MAGUFULI HAJAFA (Official Video). # By Emmanuel Mgogo. (0769505537).

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 178

  • @angelurio6778
    @angelurio6778 3 роки тому +2

    Nlikuwa tuna ugomvi ndan ya ndoa mume wngu akiwa Kazn nkawa nimeiweka hii nyimbo ,alipokuja akaiskia hii nyimbo ajaokoka lkn akaipenda na ugomvi cjuh uliondkaje ,kwel Mungu akubarik na uzao wko wote ,Asante Alfa na Omega

  • @barakablessing5366
    @barakablessing5366 3 роки тому +50

    Mungu atutie nguvu kaka tumeumia sana bro DA aah😭😭😭😭 wa kwanza Mimi nipeni hata like10

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 роки тому +2

    Mtumishi wa Mungu Emanuel Mgogo umenipa matumaini na faraja
    Pia. Mungu akubariki zaidi na zaidi .

  • @marymushi7005
    @marymushi7005 3 роки тому +14

    Amen mno mtumishi ni kweli kabisa Magufuli hajafa bali yeye ni mbegu njema iliyopandwa. Jina la Kristo Yesu Bwana wetu libarikiwe mno. Stay blessed always.

  • @shedrackmnyanduri1665
    @shedrackmnyanduri1665 3 роки тому +2

    Amen huyo ni Roho mtakatifu amekufunulia magufuli hajafa

  • @ujumbechoir8171
    @ujumbechoir8171 2 роки тому +1

    AMEN AMEN mubarikiwe watumishi

  • @hannahmbogo4790
    @hannahmbogo4790 3 роки тому +18

    Barikiwa Sana ,, Mtumishi wa Mungu ,,tumeumia Sana Ila wimbo unafariji mioyo yetu,,,,Mungu abariki kazi yako amen

    • @mariamagesa429
      @mariamagesa429 3 роки тому

      Hakika,maumivu ni makali bali ujumbe km huu unaleta faraja sana.

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 3 роки тому +4

    Machozi haya mpaka lini..... 😭😭😭😭😭😭😭😭Nasahau siku moja nakumbuka siku sita za wiki..... Magufuli hajafa...😭😭😭😭 Mgogo umeweza kunikomoa

  • @joelhongoli9687
    @joelhongoli9687 3 роки тому

    Mungu aachilie nguvu mioyoni mwetu hata wakati ule mgumu wa machozi tuzid kumwomba yeye atatuvushe amen.

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 3 роки тому +18

    Katika nyimbo zooote walizoimba kuhusu Magu huu number one ✅badaya ya kumuinua Magu ameinuliwa Mungu wetu aliye hai.Amen🙏

  • @christineowando1729
    @christineowando1729 3 роки тому +28

    This Man Emmanuel mgogo has done it again ,he has never pressed a wrong button,am a Kenyan but my playlist is full of his songs,whenever I here his songs I get strength,I feel renewed and always encouraged,,keep the fire burning Servant of God

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 роки тому +4

    Namuamini mungu Africa tumeonewa sana mungu tusaidie

  • @christineowando1729
    @christineowando1729 3 роки тому +4

    Amen,mungu atawafariji ndugu zetu🇹🇿mungu atainua kiongozi mwingine shupavu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому +3

    Yaani kama unajua muziki hapa kazi imefanyika ya kifundi sana na washiriki wote wanauwezo mkubwa..

  • @benjaminemanueli1650
    @benjaminemanueli1650 2 роки тому

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa maono hayo ya kuutunga wimbo mzur sanaaaa

  • @upendodanielmella7171
    @upendodanielmella7171 3 роки тому +4

    Kwa mara ya kwanza katika kipindi hiki kigumu nimesikia kuinuliwa na kutiwa moyo na faraja. Kweli Mungu amekutumia kaka maana nyimbo zote nilizosikiliza hazijanifariji kwa kiasi kikkubwa kama baada ya kusikiliza wimbo wako kaka baada ya kufungua nimesikiliza mara 3 mfululizo. may Almight God lift you another level man of God.

