Hizi nyimbo ni mwanzo mwisho kila kifaa kilichotumika kuzalisha sauti unakisikia na sauti za waimbaji zinasikia vizuri sana hakika hawa jamaa wanajua na wanauwezo mkubwa.
Kwa kweli nimetokwa machozi . Enzi hizo hatukukosa kusikiliza kipindi cha Club raha Leo show ijapokuwa tuko Kenya. Muziki wa Tanzania umetufundisha mengi jamani. Tunathamini sana bidii yenu endelevu na tutasikiliza hizi miziki milele.
Jamani! Hapa ndio nakubali kuna Mungu. Watu bora hawa ingekuwa uwezo wetu tusingeruhusu waondoke. Ila kwa sisi ni wadogo sana hatukuwa na la kufanya walienda zao. Ah! mchozi unatoka nikisikiliza mziki halisi wa Tanzania
Daah! Jamani enzi za redio moja ( RTD) ilikuwa raha sana, Hizi nyimbo zilikuwa zinasikika sana kwenye vipindi kama vile Misakato,Ombi lako, Jioni njema club raha show nakadhalika, Hiyo ilikuwa Tanzania ya Nyerere.
Miaka kwa kweli imeenda lakini tutazikumbuka nyimbo hizi kwa umilele. Hatukukosa kusikiliza radio wakati wa kipindi cha Club Raha Leo Show wakati bendi mzima ingetumbuiza wasikilizaji.
asante sana uncle nguzo kwa kutukumbushia tena kibao hiki,nakumbuka miaka ya 80 tulizoea kuusikia wimbo huu wa siri,na ulitamba sana,ooh old is gold ziko wapi zile siku natamani zirudi tena.mziki ni starehe na sio vurugu kama siku hizi,uncle hebu nitafutie wimbo wa tabora jazz uitwao halima barua yako nimeipata,naitwa mariam fritsi nipo uswis,16.02.16.
Huu wimbo nilikua nausikia nikiwa na mama yangu Mtwara mwaka 1983. Mama alikuwa anapenda kuuimba sana Loo: machozi yananilenga nikiusikia naomba anaejua majina ya waimbaji aniambie tafadhali
Siku nyingi nilisikia,watu wengi wakinisimulia habari zako wewe mitaani zimeenea.Nyimbo hizi zikumbukwe milele
Hizi nyimbo ni mwanzo mwisho kila kifaa kilichotumika kuzalisha sauti unakisikia na sauti za waimbaji zinasikia vizuri sana hakika hawa jamaa wanajua na wanauwezo mkubwa.
Ahh ni hatar hiz nyimbo nakumbuka shangaz alikuwa anaziimba sana,
Vitendo unavyofanya unanifanya nisikuthamini,nikuelewe vibaya!Mengi unatenda moyoni unajidanganya kama unafanya siri!
Hakika ujumbe maridhawa!
Old is gold!
Mambo yetu hayo
Kwenye sauti Kakele, Roy beshakanako na Jumbe betamwanywa
Kwa kweli nimetokwa machozi . Enzi hizo hatukukosa kusikiliza kipindi cha Club raha Leo show ijapokuwa tuko Kenya. Muziki wa Tanzania umetufundisha mengi jamani. Tunathamini sana bidii yenu endelevu na tutasikiliza hizi miziki milele.
Enzi hizo ..Bima Lee...nawakumbuka sana
Jamani! Hapa ndio nakubali kuna Mungu. Watu bora hawa ingekuwa uwezo wetu tusingeruhusu waondoke. Ila kwa sisi ni wadogo sana hatukuwa na la kufanya walienda zao. Ah! mchozi unatoka nikisikiliza mziki halisi wa Tanzania
Naomba mnijuze dada yetu Rahma shali na nyimbo zake please
Asanteni Sana Bima Lee kwa wimbo mtamu! Ohhhh! Siku nyingi nilisikia! Watu wengi wakikusimulia habari zako wewe, mtaani zimeenea!
Redio Tanzania, salaam za mchana kusubiria ugali na dagaa.
Hakika hakuna siri ya watu wawili.
huu wimbo mama angu alikuwa anapenda sana kuimba nikiwa mtoto,nakumbuka mbali sana,mungu ampe maisha marefu
Daah! Jamani enzi za redio moja ( RTD) ilikuwa raha sana, Hizi nyimbo zilikuwa zinasikika sana kwenye vipindi kama vile Misakato,Ombi lako, Jioni njema club raha show nakadhalika, Hiyo ilikuwa Tanzania ya Nyerere.
Jamaa walifanya kazi ya kutukuka sana kazi nzuri mno, kazi Kuba wameifanya, vyombo vipangwa Hiii Rhydhim hatari
Wimbo mzuri sana.
Miaka kwa kweli imeenda lakini tutazikumbuka nyimbo hizi kwa umilele. Hatukukosa kusikiliza radio wakati wa kipindi cha Club Raha Leo Show wakati bendi mzima ingetumbuiza wasikilizaji.
Old school!!!message tupu.safi Sana Bimalee.
asante sana uncle nguzo kwa kutukumbushia tena kibao hiki,nakumbuka miaka ya 80 tulizoea kuusikia wimbo huu wa siri,na ulitamba sana,ooh old is gold ziko wapi zile siku natamani zirudi tena.mziki ni starehe na sio vurugu kama siku hizi,uncle hebu nitafutie wimbo wa tabora jazz uitwao halima barua yako nimeipata,naitwa mariam fritsi nipo uswis,16.02.16.
hizo ndizo siku tamu kabisa za kale Robert mwangila-Itigi.
Huwa nafarijika sana ninaposikiliza miziki ya zamani hongera kwako.
Old is gold, asante kwa kumbukumbu
old is gold hakika miziki hii haina mfano
Old is gold thanks Bro Nguzo
Nakumbuka mbali sana.
Aliyekuwa anaitwa Sauti ya Chuma ni mwanamuziki gani kwa jina halisi?
safi sana kaka. ngoma tulia
Mmh..uhundo huooo..
Nautafuta wimbo wa Asia uli pigwa na Hawa Bimalee nimejaribu ku google lkn siuoati naomba maelekezo zaidi ntaupataje,Asante
Huu wimbo nilikua nausikia nikiwa na mama yangu Mtwara mwaka 1983. Mama alikuwa anapenda kuuimba sana Loo: machozi yananilenga nikiusikia naomba anaejua majina ya waimbaji aniambie tafadhali
Mziki mtamu
Salehe Beresa Kakele RIP
Ridhimu ya nani hiyo?
Jamani kuna mtu anaweza akanitaji full list ya walioshiriki wimbo huo?? Kuanzia magitaa hadi waimbaji?? Yaani solo, rythim, bass, kadhalika....
Waimbaji
Kakele Belesa,Roy Bashekanako,Jumbe Batamwanya,
Sol
John Mazanda