AHMED ALLY: AIBUKA NA HATMA YA CHAMA KIGAMBONI | WANASIMBA WAHOJI | "KAMA TUKITAKA ABAKI ATABAKI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 33

  • @raymanmwangosi5041
    @raymanmwangosi5041 3 місяці тому +1

    Eeeh sisi ndo fisi tunakula mpaka mifupa. Chama yuko serengeti anapiga picha za utambulisho yanga. maneno meengi😂😂😂😂😂

  • @suleimanchonya7736
    @suleimanchonya7736 3 місяці тому +2

    Huyu dogo ana kazi sana ya kuwaridhisha na kuwadanganya mashabiki wa simba. Poleni sana.
    Mtu mwenyewe ashakula wino siku nyingiiii

  • @DhulkifliMkiji
    @DhulkifliMkiji 3 місяці тому

    MAKOLO kwani tumewauliza, mbona mnaanza kujamba jamba ovyo 😂😂😂😂😂

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 3 місяці тому +1

    Mbona jama hanyooshi maerezo kamili

  • @AceB4real
    @AceB4real 3 місяці тому +1

    Uongo ndo unaowaponza siku zote

  • @MamboMbuli
    @MamboMbuli 3 місяці тому +1

    Tumezoa maneno yenu,😅 mwaka Jana mulitudanganya manzoki ,#leo munaaza tena maneno ,,upande wa pili wanamuhitaji sana ,,tusije tukajuta

  • @husseinchalamila2624
    @husseinchalamila2624 3 місяці тому +2

    Mbona cjaona umuhim huu nguvu yote hii ni yanini?

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 3 місяці тому +3

    Ila kweli duniani kuna watu mapoyoyo sasa wakati mnahangaika na usajiri wa Aziz Ki utadhani na nyie ni Yanga mkasahau kuwa Chama anamaliza mkataba😂

    • @charlesmashauri3704
      @charlesmashauri3704 3 місяці тому

      Nyau hatujashoboka na azizi sis

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 3 місяці тому

      @@charlesmashauri3704 shida ya nyau poli aka mikia huwa hawaelewi haraka yaani ni mbumbumbu

  • @kudrakasimba5497
    @kudrakasimba5497 3 місяці тому

    Duuuuuuuuuu pole sanaaaaa semaji la kaf wanakupa wakati mgumu sanaaaaaaa viongz aya wee piga Kaz ila nimekuelew kifupi wamekukwaz alikua anatakiwa kubaki simba et au hivyo 😮😮😮😢😢😢😢

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому

    CHAMA TUNAOMBA UBAKI SIMBA CHONDE UTATUUWA MASHABIKI

  • @NotiAlly
    @NotiAlly 3 місяці тому +1

    Yaani wanalalamika Yanga ,.. simba wanachelea Simba

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 3 місяці тому +1

    Huo ni uongo mbona mmetuletea wachezaj ambao hatuwajui hata viwango vyao lakin mkawachukua lakin chama tunamjua kwann mnakua na mshaka nae?

  • @honesthenry901
    @honesthenry901 3 місяці тому +1

    Ishu syo kumuacha, ishu ni kuleta mchezaj kama yeye au anafanania na yy

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 3 місяці тому +1

    huyo mwandishi hapo ni Imanuel okwi au

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 3 місяці тому +1

    Mara hatma anayo yeye mara hatma yake wanayo viongozi wa simba,
    Maamuzi ya kumbakiza chama yanaweza vp kukufanya ujute?
    Unawezaje kujuta kuwa na chama, acheni mbwembwe.

    • @igihamanuel1
      @igihamanuel1 3 місяці тому

      Tukutane Yanga App saa 6 usiku wa leo

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 місяці тому

    Ahmed Ally ni muongo mkubwa, anajua kabisa Chama ameshaondoka zake. Simba mmeshaachwa muda mrefu 😂

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 3 місяці тому

    Tumekuelewa semaji la muungano kwamba kinachoangaliwa na viongozi wenu ni maslahi ya timu yaani mtambakisha Chama endapo mkiona atawasaidia na unasema ukiona mchezaji anaachwa ujue hakuwa kwenye mipango. Maswali yanakuja je kina kibu mliowaongezea mikataba watawasaidia zaidi kuliko Chama? unamaanisha mna mipango na kina kibu lakini sio Chama? yaani kwa akili zenu ni bora kumsajiri kibu kuliko Chama?😂😂😅

  • @MeksonyJoseph
    @MeksonyJoseph 3 місяці тому

    Tunae mtaka yupo sio chama pumbavu...nyie bado hamja sema

  • @wakilisharaw
    @wakilisharaw 3 місяці тому

    Inaitwa indirect speech,,, chama tiari yanga mbona anakwepa swali halisi,,,, Ahmed katumwa kutuliza myoyo ya wanachama na mashabiki,,

  • @igihamanuel1
    @igihamanuel1 3 місяці тому +1

    Tukutane katika Yanga App saa 6:00 usiku

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 місяці тому

    😂😂😂WASHAJAMBA VITANI ADUI KAONA WALIPO KWISHA HABARI YENU ZIMEBAKI SAA 5 TU TENA USIKU 😅TABUREE LAA

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 місяці тому

      Taburere raaa hivi nikweli ndiyo hivi nikweli ndiyo

  • @raphaelnovatus7085
    @raphaelnovatus7085 3 місяці тому

    😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 місяці тому

    Mbona unazunguka sanaa😅

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 3 місяці тому +1

    Waambie ukweli wenzio Chama keshawatema tangu mwezi uliopita😅

  • @mfaumerashidi6627
    @mfaumerashidi6627 3 місяці тому +2

    Hamna kazi hapo we wafariji tuu

  • @MosesSaid-hw4ge
    @MosesSaid-hw4ge 3 місяці тому

    Mbona anajieleza sana kwan kuna nini

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 3 місяці тому

      Itakuwa wenye timu yao wanamuulizia sana. Wanamahaba mazito na chama wao 😅

  • @JoyceLukumbuzya
    @JoyceLukumbuzya 3 місяці тому

    Vp