululu yake na mafunzo uliopewa kweli??mm mwenyew Sina mafunzo ya kijeshi ila mzee km yule hanisumbui na sululu yake,,why

  • @shabanishaha7508
    @shabanishaha7508 Рік тому

    Tunako elekea wazee WOTE watapata ulemavu ukubwani kwa sababu ya police ambao bahadhi yao wamekusa mafuzo ya upelelezi na kukosa adabu 😢😢 je angekua ni mzazi wake??? Police wetu please hii Picha haiko sawa kabisa

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 5 місяців тому

    Acheni uwongo wenu nyinyi mapolisi musichume zambi zabule kwajili ya kujipendekeza kwa wakubwa wenu samia liangalie ilo tatizo kwawatumishi wako

  • @talents7934
    @talents7934 5 місяців тому

    Mzee wa miaka 75 Mmetumia risasi je ikiwa jambazi lina miaka 40 si mtatumia bomu??🤔 Muliro Fanya ukaguzi kwa vijana wako hakuna Jeshi apo

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 Рік тому +4

    Jamani jamani Mungu walaani Hawa polisi walio fanya Hayo na wazazi hao wafanywe hivyo hivyo Mungu Naomba Uwalipe Hawa walio muoneea huyu babu

  • @jumakhalfan4105
    @jumakhalfan4105 Рік тому

    Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, nauliza kweli huyu ni RPC Mwenye uwezo wa nafasi hiyo? IGP nakuuliza huyo kamanda anakufaa katika nafasi uliyompa? yaani huyo kamanda kwa maelezo yake kama ya mgambo wala sio polisi wa cheo cha chini kabisa. yaani anaongea kama mlevi wa gongo. kweli ma RPC ndio kiwango chao kweli. kwa utata wote huo hajachukua hatua ya kwenda kumuona

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Рік тому +3

    Jamani watu wakiwa madarakani huwa wasahau kuwa kila wanachokifanya Kina mafuvuno yake, na mavuno hayo yaweza yasije kwako yakaenda kwa uzao wako au yakaanzia kwako na kizazi chako chotee. Sasa tusitumie madaraka vibaya tuache Umungu mtuuu maisha kuna leo na kesho.

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Рік тому

    Uwongo mtupu, ata maswa anayouluzwa anashindwa kujibu inavyotakiwa lool!Mungu atalipa

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 5 місяців тому

    Huyu mzee wa miaka 75 ulishindwa kumpiga ngwala ?
    Rais samia angalia jambo hili na kitengo hicho kichunguzwe.
    Yani mtuhumiwa akiwaambia ni hapo nyie mnaenda kama maroboti. Jeshi gani hilo?
    Hamwezi tumia njia nyingine za uchunguzi
    Na mngekuwa mmechunguza nyumba hiyo wanaishi watu wangapi na shughuli zao si mngeenda mchana kuliko usiku.
    Huyu mzee alikuwa anajihami maana hata majambazi wanaweza kusema sisi ni askari.
    Jeshi ka polisi mkiri kwamba mmekosea sana

  • @eraera2304
    @eraera2304 Рік тому

    Huyu kamanda anaelezea utadhani alikuwepo,mzee wa miaka 75 uwezo wa kunyanyua sururu kautoa wapi? Kamanda sema ukweli,polisi mmezingua

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 5 місяців тому

    Yaani polisi wa Tanzania wanaogopa sururu tena iliyobebwa na mzee wa miaka 75 tena mgonjwa ?mpaka wana mkabili kwa risasi!haya maajabu kwa hiyo mbinu waliofundishwa ni kutumia silaha tuu?

  • @kinogekimbeho3781
    @kinogekimbeho3781 Рік тому

    Kwan sheria ya ukamataji ucku kwannn isihusishe mwnykit wa mtaa??police ucku wanapata haki gan kuvamia nyumba ya mtu bila ya uongozi wa mtaa??

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 5 місяців тому

    Huyo afande anayehojiwa anaujua ukweli! Mzee wa miaka 75 ki ukweli hawezi kufanya hayo anayoyasema huyo askar huo ni uongo jeshi letu limekuwa linatuhumiwa sana kwa mambo kama hayo kwa nn? Hiv mzee wa miaka 75 mpaka mmpige risasi ndyo mmkamate kweli? Haiingii akilini mmefeli kabisa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 5 місяців тому

    Tunataka KATIBA mpya ili wananchi wapate HAKI katika nchi yao.

  • @eliahmwakibolwa4516
    @eliahmwakibolwa4516 Рік тому

    Mkuu wa polisi eneo hilo na huyo mpelelezi uchwara mpaka na huyo aliyempiga mzee huyo ,hamfai kuwa polisi

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 Рік тому

    Sasa mnavyomuonyesha hivyo si atamaliziwa kupoteza ushahidi?

