SHEKHE KIPOZEA| SIWEZI KUOA MWANAMKE AMBAE ANA BIKRA| SARAH ANA HAKI KWA HARMONIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 361

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 роки тому

    Asalamu ghalaikum warahmatuLLAHI wabarakatuh ndugu zangu katika IMANI na ktk mwana wa ADAMU kwa kweli leo ijumaa trh . 21-4-2021,kutoka moyoni nimejikuta hii clip imeninyanyasa sana , nimelia , imenikumbusha mengi sana, lin kikubwa ALLAH ni mjuzi zaidi wote ni wanadamu ambao tuna mapungufu hatsp kama una elimu ya yr

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 3 роки тому +3

    Asant San mtangazaji maswali yako mazuri sana nimependa shukran shekhe

  • @mejumaaharunigaluzagaluza9249
    @mejumaaharunigaluzagaluza9249 3 роки тому +5

    Shekkah nkupenda bure n maneno yako mazuri

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 роки тому +5

    Huyu shekhi nampenda sana sana

  • @marhaban2012
    @marhaban2012 3 роки тому +2

    You are a great journalist Ma shaa Allah . Go straight ahead .

  • @عليجبار-ن3ي
    @عليجبار-ن3ي 3 роки тому

    Mafunzo mazuri sana,ujumbe umefika.ukweli wauma likikushika jirekebishe rudi kwa ALLAH,sio kashfa kwa shekh

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 3 роки тому +9

    Tumcheni allah . Jamani maan hali inatoa harufu mbaya sana😷

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 3 роки тому +19

    Sheikh kaelezea thamani ya mwanamke bikra , bali naona wasichana wengi wamepaniki kwa sababu wengi bikra zao zimeondolewa kwa uzinifu,ni adabu gani umuulize kwamba eti wewe una bikra?...someni dini na muogopeni Allah,acheni uzinifu, utulivu wa kweli hupatikana kwa kuoa au kuolewa na sio kwa uzinifu...kukasirika katika ukweli ni dalili ya moyo kuwa mgumu!

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 3 роки тому

      Wape hao

    • @marymungi2104
      @marymungi2104 3 роки тому +7

      Wape hao haya tunajitunza ili tuolewe na wenye bikra wenzetu harafu mnasahau kuwaoa mnaotembea nao ss mnataka mnaowatoa bikra bila ndoa wakaolewe nanani

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 3 роки тому +1

      @@marymungi2104 ukijitunza usikubali kutobolewa mpaka siku yako ya ndoa hao wengine waache na mambo yao

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 3 роки тому

      @@marymungi2104 Kwan wanabakwa,wengine wantaka wenyewe!!?watajijua wenyewe hayatuhusu

    • @mkombozijulio2945
      @mkombozijulio2945 3 роки тому

      @@khadijanurdin3163 Ndio utunze kitobo chako sasa, sasa kila Siku unabadili chaji ata sehemu ya kuchajia utaiharibu piah, nani anataka screpa wakati new zipo teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeh

  • @amadeassaneassane8250
    @amadeassaneassane8250 3 роки тому +1

    Kabisa haswaaaa umejibu vizur Sana gostei muito

  • @aishajimia8558
    @aishajimia8558 3 роки тому +7

    Na atambue kuwa thamani ya mwanamke au mke bora sio bikra ingekuwa ivyo waliokutwa na bikra wasingeacheka kwenye ndoa zao wangedumu nazo milele

    • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
      @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 роки тому

      ua-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/v-deo.html

    • @abuuqaasim4815
      @abuuqaasim4815 3 роки тому +1

      Mwanamke akikutwa hana bikra mapenzi yanapungua sana kwa mumewe hasa kwa mume aliyetulia

    • @salmasaidimaulid7783
      @salmasaidimaulid7783 3 роки тому

      Umeongea la maana.
      Tumeolewa na bikra tena sio bandia lakini hatukuthaminiwa na hatukupewa thamani yoyote zaidi ya kudhalilishwa

    • @salmasaidimaulid7783
      @salmasaidimaulid7783 3 роки тому

      @@abuuqaasim4815 anakua hajampenda. Jamani ndio maana mliambiwa mwanaume ampende mke wake. Na mwanamke amuheshimu mumewe.
      Sasa mtume alioa bi khadija alikua bikra?

    • @salmasaidimaulid7783
      @salmasaidimaulid7783 3 роки тому

      @@abuuqaasim4815 anakua hajampenda. Jamani ndio maana mliambiwa mwanaume ampende mke wake. Na mwanamke amuheshimu mumewe.
      Sasa mtume alioa bi khadija alikua bikra?

  • @aishanaran2394
    @aishanaran2394 3 роки тому +9

    Assalaam Aleikum Warhamatullahi Wabarakatuh,kwa mtazamo wangu sheikh ameongea tu hayo,kama kwamba watu wajistiri mpaka uingie kwenye ndoa,juu zinaa zimezindi mno.

