Mtume Alipopita Kwenye Kaburi Alisema Nini? Utatamani Ungejua Mapema!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Mtume (ﷺ) alisema nini alipopita kaburi iliofukiwa karibuni? Baada ya kujua hili, fanya bidii kulitendea kazi; kwani ni bora kuliko dunia na kila kilichomo ndani yake. Swala za sunnah kama alivyotufunza Mtume ni muhimu sana, Maiti watatamani fursa hii, kwa hivyo ndugu muislamu chukua fursa yako kabla ikuponyoke. Allah atuafikie sote. Amiin
    Sheikh Muhammad bin Isa
    Imechukuliwa kutoka Khutba ya Ijumaa:
    Mada ya Khutba: Matamanio Ya Maiti
    Tarehe: 21/07/1442H - 05/03/2021M
    Link: t.me/sheikh_bi...
    =========================================
    Follow Us on:
    ◉ UA-cam: www.youtube.com...
    ◉ Telegram: t.me/deenkhaalis
    ◉ Facebook: m.facebook.com...
    ◉ Instagram: / deenkhaalis
    ◉ Twitter: / deenkhaalis
    =========================================
    To Donate for Da'awah programs:
    GULF-AFRICAN BANK
    Account No. 0870006001
    Branch-Lamu
    Bank Code-072
    Branch code-007
    Shift code-GAFRKENA
    -----------------------------------
    MPESA PAYBILL:
    Business number: 7146169
    Account: either your name or phone number.
    Confirmation name: IMAM MUSLIM CENTER COMMUNITY BASED ORGANISATION
    ___________________________________________________
    © Deen Khaalis (Da'awatu t-Tawheed)

КОМЕНТАРІ • 2