MAJANGA KWA WACHUNGAJI JE ALIEKUFA NI YESU WA MATAYO SAA TISA AU WA MARCO SAA TATU. MW/ KINYOGOLI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 223

  • @mohamedkibwana7558
    @mohamedkibwana7558 Рік тому +2

    Alhamdulillah Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia kuwa muislamu na nife nikiwa muislamu.

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db Рік тому +1

    MashaAllah,Allah Awalinde na Husda,mzd Tupa elmu,na Mzd kuafundsha Wakristo waijue haki

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 2 роки тому +1

    Mdahaloo mzurii sanaa mungu awalipe masheghe zetu ninakesha mdahaloo .

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 роки тому +2

    Wew alokwambia tunamkataa Yesu Nani....Sisi tumkubali Ila hatumkubali kama ni Mungu...

  • @swadaqtr1027
    @swadaqtr1027 2 роки тому +3

    Ongeera masheke wetu mungu awalinde🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому +3

    Mashallah Allah Sheikh Said kinyogoli unawanyorosha wambiye. Badoo kuna ya Ibrahim bado uwanyoroshe👌🏾

  • @evangelisteroncempanyaoffi5782
    @evangelisteroncempanyaoffi5782 2 роки тому

    Slt les enfants et le serviteur de Dieu ' ce moi EV RONCE MPANYA ' suis a kinshasa rep de mo cratique du congo'. voici quelques versets qui témoigne ou confirmé la mort et la résurrection de Jésus christ' jesus est ais mort et reusiciter ' il est ais aussi prêcher aux esprits en prison ' sous la terre pendant 2 jour et le 3 jour il a réussicité ' 1pierre 3:18'19
    Apocalypse'1:28
    Math 27:50'64'66
    Actes 3:15
    Romain 8:11
    1corit 15:20
    Hébreux 13:20
    Actes 2:24
    Ephesien4:9 merci lire tous ce verset s pour la confirmation' que Dieu vous bénisse'.

    • @allyally1077
      @allyally1077 2 роки тому

      Sawa kafufuka lakini kafa saa ngapi jibu swali usikimbie, ndugu tunaelimishana tu

    • @allyally1077
      @allyally1077 2 роки тому

      Sawa kafufuka lakini kafa saa ngapi jibu swali usikimbie, ndugu tunaelimishana tu

  • @Zena-h4p
    @Zena-h4p 3 роки тому +2

    Najivunia kuwa muislam namuomba mungu anijaalie nife nikiwe muislam

    • @oscarramazani1289
      @oscarramazani1289 3 роки тому

      Nami pia Allah blessing kinyogoli and his members AMIN

  • @zairunyary7023
    @zairunyary7023 3 роки тому +4

    Yani mashallah uyu juma kinyagoli mm nampenda sana

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 роки тому +4

    Allah awahifadhi. Amin

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 3 роки тому +5

    Mashaallah,,,kweli Uislam ni dini ya haki

  • @livefans5914
    @livefans5914 3 роки тому

    Mashaallah Mashaallah
    Masheikh wetu ALLAH akufanyie wepesi na Akulipeni mepesi zaidi

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 3 роки тому +3

    Huwa napenda sana mafundisho kwa style hio ya mdaalo.

  • @NadiaJuma-cp7vr
    @NadiaJuma-cp7vr Рік тому +1

    Wislam Raha sanaa jamanii

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 роки тому +1

    Allah amefanya miujiza mingapi...wew unawazimu ati shikio limerudishwa....Mungu anatoa usiku kuwa mchana mchana kua usiku ..wew Unadhani Yesu anaweza...

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 роки тому +2

    Mm sina mengi Ila nampendaga Sana Hamidu anavosoma...hhhh

  • @masamasa2387
    @masamasa2387 3 роки тому +1

    🙏🙏 Mashallah Allah Awazidishie Umri Mashekhe wetu Ili Muweze Kutuelimisha zaidi.Jamani Uislamu Una Raha Yake.Waislamu Takbirrrrrrrr

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 роки тому +2

      Raha ya uislam ni nini?
      Ugaidi kwa ajili ya pesa?roho chafu na wivu?uchawi na kutisha wengiine?ubinafsi kutaka kutawala hata vya wengine?au ni nini???
      Kuamini kuwa mkiua mkristo ndo mnaiona mbingu???
      Nawashangaa sana.