    • @beilababy7614
      @beilababy7614 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 mashehe tunawajuwa bana

  • @blendembesimba
    @blendembesimba 3 роки тому

    Ahsante sana cheick komesha kabisa 😂kama ana dadake bas akuozeshe🙏tuna wafwata from Italy 🇮🇹@papasimbaDécor

  • @nizarurassa6480
    @nizarurassa6480 3 роки тому +1

    ALLAH ni mwingi Wa hekima,maana wengi wenye kujiifadhi basi ataolewa na aliyejihifadhi hivohivo,na mlevi na mlevi mwenzie.

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 роки тому

    Yaaan shekh ulchokiongea n sahh kabsa Insha-Allah 🙏🙏🙏 Allah akurnde daima milele 🙏🙏🙏, yaan kuna wanawake wadai et kwa karne hii huwez kumpata mschana bkra yaan wanawaza ujnga tu, inamaana wao walio olewa bla bkra kwao n sawa tu hlo n wazo la Ibrsi, yy kama alitolewa bkra bla kuolewa bas atambue Jehanam inamhusu, Shekh umeongea point sana

    • @saidomilanzihawowotenifree9590
      @saidomilanzihawowotenifree9590 3 роки тому

      Duu! Mwanamke bikra nomaa kwa Karine hii ya 21 itakuwa ngumu shehk mwanamke bikra hakuna kwa Tanzânia wanawake bikra kawapo wanawake bikra ni swazland kwa King mswatti lakini Tanzânia wanapenda sana michepuko shoow za kibabe sheikh kwa hiyo yamebaki magurubembe sio wanawake wanawake wote Tanzânia wana maradhi kwa hiyo bikra hakuna Tanzânia kwa hiyo sheikh tuowe hivyo hivyo tu kwani Tanzânia wapenda michepuko shoow za kibabe

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +9

    Back ground imeekwa vby twawaheshimu sana masheikh wetu... Ila mnajishusha thamani

    • @abuuqaasim4815
      @abuuqaasim4815 3 роки тому +2

      Background nzuri ni maneno yake unahangaika na background ya nini ?

    • @chamysuleiman8280
      @chamysuleiman8280 2 роки тому

      Washenzi awa Maximum tv. Tulikua tunawapenda lkn naona wanatufanya tuwachukie sasa.

  • @mamarweida717
    @mamarweida717 3 роки тому +2

    Daah shekh unamatamshi ya kukere sana ati mwanamke mwenye syo bikra hana thaman duh mungu anakuona

    • @halimashabani4991
      @halimashabani4991 3 роки тому

      Kakosea sana dini yetu haijaweka kiwango cha posa iwe mkee mkuu au mwali

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому +1

      @@halimashabani4991 hajakosea yuko sahihi

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      inamaanisha huyu mwanamke asienabikra inaonekana ashazini tayari mojakwamoja nimhuni

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 роки тому

      @@abufauzan9417 nimesoma hii clip imeninyasa kwa kweli nikiwa peke yangu na wengine mbona hawakuzini lkn hawakuona bikira zao je hao wapo upande upi.

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 роки тому

    YARABBI MUONGEZEE HUYU ,SHEKHE ELIMU NA UTUKUZIE WATOTO WETU KTK MAKUZI MEMA NA UTUOZOSHEE SEHEMU SAHIHI,ALLAHUMA AMIIN.

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 3 роки тому

    Sheikh hapo penye mali hujafafanua zaidi kuna mali ya mume na kuna mali mulichuma pamoja kwahivo inakuaje kwa hilo?

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 3 роки тому +2

    Duu naona mademu waliotoa bikira zao inawakera, mwanamke anakuwa na thamani akiwa na bikra yake bado, ukisha guswa nje ya ndoa basi thamani yako ipo chini sana kwasababu umechezewa Bure tu, mwanamke kama hajavunjwa ungo thamani yake ni kubwa sana.

  • @Awatee
    @Awatee 3 роки тому +4

    Mtihan ALLAH atufihadh

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 роки тому +3

    Astaghafirullah mmmmm mtihani Allah atupe mwisho mwema maswali gani haya kwenye mitandaoni.

  • @hellenwakiomwero3166
    @hellenwakiomwero3166 3 роки тому +5

    AllAhSWT akusamehe sana kwa maongezi yako waliobakwa tusemeje

    • @otrishxavi8350
      @otrishxavi8350 3 роки тому

      Dini imeelekeza mwanamke aliyebakwa au aliezini akatubu kwa mola kuozwa kama mwenye bikra

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому

    Mna badilisha maneno shekhe wawatu wala hajasema kama kichwa chahabar kilivyo sema muogopeni mungu napia mue mnaangalia maswali ya kuuliza

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 роки тому

    Shekhe umenikumbusha kitu cha muhimu sana lkn uchunge kauli yako kwa kuhamasisha kwa upole kwsni lugha yako imeonekanaonekana kulingania kwa KUBEZA na sio kwa upole ALLAH akujaalie umri mrefu wenye baraka tele uendelee kueneza nuru katika mgongo wa ardhi hatimaye makaburi yetu yaweze kuwa na nuru Kesho akhera ns tuweze kufuzu mele yake ALLAH ghsza wajala.

