Deen Khaalis
Deen Khaalis
  • 203
  • 160 290
Umuhimu wa Tawhid - Sheikh Suleiman Ar Ruhaily
Umuhimu wa Tawhid; swali muhimu na la kina sana, swali la kuhusu siri ya maisha. swali la kuhusu lengo la kuumbwa kwetu. swali la kwanini Allah alituumba. Haki ya Allah aluyetukuka na kutakasika. Haki yake ni kubwa kuliko haki zote. Jambo ambalo ndani yake ndio mnao amani: amani ya fikra, amani ya itikadi, amani ya mfumo wa maisha [manhaj], amani katika maisha yote, {Wale ambao walioamini na changanye imani yao na dhuluma [ya shirki], hao ndio wenye amani na ndio walioongoka} [Al-An'aam: 82].
Iwapo Waislamu watalelewa juu ya Tawhid, basi kwa idhini ya Allah hautawaogopea kupotoka wala kunyakuliwa na mpotevu yeyote, tofauti na wengine.
Sheikh Suleiman Ar Ruhaily
=========================================
Follow Us on:
◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis
◉ Telegram: t.me/deenkhaalis
◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks
◉ Instagram: deenkhaalis
◉ Twitter: deenkhaalis
=========================================
To Donate for Da'awah programs:
GULF-AFRICAN BANK
Account No. 0870006001
Branch-Lamu
Bank Code-072
Branch code-007
Shift code-GAFRKENA
-----------------------------------
MPESA PAYBILL:
Business number: 7146169
Account: either your name or phone number.
Confirmation name: IMAM MUSLIM CENTER COMMUNITY BASED ORGANISATION
___________________________________________________
© Deen Khaalis (Da'awatu t-Tawheed)
Переглядів: 198