    • @oscarramazani1289
      @oscarramazani1289 3 роки тому

      @@editrudesmbonde9051 una chuki na Uislam bila elim, someni kwa haki. Dini ya haki hapa duniani ni Islam. Neno Kristo ni cheo cha MTU katika dini, usizushe uongo kwa chuki ya uislam na wa Islam. It will be problems here after. Fear God it will be better to you.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 роки тому

      @@oscarramazani1289 Chuki mnayo nyinyi kwa Wakristo,mnafikia hata kutuita eti makafiri,hivi hapa kafiri ni nani??kati ya uzao wa Isaka na uzao wa Ishmail nani kafiri??
      Mnafikia hata kusema eti ukiua mkristo unaenda mbinguni!!hivi hiyo mbingu ni ya mjomba wenu??
      Imani ya kweli ni Ukristo tu,maana unahubiri AMANI duniani,ukifuatilia sana,sasa hivi huko midle east waislam wengi wanabadilika,tena wao ndio waanzilishi wa dini yenu wewe nani??😂😎

    • @fatumahassan3205
      @fatumahassan3205 3 роки тому

      Allahu akbar

    • @مريم-ه2ز9ق
      @مريم-ه2ز9ق 2 роки тому

      Allah akbar

  • @officialsaddmfalme5381
    @officialsaddmfalme5381 3 роки тому +3

    Kkkkk kinyogoli banah aki unawaadhibu kweli kweli,

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 3 роки тому +2

    Nimependa alivyo apa WALLAH

  • @LilyKangethe-hw2bw
    @LilyKangethe-hw2bw Рік тому

    Usilamu haki....Takbir Allah

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 3 роки тому +1

    Wakristu wezangu hacheni kuketi barazani kwawenye mizaa msije mkaesabiwa zambi amini Yesu bwana wetu alikufa nakufufuka

    • @oscarramazani1289
      @oscarramazani1289 3 роки тому +1

      Kumtumaini Yesu badala ya Mungu ni dhambi kubwa.pia Yesu hakufa wala hakusulubiwa, ni dhana tu hizo. Dini dunian ni Islam kwa haki, Kristo maana yake ni nabii. Somen kwa haki. Jee 6 na 3vyaweza kubwa sawa au 9 na 3 nisawa? Mumekuwajee mnahukum namna gani? Wachungajieeeeh

    • @angelanikalenga4757
      @angelanikalenga4757 3 роки тому

      Iyo doimaniyako tukutane sikuyakihama

  • @innoipolit5424
    @innoipolit5424 3 роки тому +1

    Daaaaa hawa mashehe wanapoteza watu sana

    • @DuliBrillant-mr8er
      @DuliBrillant-mr8er 6 місяців тому

      Nyiny ndio mnaopotelewa manake kanisani hamruhusiwi ata kuhoji

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 3 місяці тому +1

    Mashaallah

  • @azizaisihakampembaisihakam6206
    @azizaisihakampembaisihakam6206 3 роки тому

    Asanteni sana kwa midaharo hii

  • @pusipakanyau1260
    @pusipakanyau1260 2 роки тому +2

    Aleluya

  • @abdulmajidhamismlaladtz8341
    @abdulmajidhamismlaladtz8341 3 роки тому +1

    Wakristo kiujumla wamefirisika jumla nasio jumla sijui wamefirisika mfilisiko wa aje dah ebu tuwape pole kubwa POLEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!

