UMMY ANENA BAADA YA KUONDOLEWA WIZARA YA AFYA NA RAIS SAMIA 'NIMEPOKEA MABADILIKO KWA MOYO MKUNJUFU'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 182

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 25 днів тому +21

    Ukomavu wa kidiplomasia uliotukuka dada Ummy, Hongera sana Allah akusimamie dada yangu

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 24 дні тому

      Lazima afanye hivyo, atapataje tena nafasi kama akifanya tofauti na hivyo.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 24 дні тому

      Ukomavu,huku anatetemeka?! Hajiamini😂😂

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 23 дні тому

      Anaumia ila hana jinsi akwa Afya gan hana lolote

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 24 дні тому +11

    Mushukuru kwanza mungu wazazi kwa kuzaaa na kulea kisha raisi

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 25 днів тому +11

    Pole sana kwa kutoelewa umuhimu wa kuanza kumshukuru aliyekuumba na wazazi wako inaanza na Samia nawakumbusha kwanza mungu ndo wakushukuriwa halafu wazazi ndo muajiri tujitahidi

  • @saidhamwisha5137
    @saidhamwisha5137 24 дні тому +11

    Macho yako yanaonyesha yana maumivu sana pamoja na unyonge pole sana dada yangu mungu anasema mja yeyote atakaekua na subra hua ndie atakae pata vizuri zaidi mbele

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 24 дні тому

      Wewe ndo unajuwa sana non verbal communication ni kweli kabisa,yani uso wake hauna nuru kabisa,ana MAUMIVU makubawa sana

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 23 дні тому

      ​@@israelkisaila8401hata uongeaj huu sio wake anateteleka sana mamb yashaanza kua magum kaamua aanze mapema iampen

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 23 дні тому

      Asingetolewa uwazir yasinge mtoka yote hayo pumbavu kwauongoz gan mahospitalin daawa hakuna huduma mbovu Alaf linatokea jitu limelala nanjaa uongoz wako uliotukuka kama wasenge watanzania sjui nani katuloga jaman hii nchi ishaoza kwakwel

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 24 дні тому +4

    Asante Odo Ummy hakika ww ni mahiri/kada Makini,kazi iendeleee,Tanga oyeeee !.

  • @MariamSalum-by3jh
    @MariamSalum-by3jh 24 дні тому +1

    Mungu akikutoa sehem ujee IPO sehem mzur in sha ALLAAH

  • @user-qe8qt8vo9d
    @user-qe8qt8vo9d 25 днів тому +5

    Hongera sana dada Ummy kweli umepambana hasa kipindi Cha mpito wa covid

  • @StephanoJohn-p9k
    @StephanoJohn-p9k 25 днів тому +6

    Wewe dada ubarikiwe sana kwa unyenyekevu huu wengi was wakitenguliwa wanachukia ubarikiwe ila nakushauri unfamiliar Bwana Yesu yaani.uokoke Duniani tunapita.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 24 дні тому +2

    Dada ummy hongera nakukubali sana hata kama ccm siipendi ila baadhi ya viongozi nawakubali hongera dada Ummy

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 25 днів тому +3

    Safi Sana Mheshimiwa Umi dada yetu wewe uko vzr Ni kichwa Sana watu wanasema Mengi ila Kwa wale wanafuatilia Ni mwanamke mwenye point unaongea Kwa kujiami na huchoshi kuongea hakika wewe Ni Kada CCM uliye iva Sana kisiasa Mungu azidi kukupa ujasiri na kujiamini

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 25 днів тому +3

    MashaAllah.. Allah akueke inshaAllah

  • @norahmajaliwa3841
    @norahmajaliwa3841 25 днів тому +3

    Umenifurahisha. Hongera sana Bi Ummy

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 25 днів тому +2

    Hongera Sana dada Nakuamini na nakuombea Mungubakuinuwe zaidi

  • @roseyongolo302
    @roseyongolo302 25 днів тому +6

    Hongera mdogo wangu MUNGU akutunze,,,kula pumzika jipange kwa uchaguzi,,,nitakuja kula vibibi huko.

