Tanzanite Digital
Tanzanite Digital
  • 50
  • 115 966
Usianze Biashara Mtandaoni Kabla Hujaangalia Video Hii #winningproducts
Katika video hii, tunakufundisha mbinu rahisi ya kutumia Facebook Ads Library ili kugundua bidhaa zinazotrend (winning products). Utajifunza jinsi ya kuchambua matangazo bora, kuelewa mikakati ya washindani wako, na kupata mawazo mapya kwa ajili ya biashara yako ya e-commerce au dropshipping. Hakikisha unaangalia hadi mwisho kwa vidokezo maalum vitakavyokusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara!
📞 Maswali? Tutafute kupitia WhatsApp: 0747 177 677
✅ WhatsApp Channel: whatsapp.com/channel/0029VaFOBq20gcfOmI2NA00C
✅ Instagram: tanzanitedigital
✅ LinkedIn: www.linkedin.com/company/tanzanite-agency
✅ Website: www.tanzaniadigital.com
🔥 Kama umependa video hii, fanya ku-Subscribe, Like na Share!
▶ Subscribe hapa: 👉 www.youtube.com/@tanzanitedigital/?sub_confirmation=1
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
▶ Video zilizotajwa katika Tutorial Hii 👇🏼
👉 Jinsi ya kununua bidhaa Alibaba: ua-cam.com/video/I6GB4P-zZs0/v-deo.html
👉 Sifa za bidhaa nzuri na njia ya kuzipata: ua-cam.com/video/gJZMArsG7Gw/v-deo.html
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
fursa #mtandaoni #biashara #matangazo #jinsiyakufanikiwa #kazizamtandaoni freelancing #tipsforfreelancing #startfreelancing #howtobecomeafreelancerforbeginnersin2023 #howtobecomeafreelance #howtobecomeafreelancerforbeginners #alibaba #china #entreprenuer #aliexpress #jinsiyakununuachina #jinsiyakununuaalibaba #biasharachina #biasharayanguo #biasharayavyombo #silentocean #WinningProducts #FacebookAdsLibrary #DropshippingTips #EcommerceStrategies #DigitalMarketing #OnlineBusiness #ProductResearch #FacebookAdsTips #HowToFindWinningProducts #BiasharaMtandaoni #JifunzeKuuza #MarketingHacks
Переглядів: 264