  • @emanuelmoses3898
    @emanuelmoses3898 3 роки тому +1

    Mnajitekenya wenyewe halafu mnacheka wenyewe endeleeni kujifurahisha ila ukweli Yesu ndiye Mwana wa Mungu na huyo ndiye mtakaye mwabudu

    • @theafricanprincevivecongo8632
      @theafricanprincevivecongo8632 3 роки тому

      😅😅😅

    • @mariamabdul5405
      @mariamabdul5405 3 роки тому +1

      Mbona mamake yesu mwenyewe mbona hakusema ya kwamba kuwa yesu ni mwanawake mungu jamani mbona munaengeza maneno yenu kwenye bibilia 🤔🤔🤔🤔

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 роки тому

      Unamwambia Nani Sasa maana na ndgu zako wachungaji wapo hapo😁

    • @allyally1077
      @allyally1077 2 роки тому

      Bibia unakuagiza usujudu nasikupiga kelele

    • @mchambawimatv3682
      @mchambawimatv3682 Рік тому

      Leta andiko yessu kaingia kanisani

  • @latifasalumu6083
    @latifasalumu6083 2 роки тому

    I will be there at like Kama unitaki katupe mzinga namimi nimesema ivo nikupimetu msimamo wako

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 3 роки тому +2

    Masha Allah sheikh kinyogoli

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 3 роки тому

    Nimelipenda hilo swali

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 роки тому

    Huwezi kua musilamu bila kuamini yesu lakini tatizo lenu wakristo mnasema yesu atabeba madhambi yenu na yesu raliallahu annhu habebi dhambi lamtu yoyote kwanza yake haatoyaweza kwasababu nyinyi wakristo mnasema yéyé nimungu nimtoto wamungu hapo mnamuudhi sana hapo alipo

  • @muhamedissa9477
    @muhamedissa9477 2 роки тому +1

    Mjifunze bibilia mbona majibu yenu wasabato atuya elewi

  • @mavumbimavumbi4905
    @mavumbimavumbi4905 3 роки тому +1

    Nimekipenda kiapo cha mchungaji hahaha WALLAH

  • @jamilaalfarsi7712
    @jamilaalfarsi7712 3 роки тому +2

    Doctor wakujibu maswali mbona swali la ukristo nidini hakulijibu

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 роки тому

      I"ll answer your question,Christianity is not Religion Christianity is FAITH.
      Cause Our Almighty Lord God has no Religion,needs FAITH,looking your HEART.
      🙏🙏🙏

  • @zaitunihassani8509
    @zaitunihassani8509 3 роки тому +2

    Mashallaah

  • @joshuanoel4482
    @joshuanoel4482 3 роки тому +1

    Hii midahalo ndo sehemu pekee unaweza ukasema uongo na watu wasijue kama wanavyofanya wanazuoni wa kiislamu

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 роки тому +2

      Ukweli si ndo ujibiwe na Hawa wachungaji Sasa kinashindikana nn

    • @joshuanoel4482
      @joshuanoel4482 3 роки тому

      Unahitaji kutumia akili kuelewa kuwa hawa wanazuoni kwa mfano hawawezi kukusomea mlaango mzima bali wanadonoa maandiko ili kuooteza mantiki iliyokusudiwa na mwandishi mf anaweza kukusomea 1wakorinto wa kwanza 15-15-19 na kusema wakristo wamepotea jambo ambalo so kweli na ukimwambia amalizie mstari wa 20 hakubali sasa huo so uongo

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 роки тому

      @@joshuanoel4482 kwann uutaje ukiristo wkt walimu wako nao wanasoma kwa staili hiyohiyo wote tunasoma maandiko na tunajua

    • @joshuanoel4482
      @joshuanoel4482 3 роки тому

      @@ilhamswaleh3428 Hakuna wakristo huwa hawafanyagi huo upuuzi

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 роки тому

      @@joshuanoel4482 unajisikia unachoongea ?

  • @martinsadru220
    @martinsadru220 3 роки тому +1

    Nyie wote ni wasanii tena amjui lolote, njooni tuwafundi ufalme WA mungu, mcha mungu hafi Bali anatwaliwa anaekufa ni mwovu.