Відео

[1] JE, YUPO ALIYEKUUMBA?
Переглядів 2493 місяці тому
HII NI SILSILA YA KUITAMBULISHA DINI YA HAKI KUPITA MASWALI NYETI. KUWA MKWELI NA NAFSI YAKO, NA KUWA MUADILIFU KATIKA KUZIKAGUA HOJA. KILA LA HERI. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: deenkhaalis To Donate for Da'awah programs: GULF-...
ATHARI YA TAWHID SIKU YA EID
Переглядів 1634 місяці тому
Hii ni nasaha fupi juu ya umuhimu na athari njema za Tawhid juu ya mtu wa Tawhid ndani ya siku ya Eid, kutoka kwa sheikh Arif ibni Mizyad As-Suheimy, aliyoiandika mnamo tarehe 30 ya Ramadhani ya mwaka wa 1445h, sawiya na tarehe 9 Aprili 202 Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: instagr...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 8
Переглядів 264 місяці тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Kitabu cha Sheikh Ibnu Baaz Halaqa 8 Msomeshaji: Sheikh Nurein ibnu Uthmaan Al-Jabarty Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deen...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 7
Переглядів 98Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 6
Переглядів 34Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 5
Переглядів 42Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 4
Переглядів 28Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 3
Переглядів 33Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ, HALAQA 2
Переглядів 34Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
UJUMBE MFUPI JUU YA SAUMU, IBNU BAAZ - HALAQA 1
Переглядів 75Рік тому
Huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz Allah amrehemu, uliobeba mafunzo kuhusu fadhila za Saumu na baadhi ya hukumu zake ambazo huenda zikawa zimefichana mbele ya wengi kati ya Waisilamu. Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: d...
Ifanye Ramadhani Hii Kama Ndio ya Mwisho
Переглядів 512Рік тому
Sheikh Abdur-Razzaq al-Badr (Allah amuhifadhi). "...ukiifikia Ramadhani hii, usingojee Ramadhani nyingine. Sema, “pengine hii ndio Ramadhani ya mwisho katika maisha yangu". ndio nafsi ijitahidi zaidi na zaidi na kufaidi Ramadhani hii, ambayo pengine unaweza usiipate nyingine." Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaali...
Jibu kwa Wanaosema Kaburi la Mtume ﷺ Lipo Ndani ya Msikiti wake
Переглядів 697Рік тому
Abu Isa, Muhammad Bin Isa. Kujibu Shubha Ya Wenye Kusema Kaburi La Mtume ﷺ Lipo Ndani Ya Msikiti Wake. 🕌 Masjid Khairat. Jumatatu, 29/07/1444 - 20/02/2023 Follow Us on: ◉ UA-cam: ua-cam.com/users/DeenKhaalis ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: deenkhaalis To Donate for Da'awah programs:...
Ulamaa wa Kisunni Wamesemaje Kuhusu Ushia na Mashia?
Переглядів 179Рік тому
Sheikh Nurein ibnu Uthmaan. Link: t.me/deenkhaalis/599 Follow Us on: ◉ Whatsapp: chat.whatsapp.com/FzGbMympMtoDPWmV9aO3z1 ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: deenkhaalis To Donate for Da'awah programs: GULF-AFRICAN BANK: Account No. 0870006001 Branch-Lamu . Bank Code-072 Branch code-007...
JE MASHIA NI WAISLAMU? SIKIZA JIBU VITABUNI VYAO WENYEWE
Переглядів 403Рік тому
Sheikh Nurein ibnu Uthmaan. Link: t.me/deenkhaalis/596 Follow Us on: ◉ Whatsapp: chat.whatsapp.com/FzGbMympMtoDPWmV9aO3z1 ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis ◉ Facebook: m. deenkhaalis/?ref=bookmarks ◉ Instagram: deenkhaalis ◉ Twitter: deenkhaalis To Donate for Da'awah programs: GULF-AFRICAN BANK: Account No. 0870006001 Branch-Lamu . Bank Code-072 Branch code-007...
MSIDANGANYWE! ANAYEWATUKANA MASWAHABA NI KAFIRI
Переглядів 187Рік тому
MSIDANGANYWE! ANAYEWATUKANA MASWAHABA NI KAFIRI
Je Mwanamke Ajifunze Nini Katika Elimu ya Dini?
Переглядів 213Рік тому
Je Mwanamke Ajifunze Nini Katika Elimu ya Dini?
Nasaha Muhimu Kabla ya Eid al Adhha
Переглядів 5712 роки тому
Nasaha Muhimu Kabla ya Eid al Adhha
Hukmu ya Mwenye Kuacha Swala
Переглядів 1,9 тис.2 роки тому
Hukmu ya Mwenye Kuacha Swala
Dua ya Kuingia Chooni pamoja na Kisa cha Sheikh bin Baaz
Переглядів 4872 роки тому
Dua ya Kuingia Chooni pamoja na Kisa cha Sheikh bin Baaz
Wasia Muhimu Sana Kutoka Kwa Mtume
Переглядів 3042 роки тому
Wasia Muhimu Sana Kutoka Kwa Mtume
Kabla Kutega Sikio Kumsikiliza Mtu, Jiulize Haya!
Переглядів 7692 роки тому
Kabla Kutega Sikio Kumsikiliza Mtu, Jiulize Haya!
KUBATILISHA KAZI YA WAFISIDIFU
Переглядів 4512 роки тому
KUBATILISHA KAZI YA WAFISIDIFU
Mtume Alipopita Kwenye Kaburi Alisema Nini? Utatamani Ungejua Mapema!
Переглядів 8462 роки тому
Mtume Alipopita Kwenye Kaburi Alisema Nini? Utatamani Ungejua Mapema!
Ubainifu Wa Hakika Iliofichwa na semina iliodaiwa
Переглядів 6622 роки тому
Ubainifu Wa Hakika Iliofichwa na semina iliodaiwa
Daraja za Kufunga Ashuraa
Переглядів 2673 роки тому
Daraja za Kufunga Ashuraa
Haya Ndio ya Kufanywa Katika Mwezi wa Muharram
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Haya Ndio ya Kufanywa Katika Mwezi wa Muharram
Faida Mbalimbali Kutoka Kisa Cha Yusuf - [Darsa 7]
Переглядів 1493 роки тому
Faida Mbalimbali Kutoka Kisa Cha Yusuf - [Darsa 7]
Dua Ya Mvua Na Sheria Za Mvua
Переглядів 6683 роки тому
Dua Ya Mvua Na Sheria Za Mvua
NEEMA YA MVUA
Переглядів 1333 роки тому
NEEMA YA MVUA