  • @pauloflansisco937
    @pauloflansisco937 3 роки тому +9

    Kama kwelii umeguswaanawimboo huu like

  • @stanleymakonya4718
    @stanleymakonya4718 3 роки тому +3

    Mzee wa Highlands, umetisha sana mpaka nasahau assignments za Prof. Mungu akupe nguvu ya kwenda hatua zaidi ya hapa na kufikia malengo uliyojiwekea.

  • @praiseboy7960
    @praiseboy7960 3 роки тому +6

    Kaka emmanuel hongera sana lwa hiki kipawa cjawahi pata hisia nzito za kusikiliza wimbo kama hivi....umeniliza hakika...duuh huu wimbo ungeimbwa siku ya mazishi ungekausha machozi ya wananchi

  • @kindolefloridah6181
    @kindolefloridah6181 3 роки тому +6

    Mungu atunze hayo maarifa yaliyoko ndani yako uzidi kufunuliwa kwa utukufu wa Jina lake.Many blessing 4 u my brother.

  • @richardmanyilizu8400
    @richardmanyilizu8400 3 роки тому

    Mungu akubariki mtumishi Magufuli ataendelea kuishi kwakazi alizofanya na wema wake ameacha alama vizazi na vizazi

  • @ombenhezron144
    @ombenhezron144 3 роки тому +2

    Mgogo unajua kuweka mashairi duuh Mungu anaweza kufanya jambo linaharibu mipango yetu lakin anamakusudi maalum kwakweli

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 роки тому

    Mmmm mmmm ooo mmmm Mungu akubariki mtumishi

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 роки тому +3

    Emanuel Mgogo ni Mtumishi wa pekee wa Mungu amenifuta machozi
    hadi naanza kupata tumaini kuwa bado tuko salama. Kama wimbo wake unavyotufundisha. Mungu ni wa kwanza na wa mwisho kwa hali yoyote ile hashindwi na chochote. Tukimwomba mahitaji yetu tutakuwa salama mikononi mwake
    Haleluya.

  • @azizamoon6248
    @azizamoon6248 3 роки тому +6

    Amen tuzidi kumtumainia Mola tulio hai, atusaidie tuwache njia mbaya na mapambo za kidunia kwa utukufu wake.

  • @franksofa1670
    @franksofa1670 3 роки тому +3

    Mungu akubariki mtumishi MUNGU daima huwa hakosei yeye ni mwanzo na ni mwisho alfa na omega R.I.P magufuli

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 3 роки тому +3

    God bless you.... Mungu huinua watu wengine zaidi ya wale tulio wakusudia, Mungu hupanda mbegu nyingine zaidi Magufuli hajafa amepandwa Amen 🙏

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 роки тому +4

    Hakika Mungu in Mwanzo na Mwisho hakuna ajuaye siri ya moyo wake isipokuwa kwa kufunuliwa kwa sehemu

  • @yeremiarichard4755
    @yeremiarichard4755 3 роки тому +3

    Hongera kwa wimbo muzuri wenye ujumbe muzito na upako, naomba utunze huu upako walipewa wengi ila wamebaki wacace wenye kuimba nyimbo zenye ujumbe na upako tulia cini ya mkono wa Mungu uliohodari akuinue( akutweze) kwa wakati wake nimebarikiwa sanaaa Mungu akutunze na kukuhinua zaidi na zaidi

