Mashindano ya Kupiga Makasia yafana Kagera!
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwasa ameongoza wananchi wa mkoa huo kwenye mashindano ya kupiga makasia yaliyofanyika leo Oktoba 15, 2024 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya chakula Duniani yanayoendelea mkoani humo.