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 5 місяців тому

    Ukweli ni hivi serikali iliyoiba kura za wananchi na kusaisiwa na police haina kibali hata mbele za Mungu hivyo inakua ni serikali thalimu isiyo heshimu haki uhuru na thamani ya wanainchi wake .....nakufanya jambo lolote baya thidi yao ni furaha kwao....eeh Mungu iaibishe rerikali ya aina hii haifai !!!!

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 5 місяців тому

    Kwanini huyo jamaa mwenye pingu aliwaleta police kwa huyu mzee au ni babaake? Au wanahusiana vp mpk amlete police pale

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому

    Sasa mzee wa myaka 75 annguvu gani ya kumshinda polisi mpaka mna piga bunduki,huo niutumiaji vibaya wa silaha mlikuwa nauwezo wakumdhibiti sio sawa

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 Рік тому +3

    Mwandishi wa habari ubarikiwe usiku na MCHANA na familia yako yoteeee... AMINA AMINA AMINA🙏

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 4 місяці тому

    Nakubaliana na kauli ya huyo mzee kwamba jeshi la polisi sio la kulinda raia na maisha yao ila ni jeshi la mauaji kwa raia, mimi nina mashaka na hawa polisi mwanzo hawapati hizi nafasi kujiunga jeshi la polisi kwa vigezo sahihi vilivowekwa kisheria ila ni nafasi zinatolewa kwa upendeleo na zaidi ni upendeleo wa kisiasa, sifa mbili kubwa zinaoichafua jeshi ka polisi ni rushwa na kutumika kisiasa na wengi wanaopewa nafasi za kujiunga jeshi la polisi wanapendelewa vijana wa ccm, kwaiyo ni ngumu kuwa na nidhamu vijana wengine wanakosa adabu hata kwa watuhumiwa wanaoweza kuwazaa kiumri kwa sababu na mtoa maelezo ya polisi ni muongo kwa sababu kiutaratibu hasa kama ni usiku ni lazima waongozane na mwenyekiti wa mtaa au mjumbe kisha hyo mqrnyekiti au mjumbe anajitambulisha baada kujitambulisha hapo ndipo mtuhumiwa anatoka anachukuliwa kwa usalama bila purukushani yoyote, pia jee hao polisi walioofika hapo nyumbani waligonga mlango na kujitambulisha??? Huyo afisa upelelezi na na huyo askari alioiga risasi wanastahiki kushtakiwa mahakamani tukio hili linaonesha dhahiri wamelifanya kwa msukumo fulani na sio kiutaratibu IGP upoo??? Masauni upoo askari wako hao waliokosa adabu na maadili mema ya kuheshimu watu na utu

  • @nancyjuma6614
    @nancyjuma6614 Рік тому

    miaka75 macho haoni ugonjwa sonona tatizo pressure miguuu hawezi kutembea anatakiwa kufanya opareshen ya henia. hivi mtu wa hivi anawezaje kwenda ndani kuchukua shoka na kutoka nalo nnje kwenda kumpiga mtu uku mlango ukiwa umevunjwa hiii nchi inaerekea wap mbona kama uhuru umezidi sana

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 Рік тому

    tuseme sawa mzee kachukuwa sururu kiutaalamu police wana mafunzo muhalifu akiwa na kisu panga unatakiwa utumie akili ya kumnyang'anya lakin sururi mzee 75 hawezi kulitengea kazi hata kwa kurusha police mlitakiwa mrud step kazaa nyumba kuteming huo ni ujambazi Allah anakuoneni

  • @musamwakifuna-malafyale7121

    Mwanahabari wewe ni fundi unaijua KAZI Yako mkuu saaafi sanaaaa nimekuelewa mkuuu.

  • @edwardmwambene3748
    @edwardmwambene3748 5 місяців тому

    Sheria za nchi zinavunjwa na baadhi ya asikari ambao wanalichafua jeshi lapolice uyo iliyakiwa atumbuliwe kaziyapolice sio kushambilia laia nikulinda raia wewe unatumia lisasi kushambulia raia kisa uasikari wako?wewe mwenyewe utakufatu akuna wamilele mwogopeni mwenyezi mungu mahakamazipo kwanini msimpeleke mahakamani nanyimtakufatu endelea kuua raia wasio nahatia munguyupo kabulini autaenda nacheo chako au limtutu lako ilo mtakujakufatu

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 Рік тому

    Tatizo hapa sheria zinachaguliwa wakuzifata ila hapo kuanzia huyo rpc na walohusika wafukuzwe na wahukumiwe kifungo ili liwe funzo ila wapi hakuna chochote kitachofanyikahapo.

  • @saidismailgatalya8174
    @saidismailgatalya8174 Рік тому

    Dogo aliyekuwa anatuhumiwa kawazidi akili polisi nao wamekuwa watuhumiwa,kamanda aliyejibu maswali ya kimtego kachemsha anatakiwa ajitafakari kama anafaa kuendelea na upolisi,ametetea upumbavu waliofanya wa chini yake.

