Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo, ila moto wa ujumbe ni mkali sana kupokea kwetu ni kidogo sana inaonyesha vipimo vinaonyesha tupo mbali na Muumba wetu kibinafsi sikutegemea wimbo tena kwenye wingu kubwa namna hii, duu Mungu wangu nisaidie

Mungu ni Mkuu sana
Kweli kanisa likombali sana na Mungu
Ufunuo mahenge kutoka njombe makete mtumishi mungu akutie nguvu
Mmepotea bila kujua,jina la Tengwa mfalme linazidi jina la Yesu,maana ndilo mnaandamia ,kama mtabadilika mtaniambia!