Відео

Millioni 5 Kila Mwezi Na Biashara Ya Kuuza Nguo Mtandaoni #fursa #biashara
Переглядів 2592 місяці тому
Unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza milioni 5 kila mwezi kupitia biashara ya kuuza nguo mtandaoni? Katika video hii, nakushirikisha hatua kwa hatua jinsi ya kuanza, kuuza, na kukuza biashara yako ya nguo mtandaoni kwa mafanikio makubwa. 👉 Bonyeza subscribe, like, na toa maoni yako. 👉 Tafadhali share video hii ili kuwasaidia wengine! 📞 Maswali? Tutafute kwenye WhatsApp: 0747 177 677 ✅ WhatsAp...
Kuepuka Utaperi Alibaba China, Angalia video hii kwa umakini #alibaba #kuagizachina #tanzania
Переглядів 1,3 тис.3 місяці тому
Jiunge nasi katika kuangalia mambo muhimu ya kuzingatia kuepuka utaperi au kupoteza pesa katika kuagiza bidhaa China online Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete...
Kufuta Madeni Na Account Zilizofungiwa | Facebook & Instagram Sponsored Ads #metaads #facebookads
Переглядів 1243 місяці тому
Angalia video zetu nyingine kujifunza: Jinsi ya kutengeneza business manager: ua-cam.com/video/Qrbaft3dl4A/v-deo.html Jinsi ya kutoa pesa Upwork au Fiverr: ua-cam.com/video/FagkJnATWnw/v-deo.html Follow Platforms Zetu Nyingine: 👇 ✅ WhatsApp Channel: whatsapp.com/channel/0029VaFOBq20gcfOmI2NA00C ✅ Instagram: tanzanitedigital ✅ LinkedIn: www.linkedin.com/company/tanzanite-agency Enj...
Mambo Muhimu Ya Kufanya Kabla ya Kurusha/Kuboost Tangazo Faceboook & Instagram #facebookads
Переглядів 2463 місяці тому
▶ Jinsi ya kutengeneza business manager: ua-cam.com/video/Qrbaft3dl4A/v-deo.html ▶ Jinsi ya kuunganisha Facebook & Instagram Page: ua-cam.com/video/FBgbDz9tYJU/v-deo.html ▶ Jinsi ya kutoa pesa Upwork au Fiverr: ua-cam.com/video/FagkJnATWnw/v-deo.html ▶ Jipatie nakala ya kitabu chetu cha Mwongozo kamili wa matangazo ya facebook: tanzanitedigital.com/product/matangazo-ya-facebook-mwongozo-kamili/...
Jinsi Ya Kuunganisha Page Ya Facebook & Instagram #sponsoredads #metaads
Переглядів 1563 місяці тому
Kabla hujaanza kurusha matangazo ya Facebook na Instagram (Meta ads), kuna mambo muhimu mawili unayopaswa kuzingatia ili kufanikisha unatumia platform hizi with full advantage. Jifunze ziadi: 👇 ✅ Full course kurusha matangazo ya Meta: ua-cam.com/video/B29sV1QloW0/v-deo.html ✅ Jipatie Pesa Kama Facebooks Ads Manager: ua-cam.com/video/tGs2iIQVNXI/v-deo.html Follow Platforms Zetu Nyingine: 👇 ✅ Wha...
Tumefungua Bidhaa Kutoka China Alibaba, Jifunze Kila Kitu Kuagiza Hadi Kupokea Bidhaa #alibaba
Переглядів 1,7 тис.4 місяці тому
Tumegiza Bidhaa China (Alibaba) na imetufikia sasa Karibu kujiunga nasi katika kuangalia hatua muhimu katika ununuzi wa bidhaa China kiusahihi hadi kukufikia, hapa tutaangalia ubora wa bidhaa, muda ulitufikia na ushauri wangu kwako. Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, be...
Maswali Yako Yote Yamejibiwa Hapa, Kununua Alibaba Na Aliexpress China
Переглядів 2 тис.5 місяців тому
Jiunge nasi katika kuangalia maswali muhimu katika ununuzi wa bidhaa China kiusahihi hadi kukufikia nchini kwako. Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/shop Karibu Tanzanite Digital ambapo, tuj...
Jinsi Ya Kuchunguza Matangazo (sponsored ads) za Wafanyabiashara Wengine #metaads #matangazo
Переглядів 2097 місяців тому
Katika video hii tunaangalia namna sahihi unaweza chunguza matangazo ya mitandaoni ya kijamii (Facebook & Instagram) Njia hii itakusaidia kuweza kutambua bidhaa na matangazo yanayofanya vizuri ambapo itaweza kukupa mwongozo wa kuboresha matangazo yako na kujua winning products. Jifunze ziadi: 👇 ✅ Jinsi ya kuanza Freelancing: ua-cam.com/video/hKz2QxIfDUg/v-deo.html ✅ Jipatie Pesa Kama Facebooks ...
Usitumie Paypal! Jifunze Njia Mbadala Kupokea Pesa Nje Ya Nchi. #paypal #pesapal #biashara #malipo
Переглядів 1,6 тис.8 місяців тому
Katika video hii tunaangalia njia sahihi ya kupokea pesa ukiwa Tanzania au nchi amabyo haina malipo ya paypal.. Na njia hiyo ni Pesapal Payments, kuna namna nyingi ya kupokea pesa kuja Tanzania lakini video ya leo ita-base zaidi kwa malipo ya namna hii haswa kwa wafanyabiashara, makampuni na freelancers wapya au mtu yeyote yule. Jifunze ziadi: 👇 ✅ Jinsi ya kuanza Freelancing: ua-cam.com/video/h...