  • @lucyshayo4462
    @lucyshayo4462 24 дні тому

    dear odo i like the way you are: intelligent ; tolerant, industrious and most of all a thank giving person what you show us is a real Patriotism!❤

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 25 днів тому +5

    Nakupenda sana ummi ❤❤❤❤

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 24 дні тому

      Msojielewa nyie kavuruga afya kala rushwa pata ugonjwa utajua bima ya nhif haina maana yoyote

  • @blandinamanongi8818
    @blandinamanongi8818 25 днів тому +1

    yupo vizuri sana big up

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 25 днів тому +3

    Ila tukiacha mengine ya maswala ya Bima, Tanga mjini kuzuri bhana ameifanya Tanga ikawa nzuri saana.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 24 дні тому

      Edwin ni kuzuri toka zamani toa uongo wako mie ni mtu wa huko sema kila jambo laenda na wakati kwani hizo pesa anatoa mfukoni kwake ni pesa wslipa kodi

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 25 днів тому +5

    Ila kwa kumwangalia usoni hana furaha lazima ajitaidi ashukuru maana akikasirika atanyimwa uteuzi uko mbele lazima atengeneze mazingira

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 25 днів тому +1

      acheni unafiki na visokorokwinyo vyenu, hana shida huyo dada

    • @user-ip7mp8mn5p
      @user-ip7mp8mn5p 25 днів тому

      ​@@mussamussa9446Akwendeee😂😂😂😂

  • @zainabbakari-vw4jy
    @zainabbakari-vw4jy 25 днів тому +1

    Mashallah umefanya vizuri mnoo mung akusimamie

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 25 днів тому +1

    Hongera my dear Kwa hekima yako

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 25 днів тому +4

    Hamna kitu mama anaupigawingi🎉🎉🎉🎉🎉mama ukiendelea kuwanyoa 5 tena

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 24 дні тому

    Hongera mtanga mwenzangu mungu azidi kukupa nguvu

  • @ZahorAlmaadi
    @ZahorAlmaadi 23 дні тому

    Mashallah

  • @henrysangiwa1731
    @henrysangiwa1731 24 дні тому +1

    Ukomavu uliotukuta, ila ungekaa kimya kabisa ..uchape kazi zako.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 25 днів тому +1

    Mi nampenda Sana huyu dada

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 24 дні тому +2

    Jembe Ummy Mwalimu

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 25 днів тому +1

    Nakupenda umi

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 25 днів тому +6

    Moyo unauma bhana,unajikaza tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 25 днів тому

      Hana njaa sio kama sisi unajuwa kuwa mbunge na wazini kwa miaka 10 maokoto wanayopata?

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 24 дні тому +1

      moyo unatuuma sisi tusio hata na cheo

  • @elishajoseph8291
    @elishajoseph8291 25 днів тому +2

    mm kiukwel nakukubalu sana ummy next time🎉

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il 24 дні тому +1

    Hongela dada umi kolona onakutambua ukovizuli

  • @BenWerner2530
    @BenWerner2530 25 днів тому +2

    Wapi Dorith Ngwajima. Kazi ilikuwa kubwa kuliko uwezo

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 24 дні тому +1

    Ila moyoni unaumia kutumbuliwa maana kila mtu anapenda kutembelea V8

  • @hidayahanein164
    @hidayahanein164 25 днів тому +1

    Safi sana mama yangu

  • @mwanahawanyambi9440
    @mwanahawanyambi9440 22 дні тому

    Ccm oyeeee viva Samia vivaaa. Viva ummy vivaaa SHUKA KWA SHUKA.

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 25 днів тому +1

    SAFI SANA MDOGO WANGU UMMY UMEKOMAA SIO WENGINE WANANUNA

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 24 дні тому

    Yuko vizuri sana huyu mama hana makandokando
    Safi sana Ummy Mwalimu.

  • @MariamRamadhani-sg2sd
    @MariamRamadhani-sg2sd 24 дні тому

    Mshukuru Mungu kwanza

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 24 дні тому

    Hongera Mama Samia,nyoyoa mama nyonyoa😂. Kazi iendelee 👍

  • @user-mf2ll7nz5g
    @user-mf2ll7nz5g 25 днів тому +8

    Amevuruga sana bima ya Afya kwa watoto

  • @JalinaBashiri
    @JalinaBashiri 24 дні тому

    Nakupenda Dada

  • @linogodson6478
    @linogodson6478 25 днів тому +1

    Apumzike asee kachoka Sana Dr WA Taifa kapambambana sana.na anahekima Sana

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 25 днів тому +7

    Niliumia Sana Sana, kwa upande wa bima ya watoto na wazee.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 24 дні тому +1

      Huyo aliwatesa sana watoto na wazee slikywa siyo mfuatiliaji mpaka wafe ndiyo anafuatilia Bima yenyewe ya NHIF wengi wallkuwa wanazipiga huna lolote tulia na Ubunge wako

  • @stellamwakatulile
    @stellamwakatulile 24 дні тому

    Nampenda uyu dada jamani mungu amtunze

  • @Wastara001
    @Wastara001 25 днів тому +1

    Body language say it all. Anajikaza tu

  • @ticia950
    @ticia950 25 днів тому +9

    😂😂😂😂unajikaza mama pole mweee izo bima ulizowafungia wazee na watoto Mungu wao kuwasikiliza kilio Chao tulia sasa

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 25 днів тому +1

      😂😂😂😂kwakweli anajikaza

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 25 днів тому +3

      Wagonjwa wa Figo kila siku wanaambiwa dawa hii haitolewi na bima mara hii haitolewi na bima.Ngoja tuone ajaribu na mwingine.

