Sikiza Namna Mzee huyu anavyokufuru, Tufanyeni bidii kuifikisha Daawa. 21 December 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 15 днів тому +7

    Mungu huumba atakavyo aliumba Adam n Hawa bila mama n baba n yesu issa aliumbwa kw tumbo la marium kw kusema kua na akawa

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 11 днів тому +1

    ASTAGHFIRULLAH

  • @SalimKeya-v6v
    @SalimKeya-v6v 15 днів тому +4

    Brother mukonakazi sana huko njiru subra insha Allah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 15 днів тому +3

    Subxaana Allah.

  • @hamzayesu2017
    @hamzayesu2017 15 днів тому +2

    😂😂😂😂yanafurahisha na pia yanahuzunisha,huyu ni mtu amekuwa na fikra kama hiyo tangu utotoni?😢😢Allahu akbar!!

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 15 днів тому +2

    SUBHANA ALLAH ametakasika MwenyeziMungu hana mfano kama viumbe vyake, mwalim Abbass kazi hiyo ni ngumu Insha Allah MUNGU awape subra na afya ili msivunjike mioyo katika kuwaelimisha watu dini ya haki

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 15 днів тому +2

    ALLAHU AKBAR ♥️
    Huyo mama yuko na hamu ya kusoma Qur'an. Allah amwongoze, yaa Raab 🤲🤲🤲

  • @abassonlinetv
    @abassonlinetv  15 днів тому +6

    Please subscribe like and share

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 15 днів тому +1

      Sheikh Abasi mungu akuzidishie umri mrefu na Afya njema iliuzidi kutangaza dini ya mwenyezi mungu sema jitahidini kuzungumza lugha yetu yakiswahili maana sio kilamtu anajua Kikuyu?!

  • @Shillingi
    @Shillingi 15 днів тому +1

    Asalamu alekmu! Tatizo hawa watu ni kiswahili ndio tatizo wqhaelewi

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 14 днів тому

    Masha Allah Ustaz

  • @hassansharif5716
    @hassansharif5716 13 днів тому

    Mansha Allah

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 15 днів тому +3

    Huyu mwenye Lory naona ni kafiri huyo

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 15 днів тому +2

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah..naona mnagusa mlima

    • @abassonlinetv
      @abassonlinetv  15 днів тому +2

      Kabisa

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 15 днів тому +2

      Mwangi , RUTO aliguza mlima, Sasa Kila mtu anauuguza 😂😂

    • @MwangiMuhammad-q8r
      @MwangiMuhammad-q8r 15 днів тому +1

      @@SheeMaryam.M sasa anatapatapa, Allah atuondoshee viongozi madhwaalim

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 15 днів тому +2

      @@MwangiMuhammad-q8r wajuwa shida ya Hawa viongozi, wanaona tu maisha ya Dunia, hawajui QIAMA kitafuka, na hawajifunzi na fethuri firauni, alikuwa katili kweli kweli lkn mwisho wake, ukikuwa mbaya na motoni ndio makazi yake, ... na ndio maana matajiri wengi watakuwa wa motoni juu madhalim sana.. NGAI ATÛIGÛIRE THA.

    • @MwangiMuhammad-q8r
      @MwangiMuhammad-q8r 14 днів тому +2

      @@SheeMaryam.M Allahumma Amin, I think kwa muujibu ya Ayah fulani ya Qur'an, sasa tutabidisha nafsi zetu

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 15 днів тому +3

    Waonjaji kibao hapo black(njiru).

  • @josemu870
    @josemu870 14 днів тому

    Allahamdhulla

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 11 днів тому +1

    Nikweli kuutetea ukristo ni kama kujitwisha jabali la miba kichwani,maana bible ina confuse imejaa mashaka.

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 14 днів тому

    Mnapoteza wakati kwa mtu mjinga