Mimi nimelelewa kwa hii kanisa na sanasana hutumia vitabu kuliko bibilia,lakini kwa sasa nimeolewa siendi huko tena,aki nisaidieni na maombi mamangu na babangu waweze kutoka huko
Acha kudanganya watu walioikosa kweli wafu hawajui neno lolote wala hakuna maarifa huko kuzimu. Kuzimu ni kaburini ambako ni ufuni. Wafu wanasubiri ufufuo basi!
Kaka elewa utakapokufa ndipo hukumu either Jehanamu au mbingu kuzimu lazima mtu anamaarifa na kumbukumbuku kwa vitu alivyotenda duniani na kilichonpeleka huko hivyo anajutia kwa makosa yake siku ya mwisho wale wote walioko kuzimu wataambatana na mwili watutpwa kwenye ziwa la moto. Je lazaro hakuwa na maarifa au kumbukumbu ??? Soma bibilia kaka . Soma neno .
Ndugu soma Mhubiri 9:10 ...na kuendelea uone mtu akifa siyo kwamba anaenda kuzimu au mbinguni hapana. Kristo atakapokuja ndipo hukumu itatekelezwa ili wengine wapate uzima wa milele wengine aibu na kudharauliwa milele Danieli 12:1_2
@@thethirdangelsmessage7025naomba uelewe hukumu huja pale mtu anapokufa roho inahukumiwa kwa maisha yake ya duniani siku ya mwisho kuna hukumu kuu ya kristo roho zilizoko kuzimu na kuzimu na watu walioachwa watahukumiwa watatupwa kwenye ziwa la moto. Na roho zote zilizoko mbinguni baada ya kufa na walionyakuliwa watahukumiwa hukumu ya watakatifu yaani Mungu sasa atawabariki kutokana na jithada zao pia . Embu lazaro yesu hakuongelea kuzimu???
Agnes ni kwamba unapaswa utambue kuhusu roho za Elia, elia ameahidiwa kuja mara tano, mara ya mwisho atakuwa akiwarudia Israel, hivo branham ni Elia kwaujio wa nne au roho ya elia ya nne. Pia malaki 4:5....
Hama kweli, taifa letu ni taifa mbuzi na linakwenda kuangamia kuanzia wewe ulietafsiri upuuzi huu, WMB ni Malaika wa saba wa kanisa la laodikia,na wewe si chochote zaidi mwana wa ibilisi shetani.
Jactan.asante.kwa.ukalimani.God.bless.u.kwa.kazi.unayafanya.mimi.binafsi
Umenifanya.kuelewa.mungu.kwa.undani
Mungu akubariki mtumishi kwa kutufikishia ujumbe huu
Eeeh Mwenyezi Mungu unirehemu mimi mwenye dhambi.
Ee BWANA nisaidie mimi mwenye dhambi nisaidie kushinda Amen Amen
Ameeen sifa kwa yesu
Amen. Barikiwe kwa kutusikirizisha hujumbe huu.
Amen tunabarikiwa
Yesu, nisaidie
Nipo hapa kusikilizaaa kwa makini mm
Yesu nisaidie mm mwenye dhambi😢
Ee Bwana Yesu tunaomba neema yako bila wewe atuwezi Amina
Bwana yesu kama akikutokea katika ono au ndoto hana taji kwa mana taji atavikwa na watakatifu katika ule utawala wa miaka elfu Ambapo atakuawa mfalme
Ameni
Mtumishi Aston ni Lini unarudi Tanzania?
Tunasubiri part 2
Mimi nimelelewa kwa hii kanisa na sanasana hutumia vitabu kuliko bibilia,lakini kwa sasa nimeolewa siendi huko tena,aki nisaidieni na maombi mamangu na babangu waweze kutoka huko
AMEN AMEN
Amen
Ameen
Amen amen
1petro 2-9
Amen
Hii picha inaogopesha promova
Acha kudanganya watu walioikosa kweli wafu hawajui neno lolote wala hakuna maarifa huko kuzimu. Kuzimu ni kaburini ambako ni ufuni. Wafu wanasubiri ufufuo basi!