Mtaji na Kanuni Za Kuanza Biashara Kwa Kuagiza Bidhaa China Kwa Mtaji Mdogo #alibaba #biashara
Переглядів 3,7 тис.10 місяців тому
Jiunge nasi katika kuchunguza hatua muhimu katika ununuzi wa bidhaa kutoka China kwa mitaji midogo na kuanzisha biashara nchini kwako. Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzan...
Jinsi Ya Kuagiza Bidhaa Alibaba (China) Hatua Kwa Hatua Kwa Simu (App) #alibaba #china
Переглядів 14 тис.Рік тому
Jiunge nasi katika kuchunguza hatua muhimu katika ununuzi wa bidhaa China kiusahihi hadi kukufikia nchini kwako. Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/ Karib...
Jinsi Ya Kutoa (withdraw) Pesa Upwork Na Fiverr Freelancing | How To Withdraw Money From Upwork
Переглядів 553Рік тому
Jinsi Ya Kutoa (withdraw) Pesa Upwork Na Fiverr Freelancing | How To Withdraw Money From Upwork
Kozi Kamili Ya Facebook Ads | Matangazo Ya Facebook & Instagram | Free Facebook Ads Couse
Переглядів 1 тис.Рік тому
Kozi Kamili Ya Facebook Ads | Matangazo Ya Facebook & Instagram | Free Facebook Ads Couse
Aina (3) za Biashara Unaweza Kuanza Kama Mjasiriamali Mdogo Au Mwanafunzi | Business Types To Start
Переглядів 561Рік тому
Aina (3) za Biashara Unaweza Kuanza Kama Mjasiriamali Mdogo Au Mwanafunzi | Business Types To Start
Namna Ya Kuingiza Hadi Sh. Millioni Mbili (2) Kwa Mwezi Kupitia Alibaba #china #alibaba #aliexpress
Переглядів 2,2 тис.Рік тому
Namna Ya Kuingiza Hadi Sh. Millioni Mbili (2) Kwa Mwezi Kupitia Alibaba #china #alibaba #aliexpress
Bei Za Kusafirisha Bidhaa Kutoka China Hadi Tanzania. #alibaba #china #aliexpress
Переглядів 13 тис.Рік тому
Bei Za Kusafirisha Bidhaa Kutoka China Hadi Tanzania. #alibaba #china #aliexpress
Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China)? Elewa kwa Undani Zaidi.
Переглядів 4,3 тис.Рік тому
Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China)? Elewa kwa Undani Zaidi.
Bidhaa Zitakazo Kuingizia Mamilioni Kwenye Biashara Yako (Winning Products)
Переглядів 3,4 тис.Рік тому
Bidhaa Zitakazo Kuingizia Mamilioni Kwenye Biashara Yako (Winning Products)
Jinsi Ya Kutengeneza Facebook Business Page Na Logo
Переглядів 499Рік тому
Jinsi Ya Kutengeneza Facebook Business Page Na Logo
Jinsi Ya Kuagiza Bidhaa Alibaba (China) Hatua Kwa Hatua (Kwa mtu yeyote)
Переглядів 26 тис.Рік тому
Jinsi Ya Kuagiza Bidhaa Alibaba (China) Hatua Kwa Hatua (Kwa mtu yeyote)
Elewa Kwanini Matangazo Yako Hayauzi Facebook & Instagram | Jifunze Digital Marketing
Переглядів 278Рік тому
Elewa Kwanini Matangazo Yako Hayauzi Facebook & Instagram | Jifunze Digital Marketing
Steps Kuu Muhimu Kabla Ya Kuanza Digital Marketing! USIKOSE!
Переглядів 253Рік тому
Steps Kuu Muhimu Kabla Ya Kuanza Digital Marketing! USIKOSE!
Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni
Переглядів 994Рік тому
Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni
Jinsi Ya Kupata Order Fiverr, Jifunze Freelancing Leo!
Переглядів 857Рік тому
Jinsi Ya Kupata Order Fiverr, Jifunze Freelancing Leo!
Jinsi Ya Kutengeneza Picha Kwa Ai (Artificial Intelligence)
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
Jinsi Ya Kutengeneza Picha Kwa Ai (Artificial Intelligence)
Wateja wako wapi? Instagram au Facebook?
Переглядів 342Рік тому
Wateja wako wapi? Instagram au Facebook?
Jifunze Dropshipping! Biashara Inayovutia Zaidi Duniani 💻💰
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
Jifunze Dropshipping! Biashara Inayovutia Zaidi Duniani 💻💰
Siri Ya Matangazo Ya Facebook & instagram | Fanya Hivi Kupata Wateja Wengi Na Kuuza Bidhaa Haraka!
Переглядів 1,9 тис.Рік тому
Siri Ya Matangazo Ya Facebook & instagram | Fanya Hivi Kupata Wateja Wengi Na Kuuza Bidhaa Haraka!
Jinsi Ya Ku-Fix Facebook Au Instagram Business Acc Zilizofungiwa (Banned)
Переглядів 296Рік тому
Jinsi Ya Ku-Fix Facebook Au Instagram Business Acc Zilizofungiwa (Banned)

