Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
Ni juu yako, utawasiliana na supplier wako kisha utamtumia mawasiliano na address ya kampuni au agent wako, aweze kumtumia mzigo wako. Kisha agent/kampuni wako atasafirisha moja kwa moja kuja Tanzania.
Unaweza wasiliana na kampuni husika na wanaweza kukutumia mzigo wako kuja Zanzibar, ila kwa makampuni mengi ya usafiri wa anga. kituo cha kwanza ni Zanzibar hivyo ni rahisi kupokea ukiwa huko. Ila ni vyema kuwasiliana na kampuni utakayo kutumia watakupa njia rahisi ya wewe kuupata mzigo wako.
Sante kwa somo zuri. Swali: nikisha agiza mzigo na kulipia kwa shipping agent. JE ukifika TZ kuna nalipo yoyote yataitajika kama vile TRA, forodha na nyinginezo bandarini au kwenye ofisi za agent Tanzania?
Kwa makampuni mengi ya usafirishaji wa ndege huchaji kuanzia KG 1 regardless. Hivyo, hata kama mzigo wako haujafikia KG 1, bado kampuni itaukadiria kama KG 1.
Hello ,hongera Kwa kazi nzuri na unafundisha vzr sana... Nauliza kama unataka kuagiza bidhaa tofaut Kwa supplier tofaut ila unataka mizigo yako iunganishwe kwenye box moja na kusafirishwa yote pamoja. Tunawezaje kuwaconnect hao masupplier wote?
Vp bro mm kuna pikipiki nataka kuagiza kwenye alibaba but nimepata suppliare wamarekani na kwenye profile yake anamwaka mmoja na hajauza mzigo hata mmoja sasa na mimi nimependa bidhaa yake naweza kununua yani kumuamini
Siwez kushauri ilo , angalia Mwenye miaka zaid hata 3 na ambaye ameuza tayar oda nyingi pia angalia na comments, na Ile budge ya Verified supplier kama anayo angalau unaweza mwamini
Muda wa mzigo kufika sio fixed, inaweza chukua kuanzia siku 2 hadi 45 tokea kupokelea na agent/kampuni unayotumia. Usafiri wa ndege hutumia siku 2 hadi 14 kutegemeana na aina ya bidhaa unayosafirisha. wakati usafiri wa meli huchukua siku 30 hadi 45 hadi kufika Tanzania.

Asante kwa mawasiliano zaid na nyie tunawapataje
Ahsante sana kwa somo
Asante sana kaka nataka kujua kununua bidhaa dubai, uturuki ,marekan
Safiiiiiiii sanaaaaaa babu
Asante sana kwa hayo maelezo !
Habari, kama nachukua bidhaa kutoka kwa manunuzi tofauti, mzigo wangu utafungwaje sehemu moja
Asante sana
Naahitaji nambayako
Samahn bro naomba kuuliza ivi iyo ghalama ya usafili unalipia baada ya kifika mzigo Tanzania au unalipia ukiwa ukouko china nikimaanisha usafiri
Makampuni mengi, ni baada ya mzigo kufika. Hakikisha unawasiliana na kampuni husika kabla ya kuwatumiwa katika usafirishaji.
Naomba kufahamu box kama hilo je huwa linalipiwa ushuru au?
Naweza kupata kujuwa Campuni gani ambayo utalipili CBM kwa mujibu wa mzigo wako bila kulipia CBM 1 hata km haijafi
kampuni zote boss, Mizigo ya ndege ndio huchajiwa kuanzia KG 1 regardless
Samahani na Vp kuhusu hayo makampuni ya usafirishaji ni juu ya supplier au we ndo unatakiwa kujua makampuni yanayosafirisha
Ni juu yako, utawasiliana na supplier wako kisha utamtumia mawasiliano na address ya kampuni au agent wako, aweze kumtumia mzigo wako. Kisha agent/kampuni wako atasafirisha moja kwa moja kuja Tanzania.
Duh. Kwa sis ambao hatuyajui hayo makampuni mnatusaidiaje
Mpo vizuri sana mawasiliano yenu please
Naomba unielekeze jinsi ya kupata suppliers
Asante kwamaelezo mazuri mimi nahiji huduma kupata biza kupitia kutoka china nitawa0ataje nipozanzibar
Unaweza wasiliana na kampuni husika na wanaweza kukutumia mzigo wako kuja Zanzibar, ila kwa makampuni mengi ya usafiri wa anga. kituo cha kwanza ni Zanzibar hivyo ni rahisi kupokea ukiwa huko. Ila ni vyema kuwasiliana na kampuni utakayo kutumia watakupa njia rahisi ya wewe kuupata mzigo wako.
Inakuwaje kwa TV inchi 75 boss CBM inaweza kuwaje
Sasa si umeambiwa inapimwa box lake.. na kama unataka kuagiza unamuuliza Mchina kwanza
Habari brother nataka kujua hayo malipo unatoa baada ya mzigo kufika pale ofisini au
inategemeana na kampuni. kwa kampuni nyingi, malipo ni baada ya mzigo kufika
Sante kwa somo zuri. Swali: nikisha agiza mzigo na kulipia kwa shipping agent. JE ukifika TZ kuna nalipo yoyote yataitajika kama vile TRA, forodha na nyinginezo bandarini au kwenye ofisi za agent Tanzania?
