Penati | Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii - 13/08/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Tazama ushujaa wa golikipa wa Simba SC, Ally Salim akidaka penati tatu. Adaka penati ya Khalid Aucho, Pacome na Yao.
    Diarra adaka penati ya Saidi Ntibazonkiza

КОМЕНТАРІ • 645

  • @singidaprincetz1883
    @singidaprincetz1883 Рік тому +6

    Mungu azidi kumlinda na kumpa ujuzi kilaaa kukicha ally salumu katoro 🤲🏿🤲🏿🤲🏿💯 pia na wachezaji wetu wa Simba nguvu moja 🔥🔥🙏🙏

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +3

    🦁🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️ Asnte simba maua yako Ally Salim 🙌🎉🎉🎉🎉

  • @protaspeter5371
    @protaspeter5371 Рік тому +11

    Alieona baada ya onana kufunga penat yake alitud na kumwambia baleke asijifikirie Sana mpaka kipa ajipange kamwambia akifika chagua angle we piga tu na kweli baleke hakujifikiria sana

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Рік тому +2

    Yaani tayar iko namba 1 on TRENDING .. simba mnasifa

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 Рік тому +4

    Simba Sc ni Taifa kubwa ndani ya Taifa kubwa jingune🦁💪🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Shemu199
    @Shemu199 Рік тому +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ Ali salim apewe mauayake liki zakutosha

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 11 місяців тому +2

    Hii siku nililia kwa furaha sana😢❤❤❤❤❤

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому +2

    Kwakweli
    Mimi binafsi
    Sina wa kumlaumu❤ ❤
    Yanga ilicheza Vizuri Saana
    Wanampira mzuri saaana❤n❤❤❤

  • @CoradaAndrea-vf9kd
    @CoradaAndrea-vf9kd Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤ nitaipenda Simba mpaka kufa 🎉🎉🎉

  • @hamisisalumu5388
    @hamisisalumu5388 Рік тому +2

    Shukran sana, ila bidii zinahitajik

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +3

    Wanasimbaaaaaaaa hataharingiiii❤❤❤❤❤❤

  • @StelaAsukilekilalakherisimba
    @StelaAsukilekilalakherisimba Рік тому +2

    Ali salimu umejua kutufulaisha. Pambana mdogo wangu.❤❤❤❤❤❤❤

  • @Emiliana97
    @Emiliana97 Рік тому +5

    Anadaka mpaka stress zetu za mapenzi 🤣🤣🤣

  • @Kevin_davi
    @Kevin_davi Рік тому +3

    Huyu ally salim ni Tanzania one unyama mwingi❤

  • @theobaldngobya7740
    @theobaldngobya7740 Рік тому +4

    simba sc wananipa raha kumoyo,simba nguvu moja

  • @CeciliaIssa-wv1rg
    @CeciliaIssa-wv1rg Рік тому +2

    Hongera simba yangu mm nawe forever❤❤❤😂😂

  • @ErickaSailon
    @ErickaSailon Рік тому +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ unyama mwingi nguvu moja

  • @Invisible-n4n
    @Invisible-n4n Рік тому +4

    Golikipa wa simba sio professional....penati zote ameanza kuruka yaani ametoka nje ya mstari kabla mchezaji hajapiga. sio ushindi mzuri huo. Golikipa kaiba zote
    Na Golikipa wa yanga hongera sana very professional. big up.
    Simba waende wamfunze golikipa wao na pia refa alioko mstarini kule hajielewi na hajui.

  • @johnmogha4842
    @johnmogha4842 Рік тому +1

    Love ue simba huu n mwanzo tu thanks God

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Рік тому +3

    Simba yangu nakupenda Sana Ila kocha anamasiara Sana tuache utani

  • @amosemmanuel3528
    @amosemmanuel3528 Рік тому +4

    Mimi ni Yanga yaani namanisha utoporo asante simba kwa kutukanda😅

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 Рік тому +5

    Ali salimu , ulaya inakuita kaka angu tuna kushukulu sana

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 Рік тому +3

    Simba nguvu MOJA❤❤❤

  • @vumiliarichard9347
    @vumiliarichard9347 Рік тому +2

    #simbaaa nguv moja🦁🦁💪🏾💪🏾💪🏾

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +4

    Mgunda baba yangu nimeshakumis Kwa kweli huyu Mzungu kichefu chefu tu hapo

  • @TausiHassan-w1o
    @TausiHassan-w1o Рік тому +2

    Simba hatuna kocha anazingua sana

  • @omarymuya142
    @omarymuya142 Рік тому +1

    Lasana simba I love you simba ❤💪💪💪💪

  • @SonieSaid-wy5uo
    @SonieSaid-wy5uo Рік тому +1

    Kaz nzur xna simbaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nururajabu3450
    @nururajabu3450 Рік тому +3