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 роки тому

    Mtihani kwakweli tuseme alhamdulillah

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +12

    Ila wanaume mkitaka kuoa mnatafuta mwny bikra lkn hp mwanz mnatoka nao weng tuu

  • @shkjumaa8939
    @shkjumaa8939 3 роки тому +2

    siku hizi bikra zinatolewa kwa chips kavu halafu waoaji wa kweli wanapangiwa million kazaa nisawa hiyo

  • @Boeyrbx
    @Boeyrbx 3 роки тому +9

    Assalam aleykum haipendezi back ground mloweka wanawake wamevaa vibaya Allah atuongoze

    • @athmanihaji7771
      @athmanihaji7771 3 роки тому

      Upo sahihi...Sheikh angekuwa akiwakanya hawa watangazaji....sio picha nzuri na yote nadhani imechangiwa na msemo wa sheikh kusema yuapenda mizigo(yaani mabinti wazuriwazuri)

    • @fatinafatima8690
      @fatinafatima8690 3 роки тому

      Walaikum Salam

    • @fatinafatima8690
      @fatinafatima8690 3 роки тому

      Hapa shekhe ukiwa umeshafunga ndoa halafu ukawa humtaka huyo mmewako utafanyaje

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 роки тому +4

    Staghfiru kwa Mungu wako.nasikiza Mawaidha ya mashekh wakubwa kina Sudesi lkn sijawahi kuona wakizungumza upuuzi huu.Aonyesha yumo huyu mtu.

    • @hassinaalharthi5984
      @hassinaalharthi5984 3 роки тому

      Subhanallah kweli kabisa mtihani subhanallah. Mtihani mashekhe wetu

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 3 роки тому +1

      Shekh mkubwa ni yupi na mdogo niyupi na ujue sudeys kwao sio rahisi kuoa uone msichana kashabikiriwa kabla ndoa kwetu msichana wa miaka 15 kashapita zaidi na watu 5 kipozeo yuko sawa kabisa dada zetu jistirini watoto tuwakuze kwenye njia za dini na mwenyezi mungu atawastiri

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      @@hassinaalharthi5984 jihifadhini kaongea sawasawa

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      @@bableeyzabdalla531 waulize

    • @lesusi7872
      @lesusi7872 3 роки тому

      Um mohamed shekhe anazungumzia wadada wa tz na sio wa kiarabu huko saudia kwa kina sudais

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 роки тому

    Sukrani Sheikh kwa kutuelimisha. Lakini hivyo wanavyosema haipendezi Sheilh akionekana pale akiwa na kina dada ambao wamevua baadhi ya mavazi hadharani. Swali: Mali ni za Mume? Je ikiwa mwanamke ni Artichect, kwa mfano, na mume ni mfanyi biashara. Mali itakayokuwa pale nyumbani itakuwa ni ya nani ikifikia mke amepewa Talaka?

    • @sadikimohamedmangasala7245
      @sadikimohamedmangasala7245 3 роки тому

      Assalam alyka ndugu yangu. Ndoa haileti ushirika katika mali isipokuwa pale wanandoa wanapoamua kushirikiana katika mali. Mfano Mume a anamiliki duka na akaoa mwanamke ambaye akamuweka dukani kama muuzaji duka. Hapa inabidi ibainishwe anamiweka dukani kama mfanya kazi au mshirika katika biashara hiyo. Ikiwa amemuweka kama mfanyakazi inabidi amlipe mshahara kama mfanyakazi. Ikiwa amemuweka kama mshirika basi mwanaume atatakiwa kuweka wazi asilimia za umiliki ya kwake na asilimia anayoitoa kwa ajili ya mkewe. Na ikiwa itakuwa kwa utaratibu huo basi mali itagawanywa ikiwa wanandoa hao wataachana. Na si haya wanayoyataka walimwengu ka ujuvi wao.

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 роки тому

    Nimesoma coment zote na ya kwangu pia sasa nina neno moja tu kwa upande wetu waislamu tukiacha waarabu nimegundua wanaume wengi wanajifanyaga hawana Mahari ili watoe kiasi kidogo hata kama ni mwari naiiulizaga mm binafsi huoa moja kwa moja au laa muache wachoyo wa mahari mungu atawajalia wanawake wari kwa moyo mkunjufu

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +5

    Wah kaz ipo apo.na uyu mwenyewe bikira anayo?

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tena hao ndo wanaongoza kutembea na vitoto vidogo.

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 3 роки тому

      @@dorcaskidoti249 😃😃😃😃😃n aibu kwa kweli eti bikira wakat yy alisha expire.mmmmh.

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 роки тому

      @@tamaraseff.9707 🤣🤣🤣🤣Bado atupwe sio😂😂😂

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 3 роки тому

      @@mamymdogomamy3670 kabsaaa kapitwa na wakat babu ytu😃😃😃😃

  • @umojawawatanzania3813
    @umojawawatanzania3813 3 роки тому

    Anajibu vizuri sn.

