Huu wimbo unanitowa machozi ya furaha sana MUNGU ameniokoa na ajali Ya treni ya umeme apa USA MUNGU Kaniokoa na ajali ya gari nikiwa na mimba ya miezi 6 dactar katabil nitakuf na mtoto lakin MUNGU amefanya mtoto nimemzaa akika ni ushukuda kwangu amen 🙏 😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️
SISTER from Canada halleluyaaaaa mbarikiwe zaidi wanjilisti wazuri , Ni kweli kabisa nakubali Wimbo huu mzuri mno ni MUNGU amefanya niwe hivi leo ...... . naamini yuko kazini anaendelea kutenda ❤❤😂 AMEN Sifa, Utkufu apewe BWN.
Waooo!! Mungu akubariki sanaaa Baba Askofu, nimebarikiwa na huu Wimbo, ninaamini Maelfu ya watu watafunguliwa na kuinuliwa kupitia ujumbe huu. Mungu azidi kukuinua juu zaidi...This is 🔥🔥🔥🔥🔥
Ni Mungu amefanya sio mimi year 2023 nimepitia mambo mingi mali yangu kufirishika kuimbiwa bibi kuniacha juu mali imeisha biashara kufunga gari zangu kuisha madeni mingi but this 2024 nimeona mkono wa bwana santi mungu kwa chenye kilibaki thank you lord be blessed
Wow very powerful, mungu akuinue zaidi na zaidi kwa kipaji chako cha uimbaji... Wimbo huu umeniguza Sana moyo wangu.. Hakika mungu ndie anatenda barikiwa Sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎶Mungu amefanya kinyume cha akina Balamu,Balaki,Tobia na Sanbalati waliotoa sadaka na maapizo mengi ya uovu dhidi yetu tusifanikiwe,wamepa hasara na aibu tele🎶💯☑️
Amen brother, some couldn't agree more! That song really spoke to hearts and is such a powerful testament of deliverance. so appreciate for the message it conveyed and the hope it brought to many.
Wakenya mko wapi jamani hallelujah 🙌 uuuuwiiiiii mungu ni mungu 😊😊😢
Amen Amen Amen Amen mungu ni mungu uuuuwiiiiii I love you so much honey GOD you're nambar one my Jesus 😊😊😊🎉❤
Kutoka Kenya nipewe likes maana ni mungu amefanya
Naitwa Michael sekei kutoka Tz mipewe like mungu muache aitwe mungu
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah nishapata wimbo wa kuingia nao kwa harusi yangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akubariki saana kaka....Sijui nichezeje vile....Umebariki moyo wangu saana kaka
Kabisa acha MUNGU afanye tutaimba ciku hiy..
Hhhhh Mlphj. Xx can com oytiu we have been up for😮jppipppoop hhjllk😮 2:30
@@rehemahassan6073 Amen Amen
Wengi tutaingia nao huu kwa kweli
Yaani we acha tu........naringa kua na mdogo wangu wa baraka namna hii..... kiliiiiii
Hakika Mungu amefanya sio Mimi Asante Kwa faraja Yako Kwa tunayopitia hii Dunia Kama Mungu sio kutenda uzima tusingeupata
Wewe ni mwimbaji wa kweli! Kila nikisikiliza nyimbo zako Kila mara najipata nikifarijiwa na Roho Mtakatifu.
Mimi ni mfuasi wako kutoka DRC Congo 🇨🇩
Siku ya harusi yangu lazima niweke hiii song sababu kwel Kun mambo mungu anafanya sio akili zetu Asante Yesu Kwa good song hiii
Wa kwanza ku view na ku like from Australia 🇦🇺 Barikiwa 🙌🏻
Hakika ni mungu amefanya sio mimi.
Kweli hivi nilivyo ni Mungu amefanya sio mimi,nyimbo nzuri sana
Toka nianze kuwa FOLLOW mmenitenga kwa Like zenu 😭😭 __song
Nimungu ametenda mahajabu Amen 🙏 thank u Yesu ubarikiwe from SA I'm a Zimbabwean Nina erewa kiswahili twende pamoja lve u Mwahangila
Waoo wangapi tumeona Mwahangila anavyomentain upako wakeee, kwakwel naendelea kuhudumiwa na Roho mtakatifu kila navyozidi kuusikila huuu wimbo, ubarikiwe saana Mtumishi wa Bwana
Anajua ku MAINTAIN upako wako, hata mimi nimeona.
@@fortunetsukuma5527 amekubali kutumika na Bwana
Hakikaa
Hakika nakutamkia balaka mtumishi wimbo huuu umenigusa balikiwa sanaaan ameen
Hii song ndio itakua yangu home coming nikirudi kenya mungu amenitoa mbali sana hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah yesu nakushukuru sana
Amen ni mingu tu amefanya haya
Hapo ni Uganda. Ndio Mungu amefanya - sio mimi. Akibariki.