  • @iweningogoofficial3733
    @iweningogoofficial3733 3 роки тому +3

    Love yuo uko vizuri zaidi Mungu akuinue zaidi

  • @angelurio6778
    @angelurio6778 3 роки тому

    Ubarikiwe mtumish

  • @sambojaomarhadija6803
    @sambojaomarhadija6803 3 роки тому +1

    hi na mungu 🙏🏻 👀 👂 hakocei kianki kazi kivivote vile bila kujali kitu cho chote kile kihali na kiankili yake mungu 🙏🏻 na kivivote vile na kimaendeleo yake kiupendo wake na kihali na kila kitu kuwanke piya kuwa upendo kuwa wetu sisi binadamu wo wote na hata wanyma wa porini kuwa juula na ndiyo point yake mungu tusioneane kiurahisi kivile au nisema kivivote vile mungu 🙏🏻 yupo na sisi wo wote na kila mtu a pachuwa kujuuwa mungu 🙏🏻 👀 👂 yopo kuwa wa kanti wo wote ule ni just tusioneyane kihovi hovio tushinka 🤝 kimaicha na kimaneno mazuri ya kimbinamdamu ya kimaicha ya hapa na pale na vitendo vientu vimufurahisha mtu kuwa mtu hadi kuwa family na hadi fantastic kuwa mungu wetu sisi wo wote kuwa pamoja ungovi chunki hailenti mafankiyo bora hata siku pamoja kimaicha kama vile mr emmanule mgog a na sema ni kuweli hayo yo yote ni kuweli and by name of allah 🙏🏻 👀 👂🤝 ✌ and peaceful for life life-style probability by opportunity of life amina and get enjoy my voice writing ✍ from here home 🏡 swirtzenland conutiry world 🌎

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 роки тому +1

    Hata mimi naaminia watu kama magufuli hawafi

  • @brendaolinjo2055
    @brendaolinjo2055 3 роки тому +7

    He never change is AGod for every season

  • @eunicemsigo9677
    @eunicemsigo9677 3 роки тому

    Hajafa kweli his presence are everywea
    Mwagufuli hujafa

  • @gamapetuhojianetv5673
    @gamapetuhojianetv5673 3 роки тому

    Amen, Amen. Anabaki kuwa Mungu ktk nyakati zote.

  • @magecharles7158
    @magecharles7158 3 роки тому

    Ajafa kweli kabisa

  • @janemulandi962
    @janemulandi962 3 роки тому +11

    God bless you and His wisdom and revelation knowledge increase in you Emmanuel.thank you for this wonderful song at such a time like this.

  • @zawadijoel7516
    @zawadijoel7516 3 роки тому +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu, kwa kutupa tumaini jipya. Barikiwa sana, hakika hata tuacha

  • @jefredyfrednandy5880
    @jefredyfrednandy5880 3 роки тому +1

    Maneno ya faraja Mungu akuinuee zaidii

  • @elmasroj9712
    @elmasroj9712 3 роки тому +1

    Naipenda nyimbo ya jipe moyo nzuri sana

  • @mwangosikennedy9643
    @mwangosikennedy9643 3 роки тому

    Hakika Mungu ni mfariji wetu sisi Tanzania, Mtumishi Mgogo, wimbo huu ungeimbwa siku mpendwa wetu alipozikwa, hakika Mungu angejidhihirisha kwa WATANZANIA, kweli Magufuli hajafa amepandwa mbegu.....Daah 😭😭😭👏

  • @mwaulesigodfrey1590
    @mwaulesigodfrey1590 3 роки тому

    kweli MUNGU hakosei barikiwa mtumishi wa MUNGU alie hai oooohh barikiwa sana

  • @moketuponake5270
    @moketuponake5270 3 роки тому

    Amina sana kaka hakikanimefarijika umbarikiwe nyimbo nzuri sana kaka

  • @neemalaizer3722
    @neemalaizer3722 3 роки тому +2

    Nashindwa nisemeje kaka,,,,Hii sauti barikiwa......Asante kwa kututia moyo

  • @jennifermuthonimwaniki4722
    @jennifermuthonimwaniki4722 3 роки тому

    Thank you for encouraging words,coz after her there is great generation.your going far.

  • @renathamartin6272
    @renathamartin6272 3 роки тому +1

    "Mungu hakosei, anajua anachofanya." "Mashujaa hawafi"

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 3 роки тому +3

    Kifo hichi kinatukumbusha mambo mengi ambayo tunapaswa kujifunza haraka sana tubadili mienendo yetu ,tumwelekee Bwana. hata tuhuzunike lakini kama Hujifunzi jambo hapa ,nasema Asante Mungu maana hukumu zako ni Za kweli na Zahaki

  • @benjaminmuema8157
    @benjaminmuema8157 3 роки тому +3

    motivating song stay blessed and elevated man of God.