  • @mrkeya
    @mrkeya 3 роки тому

    Very educational

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 3 роки тому +1

    Kwa nn headline ni nyingine na maelezo ni mengine?

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +1

    Sasa cheikh iwapo Mali ni Zao wôte wawili hawatoganya vipi?

  • @kudrahalfan5767
    @kudrahalfan5767 3 роки тому

    Bakwata sikuizi kunautendaji mzuri natamani iwe kweli viongozi bakwata ni mtihani

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому

    Mtangazaji upo vizuri sana

  • @amadeassaneassane8250
    @amadeassaneassane8250 3 роки тому

    Wanawake inawauma Sana maana wote hamna bikra ndio maana inawauma

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому +2

    Kila mmoja na ufahamu wake kwa upande wangu mm huyu shehe namfahamu sana

    • @mgenifadhil9020
      @mgenifadhil9020 3 роки тому

      Ikiwa mtu amebakwa

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 3 роки тому +1

      Ktk watu 100 anobakwa ni mmoja tu lkn ktk watu 100 asilimia 70 bikra zao zimeondolewa kwa zinaa sasa ivi zinaa ni kama kunywa maji tu lazima shehe aongee hivo

    • @shufaaabdulla4961
      @shufaaabdulla4961 3 роки тому

      Huyu sio shekhe anapotoa uislamu tu Mtume saw kamuoa Khadija Ra akiwa keshaolewa na sio bikra haimahanish asie bikra Hana thaman ni ujinga huu kwakua ata uyo aliemuoa inamaana akishakumkata bikra itakua Hana thaman tena acute hio kaul bibi Maryam Ra mama wa Issa alizaa bila kuingiliwa na bikra yke ikatoka inamaana hakua nataman sio kwel thaman anayo mpaka akatajwa kwenye Quran kia nimwanamke Bora namchukia huyu shekhe

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 3 роки тому +1

      Katoa machaguzi yake ata kama ni shehe lkn bado na yy anaeweza kutoa maoni yake yy kasema alokuwa hana bikra kwake yy hampi mahari mengi sasa kuna ubaya gani kusema ivo kakosea wp? Mm binafsi yangu naoa yoyote nnaempenda lkn si mlaumu anotaka kuoa bikra

    • @rashadmohamed4357
      @rashadmohamed4357 3 роки тому

      @@shufaaabdulla4961 Sheikh kakusudia bikra iliyondoka kwa kudhini

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 роки тому +2

    Wataka bikra utamtunza kama kawaida ama bikra ukibikiri meezi mitano humtsamini mtapata mataporo paka mchoke ila mwenye baati yake

  • @zeinabsaidi8576
    @zeinabsaidi8576 3 роки тому +5

    Sasa pia ww mzee wataka bikra umfanye nn we mwenyewe ulipo owa ulikua bikra

  • @fatumakassim716
    @fatumakassim716 3 роки тому +3

    Mmh huyu shekh bahasha kweli ona kwanza ndevu zake kaweka brich

    • @Desiree872
      @Desiree872 3 роки тому

      Yupo kama mfiraji tu nae uhuni anaupenda

    • @senseiamazing1823
      @senseiamazing1823 3 роки тому

      Sio brich bali ni inna nanisuna

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 3 роки тому

      Yaan ndo unajitia aibu kabsa,unaongea ktu Wala hukijui ilimrad tu umtoe mtu kasoro

    • @asyaasya3766
      @asyaasya3766 3 роки тому

      Ni hinna hiyo mwaya

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 роки тому +1

      Fatuma kassimu hajapaka bleach sheje kapaka rangi au hina nadini.haikakataza kueka iyo rangi nahasa hina

  • @franciscanyanungu9400
    @franciscanyanungu9400 3 роки тому +3

    We yako unayo bikira unataka ya mwenzio?

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +3

    Huyu Shekhe Shehena Wawah Aka Hatari Kweli Kweli Shekhe Mchimvi Huyu Allah Atupe Mwisho Mwema😂🤣😅

    • @sidratybinkhamis2837
      @sidratybinkhamis2837 3 роки тому

      Wana semaga.kanzu ikiwa imelowa uvundo kilemba kitakuwaje . Ndio haya sasa

    • @assoum_N
      @assoum_N 3 роки тому

      😂😂😂

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому +1

      @@sidratybinkhamis2837 nimegundua mabinti wengi bikra walitolewa zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii maana mnavotoa povu

    • @shkjumaa8939
      @shkjumaa8939 3 роки тому

      uchimvi ni nini ha ha ha ha aaaaa

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 роки тому

      Nimekuona mzee wa sheikh kipozeo leo ndio nimeona hii clip watu wana gombsna sana mm nidikitike tuu 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 роки тому +1

    Shehe mie mumewangu hataki kunipa talaka tumeishi miaka 13 tuna wtt 5 na tumefarakana mwaka wa 2 uu tlichuma vitu vingi tuu na nimeishia kuondoka mwenyewe sikupewa ata vile nilivonunua mwenyewe na anataka nimpe milioni