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 25 днів тому

      Nyie wachawi sio bure

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 25 днів тому

      Uongozi ni kazi kubwa msidhani mdomoni.

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 25 днів тому +1

      Wacha roho ya korosho ww

  • @mosule9262
    @mosule9262 25 днів тому +6

    Kiukweli mungu anisamehe sijawahi kumkubali huyu ummy katika utendaji kazi wake toka aanze .

    • @noelmusa3502
      @noelmusa3502 24 дні тому +2

      Una matatizo😅😅😅

    • @danneismail5442
      @danneismail5442 24 дні тому

      Najua wazungumza opposite 😊

    • @raymond5175
      @raymond5175 24 дні тому

      Mawazo yake tusimuhukumu sio lazima ukubalike kwa kila mtu

    • @j4amas5
      @j4amas5 24 дні тому

      Utakuwa sio mtanzania

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 24 дні тому

    Oddo Ummy nitazidi kuuweka moyoni wema ulionifanyia ingawa sikupata fursa ya kukushukuru uso kwa uso. Ninakuombea kama ulivyokubali hili kwa unyenyekevu basi Mwenyezi Mungu akufungulie mlango mwingine wa baraka.

  • @massivelifetv9752
    @massivelifetv9752 25 днів тому

    daaah! pole mama

  • @MwanaidiMswaki
    @MwanaidiMswaki 25 днів тому +1

    Kwani nyie mnaongelea bima kwani yy wakumlaumu ni rais yy ametekeleza alichotumwa na mhusika

  • @AllyIsmail-hi4yj
    @AllyIsmail-hi4yj 24 дні тому

    Kaenda wapi

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 22 дні тому

    Jaaa mbaya sana mh

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 25 днів тому +1

    Uko vizuri mama angu. Hata kama ulifanya makosa ni ya selikari iliyokutuma sio wewe peke yako. Ila Umewajibika kwa sababu wewe ndio kwenye shamans ya wizara. Ulipambana na magu kwenye korona.

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 24 дні тому

    Pole ummy unajifariji

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 25 днів тому +1

    Dada yetu Allah akuhidhi

  • @InocentPius
    @InocentPius 24 дні тому

    Pole mama mpaka umekonda

  • @MezdDimoso-j1j
    @MezdDimoso-j1j 24 дні тому

    Huyu mama amepambana sana hasa kipindikile cha covid

  • @jangfuajabir1404
    @jangfuajabir1404 25 днів тому

    Relax.

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 24 дні тому

    Gombea uraisi ummy

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 25 днів тому

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 24 дні тому +1

    Wee ondoka hiyo siyo fani yako yako ni mwanasheria haki ilivyo Waziri yoyote awekwe kwenye kada aliyosemea

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 25 днів тому +8

    Hamna kitu hapo Bora umetolewa kila siku unahubir corona😅😅😅

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 25 днів тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 makubwa unafukuzwa halafu unashukuru😮😮😮

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 25 днів тому +1

    Wewe Ni mpambanaji achana na maneno ya wajinga wapumbavu marofa na wengi Ni mahohehahe tena wengi Ni wapinzani mijitu inayo buruzwa na hoja na sera za wapinzani wanaopogania matumbo yao na wanae na upambanaji huo mitano tena Kwa uwezo Mwenyezi Mungu utashinda

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 24 дні тому

    Uwe na miaka mingi sana,penda sana wewe mheshimiwa

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 24 дні тому

    Yaani pole vipi hukufikiria kabisaaa bima ya Afya kwa watoto hata wa huko Tanga hii haitafutika

  • @jmulumba
    @jmulumba 24 дні тому

    Haya bana

  • @reganuisso1256
    @reganuisso1256 24 дні тому

    Roho inamuuma sema ndio hvyo lazma aseme hayo ili mbelen asijekosa chochote..mjanja Sana..hamna anaependa kutumbuliwa ata cku moja

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 24 дні тому

    Lugha ya kuuliza lakini kuomba kuwepo sehemu Fulani. Inauma ula pole ungana nasi.

