Mungu aendelee kutufunulia na atujaze roho wake mtakatifu ili 2pate kuenenda katika unyoofu wa njia yake kwa yesu kristo aliye bwana na mwokozi wetu, amen.
Hii injili ndo ya ufalme wa Mungu, nyingine tunapigwa, Yesu alipojalibu kuihubiri watu wakaleft. Nitaibeba injiri hii ya uhamsho na matengenezo ya kiroho ulimwenguni.
Hakuna kitu kama hicho kuhusu lnjili, Wala hakuna Yesu ambacho slibakiza msalabani,wewe kama unafunguo shida Iko wapi,dhiholisha Injili acha kusurutisha watu! Kama Yesu alikuwa kielelezo na akawatuma wawili wawili wakaleta matokeo ; Rum 1:16---Amen
Sasa mumeamua kufa mara dufu ,Tengwa kuwekewa mikono kuwa Mfalme ,kipofu kwa kipofu; na wewe Alfa umedanganyika kiasi hicho,sasa huhubiri lnjili ila upotevu wa tengwa,hata naomba uje unitthibitishie upotofu huo unaouongea, na kuchanganya hao wasio na roho na wewe umempoteza wapi roho, soma Rum 1:16-17,yote uliyoeleza na mfalme mpotofu siyo lnjili wala hakuna mnachotabiri ;IPet 1:19-21.Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea.Amen
1 Petro 2:9-10 [9]Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; [10]ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Napenda sana mafundisho Yako Mtumishi lakin mnavomuita mfalme mnanitia wasi wasi kwakwel Mungu anisadie kama Niko kinyume na Hilo napenda sana mafundisho Yako yananijenga
Yesu kristo ni mfalme wa wafalme! Sasa ni mfalme wa wafalme gani kama sio wewe mtu wa mungu?. Basi tumtoe mfalme tengwa Yesu anasema amekuja kumnunulia watu wake na kuwafanya makuhani na wafalme wakatawale juu ya inchi. Sasa wewe kama hutaki kua mfalme unasema ivi Yesu ni muongo na hakusema hivyo wewe nikuhani na mfalme mtu wa Mungu ubarikiwe sana
Najua kuna kitu bado hamjakipatia lakini mkiendelea na maombi mtakiona tena kwa urahisi tu. Unajua kuna vitu ukivibeba kama mwanadamu kamwe Ni vigumu Mungu kukupa. Nimesikia hapo dada anasema, (baba mfalme mbeba maono) hiki kitu Ni cha kuogopa mtumishi. Ukumbuke Yesu akasema, Baba yenu Ni mmoja tu Mungu wa Mbinguni na tena akasema, msimuite mtu yeyote Baba. Sasa sijui hii inakuwaje kusema baba tena mfalme mbeba maono.! Hebu naomba mambo mengine tuyatambue na tuwe na hofu tusipende kukiuka maagizo na mamlaka ya Mungu
Mambo mengine mtumishi nayapinga kabisa, najua Yesu aliandaliwa zamani kabla hata ya kuwekwa misingi ya dunia kwamba ndio atakuwa mwokozi, aliandaliwa zamani mno maana Mungu alijua kabla kabisa kwamba itakuwa namna fulani pale atakapoweka Edeni. Sasa nashangaa mambo mengine mbona yanakuwa tofauti? Pili, najua Yesu alisema kusali, hili jambo la kusali au kuomba tunajua Ni mawasiliano mtu na Mungu, yaani mazungumzo ya mtu na Mungu, sasa inakuwaje kwamba kusali hakupo? Yesu alipotaka kuondoka aliwaambia wanafunzi wake kwamba Kaeni hapa mjini siku kumi mpaka pale watakapopata nguvu, je waliopokaa mjini hapo hawakuomba au kusali?
Hilo jina la Ufalme limetoka wapi ktk maandiko? Isije ikawa kama Mfalme Zumaridi! Mbona Doctrine yenu haieleweki? Ni nini mlichonacho kipya kilichopungua TAG?
Asante bwana yesu kwa huu ujumbe,,,MUNGU akubariki sana baba yangu mfalme tengwa.
Mungu aendelee kutufunulia na atujaze roho wake mtakatifu ili 2pate kuenenda katika unyoofu wa njia yake kwa yesu kristo aliye bwana na mwokozi wetu, amen.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ndio mimi nimekubali kuhubiri injili HII hongera kwa mkutano huu wa live
Hakuna jambo jipya mnalofikiri ni upotofu tu .Eb 2:1-4, mtd10:38-43, Lk 4:11_18-30,Mh 1:9-10,Yer 31:22, mtd 17:21.Amen
Utakuwa mdanganyifu hata lini; Wala roho mtakatifu hauna wewe! Tubu tu upate ondoleo la dhambi na ubatizo wa roho uje juu Yako.Amen
Hii injili ndo ya ufalme wa Mungu, nyingine tunapigwa, Yesu alipojalibu kuihubiri watu wakaleft. Nitaibeba injiri hii ya uhamsho na matengenezo ya kiroho ulimwenguni.
