AJENDA YA AKINAMAMA KWENYE SEKTA YA UVUVI YAPIGIWA DEBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Serikali imesema itaendelea kuiweka ajenda ya akinamama kwenye Sekta ya Uvuvi kuwa miongoni mwa ajenda zitakazokuwa zikipewa kipaumbele kutokana na umuhimu wake katika kukuza uchumi wa nchi.
    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Edwin Mhede amebainisha hayo (05.11.2024) Mjini Kigoma, wakati akifungua mkutano mkuu wa pili wa Jukwaa la Akinamama Wanaojishulisha na Shughuli za Uvuvi nchini (TAWFA), ambapo amesema kwa kufanya hivyo akinamama wataweza pia kuchangia kipato katika kaya zao.

КОМЕНТАРІ •