Msalaba waleta utata je shetani ndiye aliyepanga na je mpango wake ulifaulu kivumbi cha tokea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 203

  • @Aladeide
    @Aladeide 4 місяці тому +11

    Salim ni mwalimu mzuri sana

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 4 місяці тому +8

    Mashallah mashekhe wetu...Mungu awajaze kila la kheri.

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 4 місяці тому +13

    Salim daawa ulipo tupo
    Allah atubarik

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 4 місяці тому +3

    ❤ Mashaa ALLAH ❤
    Sheikh Ngugi ningashauri kwamba uwe wawaeleza HAO jamaa namna ya kukihifadhi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +2

      Inn shaa Allah tutafanya hivyo shukuran kwa ukumbusho huo

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 4 місяці тому +10

    Wallahi waisilamu tujivunie maanake hio bibilia ikikuja ,wakristo kwisha maanake hawajaifathi bibilia yao

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 4 місяці тому +5

    Mash'Allah

  • @Elybwayz
    @Elybwayz 4 місяці тому +3

    Mashaallah

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 4 місяці тому +1

    Ustadh Salim MashaAllah tabarkallah.

  • @abdiibrahim9907
    @abdiibrahim9907 4 місяці тому +4

    Masha allah ❤❤❤

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 2 місяці тому

    Mashallah. Wachristo hawana lakusema kwa kifo cha bwana Yesu. Sheikh wavuzeni wachristo masikini hawajuwi.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 4 місяці тому +2

    Shukran jazaka llah kheir walim wangu n wote wanaofanikisha daawaiendelee

  • @janieali5521
    @janieali5521 4 місяці тому +5

    Maandiko yote yanasema Yesu aliuwawa na maadui zake. Lakini wakristo wooote wanaamini Yesu alijiua kwa ajili ya wakristo 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 4 місяці тому +5

    Assalamu Alaykum team. Allahumma Barik

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @caponeoma1645
    @caponeoma1645 4 місяці тому +4

    maashAllah Allahu Akbar

  • @SukainaShujaa
    @SukainaShujaa 4 місяці тому +2

    Mungu akubariki shekhe

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому +1

    Kumbempagani.SubhanaAllahSubhanaAllahYaarabi

  • @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
    @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 4 місяці тому +1

    Jazaka llah kheri❤

  • @HusseinLimbe
    @HusseinLimbe 4 місяці тому +7

    To be honest Shekh Salim anajua sana yaani hata aulizwe swali gumu kiasi gani Yeye kazi yake Analifanyia Post moterm tu 😀 Allah kakubariki wazi wazi
    Mashaallah

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 4 місяці тому +1

    Kiswahili na kuelewa mandiko ndio shida kubwa ....😢..Insha Allah Allaha atawafanyia wepesi

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z Місяць тому +1

    Mashalla ❤❤❤❤

  • @Abdiidaawah
    @Abdiidaawah 4 місяці тому +16

    Kama huelewi ya Ustadh Salim utaelewa ya nani sasa......Allah awaongoze

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 4 місяці тому +1

    ❤❤❤ Masha Allah 🥰

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 4 місяці тому +3

    Inshallah...karibuni ntachangangia tununue Qur,aan zaidi za kupeana..it seems in very high demand...Waislamu tuchangamke tununue Qur'an nyingi zaidi...

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Yeah zinahitajika sana sana hizi tafsiri za Qur'an Allah akulipe na akuzidizie

  • @harunmuriiki8011
    @harunmuriiki8011 4 місяці тому +2

    Salaam alyekum sheikh niko hapa moi avenue near Jamia mosque I want english quran

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +2

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutafanya mpango

  • @F.j84
    @F.j84 4 місяці тому +3

    Ustadh salim waulize hao wanaosema ni mpango wa mungu yesu kufa ilhali yesu alilia sana kwa maombi ili aokolewe.. Sasa wape mfano wa ibrahimu alipopewa amri ya kumchinja ismail hawakulia wala hawakuomba waondolewe walijua ni amri na manabii wanapo amrishwa wanatii bila kuuliza. Hii iwe ni funzo kwao labda watazinduka.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Masha Allah inn shaa Allah

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

      MashaAllah.nimependa.huo.mfano.wakweli.hadinimelia.nashangaakwanini.wanalazimisha.nabiiWamungu.apinge.sharti..angetulia.asubiri.kunyongwa.Astaghafirullah.laadhim

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 місяці тому +2

    Asalam alaykum warahamatullah wabarakatuh, mbona sauti akuna au simu yangu iko na shida

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa

  • @nayef3903
    @nayef3903 4 місяці тому +2

    Huyo ni mbishi siku zote huwa yuwapoteza mda

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 4 місяці тому +2

    Allahu Akbar ❤

  • @samxx411
    @samxx411 4 місяці тому +3

    Sheikh salim darsa zako wanazielewa ila baadhi yao ni akina yuda

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +2

      Hahaaaaaaa Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 4 місяці тому +3

    Masheh wetu tuna tazama picha

  • @khalidhussein9803
    @khalidhussein9803 4 місяці тому +3

    Sheikh salim asalam alykoum.sauti hamna😢

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 4 місяці тому +2

    Assalaam Alaykum Warhamatullah Wabarakatuh.Mbona hamna sauti mashehe wetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa

  • @yahyaali3951
    @yahyaali3951 4 місяці тому +2

    Mashallah

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 4 місяці тому +2

  • @josemu870
    @josemu870 4 місяці тому +2

    Allahamdulillah

  • @F.j84
    @F.j84 4 місяці тому +2

    Waambie wakimaliza kusoma wapeane kw wenzao

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Місяць тому +1

    Mwenye akili timama atumie akili.Mungu muumba hana udhaifu wakuhitaji mwana yeye n muumba wavyote hakuzaa wala hakuzaliwa n afanani nachochote

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 4 місяці тому +4

    Hamna sauti

  • @ReLyricStudio
    @ReLyricStudio 4 місяці тому +2

    Haina sauti salim

  • @PatrickChnace
    @PatrickChnace 3 місяці тому +1

    ❤❤

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 4 місяці тому +4

    Sauti hakuna sheikh Salim

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 4 місяці тому +3

    Ndugu zangu mnao patatabu ya sauti msijali sauti ipo kilasiku kunachotakiwa video inapo achiliwa uipe time sauti itakujatu ni network ndio inasumbua ina download naina take time masheik wanafanya kazi nzuri mpaka tunajisikia vibaya video inapoisha maana tunahisi waeendeleetu sio kwaubaya niile Rahainazidi sana maana watu sikuhizi wamechoka na ukristo mabo yakudanganywa na sadaka naujinga mwingi wengine wanakufa wengine nikina mama wanazurumiwa hakizao mpaka wanashikwa sehemu za siri na mapasta etiwanaambiwa wanatolewa mapepo innalilah wainnailaih rajiun

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Yeah network sometimes inafanya sauti ichelewe umesema ukweli hapa Kenya wachungaji wafanya vituko sana

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 4 місяці тому +1

    M.a

  • @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
    @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 4 місяці тому +1

    Yan tunapenda tukiwaon kilasiku

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

      MashaAllah.tuwaombeeWanafurahiaKifocha.yesu.wao.nashetani

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

      MaitiHaongei.nimechekaWalah.laadhim.kazikwelkweli.ukristomzigo

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 місяці тому +1

    SAUTI HAKUNA LEO!

  • @nayef3903
    @nayef3903 4 місяці тому +2

    Huyo jamaa ni mbishi sana ajifanya haelewi yuwaelewa yaonekana ametumwa apoteze wakati juu vile alipewa karatasi.

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 4 місяці тому +2

    Assalamu Alaykum mashekhe wetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @hmmmandy7573
    @hmmmandy7573 4 місяці тому +1

    Sauti?

  • @Lgut-xn9hi
    @Lgut-xn9hi 4 місяці тому +2

    Assalamualaikum warahmatulay wabarakatu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 4 місяці тому +1

    SAUTI HAMNA

  • @adamshuu
    @adamshuu 4 місяці тому +1

    Haina sauti

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 4 місяці тому +2

    Enyi makristo hizi ayah za Quran zina sababu nuzul, na hiyo ya sura ya pili ayah ya 97 sababu ya kuteremka kwake ni hiyo mulio elezewa na ustadh saalim na munajuwa wazi lakini sifa zenu makristo niku twist maneno na hizo ni tabia za mayahudi tangu zama za nabii musa walikuwa wamfayia hivohivo

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 4 місяці тому +1

    Sauti hamna

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 4 місяці тому +2

    Jamaa anashangaza sana anasema andiko halijamataja yesu 😂yetu andiko la john 3:16 halitaji yesu but wanajijazia ni yesu
    Na ile la hapo mwanzo kulikuwako na neno bado halijataja ni yesu yetu wanasema ni yesu, lkn wwe ukitowa anasema hapana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 місяці тому +1

      Hawataki kuelewa ni ubishi wako nayo

  • @samxx411
    @samxx411 4 місяці тому +3

    Sheikh salim naona leo hana maji basi angepewa maji asukumie mafundisho

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому +1

    TuoneMwalimKuu.anakujakusaidia

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 4 місяці тому +4

    Mungu afanye mpango na shętani? Mtetezi hana majibu. Research yake imekufa kifo la mende. Ayubu 32:15 Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema.

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 4 місяці тому

    WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 4 місяці тому

      Fear God brother

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 4 місяці тому

      Which lies remember u will meet your creator

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 4 місяці тому

      ​@@mohamedimohamedi8933
      It's slaves who fear their masters....Sons dont fear their fathers!
      Now you know!!

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 4 місяці тому

      @@mohamedimohamedi8933
      Which lies??? They are lying to some people who dont know the Scriptures just like themselves!!
      For example...they are lying the book of Hebrews is one of Paul's letters 😪😪😪...SAD.
      Yes ..I know I will meet my creator and He will be pleased with me for standing with The Truth!!

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 4 місяці тому

      @@wakeshojana so u believe God died on cross?

  • @Lgut-xn9hi
    @Lgut-xn9hi 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