@@mozakhamis7253 mungu ni wa viumbe vyote usiongee as if hamna mabaya mnayo fanya .... Mungu huweka baraka zake kwenye nia njema......... wengine wameficha nia zao mbaya ila usoni utaona kama wana nia njema ...... Ila Allah hapendi watu wanafiki Wanasiasa wengi ni wanafiki sana ......
ndungu zangu. maneno kwenye kutangazwa siku zote tunashinda. ila. hapo ndio tatizo. sasa lazima. tukishinda. tujitangaze wenyewe. tusingojee. tume. ni yanyani. lazima ampe ngendere.
Juzi wakazidi kujichanganya,eti deni la taifa kwa wao ni la ndani tu la nje bara ndio wahusika,kwa io wasiambiwe wana deni kubwa,raisi makamo wa pili na waziri wao wa fedha hawaelewani wanasema nini
Ccm hawajawh jushindwa wala hutowashinda unawalaghai vijan mwisho wake utaenda kujiunga na serekali ivo unayoikosowa haijafanya maendeleo lkn ww unakula mishahara wafuas wako unawacha mataa
Wanasiasa watu wa ajabu sana, sasa wewe mbona upo humo humo, kama kweli wewe ni msimamia wa haki usingekula kiapo ukawa Miongoni mwa hio serikali kipensi. 😂😂😂 Hivyo visiwa unavitaja kuna gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho. Sasa kama wewe una policy hio ya kuijenga nchi kwa matabaka sawa.
Kuwemo kwenye serekali kwa othman masoud kuwa makamo wa kwanza kwanza nataka ufahamu sio takwa lake ni takwa la katiba halfu pia sisi wanachama wa act wazalendo ndo tumemtaka awepo yeye kwenye hioo serekali kwahyo pilipili usoila yakuwashia nini
@@aksamhisham9862😂😂😂 mbona utetezi wako ni wa kindeeeeezzzzzz sana .... Kwaiyo nyama ya nguruwe ni haramu ila mchuuzi anakunywa 😂😂😂 , hebu tumieni akili zenu vzr msiwe mazuzu kiasi chote icho 😂😂😂
@mwanangusana inaonesha ndugu zanzibar mgeni au bado mtoto kwaiyo kuwa kwanza utakuja kujuwa au tafuta unawo waona wanajuwa wakufunze hata tanganyika wapo wanaoijuwa zanzibar
Mungu atujaaliee atupee nusraa insha allah yakuichukuaa nchii hii kutokaa ktk ubeparii wa tanganyikaa
Wewe ndio rais unaetufaa kabisa kutuongoza kwenye mamalaka kamili ya Zanzibar❤❤❤❤ kura kwa Act wazalendo❤❤
Hakuna aliepewa nauli apo hakuna vikosi vya smz hakuna wanafunzi ni wananchi wapiga kura wanaotaka mabadiliko
🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉 Amin inshaallah naiwe hivyoo
Mungu atusimamiye inshaa allah
Wambie baba
Sahau kabisa haupati hata viti 2 si Unguja wala Pemba . Katika taka zilizokuwepo kumbuka pamoja nawewe kwamana ulikuwepo
iko siku. yao. mungu halali.
@@mozakhamis7253 mungu ni wa viumbe vyote usiongee as if hamna mabaya mnayo fanya ....
Mungu huweka baraka zake kwenye nia njema......... wengine wameficha nia zao mbaya ila usoni utaona kama wana nia njema ......
Ila Allah hapendi watu wanafiki
Wanasiasa wengi ni wanafiki sana ......
Wanao coment humu wengi wabaguzi unaona tu maneno yao watanganyika wanahusika nini hichi si chama Maalim kaondoka na kilakitu😊
Ubaguzi upo wapi
Wakati mnaoneshwa njia ya kuitafute Tanganyika yenu
Yan kama kuna uwezekano wa kupana no ya makamo nigil furahi sana
Wasiasa wetu du
Iitwe polisi ccm
ndungu zangu. maneno kwenye kutangazwa siku zote tunashinda. ila. hapo ndio tatizo. sasa lazima. tukishinda. tujitangaze wenyewe. tusingojee. tume. ni yanyani. lazima ampe ngendere.
Kweli kabisa
😂😂 Pimbi unachekesha
Juzi wakazidi kujichanganya,eti deni la taifa kwa wao ni la ndani tu la nje bara ndio wahusika,kwa io wasiambiwe wana deni kubwa,raisi makamo wa pili na waziri wao wa fedha hawaelewani wanasema nini
Nakukubali muhesmiwa unaongea ukweli siku zote ukweli utabakikua ukweli t
Nimefurahi sana kurudishwa mwinyi kugombea mana tumapiga penalt zetu mapemaaa wana act than kma kuna mechi ndio tutaicheza ikulu na mh othman masoud
ccm ni majibwa koko. tu.