  • @IddiHamisi-g7q
    @IddiHamisi-g7q 11 місяців тому

    Hatar

  • @zanzibarone-tzonlinetv9934
    @zanzibarone-tzonlinetv9934 3 роки тому +4

    Huyu sheikh kwa wenye kuelewa wanamuelewa vizur tu can kama hapa kaongea pumba

    • @shufaaabdulla4961
      @shufaaabdulla4961 3 роки тому

      Tena pumba Sana na anawafanya watu wanauelewa vibaya uislamu uyu sio shekhe uyu

    • @zanzibarone-tzonlinetv9934
      @zanzibarone-tzonlinetv9934 3 роки тому

      @@shufaaabdulla4961 mm nakupinga mm mbona namuelewa vizur tu

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 роки тому +3

    Chamsingi ni uelewa tu nadhani shekh akisema anataka bikra anakusudia hataki mdhinifu ndo maana amezungumzia suala la zinaa na sizani kwamba anakataa asiekua bikra ila mtazamo wangu anasisitiza mabinti mulinde hizo amana zetu muje kutupa tukishawaoa😆😆😆

    • @ummuhaula1848
      @ummuhaula1848 3 роки тому

      Hiyo in ishu nyengine kabisa,ingependeza hao wenye kuzitoa ndio wawaoe ila wakishazitoa wanatafuta pa kukimbilia.Na ingekua wanawake nao wanatafuta wanaume bikra sidhani kama watu wangeoana kwani kila mmoja angemkimbia mwenzie kiss hana bikra

    • @mohammedomar7280
      @mohammedomar7280 3 роки тому

      @@ummuhaula1848 hahaha hilo nalo neno ila ndo ivyo tujitahidini kuwapa malezi bora watt wetu ili hili jambo wasiliendee kinyume ya sharia za Alllah(S.W).

    • @ummuhaula1848
      @ummuhaula1848 3 роки тому

      @@mohammedomar7280 Hilo ndilo jambo la msingi kwa zama tulizonazo

    • @aishajimia8558
      @aishajimia8558 3 роки тому

      @@ummuhaula1848 nanyi watoto wa kiume mkiwa linda dada wa rafiki zenu nao rafiki zenu watawalinda dada zenu, tunachokosea ni kujisahau ya kwamba dunia ni duara uzunguka ivyo basi jambo ulitendalo baya kwa mwenzi lazima litakurudi kwa njia yoyote ile

    • @ummuhaula1848
      @ummuhaula1848 3 роки тому

      @@aishajimia8558 ni kweli ukimzini ndugu wa mwenzio mtoto mwenzio na usitubie kwa Allah basi dhambi hii itarudi kwako tu.

  • @rashidahmed8071
    @rashidahmed8071 3 роки тому

    Asiye na bikra kweli hana dhamani wazazi wanatudai mahari mengi kisha hawasemi ukweli kama watoto wao sio bikra unajijua mwenyewe mbele ya safari wanatuibia wanatudhulumu bora waseme ukweli mtu akiridhika sawa abebe ivoivo tu ila kashaambiwa ukweli sawa

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 роки тому +3

    Hawa ndio wakuwahoji ili tuongeze siku mana anachekesha sana

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 роки тому +1

    Wewe mwandishi,,,ambaye hana?au ambaye ana.Uandishi wa kipumbafu kabisa,eti anaandika (kipozea.)

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +1

    Shukrn kwa darsa mpo juu maximum

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 3 роки тому +3

    Sijamuelewa huyo bwana shekhe aliposema mwanamke anaweza kujivua ajivuwe vipi

    • @wm9669
      @wm9669 3 роки тому

      Anaweza kupewa qulaa. Anaweza kuachana na akapea qulaa. Anaweza kupewa kitu inafanana na talaka na aendelee na maisha yake
      Labda ukajielemishe. Ni mambo muhimu.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

      Kujivua yaani kumrudishia maali yake uliyopewa kamaulipewa milioni 2 basi umpe 3 au 2 na nusu ,marlezo mengi nakuwa jinsi ya kujivua ndoa urudishe maali

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 3 роки тому

      @@julihanjosephyjs6361 analudisha alichochukua nasi ziada

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 роки тому

      Ns mm mbona kanitumia kanichskaza na nirudishe mahari ya nn ns yy atarudishs bikira yangu??????????????????????

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 роки тому

    Nipo hapa kusoma mapovu 😊

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 3 роки тому

    Uyu shekhi ameongea ukweli kuhusu ubikra nikweli msichana wa miaka kuanzia 15 adi 20 unaoa ukifika pale pa kumjua ww unaon ni mdogo kumbe nimkubwa kwa ayo kayaanza kitambooooo sana sasa jiulize kapitia na wangapi SO nieri uoe nwenye unajua Uyu nimtu mkubwa tayari pengine anawatoto io unajua tiyari

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +4

    Mwanzo wewe ulikua bikra kabla ya kuoa?,huyu alotoka wapi.Eti shekhe Jee watoto wako wa kike unaktishinga pesa kidogo hivo surely????🙏🇰🇪@Kenya.