Hapana, malipo unayowalipa kampuni ya usafirishaji yanajumuisha tozo zote ulizotaja.
Asa Kuna items zipo under free shipping @@tanzanitedigital
Nataka niangize kimzigo ambacho unaweza weka kwenye mfuko wa suruali nafanyaje
Kwa makampuni mengi ya usafirishaji wa ndege huchaji kuanzia KG 1 regardless. Hivyo, hata kama mzigo wako haujafikia KG 1, bado kampuni itaukadiria kama KG 1.
Me sielw naomb namb yak y whsp broo
TUNAOMBA MTUTAJIE MAKAMPUNI YANAYIJIHUSISHA NA KUTUMA MIZIGO KUTOKA CHINA KUJA TANZANIA
Kaka mimi nataka kuagiza mzigo ila sasa sina agent naemjua huko china wala kampuni je nawezaje kupata namba zao?
Check: www.tanzanitedigital.com/shop
Asa Kuna items zipo under free shipping inakuwaje??
Labda usitumie shipping companies, chief
@@tanzanitedigital Samahan kwa usumbufu,Mbn nmechat na seller kasema under free shipping,I will receive the items with no additional charges
Kama naagiza chombo cha usafili kama pikipiki nitapataje usajili
sampya gani tunaweza kumtumilia kwa njia ya meli china to tanzania
Hello ,hongera Kwa kazi nzuri na unafundisha vzr sana... Nauliza kama unataka kuagiza bidhaa tofaut Kwa supplier tofaut ila unataka mizigo yako iunganishwe kwenye box moja na kusafirishwa yote pamoja. Tunawezaje kuwaconnect hao masupplier wote?
Na kama una products tofauti tofauti toka kwa suplier tofauti ni kwa vipi utaunganisha kwenye box moja?
swali zuri, kama mizigo itafika kwa wakati mmoja itaungansha na kupimwa kwa pamoja ( kwa ndege) , itapimwa box moja moja (kwa meli)
Samahani naomba namba yako plz mkuu nataka kufanya kazi
Wasafirishaji wa Tanzania
Tufungulie dunia kaka
Please read comment section kwanza ..most of the time maswali mengi yanakua yameshajibiwa
nawezaje kupata mawasiliano yao au mpka niwe na suplyer wangu huko china
mawasiliano na nani chief?
Kaka naomba unitumie namba yako
Naomba kujua uzito wa gari
hahah unataka usafirishe gari kwa ndege?
Sawa nimeelewa Mimi nataka kufata biashara ya viatu na nguo china je nani atanipeleka kwenye maduka nikifika huko na nigharama kiasi Gani nitamlipa
Ukifika Tanzania ni Yani bandarini na mm Niko Arusha nitafata bandarin
Vp bro mm kuna pikipiki nataka kuagiza kwenye alibaba but nimepata suppliare wamarekani na kwenye profile yake anamwaka mmoja na hajauza mzigo hata mmoja sasa na mimi nimependa bidhaa yake naweza kununua yani kumuamini
Siwez kushauri ilo , angalia Mwenye miaka zaid hata 3 na ambaye ameuza tayar oda nyingi pia angalia na comments, na Ile budge ya Verified supplier kama anayo angalau unaweza mwamini
Ahsnt nimejifunza kitu
Asante sanaah ila kati ya tanzuexpless na silent ocean wepi wana garama na nafuu ya usafrshaj
Inategemea na aina ya bidhaa, unaweza tembelea page zao ukawaomba cbm-price list, ukafanya comparison kaka.
Asant sana
Mda gani mzigo unatoka china mpaka Tanzania
Muda wa mzigo kufika sio fixed, inaweza chukua kuanzia siku 2 hadi 45 tokea kupokelea na agent/kampuni unayotumia. Usafiri wa ndege hutumia siku 2 hadi 14 kutegemeana na aina ya bidhaa unayosafirisha. wakati usafiri wa meli huchukua siku 30 hadi 45 hadi kufika Tanzania.
Je mzigo u nalipiwa ukiwa kwamfano china kabisa ama nakuja kulipia huku unapofika
makampuni mengi, ni baada ya mzigo kufika.
Je mzigo ukifika bandari ya Tanzania unachajiwa tena?
Kama umetumia usafiri binafsi, ndio. ila kama unatumia kampuni, hapana!
Kaka ahsante sana wapi ni sahihi na salama kwa kununua bidhaa
una maanisha kwa masoko ya China au?
@@tanzanitedigital kokote unapo pajua au unapotumia wewe kuagiza mzigo
Naomba mawasiliano yasim
Naomba mawasiliano yako ya sm by Justin
Asant ila naitaji namba zenu
Nimekusoma sasa mphano hai mimi nataka kuagiza ile lola moja ya pond liner yakufugia samaki litapimwaje?
Chat na supplier wako na umuulize ni CBM ngapi kama utatumia usafiri wa meli, au uzito kama utatumia usafiri wa ndege.
Jmn sjaelewa😢