Ccm hawajawh jushindwa wala hutowashinda unawalaghai vijan mwisho wake utaenda kujiunga na serekali ivo unayoikosowa haijafanya maendeleo lkn ww unakula mishahara wafuas wako unawacha mataa
Sw kafirweeeeee
Katika jambo walilofanikiwa CCM kwa watanzania ni kuwatia ujinga na wewe ndio one of their products
@@salyali7807😂😂😂 mbona km umekasirika
Kamuulize Mh. Balozi Ali Karume kama unajitoa fahamu...
@@AloukAlriyaamy Muulize wewe 😅😅... Kwan kupayuka kuna VAT c unajiropokea tu na wewe jiropokee tuu km yeye
Wanasiasa watu wa ajabu sana, sasa wewe mbona upo humo humo, kama kweli wewe ni msimamia wa haki usingekula kiapo ukawa Miongoni mwa hio serikali kipensi. 😂😂😂
Hivyo visiwa unavitaja kuna gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho. Sasa kama wewe una policy hio ya kuijenga nchi kwa matabaka sawa.
Kuwemo kwenye serekali kwa othman masoud kuwa makamo wa kwanza kwanza nataka ufahamu sio takwa lake ni takwa la katiba halfu pia sisi wanachama wa act wazalendo ndo tumemtaka awepo yeye kwenye hioo serekali kwahyo pilipili usoila yakuwashia nini
@aksamhisham9862 kujitoa au kukataa kwenye zulma hakumfanyi kuvunja katiba.
Hata hivyo ni ndoto kuingia ndani ya * Bermuda Tangle "
@@aksamhisham9862😂😂😂 mbona utetezi wako ni wa kindeeeeezzzzzz sana .... Kwaiyo nyama ya nguruwe ni haramu ila mchuuzi anakunywa 😂😂😂 , hebu tumieni akili zenu vzr msiwe mazuzu kiasi chote icho 😂😂😂
@@aksamhisham9862 acha kujichanganya wewe .... Ni takwa la katiba au nyinyi wanachama 🤣🤣🤣.... Mwache anywe mchuuzi nyama ni haramu 🤣😂
@@mwanangusana mbona yule alieitwa na Muumba aligoma kuingia kwenye zulma ya mwaka 20015, na ni yeye nde aliyarithi makubadhi yake.
Acha unafk ccm haikup nch at iweje
Acha kupanic, unafki upi hapo ameongea? 😅
Sawa hawatoi ila kumbuka mwenye uwezo ni Allwah pekoe yake wew panic 2
Sasa ww utafanya nn?
Atayatowa mijakazi ya kitanganyika ilio jaa mitaani inauza nyuchi
Hio iitwe polccm majuha
Mbona Wazenji wanajazana huku bara?! 😅😅😅
Shida zenu watanganyika hamna akili mukija Zanzibar hamuhishim tamaduni munauza nyuchi na utapeli ndio maana hatuwataki
@@JCMaxima tena tupo wengi sana , wala hamtubagui .
sasa nvombo. vahaları ni vingi. hakuna haja. yakusibiri tume. yauchanguzi hilo ni muhimu mno
Tunaomba kiwanda Cha maziwa Pemba muheshimiwa makam omo
Sasa Muheshimiwa wewe pia Makamo wa Kwanza wa Rais tumekuamini wananchi kama watu wanaiba serekalini kwanini huchukuwi hatuwa unasubiri nini????
Anapambna ila makamo wa kwanza inakua Hana nguvu yoyote kweny serekali Bora Sheha anaskilzwa
Wewe papai kweli wewe unafikiri chini ya Mwinyi kibaraka wa watanganyika atafanya Nini,
Wewe wawapi hivi ccm unawajuwa,au unawasikiya.waka hawahitaji kuambiwa,hivi kweli utawambiya nn majambazi wakati wanakuwinda
Mbona km mna mtetea 😂😂😂 wakati na yeye yupo humo umo ... Na mawaziri anao kutoka chama chake ..... Nyama ya nguruwe haramu lakini mchuzi anakunywa 😅😅
@mwanangusana inaonesha ndugu zanzibar mgeni au bado mtoto kwaiyo kuwa kwanza utakuja kujuwa au tafuta unawo waona wanajuwa wakufunze hata tanganyika wapo wanaoijuwa zanzibar