Umuhimu wa Tawhid - Sheikh Suleiman Ar Ruhaily
Вставка
- Опубліковано 16 гру 2024
- Umuhimu wa Tawhid; swali muhimu na la kina sana, swali la kuhusu siri ya maisha. swali la kuhusu lengo la kuumbwa kwetu. swali la kwanini Allah alituumba. Haki ya Allah aluyetukuka na kutakasika. Haki yake ni kubwa kuliko haki zote. Jambo ambalo ndani yake ndio mnao amani: amani ya fikra, amani ya itikadi, amani ya mfumo wa maisha [manhaj], amani katika maisha yote, {Wale ambao walioamini na changanye imani yao na dhuluma [ya shirki], hao ndio wenye amani na ndio walioongoka} [Al-An'aam: 82].
Iwapo Waislamu watalelewa juu ya Tawhid, basi kwa idhini ya Allah hautawaogopea kupotoka wala kunyakuliwa na mpotevu yeyote, tofauti na wengine.
Sheikh Suleiman Ar Ruhaily
=========================================
Follow Us on:
◉ UA-cam: www.youtube.com...
◉ Telegram: t.me/deenkhaalis
◉ Facebook: m.facebook.com...
◉ Instagram: / deenkhaalis
◉ Twitter: / deenkhaalis
=========================================
To Donate for Da'awah programs:
GULF-AFRICAN BANK
Account No. 0870006001
Branch-Lamu
Bank Code-072
Branch code-007
Shift code-GAFRKENA
-----------------------------------
MPESA PAYBILL:
Business number: 7146169
Account: either your name or phone number.
Confirmation name: IMAM MUSLIM CENTER COMMUNITY BASED ORGANISATION
___________________________________________________
© Deen Khaalis (Da'awatu t-Tawheed)