Assalamu aleykum sheikh, umetutupa sana kwa siku nyingi sisi tunaofaidika kwa durus zako na shaykh Muhammad issa. Wengine wetu tuko miji ya mbali na kwa hakika ni durus/khutba zenu ndio hutufaidi. Allah awahifadhi na awazidishie kwa Kila lenye kheri. Ameen.
Shughuli zimetusonga, kufanya kazi mbili: kutoa daawa na kuedit; imekuwa ngumu, na pia uhaba wa man power na equipments umechangia, ila twatarajia kheri, twamuomba Allah atufanyie wepesi na atubarikie katika wakati. In shaa Allah juhudi itazidi karibuni.
Jazakallah kheir. Nimefaidika sana na hii video. Ningeomba Sheikh Nurein ukithirishe kuweka video kama hizi ili tuzidi kupata kuelimika.
Assalamu aleykum sheikh, umetutupa sana kwa siku nyingi sisi tunaofaidika kwa durus zako na shaykh Muhammad issa. Wengine wetu tuko miji ya mbali na kwa hakika ni durus/khutba zenu ndio hutufaidi. Allah awahifadhi na awazidishie kwa Kila lenye kheri. Ameen.
Shughuli zimetusonga, kufanya kazi mbili: kutoa daawa na kuedit; imekuwa ngumu, na pia uhaba wa man power na equipments umechangia, ila twatarajia kheri, twamuomba Allah atufanyie wepesi na atubarikie katika wakati.
In shaa Allah juhudi itazidi karibuni.
@@DeenKhaalis in shaa Allah