  • @louisejean5846
    @louisejean5846 3 роки тому +1

    Aleluuuuuuuuuuuuuuuyaaa!
    Haleluya yesu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emyemy2229
    @emyemy2229 3 роки тому +1

    Wimbo unagusa mahali

  • @devinamwenga9710
    @devinamwenga9710 3 роки тому

    Sina mengi ya kusema ila tu nasema barikiwa kwa ujumbe

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому

    Mama mjane Janeth JPM. Barikiwa na farijika kwa wimbo huu. Andaa JPM mwingine katika wanao. YAWEZA KUWA MUNGU ANAWEZA. UWE NA MOYO MKUU MUNGU HAJAKUACHA

  • @eliakamanga6220
    @eliakamanga6220 3 роки тому

    Mungu akubariki kwa wimbo wenye ujumbe mzuri.

  • @celebrationdancersnaivasha8075
    @celebrationdancersnaivasha8075 3 роки тому

    Poleni sana Watanzania Mungufuli Raisi wa Dunia mzima wacha Mungu awe Alfa and omega ndani ya Tanzania na ya maisha yangu.God bless you Emmanuel

  • @tumwamnmsigwa4418
    @tumwamnmsigwa4418 3 роки тому +1

    Unasema MUNGU tushukuru kwa kila jambo ili nalo nigumu lakini inatubidi 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому

    Kweli,hajafa,yu hai hata kizazi hata kizazi.kwani kazi zake zinanena.tumshukuru mungu alitupatia kiongozi aliyeliitia jina la bwana.na anasababu ya kumchukua.tunasema asante

    • @stevenfelix7520
      @stevenfelix7520 2 роки тому

      Mgogo upopamoja na Mungu mtazame sana adui yuko pembe yako

  • @emmanuelkapalu1764
    @emmanuelkapalu1764 3 роки тому +3

    Thanks for this video,,, never give up
    To be humble for everything,GOD is good every day!!!

  • @lydiajengo174
    @lydiajengo174 3 роки тому +1

    What a powerful song Oh my oh My what a song

  • @elizabethmasitsa6537
    @elizabethmasitsa6537 Рік тому

    AMEN AMEN 😢 Emmanuel mgogo 🙏🫡

  • @graceakimu9233
    @graceakimu9233 3 роки тому +2

    Asante kakaang Emma Mungu akuongoze nakuombea mema

  • @brightmanclement6771
    @brightmanclement6771 3 роки тому

    Uko sawa mtumishi ni kweli kabisa ili mbegu iote lazima ifukiwe ardhini tunawasubiri akina Magufuli wengi.

  • @jemachaula7686
    @jemachaula7686 3 роки тому +1

    Daah ubarikiwe mtumishi

  • @justinebeatus
    @justinebeatus 3 роки тому

    Amina sana the song is too touching and inspiring.

  • @ruthbandeke5738
    @ruthbandeke5738 3 роки тому +2

    Hongera bro umeimba vzur sana,Mungu akubariki kwa ujumbe wakutia moyo

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 3 роки тому +1

    Kwli ww mgogo unafaa kumtumikia mungu wimbo uko poa mungu akubarki

  • @richardsaimon6325
    @richardsaimon6325 3 роки тому +3

    Glory to God and God bless Tanzania

  • @ruthachayo8038
    @ruthachayo8038 3 роки тому +2

    Wow!! More revelation servant of God.