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Рік тому

    HUYU kamanda Muongo afungwe liongo linaongea kama lilikuwepo kwenye eneo la tukio mjinga we kamanda

  • @LazaroMwakasege-bh5en
    @LazaroMwakasege-bh5en 11 місяців тому

    Du inasikitisha mzee wa miaka 75 kweli anawezakupigana napolisi kweli achenikuzalilisha wazee wetu huyo mzee hanakosa lolote hawo police wachukuliwe hatuwa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому

    Wamekosea ma police kumpiga mtu Ambae hajqkimbia mtu unampiga Risasi kama kakimbia Sasa huyo Mzee Hana mbio vipi mnampiga Risasi hata kama Mmemtuhumu mkamateni mpelekeni kituoni

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 5 місяців тому

    Arpc anashuhudia ungo utafikiri alikuwepo

  • @MwisheheSerenge
    @MwisheheSerenge Рік тому

    Wapi tunaellekea waziri mwenye dhamana Chukua hatua nahuyo mbunge waeneo Hilo yupo wapi au anapiga fedha tu mjengoni wapiga kura wake wanantanyaswa

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому

    Police wenyewe majambazi mtu miaka 75 jamaani inawezekana je kuwapiga vijana police haniingii kichwani kwa kweli bado

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 місяців тому

    SASA INABIDI NA NYINYI MWENDE POLICE. NA MTAFUTE MWANASHERIA ILI AFUTILIE HILO SWALAM.

  • @fredrickpearson
    @fredrickpearson Рік тому

    Polisi waache tabia yakuvamia ovyo mijiyawatu ikiwa kunaviongozi wa vitongoji namitaa.

  • @yousufyousuf5963
    @yousufyousuf5963 Рік тому

    Tanzania hatuna jesh la police bali lipo la mauwaj hakuna sheriya yoyote kina chotumika afrika ni pesa tu ya rushwa

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 4 місяці тому

    Shida yetu watanzania, tunaishia kulalamika akitokea mtu anasema kweli, anaitwa mchochezi nasi tunakubali Aya yote ni ccm awa, mama anaupiga mwingi

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 Рік тому

    wewe police muongo sana miaka 75 safi sana mulizaji ulivyo muliza swali

  • @leilamohammed3018
    @leilamohammed3018 Рік тому

    musikubali adi kielewe paeni adi kwarahisi ma polisi wamezidi kwanini wasichukuze wakurupuke tu

  • @shimoneycashtalk9176
    @shimoneycashtalk9176 7 місяців тому

    Huyo kamanda alikwepa alafu akashindwa kumkamata Tanzania inako elekeya ni pabaya inchi yenye history ya uzalendo leo police wana haribu jina la Tanzania

  • @mohdkhalfan1380
    @mohdkhalfan1380 Рік тому

    Hapo watampatia kesi ya ugaid kama aliwashambulia mzee ananguvu zipi zakushambulia

  • @MkaliWagoka-bz6im
    @MkaliWagoka-bz6im 5 місяців тому

    Askari wa TANZANIA asilimia kubwa ni UHASAMA WA RAIA NA MALI ZAO SI USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO

  • @neyjohn923
    @neyjohn923 Рік тому

    Sasa kama mzee 75 kapigwa risasi sisi vijana mtatupiga nini askari wetu?kuna mtu aliimba mnatumia bunduki kuangua papai.Polisi polisi polisi.nimewaita mara tatu.

  • @jayp5871
    @jayp5871 Рік тому

    ao polisi ni wahuni\majambaz tu, mze kama uyo unatumiaje nguvu kubwa kias icho

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Рік тому

    Huyo kamanda mwenyewe kushindwa hata kujibu maswali

  • @salimamani6672
    @salimamani6672 Рік тому

    Jamani serekali mbona mnafanya hivyo ingelikuwa mzazi wako inakuwaje nimeniuma sana

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Рік тому +3

    Laana ya Mungu iwe juu yao na vizavi vyao maumivu hayo yata rudi mara 7 Mungu halali jicho lake linaona kuliko mwanga

    • @emjay1016
      @emjay1016 Рік тому

      Alaaniwe aliotenda, vizazi vinahusikaje hapo.

  • @mwajumambowa4035
    @mwajumambowa4035 Рік тому

    Katika watu wanaenda motoni pamoja na Askari manina zenu nyny ivi mna roho mbaya Kama amjazaliza mamayo zenu nyny mzee wa miaka 75 ashike sululu kweli ovyoooo

  • @amaniibrahim4415
    @amaniibrahim4415 Рік тому

    Tatizo elimundogo mabavu wameweka mbele nass kamawananchi tusipo chukua atua namgomo ata wiki mbili watazid kutuonea kwauoga wetu tutaendelea kupoteza akizetu nakuonea akutoisha kamwe