    Chama langu miaka Mia ata iwejeeee🎉🎉🎉🎉❤

  • @allydaruweshi3417
    @allydaruweshi3417 Рік тому +1

    Kazii nzuri kwa Ally salimu🎉🎉🎉

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +5

    Mbona hata dr aliruka kama ali salimu kudaka penalt y saidoo?!

  • @elishanaftali
    @elishanaftali Рік тому +2

    Safi sana ali salimu 🎉

  • @khairatkhamis5845
    @khairatkhamis5845 Рік тому +2

    Heeeeeee wakwanza mm leo jamni simba ulaya pasi milioni simba sports club simba nguvu moja

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 Рік тому +1

      Kawaida sana honestly simba mmeshambuliwa kinomaaa usinitukane lakini

    • @liboriusbabile1197
      @liboriusbabile1197 Рік тому

      Simba wanaitani kufanya jambo Ili waendelee kuwa salama.

    • @ProvinaMwailaph-en7bd
      @ProvinaMwailaph-en7bd Рік тому

      @@rithadonatus8110 si ajabu kwani kombe lilopita yanga walishambuliwa sana then wakashinda ajabu nini apo

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv Рік тому

      Tuwe wakweli Hamna kitu.... Timu nyepesi saaana... Yanga wameenea kila eneo leo.... Penalty kawaida haina ufundi.... Tusitegemee kwenda kwa Penalty huko mbele kuzito.... Timu nyepesi kocha mwepesi jamani tusitiane ndimu.... Musitukane lakini huu ndo ukweli na kila mmoja wetu anajua hata ukitukana....

  • @kishimbaboy5403
    @kishimbaboy5403 Рік тому +3

    Kocha sio level ya Simba,Tumeshinda lkn tumecheza mpira m'bov sana,iv kwa kiwango icho tutatoboa club bingwa

  • @SalimYussuf-y7y
    @SalimYussuf-y7y Рік тому +3

    Ali Salim kipa kweli kweli

  • @famaomosessozi-wp6ju
    @famaomosessozi-wp6ju Рік тому +1

    Simba tunaomba mumwangalie kocha kwa jicho la tatu na amini na uwongoz mzr sana watazingatia😊

  • @Phat-23
    @Phat-23 Рік тому +5

    UWANJA WA MIKOANI SIMBA HATUWEZI KWASAB HAIKO STABLE, SIMBA MPIRA WA PASI WA CHINI NDO TUNACHEZA SAS MKOANI UWANJA MPIRA UNADUNDA SANA TATZO UWANJA SIO KOCHA , SIMBA 🔥

    • @ABELVILTV
      @ABELVILTV Рік тому

      Sababu ya kiwanja sahihi na kocha ni sahihi.. Kocha hawezi kupanga wachezaji na kufanya mabadiliko mapema pia hawezi... Inaonekana wazi kocha anampango wa kuprove baadhi ya wachezaji hawafai kwa kulazimisha kwanini chama asimpange na onana + phiri/ baleke

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому +1

      Miii nakataa tatizo lipo kwa kocha wetu wa simba hawezi kumiliki mpira ndomana tumezidiwa umiliki wa mpira na yanga yeye anajua kushambulia kwa kasi tu lakini kukaba na kukaa na mpira hawezi

  • @adreagochrizo5918
    @adreagochrizo5918 11 місяців тому +1

    Katoro anatoroka sana b4 mpigaji wa penati hasa ile ya pacomee

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Рік тому +1

    Simba kama Simba👏👏👏

  • @omarmussa3482
    @omarmussa3482 Рік тому +2

    Yaan mashabiki bana, hebu tuacheni mpira wa kizamani kama mnafikiri mnaweza kuwa makocha hebu muuvae huo uhusika kocha amefanya anachoona yeye kwake ni sahihi na sio nyinyi wa kumuelekeza, mchezo tumeshinda tuendelee kuipa moyo timu ili waweze kuchukua makombe zaidi na siyo kumponda kocha.