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому

    Mashallhaaa shekhe

  • @saidizidadukanyida8875
    @saidizidadukanyida8875 3 роки тому +1

    Yani apo apo wainjiristi wamevurugana wao kwa wao wa kwanza alisema yasu kasububishwa saa 9 uyu wa mwisho kasema saa 3 uwo mvurugano waislam tukae pembeni tuwaachie wao shekh ashamaliza kaz yake

  • @DuliBrillant-mr8er
    @DuliBrillant-mr8er 6 місяців тому

    Huyu anaeitwa nelson anazunguka tuuuu hajibu maswali

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 3 роки тому

    Mimi kwa mtazamo wangu wasomi wanatuchanganya ni kheri nibaki na imani yangu

  • @mbaroukmuhamed2156
    @mbaroukmuhamed2156 3 роки тому +2

    Yani wakristo wanaongopewa naona hajibu swali la msingi

  • @jamcomeir8503
    @jamcomeir8503 2 роки тому

    swali la yesu yupi wa saa sita au saa tatu ni gumu kwakweli niwe tu mkwel muinjilisti kazunguka ila halijibiki

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

    Eti yesu ni yule yule inamaana alianza KUSULUBIWA saa 3 halafu saa 6 akasomewa mastaka

  • @chechelawasafi3409
    @chechelawasafi3409 3 роки тому +1

    Mchungaji kaapa kwajinaa Allah

    • @kilimbasaid1193
      @kilimbasaid1193 3 роки тому

      Allah hakwepeki yani mungu awaongeze tu wabadilike

  • @husseinhusein-zj7ez
    @husseinhusein-zj7ez Рік тому

    Wachungaj kwa mdahalo huu msipo
    silim basi kweli nyinyi makafili

  • @selemankadede8332
    @selemankadede8332 2 роки тому

    Nyinyi wakristo dini sio ubishani wa simba na yanga mmeshindwa kujibu swali Hilo semeni yesu gani mnae muamini amesulubiwa ni yule wa saa tatu wa saa sita au wa saa Tisa Hilo swali hamuwezi kujibu mpaka palapanda linalia

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +3

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojl

  • @shaibuhammad-l6d
    @shaibuhammad-l6d Рік тому

    Wasabato wasenge nyaji

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +1

    Natamaniii huu muhadhara a waurudie tenaaa...

  • @zainabujumma2224
    @zainabujumma2224 3 роки тому

    Mashallah kinyogoli

  • @pusipakanyau1260
    @pusipakanyau1260 2 роки тому

    Mwamini yesu

  • @AmiirAlwajidiAsomaal
    @AmiirAlwajidiAsomaal 3 роки тому +1

    Ma sha Allah

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому +1

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 3 роки тому +1

    Bado sijaelewa hapo bhana mbona maneno mengi kutoka mdomoni wakati kitabu kipo
    Janja janja

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 роки тому

    Yesu kafa maajabu...

  • @saidisayd7350
    @saidisayd7350 2 роки тому

    Hatari

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 3 роки тому

    Yani ukristo niukafiri kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @newttechog75
    @newttechog75 3 роки тому

    tukiwa na waelewa kama shkh said juma kinyogoli hawa wakristo watanyooka tu

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 роки тому +1

    Kweli wakristo hawajielewi sasa swali lingine mtu anajibu utumbo kwani hapo umeulizwa usaliti au umeulizwa kuhusu kusulibiwa,najivunia kuwa muislamu nawala sijutii nipo kwenye dini ambayo kitabu chake hakina shaka

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      mtu wa din sehemu yake ni jehanam tu Bali wa wokovu ni uzima was milele

    • @nicholauszephania3000
      @nicholauszephania3000 3 роки тому

      We ujiewewi din sio njia ya kuku pereka mbinguni ata ni iman yako nikuuliz ww ni mtu mweus sasa jalib kuow mwarab kam itawezekan izo din ni za mashetan kwasabab kwann waarab wazung wanatutenga wa afrika Wana tunyanyasa waisram walituperek utumwan wakatuuz kama nyanya kwa wazungu ss uwaral wa din zao upo wap funguka toka utumwani

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      unajivunia ushetani jehanam inakuhusu ndiyo utaamini yesu ni bwana saw ukimkataa yesu umekataa mungu ok

    • @omanbarka2053
      @omanbarka2053 3 роки тому

      @@samwelemanuel4994 wewe upelekwe kituo cha wenda wazimu

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      @@omanbarka2053 we ndo upelekwe hujui unachokiabudu yes ni njia yakweli na uzima Alfa na Omega saw sitaacha kusema ukuu wa bwana wetu yesu kirsto siyo mtme

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

    Ktk maandiko yote limetumika neno KUSULUBIWA sasa ww umetumia kigezo gan kutofautisha ebu tuambie swalaba ya mateso inakuaje na swalana ya kuuwawa inakuaje?

