Naomba ntume niombe Kwa mungu matatizo yote kwa family yangu tuisi vizur Leo namini kila matatizo anaisa, ntume mimi muanao napitiya matatizo sana lakini Kila kito namuasia mungu amen 🇲🇿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Mtume ninausuhuda kwa jina josephina nipo Zanzibar nilikuwa naumwa na miguu ndani yawiki moja ila nilivoangalia maombi ya leo nimepona namshukuru mungu
Naomba kesho biashara yangu ikazidiwe na wateja n kuongezeka kiurahisi kwa jina la yesu amen
My family must delivered to day in Jesus mighty name amen
Baba mpenzi, nafuatilia Kongamano la Arusha. Mungu awalinde, awabariki.
Amiina nabarikiwa sana,nafunguliwa kwa jina la YESU
Naomba Mungu kesi ya kutokukua kiuchumi kibiashara, kiutajiri na kutokumalizia ujenzi iishie yoote, ameen
Mungu naomba utulinde katika safari yetu kesho katika jina la yesu amen
Nipone vichomi mwilini mwangu na ndoto mbaya ziishe katika jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai...🙏🙏
Amen..napokea kwa jina la yesu naamini kwesi zote zinazonikabiri zimekwisha.❤
Amina napokea kesi zote zimekwisha na ninazidishwa Mara mia
Namiini magonjwa yame futwa kwa jina la yesu amen
Naamini lazima tuinuke na kuangaza kwa jina la yesu amen
Mungu naomba nisaidie mume wangu akitoka kazini anikabizi hela yakulipia madeni
Wewe ni mtumishi wa Mungu kweli neno zuri sana Mungu Muumbaji wa vyote akubariki
Naomba biashara zetu zikafunguliwe na kuongezeka kiurahisi sana kwa jina la yesu amen
Kesizangu zote zimekwishaaaaa kwa damu yayesu kristo Ameen
Mungu naomba wanawake anao watongoza mume wangu pepo alilonalo litoke kwajina layesu
Mungu niponye u,t,I inayonisumbua ameeeeeeeen
Napokea miujiza mipya kupitia kongamano la arusha❤❤❤❤❤
Sinakesi tena mzee palimena kesiyako imekwisha kwajina layesu Ameen
Mungu naomba uibariki masomo yangu na gredi ya A AMEN
Amen glory to God
Eee mungu naomba niongezee kiwango cha imani kwA jina la yesu
Nitumie wateja sahihi kwa kazi yangu kuanzia kesho in the mighty name of Jesus Christ amen.
Mungu unisaidiye papa ma famille mes parents gardent nous
Napokea kwa imani ameeni
Yoyote mwenye ubaya na mimi au biashata yangu na kuninenea mabaya basi ubaya wake umludie mara mia kwa jina la yesu
Naomba Mungu aniongoze yalipo madini
YESU wa madhabahu hii hakopeshi analipa keshi
Amen, mungu fungua familia yangu
Mungu nomba Familia yangu iwe na mafanikio kwa kila tunacho kitafuta ,walinde watoto wangu kiafya na masomo Yao wawe wa Kwanzaa
Mungu nifunguliye milango niganyikiwe kimaisa nintuse família yangu ámen🇲🇿🤲🏿🤲🏿
Ameen🙏🏽🙏🏽
Mungu nisaidie munao mudao napitia mateso sana lakini Leo matatizo anakwisa njiya ya upako, naomba keso mungu anitendeye muiguisa nione muanga amen
Naomba ntume niombe Kwa mungu matatizo yote kwa family yangu tuisi vizur Leo namini kila matatizo anaisa, ntume mimi muanao napitiya matatizo sana lakini Kila kito namuasia mungu amen 🇲🇿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Naomba Mungu ni fungue nipate madini
Naomba mtoto asipate magonjyua njia ya yesu Cristo amen 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Napokea uzima kwa Jina la yes ameeeeeeeen