  • @zachariazabronngussa7704
    @zachariazabronngussa7704 3 роки тому +1

    Very nice song and sounds good imenifurahisha sana na wimbo huuu

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 3 роки тому +4

    Very powerful song 🤝

  • @johnmgalilwa9136
    @johnmgalilwa9136 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sanaaa mtumishi wa Mungu

  • @evastesheni8024
    @evastesheni8024 3 роки тому +2

    ooh yes mbegu imepandwa inamea mara dufu

  • @dennismwaingede7811
    @dennismwaingede7811 3 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu nakupenda Sana katika jina la Yesu

  • @navyoagrey7523
    @navyoagrey7523 3 роки тому +2

    Stay blessed Mtumishi wa Mungu

  • @Jacksonswai685
    @Jacksonswai685 7 місяців тому

    Barikiwa san

  • @girukwishakavenantie497
    @girukwishakavenantie497 3 роки тому

    Hakika MUNGU alipanda mbegu , ni kitambo tu Tanzania ikapata mavuno mazuri anatokea kwa Mbegu John Pombe ililopandwa zamani.

  • @wariankiraurio1307
    @wariankiraurio1307 3 роки тому

    Igange mioyo yetu Bwana utuvushe salama tuione siku mpya ktk Tanzania yetu.

  • @marymeshack3687
    @marymeshack3687 3 роки тому +2

    Grory grory to God

  • @fungoatukuzwealex6021
    @fungoatukuzwealex6021 3 роки тому +1

    Safi wimbo umeenda shule ni mxuri sana

  • @rhoidadaimon7394
    @rhoidadaimon7394 3 роки тому

    Nitapona tuu mungu unaweza

  • @hildahndeda2596
    @hildahndeda2596 3 роки тому +4

    God bless u man of God🙏🙏🙏

  • @Chiefmkoma
    @Chiefmkoma 3 роки тому

    Ahsante sana mtumishi, umenibarik san pamoja n WATANZANIA wenzangu.

  • @janetmwamburi1833
    @janetmwamburi1833 3 роки тому +1

    Kweli wewe Mungu ni Alfa na Omega.

  • @festochiuyo2661
    @festochiuyo2661 3 роки тому

    MUNGU akupe maisha maref mtumishi hakika umetufariji

    • @vickytango8327
      @vickytango8327 3 роки тому

      Mgogo sijui hekima na maarifa unatoaga wp!! dahh machozi hayakauki nikiusikiliza kaka 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @martincharles9799
    @martincharles9799 3 роки тому

    Amen mtumishi wa bwana kaz nzur

  • @irenesanga1255
    @irenesanga1255 3 роки тому

    Asante kwa faraja.hakika Mungu hatatuacha.R.I.P. Magufuli hujafa

  • @gracekiarie4259
    @gracekiarie4259 3 роки тому +2

    Amen pastor ur so powerful with ur songs

  • @esterjohn4760
    @esterjohn4760 3 роки тому +1

    Hakika yy ni afla na omega

  • @elizabethmlokozi5842
    @elizabethmlokozi5842 3 роки тому

    Aminaa

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 3 роки тому +1

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @shedrackmnyanduri1665
    @shedrackmnyanduri1665 3 роки тому

    Amen wewe fundi kijana

  • @morgansiwanzi1791
    @morgansiwanzi1791 3 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @tumwamnmsigwa4418
    @tumwamnmsigwa4418 3 роки тому

    Daaaaaa 😭😭😭😭😭😭

  • @dalmasmambo8521
    @dalmasmambo8521 3 роки тому +5

    This song has strong content,for sure unafariji,unafuta huzuni na machozi nakuleta tumaini tena.

    • @gideonmutabazi7787
      @gideonmutabazi7787 3 роки тому

      Shadow of holly spirit is over the whole atmosphere of Tanzania this is a spiritual transformation of faith in Tz and africa especially east africa

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 роки тому

    Wezetu sijui mnasoma maandiko gn😢😢😢😢

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 3 роки тому

    Barikiwa sana kaka angu,Mungu akaonekane kwa kil hatua yako

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 роки тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nakuelewa sana kaka

  • @brightthabit9749
    @brightthabit9749 3 роки тому

    May God bless you my phisics teacher

  • @fedambogela7046
    @fedambogela7046 3 роки тому

    Inauma saana baba JPM hakika tutakukumbuka daima

  • @Binti1801
    @Binti1801 3 роки тому +2

    God had all planned out, this is not a suprise for God, He knew what wil come and He already made a way! All things works together for the good of those who love God..Roman 8:28. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo🙏