  • @herijuma2717
    @herijuma2717 Рік тому +4

    Hii sio sawa kipa anatoka kabla sio sawa marefa hawaoni au kusudi

  • @michaelyona2479
    @michaelyona2479 Рік тому +3

    ("Boli itembeeee")
    Wapi mgundaaa come back.

  • @PrivaTesha
    @PrivaTesha Рік тому +1

    I love you simba

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Рік тому +3

    Bocco awe anakataa kucheza jamani awe mshauri wa timu kocha hovyo kabisa viongozi muwe makini

  • @godfreyfussy8360
    @godfreyfussy8360 Рік тому +4

    Sawa anawahi kutoka ndo mupige penalt zote kulekule 😂

  • @jordanmathayo799
    @jordanmathayo799 11 місяців тому

    Napenda sana stail ya kushangilia ya diara

  • @RAYMONDKORNEL-gb8ty
    @RAYMONDKORNEL-gb8ty Рік тому +3

    Jamani Yani Kwa Raha waliyonipa Simba Leo hata Dem sitaki

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Рік тому

      Hakun raha yoyote kwa hali hii tabu naiona mbele tuendako

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 Рік тому +1

    🔥🔥❤❤❤🦁💪1🌹🌹🌹🌹🌹🌹Ally salim🔥

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 місяців тому

    Ali salim❤❤❤❤

  • @evancefocus9215
    @evancefocus9215 Рік тому +4

    Tumeshinda lakini kocha sijamuelewa na BAdo simuelewi mgunda apewe timu haraka sana mbeleni tutaaaibika,phiri anaingia KWA ajili ya penati tu hii imeniuma sana kiukweli

  • @FranceChihongo-qu5nn
    @FranceChihongo-qu5nn Рік тому +4

    Ila hawa wapiga penat wa yanga kwakweli hawajatumia akili ila wamepiga tu ilimladi . Penat nzuri niliyoipenda ni hiyo aliyopiga mzamilu

  • @JipsonNgapata
    @JipsonNgapata 9 місяців тому +2

    Uyo ndo Aly Salim

  • @CeciliaTimotheo
    @CeciliaTimotheo 4 місяці тому +1

    Vyuraaaaaaaaaaaa fc 😅😅😅🤣🤣🤣, big up Ally 💪😍

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 3 місяці тому +1

    Nikiimiss simb nkuj apa❤❤❤

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому +5

    Honestly huyu kocha wa simba ni hanithi samahani sana wanasimba huu si kocha kabisa nawaambia mpuuzi huyu .. kudos to Ally salimu

  • @Alex-o3k3n
    @Alex-o3k3n Рік тому +24

    Ally Salim wanasimba tunaxhukur xan kwa mchango wako

  • @franccoz94
    @franccoz94 Рік тому +5

    TUNAOMBA MGUNDA APEWE TEAM YAKE

    • @DeusiMorisi
      @DeusiMorisi Рік тому

      Mgunda wenu alitukoshesha ubingwa sale kibao

  • @CharlesWanyeche-er6rw
    @CharlesWanyeche-er6rw Рік тому +3

    Boko ametukost sana hongera kwa kipa kutusave otherwise tulizidiwa game

  • @suzansherali2938
    @suzansherali2938 Рік тому +1

    Ally salim❤

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Рік тому +20

    Hii siku nililia Kwa furaha

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld Рік тому +2

    Saido siku zote penati zake ni za kushikilia roho Sana kuna mtu juzi na singida kabla hajacheza nilimwambia saidoo hana ujuzi wa penati ipo siku atawaferisha baada ya kupiga tu yule jamaa alikubali maneno yangu yani penati zake zote zinafuatwa na kipa almanisura tu sasa na Leo aliko atakubali maneno yangu na pili simba hamna kocha pale

