Mnaboesha sana aisee sa hawa wanajiingiza kati kati ya movie ya penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi kwa nn , fungueni chanel yenu ya kuhubiri sio hapa
Tuna juwa kwamba munatafuta hela, lakini Mimi naombeni sana, musiaribu movie yenu, mahana munatuma vipande visionatia kwa filamu, sasa basi kuwa makini. Samahani kama nimekosea
Hawa washaona sisi kwakua tuna ipenda hii silizi Yao basi wamepata pakutu pigia mbongo bana hawez kufuata utaratibu lazima ahalibu tukuchamba kwingi unashika mavi ndohii sasa
Umepata bahat ya kukubalika na Jamii unawaona mafala hawana vitu vya kufanya...sawa bahat haiji mara mbili wew saiv watu wanakujua unawaona wapuuzi kwa kuwatapel mb zao sawa any ways sio vizuri acha kama unataka channel ya matangazo fungua sio ivii ...huu ni utapel kama matapel wengine wa mitandaoni
Hi move inapo elekea inaenda kua mbaya yani ep sod ya 35 sijaelewa kabisa mapicha picha tu ndo nini kervin unafanya sasa duuuh lekebisha mfumo najitahidi kua unatoa ep sod mbilimbili ili mtu aelewe
Kama unaskia umemboeka na hizi vitu wanatuletea hata hazieleweki gonna like wajirekebishe
Mi naona sio donta TV yenyew origin hawa ni watu Tu wanamchezea akili
Hii so donta TV yenyewe
Hii fake account sio kelvin mwenyew huyu
Yan hawa wameiga kwanzia jina hadi profile pic hii siyo chanel halisi ya Donta wananiboa at mm
Me Hadi nimelia 😢😢😢😢
Kelvin unatufukuza mashabiki wako
Yani kama mnakua amtaki kutoa mvi zenu si muache kwanzia Leo siangalii tena
Munamuceza hakiri Kervin nakumuchonganisha na familia yake Mungu atararipa kwakweri😡🙄😳😏😏🇸🇦🇧🇮
Hiki kipindi kimeanza kubore,mwanzo kilikua poa,
Ndonini sasahiki kamamume shindwa acheni
Yeeeeeeeee mumeshidwa?
Wah,Leo mnabore sana hadi cielewi
Hello naelewa hii tena
Mm mwenyewe sielew waliaanza vizuri sasa hivi wantuletea mauzauza
Hatujapenda huo utaratibu☝️ kamilishen episode 😣
Mimi mnanikera sana....izi n nini....aaah jameni achani za ovyo
Mbn atuwaerew vp
Waah tunajoka kungoja jamani
Niko wa kwanza ku tokey Burundi 🇧🇮
Mnaboesha sana aisee sa hawa wanajiingiza kati kati ya movie ya penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi kwa nn , fungueni chanel yenu ya kuhubiri sio hapa
Mbn tena mahubil MB zetuzinaend alaf yanakua mahubil alieboek kam mim gong like
Ni dhalau mbona hamtujibu tujue cha kufanya kama mnaenderea au ndo mwisho
Kervin unaboa tunavyoangalia tunatumia bando sas unarusha kitu ewan man wengin ati mkato tulishafeligi skuli
Nan mwingine ameloose morale ka mim
Halafu mnavyofanya mnazingua bhana yaan kama hamna muendelezo ni bora mkaushe kuliko hayo mambo mnayotufanyia mnatumalizia bundle
Atamm wananichanganya Kama wamefeli watuambie tunatumia Ela umu ss
Mbona mnachelewesha bint kutoka kenya
Hii movie niliipenda sana ila Kwa sasa wanaboa sana
Move za kibongo hapo nd zinapofeli wana2bowa kw kwl
Ssa mmeanza kuleta story za jaba
😮😮😮mnatufanyia nini hii iiiiì
Mi sitaangalia tena 😢😢 ndo nini sasa hiki
Mnabore kabisa
Away kweli makauzu Yani ni washamba sana
Mnatuwe kadogo sana jamani
Kelvin nilipe data zangu nmekasirika sana leo
Kwanin mnarudiarudi kam hamn muendekeza tuambien
Mnatumalizia mb bwana
Good job guys nasubiria sana ❤❤❤❤
Vip nyie tuletee muvi bana
Sasa hizi do Nini mnatuletea kama kipindi imeisha mseme Sio kutuekea vitu atuelewiii Kelvin umeazaaaa kubooo Sana
Uuuuu ni upuzi bure ata nimeboeka na kufuatilia
Sijui kwa nini wamekuwa hivi mnaboa mashabiki zenu
Tunasubili kwa hamu kuuuu épisode 36 kutoka Bja ❤
Daah ss wametuchoka kwa kweli
mnatukera bana
Sasa mumeasa kusingua sana sasa munaturetea nini munatumarisia sana Munda jirekebise kuwasia sai🎉🎉
Jaman namimi nimewah leo ❤like moja2
Mh vp mbn hatuelew sahiv
Ssa mbona fupi hivi jamani
Jambo wachezaji mbona mumekata mchezo
Mbona sasa hamueleweki mmeanza vizuri lkn episodic hii hapana hamjaitendea hakim siitaki mimi 😊😊😊😊
Jmn ndo nini iyi sasa Kelvin
Tuna juwa kwamba munatafuta hela, lakini Mimi naombeni sana, musiaribu movie yenu, mahana munatuma vipande visionatia kwa filamu, sasa basi kuwa makini. Samahani kama nimekosea
Mimi nimeboeka kutoka episode 35,kitu hata huwezi jua ni Nini Kiko hapa maanake unachotaka kuona unaletewa vitu tofauti.