КОМЕНТАРІ

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 3 дні тому

    Hongera kijana ni elim nzuriii

  • @husseinhamisi1312
    @husseinhamisi1312 5 днів тому

    Hellow broo naomba mawasiliano yako

  • @NoshardEdward-d2d
    @NoshardEdward-d2d 7 днів тому

    nashukuru nimejifunza vizurii namna ya kuanza upwork..lakin nilikua naomba kama ningeweza kuwasiliana na wew private..

  • @BrianGodfrey-i1k
    @BrianGodfrey-i1k 7 днів тому

    Bro naomb namb ako ya WhatsApp

  • @BrianGodfrey-i1k
    @BrianGodfrey-i1k 7 днів тому

    Bro naomb namb ako ya WhatsApp

  • @lilianchamungu6691
    @lilianchamungu6691 8 днів тому

    Naomba namba yako kiongoz

  • @KennyZoo-l6i
    @KennyZoo-l6i 9 днів тому

    ipo safii san🙏🙏

  • @SuzanKapugi
    @SuzanKapugi 9 днів тому

    Nahitaji maongezi kidog na wew

  • @hussenimola283
    @hussenimola283 12 днів тому

    inakuaje broh.. samahan naomba nisaidie iyo pdf yote unayotumia kama hutojali tafadhali🙏🏽🙏🏽 nmekufuatilia ata vdeo zingine naona unaitumia sana naomba niipitie

  • @MimiWewe-m3b
    @MimiWewe-m3b 12 днів тому

    Kitu nilicho note chart zote unazifanya kwenye application yao ya Alibaba hakuna kwenda sijui Whatsapp,, so inamaana Supplier akikuita whatsapp inatakiwa uchukue tahadhari😂

  • @IbnomaryOmary-j6e
    @IbnomaryOmary-j6e 14 днів тому

    Thankyou

  • @IbraahBantu
    @IbraahBantu 16 днів тому

    Bro mm niko Zanzibar Nataka kuagiza mzigo alibaba Nitumie kampuni gani nzuri

  • @adiliKivanga
    @adiliKivanga 20 днів тому

    Mm nataka kununua kofia zao kwa rejareja nipeni mawasiliano napatajee

  • @ZombiTheDJ-b3q
    @ZombiTheDJ-b3q 21 день тому

    Kaka naomba unisaidie namba yako kuna kutu tushauliane kama ina wezekana unifanyie iyo kazi

  • @EricaMkojera
    @EricaMkojera 24 дні тому

    Naomba namba yako

  • @samwelmoses5091
    @samwelmoses5091 25 днів тому

    Bro nimekuelewa sana kaka.

  • @KarimRamadhani-o6m
    @KarimRamadhani-o6m 27 днів тому

    Nimekuelewa sana bro nimeona una kitu cha kunisaidia naomb mawasiliano yako kaka

  • @TinaHilary
    @TinaHilary 27 днів тому

    Habari kaka mm nashidwa kupata address ya alibaba

  • @RahmaYussuf-r7w
    @RahmaYussuf-r7w 28 днів тому

    Mimi naomba unisaidie kuagiza

  • @MwanaidiSephu
    @MwanaidiSephu 29 днів тому

    Teyari😊😊

  • @NeemaElinihak
    @NeemaElinihak Місяць тому

    Naomba no zako

  • @JulianaJRichard
    @JulianaJRichard Місяць тому

    Kaka naomba namba yako nikutafute unisaidie kuoder

  • @TatoTato-s3w
    @TatoTato-s3w Місяць тому

    Mm naitaji bajajiji jamani nasafilishajr

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Місяць тому

    Kinachowezekana kutumia lugha yetu basi mtumie lugha ya nyumbani.

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Місяць тому

    Mashaka makubwa kuna baadhi ya wafanyabiashara wanasema kuna mtindo wa kkufunguliwa mizigo na haswa bandarini.

