Kuepuka Utaperi Alibaba China, Angalia video hii kwa umakini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 9

  • @tanzanitedigital
    @tanzanitedigital  2 місяці тому +1

    🎯Je, Ungependa Nikuelekeze hatua kwa hatua kuagiza China au Alibaba? Nipigie Via: 0747 177 677
    ✅ Pia Unaweza Jipatie Nakala (Ebook) Ya Mwongozo Rahisi Na Kamili Wa Kuagiza na Kusafirisha Mizigo Kutoka China Hadi Kukufikia, Nunua Kwa Bei Ya Ofa Hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/

    • @MaraDemara
      @MaraDemara 2 місяці тому +1

      Kaka njisi gani mutu analipa kwenye mtandao wa alibaba??

  • @ZombiTheDJ-b3q
    @ZombiTheDJ-b3q 11 днів тому

    Kaka naomba unisaidie namba yako kuna kutu tushauliane kama ina wezekana unifanyie iyo kazi

  • @allystamily6938
    @allystamily6938 2 місяці тому

    broh unakuta bidhaa moja ipo kwa masupplier wawili tofauti alaf bei zake tofaut kabisa unakuta mmoja anauza tzs4k mwengine 11k apa inakuaje kaka

    • @tanzanitedigital
      @tanzanitedigital  2 місяці тому

      ni kawaida katika biashara, ni wewe sasa kufanya research ya supplier atakae kufaa chief

  • @haslintheapu
    @haslintheapu 2 місяці тому

    Katika list yako ya ma-agent ulionao, wapo wanaosafirisha kuja Zanzibar?

    • @abdulhamidsoudsaid5798
      @abdulhamidsoudsaid5798 2 місяці тому

      Kampuni hii Yiwu Free-dom Trading Company Ltd

    • @tanzanitedigital
      @tanzanitedigital  2 місяці тому

      kampuni zote ukiwasiliana nao, mzigo ukifika watakutumia popote ulipo chief