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 Рік тому +2

    ❤❤❤ Alliy mungu azid kukupa mwanga

  • @SeciliaWiliam
    @SeciliaWiliam 9 місяців тому

    ❤❤❤ simba nguvu moja

  • @shehanimzee9953
    @shehanimzee9953 Рік тому +2

    Vzr kipa ila coach anakazi ngumu kwenye kiungo pale kati tunayumba sana

  • @JipsonNgapata
    @JipsonNgapata 9 місяців тому

    Simba waooooooooooooooo

  • @HalimaJuma-hm2jn
    @HalimaJuma-hm2jn Рік тому +1

    Simb rah Sanaa❤️❤️❤️❤️

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Рік тому +3

    Mgunda arudishwe katika baraza la ufundi

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 Рік тому

    Simba ni dude kuuuuuuubwaaaa 🦁🦁🦁🦁😂😊😁🙂😀

  • @subiraaddo864
    @subiraaddo864 Рік тому +2

    Kwa kweli mgunda arudi tu kwa kocha huyu hatufiki popote club bingwa, anatuchanganya tu

  • @AllyMsimbe
    @AllyMsimbe Рік тому +3

    anadaka mpaka upepo

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 Рік тому +4

    Jamani maua yake kwa ali salm

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Рік тому +2

    Kwa hiyo kiwango cha yanga ni sawa na singida

  • @DaudiElisha-wj8qt
    @DaudiElisha-wj8qt 5 місяців тому +1

    Dah simba tamu wazeee

  • @azizanzori4931
    @azizanzori4931 Рік тому +2

    Kocha hatumtakiiiiiiiii,bora tubaki na Mgunda yuleyule.

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 Рік тому +5

    mbona kipa wa simba anatoka kwenye line wakati inatakiwa hata mguu 1 ubaki ndani. zote alizodaka ni za kurudiwa

  • @emmanulijuma7879
    @emmanulijuma7879 Рік тому

    Honger xan simba

  • @Phat-23
    @Phat-23 Рік тому +4

    HAPO ANAESEMA KOCHA HAFAI NA YULE ANAESEMA SIMBA MBOVU WOTE WALEMAVU WA AKILI AMBAO HAWAJUI MPIRA WASHAZOEA KUSHANGILIA LEDE , SIMBA INACHEZA MPIRA WA PASI WA CHINI SAS UTASKIA CHOKO MMOJA AMBAE HAJUI MPIRA ANABWABWAJA 2 UWANJA MPIRA UNADUNDA HAUTULII CHINI KABISA MASHABIKI JIELEWENI BASI KHAAAA , SIMBA 🔥

    • @WilliamElisa-xt7nx
      @WilliamElisa-xt7nx Рік тому

      Hamna kocha hapo

    • @shaffihsiraji3141
      @shaffihsiraji3141 Рік тому

      We nae kocha hamna tuna mpira gani sasa wakutisha kwa sasa timu inacheza ovyo tu

    • @medyaziz4806
      @medyaziz4806 Рік тому

      Kwa hiyo mpira una dunda tu kwa simba?? Mbona yanga wamecheza mpira mzuri na haudundi kwa hiyo fact yako ya uwanja!!😂😂

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Рік тому

      @@medyaziz4806 😂😂😂

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому +2

    bado kipa siyo bora sana kwenye penalty na wapigaji wa yanga hawajui kuchagua angle nzuri kwa kipa anavyoruka sana upande mmoja.

  • @frederickpatrick5966
    @frederickpatrick5966 Рік тому +4

    Sema Phiri alinishangaza 🤣🤣🤣

    • @signecha_
      @signecha_ Рік тому

      Hata mimi ningepaisha, haiwezekani nitumike kwenye penalties tuuu

    • @samuelmwangu3301
      @samuelmwangu3301 Рік тому

      @@signecha_😂😂😂😂😂😂

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому +3

    Aliye Kula Kala 😂😂😂 Utopolo vip pale 😂😂😂 inauma eeh🤪🤪🤪

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Рік тому +1

    Simba Robertino should be careful he is failing to arrange best combination what is bocco doing in the field we don't need him again let him be adviser of the club not the player for tough game.

