Juwata Jazz Band - Fatuma Maisha Vita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @abbasmungia6107
    @abbasmungia6107 2 роки тому +2

    Shaban Dede umetuacha mwaka 2017,m'mungu akulaze pema peponi. Hazina zako zipo tunakukumbuka sana. RIP Joseph Lusungu . Mambo haya unaeza tokwa na machozi

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 4 роки тому +4

    Daah! Wimbo mzuri Sana! Asante Mungu kwa maisha uliyompatia Shabaan Dede na wenzake wote wa Band ya Juwata

  • @batwelymfikwa4169
    @batwelymfikwa4169 9 років тому +8

    Shaban Dede na wanamziki wote wakongwe nyimbo zao zilikuwa namaana.waliotangulia mungu awape pumziko zuri

    • @aminadaud8005
      @aminadaud8005 7 років тому

      Rip

    • @salumuhaji505
      @salumuhaji505 6 років тому

      Mungu mrehem shaaban dede

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 4 місяці тому

      Ni kweli bro,ilikuwa hata unaweza kusikiliza ukiwa na Watoto wako,baba na mama yako bila kukereka

  • @therootoflife5290
    @therootoflife5290 Рік тому +1

    Every now and then, I'm visiting here to feel this vibe and reflect the truth of life

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 7 років тому +7

    Wow nipo dara sa la sita shule ya msingi mwaka 1980, duu wakati unakwenda kweli, takriban mika 37 iliyopita. kama juzi, hizi ndio zilikuwa nyimbo bwana

  • @abdallahmembe3114
    @abdallahmembe3114 7 років тому +6

    RIP Shaaban Dede.Umetutoka ila umetuachia hazina kubwa sana.Kapumzike kwa amani

  • @stanleymaganga1534
    @stanleymaganga1534 7 років тому +9

    hakuna cha kusema kingine zaidi ya kumuombea dua njema shabani Dede super motisha ampumzike mahara pema peponi amina

  • @taibissaabdallaalmafazy9441
    @taibissaabdallaalmafazy9441 9 років тому +2

    Msondo nyimbo zao wanafunza, wanaelimisha,wanafurahisha, Msondo super power.

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 4 роки тому +2

    Shabani Dede ana sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni! R.I.P

  • @graysontogo4251
    @graysontogo4251 Рік тому +1

    FATUMA maisha ni vita kibao kilikuwa mwaka 1979 muda mfupi tumetoka kwenye vita na Uganda enzi hizo Juwata na Shabani Dede

    • @julithamuhale7271
      @julithamuhale7271 Рік тому

      Kumbe!

    • @geraldndone7438
      @geraldndone7438 9 місяців тому

      Umenikumbusha grayson. Wakati huo bidhaa muhimu ziliuzwa kwa bei ya kuruka😅

    • @graysontogo4251
      @graysontogo4251 9 місяців тому

      @@geraldndone7438 😄

    • @graysontogo4251
      @graysontogo4251 9 місяців тому

      @@geraldndone7438 watu tumetoka mbali ase those days memories was fantastic

    • @graysontogo4251
      @graysontogo4251 9 місяців тому

      @@geraldndone7438 currently tunapata huduma muhimu kwa haraka na wakati sahii but tunamis uafrika wetu na ujamaa wetu wa enzi hizo

  • @willibroadbahitwa8622
    @willibroadbahitwa8622 10 років тому +3

    Hakika Enzi hizo tungo zilikuwa zimesimama kwelikweli du! kibao hiki kimenibana vilivyo na kunitupia Enzi hizo.

    • @ibrahimkambi7943
      @ibrahimkambi7943 7 років тому

      msondo hiyo hairudi tena leo hii dede nae hatunae tena

  • @solomonabdul5815
    @solomonabdul5815 7 років тому +1

    Nipo brazil nimemuacha mkewangu na watoto kweli kinanigusa hicho kitu cha msondo sina mengi kalale pema peponi shaban dede ameen

  • @mussaseif2066
    @mussaseif2066 5 місяців тому

    Maisha kupambana, hayana tofauti na vita (utunzi wa nyimbo umekizi vigezo.

  • @gilbertmasaki795
    @gilbertmasaki795 7 років тому +2

    Huu ndio muziki
    wa mafunzo Kweli.Asante sana.

  • @saidkaswella2821
    @saidkaswella2821 5 років тому +1

    Old is gold,fantastic seydou

  • @charleshagu6944
    @charleshagu6944 8 років тому +3

    daaah , enzi hizo mwaka1982 nipo kula kulala

  • @gilbertmasaki2965
    @gilbertmasaki2965 21 день тому

    Maisha kweli ni vita.

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 Рік тому +1

    Moja kati ya nyimbo tamu mno asante shabani Dede

  • @twahamtumbi6527
    @twahamtumbi6527 8 років тому +2

    Si masihala tungo zimejaa mafunzo makubwa. mj dede kijana sana hapo kina mabela full mziki siku hazigandi

  • @HassanAli-kq4sp
    @HassanAli-kq4sp 2 роки тому

    Leo 19:12:2021 nimeamua kuwaskiza hawa wababe wa msondo. Imagine sauti ipo na wengi wao hatunao sasa. Hata Msondo bado itakuwa juu chart kwa mda mrefu zaidi.

