Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mashallah bila shak wana kondoa
Ishallah nami mungu atanipa wepes nami yangu iwe kama hii
Masha Allah. Nifahari kubwa kuolewa ukavaa mavazi yanayompendezesha Allah sw. Kwa kuyaficha mapambo yako na macho ya nje. Hata mmi pia nilivaa kama hivi siku ya ndoa yangu.
MashaAllah Inapendeza wallahb
Mashallah ikawe ya kher na baraka teleeeee inshallah ❤❤🙏
Huyo dada kichwa wazi unaharibia wenzako
Mungu aibariki hii ndoa awape kizazi Cha kheiri
Neema kubwa itapatikana harusi mzuri manshalla
😮😮😮 mmh
Warangi km skosei
Mashallha
Mkoa gani huu Wana madili hivi
Hapo ni msimamo wa wanandoa hao na familia yako,mana wengine hata ukivaa wanakutoa nikab
Hii kupamba magari si utamaduni wa kiislamu tuache, haya ni mmbo ya makafiri
Ww kama ni mtu uliye na dini hufai kuita watu kafiri rekebesha kaka
Mashaallah iwe ya heri
Dar es salaam