  • @pusipakanyau1260
    @pusipakanyau1260 2 роки тому

    Jina LA yesu linaponya sio muhamad

    • @allyally1077
      @allyally1077 2 роки тому

      Huko nikumezeshwa Soma biliary yako vizur

  • @ulayamtoni1447
    @ulayamtoni1447 3 роки тому

    Ok

  • @aidanernest2559
    @aidanernest2559 2 роки тому

    Hakika hawa waislam ni wasanii hawaeleweki

  • @muslihmohd3685
    @muslihmohd3685 3 роки тому

    Yani huu mdahalo kiukwel mtam kweli maana vidume vyote vipo ilikuw tumpumzishe mzee wetu mazinge kwa leo jamani maana hao waliopo kinyogori au shafii anatosha Kwa hao wote

  • @ruthvilinga7780
    @ruthvilinga7780 3 роки тому +1

    Muslim ni dini ya kupinga Mambo yaliyo wazi wanakata Yesu kristo alikufa na kufufuka na Wala harundi kufa mbali anarundi kuhukumu. Na yy ndiye alama ya kiama

    • @katerelomkuyati6764
      @katerelomkuyati6764 3 роки тому

      MWANA AKIMUOMBA BABA SAMAKI, BABA ATAMPA MWANAE NYOKA BADALA YA SAMAKI?

    • @mariamabdul5405
      @mariamabdul5405 3 роки тому

      But kitabu chenu kimesema ya kwamba kuwa yesu hakufa wala hakusulubiwa 🙄🙄my dear pitia kitabu chenu vizurii ukweli utaupata mwenyewe bila majadiliano 🙂🤗🤗

    • @ruthvilinga7780
      @ruthvilinga7780 3 роки тому

      @@mariamabdul5405 😄😂🤣🙉🙈🙊

    • @oscarramazani1289
      @oscarramazani1289 3 роки тому

      Tumia Akili, musiwe na chuki bila elim. Hata mtoto wa darasa LA Kwanza hawezi kubali eti 3na9 pia6 ni sawa

    • @allyally1077
      @allyally1077 2 роки тому

      Tatizo bibilia mnasomewa na hamsomi

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому

    Allah Akbar

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    MAKAFIRI WANASHINDWA KUJIBU MASWALI
    MPAKA AIBU, YAANI SIJUI KWANINI HAWA MAKAFIRI WANAWAPOTEZA KONDOOA ZAO NA MIKANISA YAO

  • @Mohamedkasim2
    @Mohamedkasim2 3 роки тому +2

    Swaim mashallah 🤲🙏🙏

  • @musamtalami4575
    @musamtalami4575 3 роки тому +1

    Kumbe yesu hajafa na atakuja kufa?.,kumbe you hai.mtume mohamed aliyekuja miaka mia NNE baada ya yesu alikufa lakini yesu hajafa had I Leo aisee!!.

  • @saidimoshi1276
    @saidimoshi1276 3 роки тому

    Mbona mnakimbia swali

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 роки тому

    kama Yohana ndio mnayo mtegemea basi Wakristi mumefilisuka jabisaaaa.

  • @andrewmichaelmwakipole5054
    @andrewmichaelmwakipole5054 3 роки тому

    Maisha yana historia Yesu alizaliwa akalelewa akanza kujitegemea katka utumishi kwa kusudi aliloletewa ivyo maisha pia yana njama biblia inasema musa tunaona maisha yake na watu kumkataa lakini ndie alie tumwa kuwaokoa Israel ivyo tujue kuelewa historia na kujua jambo la msngi ndani ya historia

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 роки тому

    Naona wengi hamjui kuhusu ukristo na uislam ndo maana mwabishana.