  • @ikwiriri1
    @ikwiriri1 9 років тому +4

    baba ya muziki kweli kweli

  • @zuberindete3290
    @zuberindete3290 8 років тому +9

    hao ndiyo Msondo sikiliza sauti ya Dede mskilize Dkt Mabela kinanda Bw Mdogo Ridhiwan Lusngu Berto Zito Trampert Mzee Mnenge Saxphon

    • @najmasaleh9231
      @najmasaleh9231 7 років тому

      Zuberi Ndete hii kinanda nakumbuka imepigwa na waziri Ally sidhani km ni Ridhiwan tuikumbuke

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 Рік тому

      @@najmasaleh9231 ndiyo ni Wzir Ally

  • @hemedeidmasoud9355
    @hemedeidmasoud9355 10 років тому +5

    Shaaban Dede"super motisha"at his very very very best.

    • @kondoaduiseif5621
      @kondoaduiseif5621 8 років тому

      Vijana wa leo wajifunze muziki kabla wanaoujua hawajamalizika.
      Wajifunze pia ala as upepo ndiyo kukamilika kwa kitu kinaitwa MUZIKI.

  • @hamisizuberi801
    @hamisizuberi801 5 років тому

    Nakumbuka mwaka 1980 namaliza darasa la saba ly wacha mungu anajua

  • @gilbertmasaki795
    @gilbertmasaki795 7 років тому +1

    Sauti safi ya Shaban
    Dede.Maisha Kweli ni Vita wakati ndio saida kwa sababu Ubinafsi.

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 2 роки тому +1

    nalia jamani, ardhi imekula marehemu waziri Ali marehemu shabanni dede

  • @amadisandaku3131
    @amadisandaku3131 3 роки тому

    Shabani Dede RIP
    Umeacha Alama kubwa
    Ktk Tansia ya muziki

  • @kisibowarioba456
    @kisibowarioba456 4 роки тому +2

    sauti nzuri tamu balaaa

  • @therootoflife5290
    @therootoflife5290 2 роки тому

    Old is Gold....Huu wimbo huwa nauota wakati mwingine na unanikumbusha mbali sana, Ndugu, Jamaa na Marafiki ambao wameshatangulia mbele ya haki

  • @solomonabdul5815
    @solomonabdul5815 7 років тому +2

    Rithim ya pishuu ni ya masikitiko sana

    • @suleimanalihaji9386
      @suleimanalihaji9386 Рік тому

      Yes bila ya kumsahau mzee Mabera ktk solo guitar na Abdi Ridhwan Totoo ktk organ

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 2 роки тому

    Super Motisha, R.I.P, this was a song

  • @MathewMsongole
    @MathewMsongole 5 місяців тому

    Hakika miziki haitachuja hii

  • @neemajohnson6626
    @neemajohnson6626 7 років тому +3

    nice song

  • @kudramzee1475
    @kudramzee1475 6 років тому +3

    R. I. P DEDE

  • @abdulrazacksaidaboubakary9544
    @abdulrazacksaidaboubakary9544 7 років тому +1

    namkumbuka sana mama yangu

  • @therootoflife5290
    @therootoflife5290 Рік тому

    Respect

  • @suleimanalihaji9386
    @suleimanalihaji9386 Рік тому

    Msondo ngoma ndo ba nd kongwe ilyobaki maana Mlimani Park sasa haipo kuna Sikinde Og

  • @kassimmbelwa6011
    @kassimmbelwa6011 7 років тому +1

    Sina la kusema hapo Shaaban Dede,mabela usiseme babu

  • @Magwega
    @Magwega 5 років тому +1

    Hakika jjb walikitendea haki kibao hiki

  • @hatibually3139
    @hatibually3139 Рік тому

    😊😊❤❤❤❤

  • @jaafarmkatta1336
    @jaafarmkatta1336 7 років тому +2

    Hiyo list ndo basi imepita hairudi tena.

  • @pendomalulu6130
    @pendomalulu6130 2 роки тому

    Mzk bomba

  • @fazilmhina3721
    @fazilmhina3721 6 років тому +2

    kila chombo kimetendewa haki yke

  • @MaulidDudu
    @MaulidDudu Рік тому

    Maulid.nabawiya.dede.ananiliza.

  • @simonbaltazar9152
    @simonbaltazar9152 Рік тому

    Dede

  • @abduldunga8413
    @abduldunga8413 4 роки тому

    R.p.c dede

  • @dennisfestus1123
    @dennisfestus1123 2 роки тому

    Good vibes

  • @hemedeidmasoud9355
    @hemedeidmasoud9355 10 років тому +3

    Shaaban Dede"super motisha"at his very very very best.

    • @hamaddede464
      @hamaddede464 9 років тому

      till now he is best try 2 find his song wth msondo called kwa mjomba new one