Kaka elewa utakapokufa ndipo hukumu either Jehanamu au mbingu kuzimu lazima mtu anamaarifa na kumbukumbuku kwa vitu alivyotenda duniani na kilichonpeleka huko hivyo anajutia kwa makosa yake siku ya mwisho wale wote walioko kuzimu wataambatana na mwili watutpwa kwenye ziwa la moto. Je lazaro hakuwa na maarifa au kumbukumbu ??? Soma bibilia kaka . Soma neno .
Ndugu soma Mhubiri 9:10 ...na kuendelea uone mtu akifa siyo kwamba anaenda kuzimu au mbinguni hapana. Kristo atakapokuja ndipo hukumu itatekelezwa ili wengine wapate uzima wa milele wengine aibu na kudharauliwa milele Danieli 12:1_2
@@thethirdangelsmessage7025 soma waebrania 9:27 hadi 28
@@thethirdangelsmessage7025naomba uelewe hukumu huja pale mtu anapokufa roho inahukumiwa kwa maisha yake ya duniani siku ya mwisho kuna hukumu kuu ya kristo roho zilizoko kuzimu na kuzimu na watu walioachwa watahukumiwa watatupwa kwenye ziwa la moto.
Na roho zote zilizoko mbinguni baada ya kufa na walionyakuliwa watahukumiwa hukumu ya watakatifu yaani Mungu sasa atawabariki kutokana na jithada zao pia . Embu lazaro yesu hakuongelea kuzimu???
Agnes ni kwamba unapaswa utambue kuhusu roho za Elia, elia ameahidiwa kuja mara tano, mara ya mwisho atakuwa akiwarudia Israel, hivo branham ni Elia kwaujio wa nne au roho ya elia ya nne. Pia malaki 4:5....
Ni Yohana Mbatizaji
Amina
Hama kweli, taifa letu ni taifa mbuzi na linakwenda kuangamia kuanzia wewe ulietafsiri upuuzi huu, WMB ni Malaika wa saba wa kanisa la laodikia,na wewe si chochote zaidi mwana wa ibilisi shetani.
Kama huna haja yekukomet heri ukae kimya utapta Lana bure😢
Acha matusi,acha Mwenyezi Mungu atusamehe maana haujui ulisemalo😢
Promover fanyeni kazi. Mungu atawalipa. mmechagua fungu jema.
Ni heri anayetafsiri ujumbe wa maonyo kwa kanisa kuliko kutafsiri movies za hollywood.
Fanya uNAYO yafanyaga huko kwenu MAANA huna hoja za msingi,
Waebrania sura ya 15???!!
Waebrania 11:15. Kukosea kupo ktk kutamka
niulize huyu branahm anatajwa kwa kitabu kipi kwa biblia natamani kujua
Branham alikuwa mtumishi wa Mungu mwenye historia kubwa katika Ukristo
Hata mimi simjui@@LodvolaLameck-jl5vs
BRANHAM ndio yupo MARAKI:4sula 5,6 Alikuw Nabii mkuu mwenye Historia ya YESU KRISTO
Hivi ujumbe wa Branham uko sawa
Ndiyo, Ujumbe wa Bramham upo sawa. Shida wale wanaomwabudu, nimakosa. Nabii Bramham ni nabii wa kweli wa Mungu. Yupo MALAKI 4:5-6
Lakini mimi hiyo malaki sijaona alipoandikwa huyo nabii branham@@rabecamapunda6389
@@rabecamapunda6389 Biblia inamuongelea Eliya ndugu sio unavoelewa
Ndio yupo sawa,Alikuw Nabii wa YESU KRISTO
Branham ni Nabii wa kizazi hivo mtu akikufuru yanaweza kumpata yaliyompata mirium