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 25 днів тому

    Mama ummy umeshapukaaa hongera sanaa... Kumbe waziri na ubungee kweli kitu tofauti 😂😂 alivyo kua waziri kdg kdg alikua akiongea 😮

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 24 дні тому

    Uweredi wako ndio utakaokubakisha na kukupandisha pale ulipo, ila kama una makando kando huu ndio ujira wako, pia hongera kwa ukomavu Odo.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 24 дні тому

    Aende uko moyoni anaumia😢 m'binafsi

  • @creptonemadunda9006
    @creptonemadunda9006 25 днів тому

    Madereva wa IST tena ....5:20 ?

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 24 дні тому

    Vyema, madaraka ni kama vazi la kuazima. Hongera sasa dada yetu wewe ni mtu wa heshima sana sina hofu na wewe.

  • @bolelambunda6554
    @bolelambunda6554 25 днів тому +5

    Siku moja ulinijibu vibaya ummy

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r 24 дні тому

    Kada mzuri ni yule mwenye kushukuru kwakila mabadiliko yoyote umeonyesha ukomavu wa siasa

  • @lucasrobert600
    @lucasrobert600 24 дні тому

    Nakuonea huruma

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j 23 дні тому

    😂😂😂😂mbona kupikupi nyingi hatareeeeee

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 24 дні тому

    Moyo unakubali macho yanakataa

  • @user-ye5ik6mb3n
    @user-ye5ik6mb3n 24 дні тому

    Mbona unataka kulia

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 24 дні тому

    Tatizo la wewe Ummiy umeitoa bima YA watoto chini ya miaka 5
    Je huyo anayekuja atairudisha hy bima?mnahimiza bima za afya wakati mnazifuta nyinyi wewe.

  • @durangobasics6195
    @durangobasics6195 24 дні тому

    Uwaziri ukikaa miaka 3 umekaa sana! Ni kawaida tu.......

  • @user-yn7wk4re9z
    @user-yn7wk4re9z 24 дні тому

    naona una pwesapwesa😂

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 25 днів тому +5

    Bima zimekulaani maana ulikuwa wewe hujui wagonjwa

  • @jumamene2312
    @jumamene2312 25 днів тому

    Ama kweli mwenyezimungu akubariki ulipambana kiukweli wakati korona ulipambana

  • @roselynnsungwe1614
    @roselynnsungwe1614 24 дні тому

    😂body language inaonesha yamoyon

  • @WamburaSamo-sx6ce
    @WamburaSamo-sx6ce 23 дні тому

    Hongera sana mpendwa upo viziri Toka kipindi Cha magufuli

  • @elihurumamatowo2872
    @elihurumamatowo2872 25 днів тому

    Hongera sana dada ummi na pole sana wewe ni mchapakazi mwanamke hodari. Shukuru Kwa kila jambo . Uwaziri bado ni wako siku zijazo utaendelea kuwa waziri amani Hilo na mungu akutangulie. Pambana we ni mwanamke hodari sana. Big up

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 25 днів тому

      Umy ulipigana sana kipindi kile Cha korona alitupa sana moyo na alikua alali Kwa ajili ya watanzania bodo tuna Imani sana nae mungu amjalie sana uyu dada

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 24 дні тому

    Nyeupe ni nyeusi😂

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 24 дні тому

    ANAUMIA MOYONI HANA JIPYA

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 24 дні тому

    Njaaa yako na ubunge wako unakoma hapo

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 25 днів тому

    Mhhhhhhhh🤔

  • @EliaMmasy
    @EliaMmasy 25 днів тому

    Nyeusi ni nyeupe😂😂😂😂

  • @justinbryson4314
    @justinbryson4314 24 дні тому

    Mngekuwa mnatuacha tusikilizw video clip sio kutusimulia halafu tena tunasikiliza yale yale😅😅😅😅

  • @salvatoryboniface1089
    @salvatoryboniface1089 24 дні тому

    Timu makamba

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 25 днів тому

    Hakuna tusimwogope mtu hiyo idara ya Afya inatakiwa msomi wa Hali ya juu ktk idara ya Afya naomba muelewe Hilo huyu ni ccm tuu ila siyo nganzi ya juu ya uwaziri wa Afya

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 25 днів тому

    Fanyen kaz

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 25 днів тому

    kushukuru ni kupewa Tena dada ubarikiwe kwa moyo huo

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 25 днів тому

    Makundi yanatugawa ccm

  • @LaizerSaitoty
    @LaizerSaitoty 25 днів тому

    ila natamani uje uwe raisi wa jamhuri hakika unaweza