КОМЕНТАРІ

  • @UbahAbdulahi-j2q
    @UbahAbdulahi-j2q 7 днів тому

    Maahukumu taraka saum

  • @aminasuleiman9648
    @aminasuleiman9648 Місяць тому

    Shukrani kwa ukumbusho

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 місяці тому

    Mashia ni waislamu, hata sisi ahlul sunna tunayo chungu nzima ya kufuru, icho kitabu cha Al kaf ambacho kimeandikwa na kuleny kimeradiwa na wanavyuoni wakubwa wa kishia sio kama mashia wote wamekubaliana nae

  • @user-jp6dt2ey8p
    @user-jp6dt2ey8p 2 місяці тому

    kwani hizo pete nawanawake wanaruhusiwa kuvaa

  • @neemahalima5440
    @neemahalima5440 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 3 місяці тому

    MashaAllah Alhamdulillah I'm a Muslim ☝️🕌♥️♥️♥️

  • @HusnaSultan-pz9ep
    @HusnaSultan-pz9ep 3 місяці тому

    🤝🏼

  • @MuhammadSalim-gd5bb
    @MuhammadSalim-gd5bb 3 місяці тому

    رفع الله قدرك د.أبا عثمان نورين وحماك من كل سوء، ووفقك،وأعانك على نفع المسلمين.

  • @abdimajidadan960
    @abdimajidadan960 3 місяці тому

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته أجزاكم الله خير الجزاء يا شيخنا حفظكم الله لقد أفادنا

  • @khadijaramadhani5562
    @khadijaramadhani5562 4 місяці тому

    Jazzakallah khair

  • @majdimpaka1079
    @majdimpaka1079 4 місяці тому

    Shukran sn ostaz nimejifunxa sana kupitia hili

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 5 місяців тому

    Shukran baraka Allah fiyk

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 6 місяців тому

    Usiokote kitabu chochote tu kwa sababu ya chuki za kisaudi arabia .

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 6 місяців тому

    Watu wanasema barrakallah fikum ,kitabu kimeandikwa na nani,?

  • @user-ob2ye5xf6f
    @user-ob2ye5xf6f 7 місяців тому

    Cfaatczdu

  • @samy_shyreenrashid2289
    @samy_shyreenrashid2289 8 місяців тому

    Allahumma barik

  • @abubakarabdulrahman286
    @abubakarabdulrahman286 9 місяців тому

    ALLAH AKUHIFADHI HAVIIBYY

  • @khalifakhalifah-zm6xs
    @khalifakhalifah-zm6xs 10 місяців тому

    Asant shekh wangu Allah akujarie

  • @ju-laskanyinda5831
    @ju-laskanyinda5831 11 місяців тому

    De

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 11 місяців тому

    Mashaallah

  • @saganarajab8318
    @saganarajab8318 Рік тому

    Wew wataka kujulikana njoo tuketii chini . Ule ni ulamaa mkubwa na hakusema (Shia)

  • @MuhammadHassan-vx7eo
    @MuhammadHassan-vx7eo Рік тому

    Barakallahu fiik

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 Рік тому

    As salam aleikum warahmatullah wabarakatuh,yaani sheikh umeanza kwa kutotoa salamu ulipoanza mada yako. 2.umekosea kwa madai yako kwa maana imetumika sehemu nyingi faatwima aleiyha Salam,imam Ali aleihi salam katika Bukhari,sasa ukisema ni mambo ya bidaa basi imam bukhari ambaye mnapokea hadithi zake zitakuwa amewazushia hao akaraba zake mtume s.a.w. 3.Nasswi za hizo hadithi katika upokezi wake ni sahihi kwamba hao Imam Ali na mkewe ilitumika Aleiyhim Salam. 4.Mnaichukia AHLUL BAYT Aleiyhim Salam wakati kwao wao ndio inatumika Aleiyhim Salam. 5.Madai yako kuwa nussakh ndio wenye kuongeza aleihi salam ni ya uwongo peupe.