Baada ya Adam wa pili kutokea, sisi tuliomwamini Mungu alitupa uwezo wa kufanyika wana. Kwahiyo na sisi ni Miungu kwa njia ya Yesu Kristo.
mnavyotafsiri sio sahihi punguzeni hisia, tafuteni uhalisia.Mungu awabariki
Mungu azidi kututia nguvu
Hakuna kitu kama hicho kuhusu lnjili, Wala hakuna Yesu ambacho slibakiza msalabani,wewe kama unafunguo shida Iko wapi,dhiholisha Injili acha kusurutisha watu! Kama Yesu alikuwa kielelezo na akawatuma wawili wawili wakaleta matokeo ; Rum 1:16---Amen
Sasa mumeamua kufa mara dufu ,Tengwa kuwekewa mikono kuwa Mfalme ,kipofu kwa kipofu; na wewe Alfa umedanganyika kiasi hicho,sasa huhubiri lnjili ila upotevu wa tengwa,hata naomba uje unitthibitishie upotofu huo unaouongea, na kuchanganya hao wasio na roho na wewe umempoteza wapi roho, soma Rum 1:16-17,yote uliyoeleza na mfalme mpotofu siyo lnjili wala hakuna mnachotabiri ;IPet 1:19-21.Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea.Amen
Ndio niko tayari kutembea na hii injili ya uamsho na matengenezo ya KIROHO ulimwenguni.
1 Petro 2:9-10
[9]Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;
[10]ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Napenda sana mafundisho Yako Mtumishi lakin mnavomuita mfalme mnanitia wasi wasi kwakwel Mungu anisadie kama Niko kinyume na Hilo napenda sana mafundisho Yako yananijenga
Yesu kristo ni mfalme wa wafalme! Sasa ni mfalme wa wafalme gani kama sio wewe mtu wa mungu?. Basi tumtoe mfalme tengwa Yesu anasema amekuja kumnunulia watu wake na kuwafanya makuhani na wafalme wakatawale juu ya inchi. Sasa wewe kama hutaki kua mfalme unasema ivi Yesu ni muongo na hakusema hivyo wewe nikuhani na mfalme mtu wa Mungu ubarikiwe sana
@emanuelnjiku7354 Amen nashukuru Kwa kunieleza nimeelewa sana SAS ubarikiwe na Bwana
Najua kuna kitu bado hamjakipatia lakini mkiendelea na maombi mtakiona tena kwa urahisi tu. Unajua kuna vitu ukivibeba kama mwanadamu kamwe Ni vigumu Mungu kukupa. Nimesikia hapo dada anasema, (baba mfalme mbeba maono) hiki kitu Ni cha kuogopa mtumishi. Ukumbuke Yesu akasema, Baba yenu Ni mmoja tu Mungu wa Mbinguni na tena akasema, msimuite mtu yeyote Baba. Sasa sijui hii inakuwaje kusema baba tena mfalme mbeba maono.! Hebu naomba mambo mengine tuyatambue na tuwe na hofu tusipende kukiuka maagizo na mamlaka ya Mungu
Mmmmh Mfalme Tengwa ndio nn
MUNGU AWATIE NGUVU WATUMISHI
Ufunuo mahenge kutoka njombe makete na kusikiliza
Mambo mengine mtumishi nayapinga kabisa, najua Yesu aliandaliwa zamani kabla hata ya kuwekwa misingi ya dunia kwamba ndio atakuwa mwokozi, aliandaliwa zamani mno maana Mungu alijua kabla kabisa kwamba itakuwa namna fulani pale atakapoweka Edeni. Sasa nashangaa mambo mengine mbona yanakuwa tofauti? Pili, najua Yesu alisema kusali, hili jambo la kusali au kuomba tunajua Ni mawasiliano mtu na Mungu, yaani mazungumzo ya mtu na Mungu, sasa inakuwaje kwamba kusali hakupo? Yesu alipotaka kuondoka aliwaambia wanafunzi wake kwamba Kaeni hapa mjini siku kumi mpaka pale watakapopata nguvu, je waliopokaa mjini hapo hawakuomba au kusali?
Si rahisi kuelewa wanachohubiri hawa wafalme Wa Mungu kama hunaconnection na Mungu.
Amua sasa acha udanganyifu kama sizoni,baada ya mwezi na kuhakikishia labda uchawi wa manabii,lnjili nyingine sasa ndizo zinakanganya watu!