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 3 роки тому +1

      Wewe unae jua tufahamishe

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 3 роки тому

      Au ndio uislamu uliletwa na waarabu na ukristo ukaletwa na wazungu uongo???

    • @abokrarshamsan7963
      @abokrarshamsan7963 3 роки тому

      Uislamu haujaletwa n warabu mungu kamchagua mtume wke wa dhati n wa mwisho hapa ulimwengun ambae n mwarabu ndio alitumwa kw watu wote. Ila wazungu ndio waliwatengezeeni nyie ukristo ili wawapoteze.

    • @mussachichajr
      @mussachichajr 3 роки тому

      Wewe ndio hujui kitu

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 роки тому

      @@abokrarshamsan7963 sifa ya anaemjua MUUMBA vizr huwezi kumkuta anabishana😂😂😂

  • @mohdhusseinbway6493
    @mohdhusseinbway6493 3 роки тому +2

    Wakrsto hawanaakili

    • @morrissummertime9160
      @morrissummertime9160 3 роки тому

      Nyinyi ndio mmepotea kabisaaaaa

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому +1

      wewe shika adabu yako wewe nyie mmepotoka

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 роки тому

      Wote tumesoma shule iv swali alisulubiwa saa tatu au saa sita au saa tisa limejibiwa kweli maana amejibu kukatwa sikio hha 3:19 QUR-AN Nini mbele ya Allah ni Islam tu hakuna din nyingine bwana.kama ipo nyingine jibu kwa aya ili tutafute ktk hiyo Bible.🤲

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 роки тому

      Hatunashaka tumesimama kidete

    • @mariamabdul5405
      @mariamabdul5405 3 роки тому +1

      @@morrissummertime9160 but still hamuja jibu maswali vile yanavyotakikanika munapeana tu vitu nje ya swali

  • @ruthvilinga7780
    @ruthvilinga7780 3 роки тому +1

    Saa sita ilikuwa siku ya maandalio ya Passover jioni asubui siku ya ijumaa akasulubiswa saa tatu.akakata roho saa tisa.ni Yesu kristo waislamu hamueliwi kabisa.

    • @mariamabdul5405
      @mariamabdul5405 3 роки тому

      Karegelee bibilia yenu vizuri dear one 😊😊

    • @ruthvilinga7780
      @ruthvilinga7780 3 роки тому

      @@mariamabdul5405pole sana🤣🤣🤣

  • @zakayojuma8121
    @zakayojuma8121 3 роки тому

    Kizurinikwamba mungu nimmojatu sisisote tutakutana huko hakunachadinihuko walamaswali

  • @fatumahassan3205
    @fatumahassan3205 3 роки тому

    Waislamu Hawako na hawatakueko waislamu ni dini ya haki urongo wa wakristo hawajui wanaongea nn?

  • @swadaqtr1027
    @swadaqtr1027 2 роки тому

    Wakiristo musilimu mada imewashinda

  • @shabanswed6327
    @shabanswed6327 3 роки тому

    66 cuz

  • @dorbertnsabimana5302
    @dorbertnsabimana5302 3 роки тому

    f

  • @mbwilomkingambwilo186
    @mbwilomkingambwilo186 3 роки тому

    Mjadala huu naupa -0.05% maana hakuna dini sahihi nje na asili ya mtu,nenden mkatambike,mnajadili hamna. AFRICAN CULTURE IS THE BEST TO AFRICANAS.

  • @petrosamweli309
    @petrosamweli309 3 роки тому

    Kwan waislamu mnataka mjibiwe kiarabu ndo muelewe sio maana kama kishwahili kinaeleweka mnau uliza swali na mnajibiwa why oooh swali alijajibiwa acheni kujin,gatan,gata jamaniiiii...yesu ndiye njiaa ya uzima wa milelee mtake ndo ivyo msitake ndo ivyo biblia takatifu imesema hivyo shida yenu nyie hamfati makala mnaanzia Aya katikatiaa..achen janjajanjaa...

