Dkt. Kijaji aanika mikakati ya mapinduzi ya sekta ya Mifugo nchini!
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuelekea mapinduzi makubwa katika Sekta ya Mifugo, miongoni mwa mambo muhimu ni wafugaji kuogesha mifugo yao ili kuwa bora na sekta hiyo kuchangia zaidi katika pato la taifa.
Mhe. Dkt. Kijaji amebainisha hayo leo (11.01.2025) wakati alipokuwa akizindua josho la kuogesha mifugo lililopo Kijiji cha Elerai Kata ya Kibirashi, Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga, ambapo amesema serikali itaendelea kujenga majosho ili kuhakikisha mifugo inakuwa bora dhidi ya magonjwa.
Asante mama
Mama njooo wilayani malinyi shida nyingi za wafugaji majosho yametelekezwa nadawa za luzuku zipo