Huu wimbo unanitowa machozi ya furaha sana MUNGU ameniokoa na ajali Ya treni ya umeme apa USA MUNGU Kaniokoa na ajali ya gari nikiwa na mimba ya miezi 6 dactar katabil nitakuf na mtoto lakin MUNGU amefanya mtoto nimemzaa akika ni ushukuda kwangu amen 🙏 😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️
Duuu ..pole sana Dada ... Mungu anatenda tofauti na mipango
Mungu ni mwema Sanaa. Matendo yake yapita fahamu zetu😊
Akika MUNGU ni mwema
Mungu ni mwaminifu si mwandamu mipango yake haifeili
Mungu ametenda maishani mwetu
This is my song today after my husband and I suffering for 7yrs without a job.we have survived and now we can sing mungu amefanya 🙌🙌🙌🙏
Sanasana yupo vyema saana kila kitu ni mungu tuu
Ni kweli Mungu ame faya🙏🙏
Sure God has DONE THE VERY big part of our lives.
Ni Mungu amefanya na kanipa ushuda wa ushuda yakwamba mimi ni mbegu waliponifukia chini bado naota tu . Himidiwa Mungu
Shangwe na vigelegele kwa Kristo haapa...Mungu amefanya
👇
Amen sana barikiwa sana haki Mungu amefanya sio mimi maan isingekuwa Mungu sijui ningekuwa wapi🙏🙏🤲🇴🇲
SISTER from Canada halleluyaaaaa mbarikiwe zaidi wanjilisti wazuri , Ni kweli kabisa nakubali Wimbo huu mzuri mno ni MUNGU amefanya niwe hivi leo ...... . naamini yuko kazini anaendelea kutenda ❤❤😂 AMEN Sifa, Utkufu apewe BWN.
Waooo!! Mungu akubariki sanaaa Baba Askofu, nimebarikiwa na huu Wimbo, ninaamini Maelfu ya watu watafunguliwa na kuinuliwa kupitia ujumbe huu. Mungu azidi kukuinua juu zaidi...This is 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏🙏
Amen ubarikiwe baba askofu
They did not know I have God 💪🏾🙏🏾
Ni Mungu amefanya sio mimi year 2023 nimepitia mambo mingi mali yangu kufirishika kuimbiwa bibi kuniacha juu mali imeisha biashara kufunga gari zangu kuisha madeni mingi but this 2024 nimeona mkono wa bwana santi mungu kwa chenye kilibaki thank you lord be blessed
Ni Mungu amenitendea,,shukrani,zote zimrudie,,sifa na utukufu ni kwake🙏🙏🙏
Moto sana🔥🔥🔥🔥🔥, Mtumishi 👏👏👏 ni Mungu amefanya, na akatenda🙌🙌🙌, Be blessed from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika ni Mungu amefanya, walinifukia wanashangaa nimechipuaje
Ubarikiwe sana mtumishi
Mungu mwenyewe ata si mimi fireeeeeee
Very true, Jesus has done it not me. May God bless you Mr mwahangila
Amen ni Mungu amefanya ,mpigie makofi📖📖📖🙏🇯🇲❤️
Mungu akubariki kwa kipaji .Lakini kumbuka usichanganye MUNGU na miungu.
Napokea upako.wawimbo huu katika Jina la YESU kreistu wanzareti alie hahi Amen
True!God has done Wonderful things for me.Praise and Honour to Christ now and for ever more.Amen.❤K E
Christopher you are a blessing to my life am from Malawi and I can understand partly of your songs. One day I long to see you performing live.
Amen ni mungu kufika hapo nikoxaxa🙏🙏🙏
Tiinye ni Ngai wikite nikyo nineyoona na Ngai
Glory glory glory hallelujah 🙏
Am a Ugandan but I like this guy, when I listen to his songs, they completely console my heart
I'm his number one fun
Unajua kuogea Kiswahili 😅
@@benardmakau3977 kidogo🤠
Ni mungu ametenda sio mimi hallelujah.
Good song
From january till this last day of 2023 ... It has been God
Wow😮😮keeps on growing spiritually dad we love so much🎉🎉 uko mfano mzuri kwetu
Amen
𝑵𝒊 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒕𝒖𝒖 ❤
Amen ni Mungu amefanya sio mimi Asante sana Mungu hadi apa ni wewe umetenda
Nkikmbuka nliko toka mpaka hpa nlipo skwa mpenzi yangu Bali nmungu amefanya barikiwa mtumsh wa mungu
You are truly a blessing to many, your ministry is indeed glory of God, neema ya huduma yaMungu wetu isipungue kwako uzidi kubwa baraka kwa wengi👏👏
Wow! Glory to our Mighty God for the great things He has done in our lives.👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾 Bravo servant of God. @Christopher Mwahangila.👍
nimungu ametenda mziki.mzuri
Mauwa ya ende Kwa mama kasitep kamwisho hatali kwel Mungu ame fanya Asant ubarikiwe
Glory to GOD!! I love your music especially love it's in English captions for me to know the words.