    • @juliusvicent8247
      @juliusvicent8247 3 роки тому

      Kijana sikiliza acha mambow meng

    • @ashanassoro6492
      @ashanassoro6492 2 роки тому

      😂😅najua wakristu mki panik masikio yanakuwaga hayasikii viziri

  • @johnissango2357
    @johnissango2357 3 роки тому

    nyie wakristo waislamu wanawapotezea muda wanajua kabisa biblia inasema yesu kasulubiwa,na kufa na kufufuka,lakini wanaokoteza vimijistari tena kutoka kwenye biblia,kanakwamba biblia inagongana na kwa nini watumie biblia ikiwa wanaamini biblia ni uongo?waislamu kuweni wakweli unapodanganya hudanganyi mwanadamu mnamdanganya mwenyezi Mungu.

  • @taitaomar6309
    @taitaomar6309 3 роки тому

    doh! wanakhasara kubwa! et kasulubiwa sa9 mwingine kasema sa3 asubuhi ,pia anasema sa 3,6na,9 nisahihi hawa mapastor hamana kitu! hta akili ya kuzaliwa hawana!

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      nyie ndiyo Hamna kitu mnamwabudu mwanadamu Muhammad kwakeli mnahitaji maarifa waslam nyie mnaeneza dini mungu hajaleta din ameleta wokovu ole wenu nyinyi walimu was din na mafarisayo

    • @taitaomar6309
      @taitaomar6309 3 роки тому +1

      @@samwelemanuel4994 waislamu hatumuamudu mtume muhammad! nikosa kumuabudu binadamu mwenzio! na si kua sisi hatumpendi yesu noo! kosa ni yesu akiitwa mungu au kusema kauwawa na sulubiwa!

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      @@taitaomar6309 soma yohana 3 16 na yoh 1 3 neno Lili badilika kuwa mwili kwahiyo yesu ni mungu ninafsi ya pili ya mungu ndiyo atakaye hukumu ulimwengu alifia msalabani akafufuka siku ya tatu

    • @taitaomar6309
      @taitaomar6309 3 роки тому +1

      @@samwelemanuel4994 sawa lakini bblia imekanusha kua mungu wa kweli hana sifa ya kubadilika badilika leo awe mungu kesho awe mtu! na yesu kasema yeye ni mtu!

    • @samwelemanuel4994
      @samwelemanuel4994 3 роки тому

      @@taitaomar6309 yesu aliuvaa mwili wa binadamu yesu ni mwana wa mungu na ni mungu mtume Muhammad ni Kama mtume Paulo kwahiyo ni binadamu lakini yesu ni mwana wa mungu na ni mungu

  • @adamtanganyika3530
    @adamtanganyika3530 3 роки тому

    Hapo hakuna anae ielewa biblia hata 1 biblia haisomwi hivyo na ikisomwa hivyo hakuna atakae ielewa kwamana biblia inatambulika kiroho

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 роки тому

    Mnaonaje mkiwa mnahubiri juu ya imani yenu na kutafsiri hicho kitabu chenu mnachosoma kulia kushoto ?
    Acheni wivu nyinyi!#

    • @faidhayassin9807
      @faidhayassin9807 3 роки тому +1

      Subilia pumzi itakapo kata ndo Utajua kama wanawaonea wivu

    • @faidhayassin9807
      @faidhayassin9807 3 роки тому +1

      Ilanakuombea ujue Ukweri inshaallah

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 роки тому

      @@faidhayassin9807 Ni wewe umesema hayo,na pumzi utakata wewe😅😊☺

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 3 роки тому

      @@editrudesmbonde9051 hata wewe pia ipo siku uta kata pumzi hakuna atakae ishi milele

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 роки тому

      @@rayaalhabsi1725 This is not the explanation,everybody will die l know that,but the issue here for you Muslims is that"stop insulting other Religions,it seems Christianity is problem to you guys,STOP that idea and START teaching people who listening to you your quran not Bible.
      Let Christians teach Bible,and you Muslims teach Quran.🙏🙏🙏