  • @ShadrackBokela
    @ShadrackBokela Місяць тому

    Nice and good. Nimekuelewa sana bro

  • @saidihassan745
    @saidihassan745 Місяць тому

    Jinsi ya kulipia

    • @tanzanitedigital
      @tanzanitedigital Місяць тому

      weka swali vizuri chief

    • @NasmaMaliki
      @NasmaMaliki Місяць тому

      Jinsi ya kulipia mzigo ukishamaliza kuchagua bidhaa​@@tanzanitedigital

  • @StevenLaurenty
    @StevenLaurenty Місяць тому

    Bro nisaidie namba yako😅

  • @MohamedMkama
    @MohamedMkama Місяць тому

    Na vip makato ya ushuru mzigo kutoka nje kuja hapa tz inakuwa bei gani

    • @tanzanitedigital
      @tanzanitedigital Місяць тому

      angalia video vizuri chief: ua-cam.com/video/V-9AbEURPZA/v-deo.html

  • @DitridaSanga
    @DitridaSanga Місяць тому

    Kaka naomba nanamba yako naitaji chupi na box

  • @IdrisaMohamed-n6x
    @IdrisaMohamed-n6x Місяць тому

    💪

  • @IdrisaMohamed-n6x
    @IdrisaMohamed-n6x Місяць тому

    ndio nataka nianze mwezi ujao mbona kama unatukatisha tamaa..

  • @CalvineMaganya
    @CalvineMaganya Місяць тому

    Jamani nime shindwa kujuwa kumuangalia muuzaji

  • @EnockGideon-n9n
    @EnockGideon-n9n Місяць тому

    Nitapataje ajenti?

  • @DorcasKihungu
    @DorcasKihungu Місяць тому

    Nawezaje kupata nambayako

  • @HusseniQuraishi-rz8sm
    @HusseniQuraishi-rz8sm Місяць тому

    Naomba nambaako

  • @mootown8191
    @mootown8191 Місяць тому

    namba ya simu

  • @mootown8191
    @mootown8191 Місяць тому

    NAOMA NAMBA SIMU

  • @Lake_zone
    @Lake_zone Місяць тому

    Tunamba contact please

  • @SimaijumaMselem-w2v
    @SimaijumaMselem-w2v Місяць тому

    Vp ukiwa Zanzibar' mzigo unafikaje

    • @tanzanitedigital
      @tanzanitedigital Місяць тому

      unatumiwa na agent au kampuni yako ya usafirishaji

  • @tanzanitedigital
    @tanzanitedigital Місяць тому

    🎯Je, Ungependa Nikuelekeze hatua kwa hatua kuagiza China au Alibaba? Nipigie Via: 0747 177 677 ✅ Pia Unaweza Jipatie Nakala (Ebook) Ya Mwongozo Rahisi Na Kamili Wa Kuagiza na Kusafirisha Mizigo Kutoka China Hadi Kukufikia, Nunua Kwa Bei Ya Ofa Hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/

  • @tanzanitedigital
    @tanzanitedigital Місяць тому

    🎯Je, Ungependa Nikuelekeze hatua kwa hatua kuagiza China au Alibaba? Nipigie Via: 0747 177 677 ✅ Pia Unaweza Jipatie Nakala (Ebook) Ya Mwongozo Rahisi Na Kamili Wa Kuagiza na Kusafirisha Mizigo Kutoka China Hadi Kukufikia, Nunua Kwa Bei Ya Ofa Hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/

    • @IdrisaMohamed-n6x
      @IdrisaMohamed-n6x Місяць тому

      @@tanzanitedigital nashukuru kuagiza najua uzur nilijifu za kupitia post zako wewe za nyuma..

  • @EmmanuelTartan-p5z
    @EmmanuelTartan-p5z 2 місяці тому

    Mfanya biashara A

  • @MABATI_BORA
    @MABATI_BORA 2 місяці тому

    22:52 nakupata vizuri

  • @AthumanSaidi-p3c
    @AthumanSaidi-p3c 2 місяці тому

    Bro unaifungua akili yangu Respect kaka

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 2 місяці тому

    Naomba kufahamu box kama hilo je huwa linalipiwa ushuru au?

  • @CollinsNaftar
    @CollinsNaftar 2 місяці тому

    Kaka sema tunakupataje kwa elimu zaid na kufanya kazi pamoja maana drpp shiping in Tanzania sio kitu kilaisi ila ni kitu kilaisi pia

  • @MefakiMgandi
    @MefakiMgandi 2 місяці тому

    Mm naomba unisaidie na namba Yako kaka

  • @JoanSilvanus
    @JoanSilvanus 2 місяці тому

    Habari, kama nachukua bidhaa kutoka kwa manunuzi tofauti, mzigo wangu utafungwaje sehemu moja