Thank you!! ❤❤❤❤❤❤❤
Another song added to my wedding list ❤❤❤❤
Amen God bless you Man of God
Ameeeni Mungu si mwanadamu....Mungu ametenda kweli!!!!
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏 can't get enough of this song 🙏🙏 hakika n Mungu amefanya 🙏
Powerful song Mungu amefanya nikawa jinsi nilivyo asante sana mtumishi wa Mungu ❤ 5:27
Asante mtumishi
Huyo kjjana mweupe ameoa au la nimemkubali
Amefanya kweli ni mungu akn km wewe jehova shalom..glory belongs to almighty
Ameen,aki ni Mungu amefanya,I was passing through hard time but now am okay,then I have come across this blessing song oh,,,a lot of tears of joy.
Wow very powerful, mungu akuinue zaidi na zaidi kwa kipaji chako cha uimbaji... Wimbo huu umeniguza Sana moyo wangu.. Hakika mungu ndie anatenda barikiwa Sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎶Mungu amefanya kinyume cha akina Balamu,Balaki,Tobia na Sanbalati waliotoa sadaka na maapizo mengi ya uovu dhidi yetu tusifanikiwe,wamepa hasara na aibu tele🎶💯☑️
Hakika ametenda sio sisi tunaweza ni Mungu
My special dedication for my enemies 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥🧎♀️🧎♀️🧎♀️
I truly love this man of God and his worship songs... They move my soul to the feet of Jesus.. 🎉🎉🎉Barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Ni Mungu tu kweli barikiwa sana mtumishi
Mungu ametenda sio mimi 🙏♥️♥️
True God has done mighty things for me,That's why I have to praise him and hang out with Him,🎉🙏
GOOD MUSIC.BLESSES MY SOUL.
Nimemwona anapendeza
Ni Mungu tu hakikaa Nakupenda Mungu wangu ni Mungu amefanya wala siyo mimi
Praise The Lord, just woken up with this son in my spirit. I had to search and listen to it. Amen to all God has done and that is UpTo.
I love you
God can do exceedingly abundantly above all things that we ask for or think, much love from Nairobi
Hakika ni Mungu, hivi tulivyo sivyo walivyo tarajia.
Ni Mungu aki sio mimi jamani❤❤❤
Amen brother, some couldn't agree more! That song really spoke to hearts and is such a powerful testament of deliverance. so appreciate for the message it conveyed and the hope it brought to many.
Ubarikiwe Brother. Hallelujah
My enemies shall testify the goodness of the lord upon me one day
Wacha Mungu aitwe Mungu maana wanadamu hata wajarabu aje hawawezishindana na Mungu 😊😊😊
Kweli ni mungu amefanya
Amen nikikumbuka mahali nimetoka ni mungu tu
Uuuuwiiiiiiii wimbo una nguvu sana huu. Ubarikiwe sana mtumishi
Aamen ubarikwe sana dadaangu
@@ChristopherMwahangila-dg4yb AMEN MDOGO WANGU
Hino n 🔥🔥🔥🔥 MUNGU akushangaze zaidi
Waoooooo Mungu amefanyaaaa kabisa
Yani huyu kaka nyimbo zake nazipendaga kweli kuna ujumbee wanguvu yani daaa hongera babaaaa mungu akubariki
Amen ushindi huu ni Mungu amefanya sio mimi hakika Mungu ni fahari yangu. Glory to God
Waimvaji wa Nyimbo hii ninawapenda sana kuliko nyimbo yawo yenye kuwa na utamu sana wabarikiwe sana kutokana na Nyimbo nzuri ilionipendeza .
Hakika ni Mungu amefanya 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika ni mungu amefanya 🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏god is good, je suis tes chansons au Congo Kinshasa à koluezi
Yesu Atukuzwe siku zote
Let's go CRAZY 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ Dance,Dance and Dance 🕺 🎶.
Hakika ni mungu amefanya sio mimi ,barikiwa sana mtumishi Amen
HALLELUJAH
IS NOT YOU BUT GOD ALONE
WHAT I HAVE IS GOD
JOHN 3 :27 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Kakakaa kama kakakaa ❤❤❤❤💥💥💥🔥🔥🔥
❤❤❤❤ni muislaam lakini nimependa nyimbo nzuri ujumbe mzuri❤❤❤❤barikiwa mtumishi ❤❤❤
Hakika MUNGU AMEFANYA
NABARIKIWA Sana Na WIMBO HUU
Ni mungu amefanya🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabisa ni mungu amefanya si yo mimi, siyo wewe, siyo yeye❤
Mungu amefanya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