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому +1

    Audhubillah! Eti huyu ndio shekhe halafu tunalia corona inatumaliza kweli? Mungu tusamehe makosa yetu. Astaghfirullah!.

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      Ja hao ndio maostafhi

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 3 роки тому

      Kwani ni lazima mtu utoe coment ya maneno machafu si upite tuu ukishasikiliza huyu baba ni mtu mzima hata kama kakosea tukae tuu kimyaaa tusimkashfu

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 роки тому

      @@cecygeorge4443 Kukaa kimya hata Mungu hapendi. Mtu mzima ndiye anaetakiwa kuwa mfano wa watoto leo tunyamaze wakati mtu anakosea? Hiyo ni nidhamu ya unafiki. Hakuna comment ya matusi hapa zaidi ya matusi yake yeye mwenyewe.

    • @shkjumaa8939
      @shkjumaa8939 3 роки тому

      Asha kwan kakosea wap mpaka watamka maneno hayo jiangalie

  • @themask4665
    @themask4665 3 роки тому

    Ukishaanza kusema tumechuma wote that means tumetafuta wote soo my friend tunagawa. Na kama nimekupata na kila kitu sitaki chochote kile baki na vyako

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +5

    Utamfanyia nini bikra mzee mstaafu?

    • @sofiaahmad1926
      @sofiaahmad1926 3 роки тому

      Sote ni maiti watarajiwa, kwani wewe Utabaki hivyo hivyo?

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 роки тому +4

    Ustadh wa mizigo🤣😄😃😊🏆

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +2

    Wanawake mmevhukia Sana puvu zito linawatoka muache zinaa mnapaniki nini mbavaa nguo uchi kuiga wasanii mtachezewa basi nikweli mnatumika nyuma na maumbile tamaa mbaya ,wenzetu watoto wa kiarabu wanaolewa milioni 30 bikra kujitunza muhimu ukweli ndio uwo sio kuzalishwa tuu

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +1

      Wanawake mmechukia Sana povu zito mnapaniki nini mnavaa nguoa za uchi

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 роки тому

      We umeona wanarabu2 na co wote warabu unaowazungumzia

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      @@julihanjosephyjs6361 wambie maana siokwapovu hilo

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      @@aishaaisha1495 jitunzeni tuwaoe

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 роки тому

      @@abufauzan9417 🤣🤣🤣🤣 we kwanza bikra co kukimbilia bikra we mwenyewe co bikra

  • @selestinarugemalila255
    @selestinarugemalila255 3 роки тому +3

    Sikuhizi kuna bikra za bandia shekhe so usiseme hivyo

    • @emmanuelanael6934
      @emmanuelanael6934 3 роки тому

      Hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
      Za bandia zinajulikana bhana.

  • @josuemwero239
    @josuemwero239 3 роки тому +2

    Njo kweli kama mwanamuke anapoteza ubikra bei yake inalinganiswa na musokoto moja wa tumbako

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 роки тому

      Bikra wana poteza kwa chips yai za buku 2 alaf kuoa tutoe million 3 mahari 😅😏😂

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 роки тому +4

    Ndoo mana mnaowa kwa mali ndogo sna eti kisa hicho duh , sasa na huo uzee kisha upate mwanamke bikra , alafu hizo ni dharau mno

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 3 роки тому

      Inaonesha wewe uliolewa tayari una kibwawa😂😂

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@saheedali7467 aisee uliona ya mama yako sababu wewe angeshindwa kukutoa kam hana bwawa , koma chunga domo lako sijawahi kuolewa na sijazaa upo mbwa wewe mavuzi ya baba ako ndoo mana alimpa mimba mamayako bila kusema bismallah , ndomana unatabia ya matusi nyoko koma hunijui fala ww.

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 3 роки тому

      @@mariamm2724 aaah nimekubamba ila kama bikra yako ya mbele iko poa bac nyuma kunafukuta ndio nyieee mnawambia wanaume ukitaka mbele njoo kwa baba ila nyuma maamuzi yangu. Malaya wa kufirwa mkunduni wewe. Nyokoooo

    • @sidratybinkhamis2837
      @sidratybinkhamis2837 3 роки тому

      Jamani mcheni allah . Jamni msiikie hatua ya kutukanana

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@zuleyvendor6577 kipi kimekuchekesha

  • @asiahussenn576
    @asiahussenn576 3 роки тому +2

    Naona matobo mnapovuka msimpangie mwanaume mwanamke wa kuoa pambanene na matobo yenu wanaume wanataka vitu vipya bwana sasa nyinyi endeleeni kujirahisha

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 роки тому +6

    😆😆😆 mbona mapovu ya bikra yamezidi jamani au hazipo

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣huyu mzee kapiswa shekhe unasema nn ww

  • @hellenwakiomwero3166
    @hellenwakiomwero3166 3 роки тому +1

    Na wana michezi nao waah hujui usemalo uliza background na mke si laxima ulipe mahari nyingi nyinyi ndo mwafanya vijana wasipate wake

    • @shakilakhamis2109
      @shakilakhamis2109 3 роки тому

      @Mtanzania Halisi haswaaaaa bikra ndio heshima kwa mwamk

  • @hellenwakiomwero3166
    @hellenwakiomwero3166 3 роки тому +1

    Na ambaye hakuzaliwa muislamu na akafiwa na akasilinu..