  • @moodykassim4029
    @moodykassim4029 Рік тому +2

    Tuliwaambia huyu kocha sio kitu watu wakabsha, hivi kocha gani anaomba asijiliwe wachezaji lakn hata kufanya substitution anashindwa

  • @KhadijahAlly-jz7rl
    @KhadijahAlly-jz7rl Рік тому +1

    Hongera mnyama

  • @TumainielKitundu
    @TumainielKitundu Рік тому +5

    Hatuna marefa asee!! Huyu sindo alifeli mitihani CAF? anashindwa kutafsiri sheria? Kipa anatoka miguu yote kabla ya mpigaji kupiga

  • @NeemaJeremiah-s9x
    @NeemaJeremiah-s9x Рік тому

    🎉we are unstoppable

  • @Washya13Mwembe-vh4mk
    @Washya13Mwembe-vh4mk Рік тому +2

    Leo ndio simba

  • @Shijalukwaja
    @Shijalukwaja Рік тому +1

    Bigup Sana kaka Ally Salim

  • @omaryhamza6008
    @omaryhamza6008 Рік тому +3

    Mnyama

  • @EdwardDotto-u6l
    @EdwardDotto-u6l Рік тому +2

    Mujitaid kuwah kuweka haya mambo pale mpila unapoisha

  • @anoldyshabani
    @anoldyshabani Рік тому +61

    Simba ili tuchukue makombe ya ligi tunazoshiriki lazima tumtimue Huyu mzungu sio kocha Ni sharti la mtumba kutoka Brazil Bora arudi mgunda Mara Mia na sio Huyu gasho was kizungu

    • @mtumishimathias7762
      @mtumishimathias7762 Рік тому +7

      Wewe utakua unajua mpira hao wengine waache warukeruke majibu watayapata mzunguko wa kwanza tu

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 Рік тому +2

      Kiazi hakuna kitu unajua

    • @Phat-23
      @Phat-23 Рік тому +6

      Acha uchoko umemuajiri wewe pale au , kaajiliwa na MO SIMBA 🔥

    • @bornagain3181
      @bornagain3181 Рік тому +6

      Ndugu zangu, Kocha hamna pale.

    • @joasyeliya2481
      @joasyeliya2481 Рік тому +3

      ondoka ww

  • @NeemaNyoni-wc6lr
    @NeemaNyoni-wc6lr Рік тому

    jaman uyu boko anaisa Simba kwann au ndo undewa kila zama nakitabu chake akubali2 yaishe Simba I❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @husnmjuba4978
    @husnmjuba4978 Рік тому +2

    Huyu refa kashidwa kuona kwamba Kipa Ali Salim Anadakia mbele ya mstari wa goli. Marefa wa namna hii hawakubaliki. Alf si wanaligi yao, huyu wamrudishe akawabebage wenzie huyu Queens.

  • @samwellaizer859
    @samwellaizer859 Рік тому +3

    Kumbe kipa wa kolo Alikuwa anatoka kabla ya mpira kupigwa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Рік тому +2

    Huyu kocha amshukuru salim

  • @sanjidambundamila-md4gy
    @sanjidambundamila-md4gy Рік тому +2

    Mimi ni Simba but yuhu kocha wa Simba ni sawa na mavi ya chooni iv walienda uturuki kucha mavi au kufanya mazoez

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 8 місяців тому +1

    Hasira za hapa tuliziamishia taree 5 mwez wa 11 tukasimamisha kono la nyani niliumia ila aikua bahat yetu mkianza penati angalieni kipa upande anapenda kudakia wengin msipige uko kama afcon walimsoma kipa wa south afrika nusu fainal wakaambiazana akuona ata moja sa awa wanapiga upande ule ule wa mwenzake alioudakia kipa

    • @pauljuma4384
      @pauljuma4384 8 місяців тому +1

      Vp haukuona kule zanzibar alidakia upande mwingine ali salimu noma😅😅

  • @reymondymwapule8514
    @reymondymwapule8514 Рік тому +1

    Simba nguvu moja

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 Рік тому +2

    Tunashukuru tumeshinda ila Hatuna Furaha na Ushindi kwamaana Hatukutegemea Kama Team yetu itacheza Vibaya Vile Kwa wachezaji tulionao hatukupaswa kucheza Mpira Mbovu vile Kukosa jitihada binafsi za wacheza Moja moja kama Malone, Mzamiru na Ally Salim Sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine COACH HATUMTAKI SIMBA IMESHA KUWA LIDUDE LIKUBWA COACH ROBERTINHO HAIWEZI.📌

  • @sanjidambundamila-md4gy
    @sanjidambundamila-md4gy Рік тому +2

    Kwann huyu kocha kama anmyogopa sana saido na bocck