Mbona unapaniki usengerema sasa😂😂
Hawa washaona sisi kwakua tuna ipenda hii silizi Yao basi wamepata pakutu pigia mbongo bana hawez kufuata utaratibu lazima ahalibu tukuchamba kwingi unashika mavi ndohii sasa
Mnachezeaaa mb zetu bule afu sasa dah
Hii sio account ya donta tv ,,,main
Mna chelewesha san
Jaman mnafeli wap
Kwakwel mm hizi citu siszielew Mara hakuna sauti Mara move lakin hailewek kwan kunashida gan
Kwaendelea nn uku
Nyie mbona mnafanyavitu vya utapeli mnatulia tuu hela wa shenz
Ash ivi sasa amweleweki na izi move
Na msituambie hii yenye tunangoja ndio final mlianza vizur malizeni vizur
Kwani nn jamani mnatukatisha tamaa mashabiki wenu
Mimi sipendangi kuangalia muvi za kibongo sababuhi hapa Sasa watatukosa wengi
Atuelewi aiseeee 😂
Jamani sielewi kitu mabmo sio mazuri hayaeleweki ni mimi au wegine pia
Kama mnachoka bas mpumzike kuliko kutuwekea mambo yakitoto kama hayo
Mbona move haieleweki
Mnatuchanganyaa
Mnatuchosha bana
Kweli maizauza wanapotezea watu mda,wajipange upya
Mbona kero jmn
Msha anza kukera
Inakoenda siyo
kama hamtak kutoa move achen kutumalizia vibando vyet vya jelo
Me nawaacha sasa
Sasa tuachane na movie senyu ama
Mbon kama munatichereweshs
Kelvin hapana munaanza kuaribu Mambo mwanzu muzur mwisho sasa hueleweki
Mnasinyaa Sasa 😏😏
Mwatuchelewesha jamani
Umepata bahat ya kukubalika na Jamii unawaona mafala hawana vitu vya kufanya...sawa bahat haiji mara mbili wew saiv watu wanakujua unawaona wapuuzi kwa kuwatapel mb zao sawa any ways sio vizuri acha kama unataka channel ya matangazo fungua sio ivii ...huu ni utapel kama matapel wengine wa mitandaoni
Waaa kuwa mpole 😢part 35 yajaa
Sasa mmeanza kuharibu aii
Mpaka mnakela saiz
Mnanikera bas tu
Mbere uku mbona ainogi munaipooza
Sasa ndio nin 😢😢😢😢😢😢
Sijaelewa kabis
Musioni tunawapenda ndo mukatufanya sisi ndii walewale... Tutafuatilia tuu
Sasa hivi hamueleweki
Sasa ichi nn sasa😬😬
Bjr ba fane ya movi
Hii part nayo hijPendeza kweli👎donta pliz mimi hata bado sijapata utamu wa Kelvin na lovenees baada ya taa kuzima😂😂😂😂 nitambaki kujirudia part34😮
Mbona awaeleweki
Guy kk mbna mwachelewa Kutoa hio part ingne jmn
Kam mumeshindwa n kuendelea n story achaneni nayo sasa😮😢
Na nyie Sasa hatuwaelewi tulikuwa tukiwafuatilia sana lakin mmeanza kutobowa, Yan hatuelewi vipande ND vinaendaje Yan.
Ata me sielewi
Hawa ni wakora chungeni sana
Jamn mnaanza kutukera utamu unanoga mnatoa vipande robo robo kipande hata hakifiki nusu saa kimeisha ndo nn
Hi move inapo elekea inaenda kua mbaya yani ep sod ya 35 sijaelewa kabisa mapicha picha tu ndo nini kervin unafanya sasa duuuh lekebisha mfumo najitahidi kua unatoa ep sod mbilimbili ili mtu aelewe
Oya kamakuna siku mmenikera ni leo
Yani hatuwaelewi