    • @slicehamfrey3504
      @slicehamfrey3504 3 роки тому

      Mimi ni mwanamke Mali nizangu inakuwaje? Kanikuta nazo

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      @@slicehamfrey3504 hujaeleweka

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +1

    Ok🙏🙏🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +4

    😀😀😀😀😀😀😀 ana ongea nini huyu 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +3

    Sheikh haipendezi kuzungumzia aya mambo.... Iyo ni siri yako tuu sio kujitangaza mitandaoni.. Mwatufundisha nn jamani

    • @saumrashid8086
      @saumrashid8086 3 роки тому

      UmeonA eeeh nashangaaa sheikh hyu vipi jmn hilo jambo la cir baina mke na mme,

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 роки тому +2

      @@saumrashid8086 Nilikua namheshmu lkn anajishusha heshma mwenyewe yani tz Kiki mpaka kwa masheiksh... HAIPENDEZI

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 роки тому +1

      Alafu jamani ujui munatizamwa dunia nzima so ukihojiwa kama sheikh kua makini kwa majibu yako sio... Laa sivyo unatengezewa mada

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому +1

      @@saumrashid8086 mtume anasema katika kufundisha hakuna matusi hatakama nenolitakalotumika limekaa kama matusi

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому +1

      @@aishakinia4957 kwanini hamtaki kujihifadhi yeye hana kosa lolote anakuonesheni tu umuhimu wakujihifadhi

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 3 роки тому

    Baba kafariki kaacha wadogo zake.Mama yuupo Kakataa binti yake asiolewe kwa kijana flani. lakini baba wadogo wanaingilia kati wanamruhusu binti aolewe Je Ni sawa?Baba wadogo kuozesha.

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +1

    Huyu chehe anaonekana ni chepe sana huyu

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 3 роки тому +1

    Sheikh gani huyuu... Mungu atustiri

  • @binsule3155
    @binsule3155 3 роки тому

    Nimejifunza nisioyajua asanteni

  • @josemsafimusic3389
    @josemsafimusic3389 3 роки тому +2

    Duuuuh watangazaji wanabadilika

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 3 роки тому

    WENGI WALIO WAKALI KATIKA KOMENT ZAO WANAMUSH KELI HASA HAWA AKINA DADA WANAO MKEMEA SHEKH....
    HUENDA BIKRA ZAO ZILIZO TOLEWA KWA CHIPS NDIO MAANA HAWAMUELEW MWALIM AMEWAGUSAA.

  • @kautharjadid4287
    @kautharjadid4287 3 роки тому

    Zahir mnazambi kumueka shekhe wetu na wanawake walio kaa utupu

  • @chawahirelmymashlalltaabar4949
    @chawahirelmymashlalltaabar4949 3 роки тому +1

    Sheakh duh

  • @ikrammahonda4566
    @ikrammahonda4566 3 роки тому +5

    Je we bikra unayo

    • @ruqayyaharun26
      @ruqayyaharun26 3 роки тому +1

      Wa2 wanapanic ee bikra eeeee n kwa mwanamke jaman ila umefer kidogo hamna qazi kwenye serikal ya kafir

    • @saadalgmal3991
      @saadalgmal3991 3 роки тому

      Jamani Sheikh

    • @sidratybinkhamis2837
      @sidratybinkhamis2837 3 роки тому

      @@ruqayyaharun26 pamoja kabisa ni upuuzi mtupu

    • @ruqayyaharun26
      @ruqayyaharun26 3 роки тому

      Kuna kitu kinaitwa uelewa hata ilim unaweza kuwa nayo ila ukakosa ufahamu wa hyo ilimu ndio tatzo letu

  • @abuuqaasim4815
    @abuuqaasim4815 3 роки тому +1

    Hahahah Wanawake wasiokuwa na bikra au waloolewa bila bikra utawajua kupitia comment zao wana hasira ajabu.

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 3 роки тому +1

    Shekhe njo unitolee hzo milion 10 mm

    • @assoum_N
      @assoum_N 3 роки тому +1

      😂😂😂

    • @shabanismail7606
      @shabanismail7606 3 роки тому

      tuma namba

    • @athumankhalfan7836
      @athumankhalfan7836 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂 unapatikana wapi weka namba tuje kufanya nikaha

    • @lesusi7872
      @lesusi7872 3 роки тому

      Insha Allah nitaweka no mjitokeze tu wengi huwenda moja akawa bahati yake

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 3 роки тому +2

    Huyu nikama mzee wa upako🤣🤣🤣

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому

    HIYO NI STAILI YA ULAYA AMBAYO WAKRISTO WA TANGANYIKA WANAIWEKA KWENYE VICHWA VYA SIYASA NA KUFUATA USHETANI KWA WAISILAMU KUFUWATA ULAYA HATAMU MALI YS MWANAMME TU LABDA MUME APENDE KUMPA 💪💪💪💪🇹🇿🌎🕌🇹🇿🌎🕌🇹🇿🌎🕌🇹🇿🌎🕌🇹🇿🌎🕌🇹🇿🌎🕌🇹🇿

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 3 роки тому

    Wanakimbia majukumu ukiwa mwanamume lazima uyakabiri majukumu.