  • @anwarmohammed8009
    @anwarmohammed8009 Рік тому

    Nyinyi ni wanafiki mwataka tufate wanazuoni weni ambao ni mawahabi hayo unayo sema kuhusu fir'aun itikadi zenu za utatu ndio mwamini fir'aun amekufa na imani na mengi sanaaa

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529

    Maadui wa uislamu nyie hapo ndio mnaradi kitu gani alimradi midomo yenu hamuezi kukaa bila kutusi watu

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 Рік тому

    Shukran baraka Allah fiiyk

  • @abubakarabdallah9224
    @abubakarabdallah9224 Рік тому

    Baraka llaahu fiik

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉Shukraaann 🎉🎉🎉

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 Рік тому

    Baraka Allah fiiyk

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 Рік тому

    Jazaka Allah kheir sheikh

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 Рік тому

    Shukran baraka Allah fiiyk sheikh

  • @muhammadgadham2321
    @muhammadgadham2321 Рік тому

    وفقك الله أخي الغالي أبا عيسى، نفع الله بك الإسلام والمسلمين، وحماك من كل سوء

  • @abubakarmuqaddam9845
    @abubakarmuqaddam9845 Рік тому

    بارك الله فيك يا شيخنا نرين

  • @egandurya8459
    @egandurya8459 Рік тому

    Amiin

  • @abulhassanchannel2741
    @abulhassanchannel2741 Рік тому

    جزاك الله خيرا ياسيخنا الله يحفظك وبارك عليك في علمك

  • @mariamuimamu4203
    @mariamuimamu4203 Рік тому

    Aamin yaalaby

  • @aysharashid1049
    @aysharashid1049 Рік тому

    Walleykum assallahm

  • @abujaffar2153
    @abujaffar2153 Рік тому

    Msiojua tarekh mtaona ni raddi kwa sheikh aweso lkn sivyo ilivyo hapa ni mapambano yaendelea kati ya bani ummaya dhidi ya ahlul bayt

  • @abujaffar2153
    @abujaffar2153 Рік тому

    Shukran mfuasi wa bani ummaya kwaku endeleza mapambano dhidi ya hashim

  • @abujaffar2153
    @abujaffar2153 Рік тому

    Sheikh jua ya kua hii si raddi kwa sheikh Aweso bali ni kwa ahlul bayt, hapa twaona wazi uwahabi ni ufuasi wa bani ummaya kwani hao ndio waliokua maadui wa familia ya bw, mtume saww bila haya mwayaedeleza mapambano

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq 2 роки тому

    Hizi Deen Khalis wanafiq nafkiri ndio wanao tumwa na makafiri kuwagombanisha mashekhe wamewafanya mashekhe wamekua wasanii

  • @hgfivcj1832
    @hgfivcj1832 2 роки тому

    Waleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @Lee-jx7zk
    @Lee-jx7zk 2 роки тому

    Mashaallah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Jazakallahu khaillah mashehe zetu

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому

    Hakika sheikh

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 роки тому

    Allah akuongozeee

  • @abidunamasheshe7693
    @abidunamasheshe7693 2 роки тому

    Jazakallah

  • @abuuabdulrahman2004
    @abuuabdulrahman2004 2 роки тому

    Baraka Allah fiiyk

  • @jumazahrani2239
    @jumazahrani2239 2 роки тому

    Afwan sheikh naomba kukuuliza wew uko mombasa sehemu gni

  • @jumazahrani2239
    @jumazahrani2239 2 роки тому

    Mashallah