Nakiri kufunguliwa kiuchumi na biashara yangu ikazidiwe na wateja ata wale waliondoka wa zamani waludi kwa jina la yesu
Bapokea mtoto wangu kupona kabisa kwa damu ya yesu
Kesi ya umasikini na kushindwa kufunga biashara na kujenga iishe kwA jina la yesu
Mtume naomba unifungulie maombi familia yangu ikombolewa ikae kwa amani emungu nitendee kwajina layesu emeee
Natak maisha yangu ya mazur yabadilike
Kesi ya kuzulumiwa au kutapeliwa au kushindwa kulipwa pesa zangu imekwisha kwA jina la yesu
Heeeeeee heeeeeee nazidi kupokeia biashara yangu ya ije ya ichi kwalazima tu inawezekana ✅✅✅🇲🇿
Kwa jina la yesu nataka nitembee kwenye mbingu zilizo funguka
Eee mungu nataka johni na joice wasitulie wakose amani wahangaike hadi watakapo ludisha pesa zangu kwa jina la yesu
Naona bishara yangu ikazidiw na wateja
Napokea 🙏
Napokeaaa muujiza wa habari njema
Kesi ya kushindwa kumiliki pesa imekwisha kwA jina la yesu
Amen
Kes ya kutopata hela kwisha❤❤
Naombam mungu anponye mangonjwa yanguvyot
Ombi langu 1emungu nifungulie familia yangu
Naomba mume wangu pepo alilonalo litoke kwajina layesu pepo ukahaba
Naomba nipate mume wakuniowa nyota yangu ingae cocote ntakapo kuwa taa kwake kwenye mwili wangu taa iwake dukani kwangu nizidiwe nawateja nifanikiwe kirahisi
Kupitia kongamano hilj kesi yangu zimeisha
Kesi iliyofanya pesa ishindwe kutoka kwenye mashine iishe kwA jina la yesu
Ufalme wa mungu umekuja
Nataka kifaa kilichosababisha pesa isitoke kwenye mashine kitengenezwe halaka kwA jina la yesu
Ee Mungu
Napokea muujiza wa cheti changu kuki komboa kwa damu ya yesu
Mtume ninausuhuda kwa jina josephina nipo Zanzibar nilikuwa naumwa na miguu ndani yawiki moja ila nilivoangalia maombi ya leo nimepona namshukuru mungu
Amina
Nami napokea upako japo umeme ulikata sikujiungamanisha
Kesi ya mume kufukuzwa kazi kwisha napokea muujiza wa kurudishwa kazini
Ameeen
Nataka kabla siku kuisha niwe nimelipwa pesa zangu kwA jina la yesu
Leo kesi zangu zote zinaisha kwajinalayesu
Dukani na nyumban kes kwisha
Nataka ndugu yangu awe kitu kimoja na mimi asinitenge anisaidie
Kes ya ndoa yangu kwisha
Kesi ya mume wangu iishe leo
2 emungu naomba unifungulie mume wangu milango ya lidhiki
Napokea na kufuguliwa
Napokea uzima
Kesi ya mume sahihi iishe mwaka huu
Ameeeeeeen
Leo.kes zang zot.zinaisha
Kes ya biashara yangu iishe leo
Kesi zote zimekwisha
Hapo Mwanzo
Mung naomb watot wangu uwp ulinz kila waendap na uwap marafik sahih na uwaondolee kibur waw watot wema na wakujuw ww
Mung naomba unipe mtaj kirahisi
Napokea muujiza wa hela kuwanzia leo
Kesi ya kulewa mume kwisha
Kes ya jino kwisha
Napokea
Kes ya mwanangu kutotembea kwisha na magonjwa kwisha
Kes ya jengo langu kwisha
Kes ya kutengwa kwsha
Kes ya kukataliwa na wateja kwisha
Nataka tujenge viwanja vyote Dodoma
Kes ya kukataliwa kwisha
Napokea uponyaji leo
Nataka kes ya mume sahihi iishe leo
Napokea chet na kaz
Tunaomba uje na geita baba
Nataka kesi ya kukataliwa na umaskini viishe leo
Nataka kesi yangu ya kuchukuwa cheti iishe