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому

    Balaaa tuuu

  • @neemaruben6531
    @neemaruben6531 3 роки тому +3

    Ww shekhe unaongea nini?🙄eti mwanamke asiye na bikra huwezi toa milioni labda laki mbli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sema tu huna uwezo wa milioni mzeeeee😆😆😆😆😆😆

    • @khdijaahmed8458
      @khdijaahmed8458 3 роки тому

      Umeonaeeh

    • @saumrashid8086
      @saumrashid8086 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 3 роки тому

      Nikweli hawana thamani tunawaoa kwa mahari ya chini sana haifiki hats laki mbili

  • @emmamombo7149
    @emmamombo7149 3 роки тому +1

    Ate nn Mali ni zamume ndio maana tutakuwa waezi kuwaibia najijenga ukiniacha na ww nakuonesha machungu vile nilikuwa na kuibia

  • @selestinarugemalila255
    @selestinarugemalila255 3 роки тому

    Njoo kwangu

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 роки тому +1

    Hi

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 3 роки тому

    Mi naulizia bikra ni Nini hasa na je mwanaume Ana ubikra

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому

    Wewe unayo hiyo bikraaa huwachiii

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 3 роки тому +1

    Tatizo lipo kwenye uelewa,sheikh ni kiongozi inabidi atumie hekima ili wanawake ambao bado ni wari wajijue thamani yao,mbona hakutaja wajane au waliobakwa? watoto leo hawajui thamani yao miili yao imekuwa ni sehemu ya kuwafurahisha wanaume kimatendo bila kuangalia kama wanajidhalilisha,ndio maana wanaume wengi hawataki kuoa kwa ajili wanasema wafuge ngombe wa nini wakati kila wanapohitaji maziwa wanayapata muda wowote,wanawake wanavoongelewa kwenye quraan jinsi gani wanatakiwa wajihifadhi miili yao na kutokufanya uchafu basi dunia ingekuwa na amani,lakini leo hii mwanaume yuko na aibu katika kutembea uchi kuliko mwanamke,na hii yote ni biashara kwa ajili kabla kutoka nyumbani nguo anazovaa anavalia huku anajiangalia kwenye kioo na anajuwa kuwa nguo ni fupi maziwa yapo nje nje yaani anakuwa nusu uchi na mwisho anasema leo ninakokwenda watanikoma kutokana na kutoka akiwa nusu uchi.,wanawake jiwekeeni akiba ya maisha ili mumridhishe aliewaumba iyo sura yako na umbile lako zuri.kuna wangapi walikuwa na mivuto ya kila kitu kuanzia makalio na sura kiujumla na walivutia kwa kila mwanaume aliemuona?wengine wameshatangulia mbele ya haki na na sifa zao pia zimeenda uko waliko wamebakia mifupa ambao na sisi pado pumzi ya akiba tunayo tutaelekea uko huko na ndio tutakapokuja kujua umuhimu wa kuolewa bikra na vyenginevyo.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

      Umutema cheche nikweli wanawake hatujithamini ,Mimi ninandugu yangu anavaa nguo kitovu nje na maziwa nje naongea nae ila hanielewi nawala hatupatani sababu nawaambia ukweli nahawanipendi.

    • @rahimdikungule3737
      @rahimdikungule3737 3 роки тому

      @@julihanjosephyjs6361 pole ila jitahidi kumuelewesha usikate tamaa

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 роки тому +1

    We mtangazaji dini gani imeandika mwanaume aowe wake 5 au umejichanganya

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому +1

      Deni yake huko tanzania aijua yy

  • @bindawood978
    @bindawood978 3 роки тому +3

    Dini gani inayoruhusu kuoa wake watano?.

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 3 роки тому +4

    Mzee kipozeo wengi umewagusa humu coz hawajui bikra zao waliziacha wapi. Hahahaaaaa

  • @aliybecka5169
    @aliybecka5169 3 роки тому

    Kumckiliza kipozeo nahic najipotezea muda naona anafanya tu masihara na dini wanamuekea back ground za ajabu ameyataka mwenyewe kama angekua sheikh kweli wacngemuekea

    • @habibrwegoshora6624
      @habibrwegoshora6624 3 роки тому

      WW ni mwongo tu kwnn unamsikiliza ?

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 3 роки тому

      Ningekudanganya kam ningesema cjamckiliza uckurupuke kujibu kama hujasoma comment vzur

  • @rashidissa5522
    @rashidissa5522 3 роки тому +2

    Mla fiwi uyo