@@abassonlinetvAise masheikh wetu mnafanya kazi kubwa sana kwakweli niuwezitu wamali bado haujakaa sawa kwakweli mnahitani sapoti zetu sana inshallah tuzidi kuombeana iposiku nitawasapoti ndugu zangu nawashaulitu mchukue namba zahawa vijana ambao wanania ya kusilimu nuafutilie nahawa walio silimutayali mnatakiwa kuwafutilia sana maana wapowengitu wamesilimu lakini wanapotea nakurudu katika ukristo maana hawana wano waongoza fanyeni kama kina sheikh Salim Daawa wanafutilia mpaka kwenye nasomo Yao nakuwatembelea lakini mnapo waacha hawataweza kujiendeleza wenyewe
Allahu Akbar
Masha Allah
Please subscribe like and share
Masha Allah great video
Masha allah mungu awabarikii kwa kazi yenu
Aamin
Masha Allah shekh Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kuwaelimisha wengi alafushekhe samahani mwambie kamera man wako atulize kamera ina cheza sana😢
Masha Allah great video and welcome to the new brother my Allah keep you in Islam
Aamin
We welcome the new brother with open heart and wish him the best amiin
Aamin, May Allah s.w.t. guide him
Mazbut ndani ya oneness,,, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
Waalekum salaam warahmatullah wabarakaatuh
As Muslim we welcome the new brother with open heart and wish him the best amiin
Aamin
@@abassonlinetvAise masheikh wetu mnafanya kazi kubwa sana kwakweli niuwezitu wamali bado haujakaa sawa kwakweli mnahitani sapoti zetu sana inshallah tuzidi kuombeana iposiku nitawasapoti ndugu zangu nawashaulitu mchukue namba zahawa vijana ambao wanania ya kusilimu nuafutilie nahawa walio silimutayali mnatakiwa kuwafutilia sana maana wapowengitu wamesilimu lakini wanapotea nakurudu katika ukristo maana hawana wano waongoza fanyeni kama kina sheikh Salim Daawa wanafutilia mpaka kwenye nasomo Yao nakuwatembelea lakini mnapo waacha hawataweza kujiendeleza wenyewe
Asalam Alekum:nawaombar mfike Umoja 1please.kwasababu huko akuna Waisilamu wengi
insha'Allah tutafika
@abassonlinetv Shukran Allah awafanyiewepesi Insha ,Allah🙏🙏